Mungu awabariki sana kwa sapoti mnayo ionyesha kupitia huduma ambayo Mungu amenipa , siwachukulii kawaida ninyi ni wa thamani sana katika huduma yangu, naomba watumie na wengine habari hizi njema asante @rithakomba
Honhera sana Mama Huduma mtu hupewa na Mungu ila mahukumu ya kuichochea na kuifanya iwe nyota njema yanakuwa kwake hakika mama kunanamna unaitendea haki huduma uliyopewa Mungu aendelee kukupa muda mwingi zaidi wa kukutunza kipaji hiki❤❤❤❤

Be Blessed Sister 🙏
Amen madam
Mileleeee HAKUNA KAMA YESUUUUUUUUUUUUUUUUUU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Ujumbe mzuriii sautiii nzuriii umebarikiwa Sana madam ritha nakupenda Mungu akuinue Zaid hayo Ni maombi yangu
Hakuna kama Yesu milele na milele utukufu kwake wimbo mzuri
Hongera sana
Ameena kubwa 🎉❤
Amen this is powerful.. milele hakuna Kama Yesu na hatatokea
❤️❤️❤️🙌🙌 hakuna kama Yesu
Kazi ni njema hakika Hakuna kama Yesu MUNGU Atukuzwe ubarikiwe Mtumishi wa BWANA
Hakika Hakuna Kama Yesu Milele Na Milele🔥🔥🔥
Hongera MUNGU azidi kukuinua my sis🫂
Honhera sana Mama Huduma mtu hupewa na Mungu ila mahukumu ya kuichochea na kuifanya iwe nyota njema yanakuwa kwake hakika mama kunanamna unaitendea haki huduma uliyopewa Mungu aendelee kukupa muda mwingi zaidi wa kukutunza kipaji hiki❤❤❤❤
❤so nice for sure
Hongera sana dada yangu tumebarikiwa na wimbo
Wimbo mzuri.......sauti nimetaka kufananishaa na ule wimbo wa #nomorefear
Mambo ni moto
Hongera kwa kazi nzuri mama ❤
Eeeeeh bhanaaaa eeeeh Kumenooogaaaa Hakuna kama wewe
❤❤
Kazi njema.
Hakika uzidi kuinuliwa na tunabarikiwa sana.
Wimbo mzuri sana barikiwa sana Ritha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I come across this song I can say you are blessed from 🇰🇪
🎉
Hakuna kama Yesu ❤
Wow wow wow!
Hakika hakuna kama Yesu. Ubarikiwe sana Madam Ritha 🙏
Hongera mamy kazi nzuri sana sana
This is ever happened before🎉
So nice
Hakuna kama Yesu 🙏
Wow ❤❤
🙏🙏 congratulation nice song
God bless you WOG, Keep flying❤
Amen amen 🙌🏽
Waooow!! This awesome and powerful 👏 🙌 I love your ministry Rita,, music &, vocals 🔥 🔥
DADA RITHA NICHUKUE NAFASI HII KUKUPONGEZA KWA LA NJEMA ILIYOTUKUKA. ALAMA AMBAYO HAITAFUTIKA VIZAZI NA VIZAZI
🌹🌹🌹🌹🌹
Family ritha ❤
Maisha