Moyo wangu umejawa Shukurani kwaajili yenu asanteni sana kwa comments zenu , likes kuangalia Mungu awabariki sana sana , nyie ni sehemu ya huduma yangu nina tambua umuhimu wenu wala siwachukulii kawaida 🙏🙏
Ainuliwe YESU ATENDAYE MAMBO MAKUBWA KULIKO YALE TUYAOMBAYO NA TUYAWAZAYO HAKIKA YESU YUPO HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU KWA HATUA HII KUBWA HAKIKA UTUKUFU UJAO UTAKUWA WAHATARI SANA NIMEFURAHI SANA KWA HATUA IMANIPA KUJUA KWAMBA MUNGU HANA UPENDELEO HUMPA YEYOTE AMTAKAYE KWA WAKATI SAHIHI
Dada yangu na Mtumishi wa Mungu...Mungu azidi kukubariki mnoo kwa huu wimbo. Umejengea Mungu wa Mbingu na Nchi heshima kubwa kabisa. Nimebarikiwa sana sana sana. Ninaendelea kukuombea kwa Mungu uzidi sana na kuongezeka katika utumishi wako kwa Mungu. Ninajifunza kwako.
Ni wimboo unaounganisha Moja kwa Moja mwanadamu ya Mungu kwa kuutafakari ukuu na uweza wa Mungu ..hakika Mungu amekutumia sana madam barikiwa sana kwa zawadi hii.
Amen Amen... Our God deserves all the Praise and all the glory... 🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana sana... Na wimbo huu ukafungue mlango mpya wa neema kwako na kwa kazi yake unayoifanya, Unatubariki wengi, Be blessed 😊
Moyo wangu umejawa Shukurani kwaajili yenu asanteni sana kwa comments zenu , likes kuangalia Mungu awabariki sana sana , nyie ni sehemu ya huduma yangu nina tambua umuhimu wenu wala siwachukulii kawaida 🙏🙏
Amen
God bless ua ministry
Mungu akuinue zaid
Good song
Jamani nilikuwa wapi ... waoooo waooo waooo mama ubarikiwe tu
Hii nyimbo sichoki kuisikiliza kwakweli mungu akubariki
Amen Mungu wetu Umeinuliwa juu sana Mungu wa haki. Glory to our might God
Baraka za wimbo huu zimenifikiya hapa DRC🇨🇩.
God bless you
Amen
Hii nyimbo inainua sana
Amen.. MUNGU UMEINULIWA JUU UMETUKUKA..
Tanzania going to new dimensions
Wimbo unamafuta sana huu Mungu azidi kukuinua dada yangu Ritha Komba
Barikiwa sana mtumish wa MUNGU
Hongera sana mtumishi wa MUNGU kwa wimbo mzuriii barikiwa sanaaaaaaaaa
Ainuliwe YESU ATENDAYE MAMBO MAKUBWA KULIKO YALE TUYAOMBAYO NA TUYAWAZAYO HAKIKA YESU YUPO HONGERA SANA MTUMISHI WA MUNGU KWA HATUA HII KUBWA HAKIKA UTUKUFU UJAO UTAKUWA WAHATARI SANA NIMEFURAHI SANA KWA HATUA IMANIPA KUJUA KWAMBA MUNGU HANA UPENDELEO HUMPA YEYOTE AMTAKAYE KWA WAKATI SAHIHI
Very powerful Woman of God
Mungu azidi kukuinua na kukutunza kwaajili ya kizazi chetu na vijavyo.
Waoooh, Yesu umetukuka, mimi na huu wimbo sunday, kwa ibada my praise team, we have a new song here
your blessed Mommy. your Son Nakupenda sijui kama utanikumbuka ila Nmefurahi mno kwa Neema Mungu anayokuongeza mara zote. wewe ni baraka hakika.
Dada yangu na Mtumishi wa Mungu...Mungu azidi kukubariki mnoo kwa huu wimbo. Umejengea Mungu wa Mbingu na Nchi heshima kubwa kabisa.
Nimebarikiwa sana sana sana.
Ninaendelea kukuombea kwa Mungu uzidi sana na kuongezeka katika utumishi wako kwa Mungu.
Ninajifunza kwako.
Wimbo mzuri
Mungu wetu ametukuka saana 🙌🏻🙏🏽
Hallelujah
BWANA utukuzwe Sana so Amazing gospel nimebarikiwa mno
Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana viwango vya kimataifa, jina la Bwana lihimidiwe
Hongera sana Dada Ritha Komba Mungu akubariki sana na Akupe Nguvu katika hii Uduma yake pendwa
Oh come on its so deep in feelings. God's mysterious in his Ministers.
Uprisings be in you.
Hongera sana mama mtumishi kazi yako.njema
BWANA UTUKUZWE WIMBO WA BARAKA SANA
Mungu akaikuze huduma yako kwa mataifa mbalimbali…. “BWANA UTUKUZWE…. Umetukuka” bless you dada Ritha
Mungu wa minguni aku inuwepia mjakazi. Im so blessed
Hallelujah hallelujah...
Nimebarikiwa...
Hakika Yesu ameinuliwa juu..
Hongera mno dada kwa Kazi nzuri
Hongera mtumishi wa Mungu kwa ibada hii nzuri mno
Ni wimboo unaounganisha Moja kwa Moja mwanadamu ya Mungu kwa kuutafakari ukuu na uweza wa Mungu ..hakika Mungu amekutumia sana madam barikiwa sana kwa zawadi hii.
Hongera kwa wimbo mzuri dada
Wow! Halleluyah 🙏 good job mtumishi. More grace 🙏
Hongera Sana kwa kazi njema mnoo.
Utukuzwe Yesu
Hongera sana mtumishi the arrangement, back vocals ni fire hongera sana
Hongera sana Ritha😂Mungu azidi kukutunza 🙏
Amina mubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana 🙌👏👏👏🙌💥
Amen Amen umenigusaaa sana💥💥💥💥🥰🥰🥰🥰🥰
What a Song, so nice...congratulations Ritha
God bless you..
Powerful
Waooooooooo😭😭😭😭 Hallelluyah mbegu hii hakika itamea kwenye mioyo ya watu wengi.Hongera sana dada yangu
Ametukuka Yesu, yeye ni mwema kila wakati
Mamaaaaa ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Sifa na utukufu Kwa Bwana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ANOTHER LEVEL
Good job mom
utukufu mkubwa ndani ya wimbo...proud of you dear mama
This day🥺, Hakika Mungu ametukuka....
Very blessed songs, sister, may GOD bless you with a good message
Waooooow the song from Minister en Mommy 🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥 umebarikiwa mno mama
To God be the Glory 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Woman Of God Yesu Ameinuliwa kupitia wewe 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Wooow.. soo powerful.. 👏🙌🙌🙌🙌🅱️🅾️🅾️Ⓜ️🧨🧨🧨🧨🔥
I'm blessed by this
more blessing sister
This is a powerful worship song Minister Ritha, Mungu azidi kukutumia! I am blessed.
The full production is amazing!
God richly bless you.
This band 🙏
Congratulations dear
Powerful song
God bless you 🙏
Inspirational
🔥🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana dadangu
Yahweh ameinuliwa juu🔥🔥🔥🔥🔥...be blessed Sis...
Waaaaow he is lifted over all kingdom
Yesu mzuri
💥💥💥🙌
Glory be to God 🙌 🙌, hakika ameinuliwa juu
Amen Amen...
Our God deserves all the Praise and all the glory...
🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana sana...
Na wimbo huu ukafungue mlango mpya wa neema kwako na kwa kazi yake unayoifanya,
Unatubariki wengi,
Be blessed 😊
Glory Glory Glory🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
blessing
Wow congratulations sis vocal👌👌message rise us from zero to hero
🔥🔥🔥🔥🔥
What a song, nice arrangement. Bwana utukuwe🎵🎵🎵🎶🎶🎶
Be blessed sisy Ritha
A master piece,keep up the good work of the lord.Stay blessed
Nice song,glory be to God 🙏🙏🙏
This is a New Dimension! Glory to Jesus!
Blessed dear good song
👏👏
🙏🙏
I cant find the lyrics on google can i get the lyrics please
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥ANOTHER LEVEL
👏👏
🔥🔥⭐