Viongozi wa Azimio waendelea kuunga mkono msukumo unaoendelezwa na vijana nchini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Viongozi wa Azimio wameendelea kuunga mkono msukumo unaoendelezwa na vijana nchini, huku wakipongeza hatua ya chama cha wanasheria nchini kudinda kuitikia uteuzi wa Rais William Ruto. Viongozi hawa wakiongozwa na kalonzo musyoka na Eugene Wamalwa wakisimama kuwa ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali ina uwezo wa kutathmini madeni ya serikali, wakimpongeza rais wa LSK Faith Odhiambo kwa kutaa uteuzi kwenye jopo hilo. Willy Lusige na taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 19

  • @user-wx2lw6wb9y
    @user-wx2lw6wb9y 8 วันที่ผ่านมา +2

    Waaaaaaaah this is kenya

  • @denisgitonga4111
    @denisgitonga4111 8 วันที่ผ่านมา +2

    My guy Peter munya is back,, wow, we apologize we didn't know the truth,, now we know the truth

  • @Watt-er8or
    @Watt-er8or 8 วันที่ผ่านมา +3

    I had given a benefit of doubt when people said, ati Wamalwa ni mwanamke,. I can now confirm, Wamalwa sio mwanamke tu, pia ako na umama

  • @HillaryLangat-mo8hs
    @HillaryLangat-mo8hs 8 วันที่ผ่านมา +1

    Yes hawa wote ni wanawake

    • @jerrymcbride2230
      @jerrymcbride2230 8 วันที่ผ่านมา

      😂😂- Wewe nishoga 😂😂😂

  • @eunicendungu387
    @eunicendungu387 8 วันที่ผ่านมา

    We need a lady this time round as a president to lead this nation. All men have failed terribly

    • @johngeorge4834
      @johngeorge4834 8 วันที่ผ่านมา

      Never on earth, this is not for the weaked😂

  • @user-jy7ne3iw7y
    @user-jy7ne3iw7y 8 วันที่ผ่านมา

    Watoto wao wako wapi lakini kwa maandamano ama wetu ndio wakuuliwa?? Hatuwaoni kwa maandamano?????

  • @JoyceAntony-gm1rs
    @JoyceAntony-gm1rs 8 วันที่ผ่านมา +1

    Politicians are hypocrites you guys go back sleep and dream again 😅😅😅😅😅 hypocrites COVID-19 money for wanjiku?

    • @Nuru.Gizani
      @Nuru.Gizani 8 วันที่ผ่านมา

      All of them need to answer

  • @revivalforjesus7253
    @revivalforjesus7253 8 วันที่ผ่านมา

    This is Kenya

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 8 วันที่ผ่านมา

    I love Peter munya for nothing 🎉

  • @user-jy7ne3iw7y
    @user-jy7ne3iw7y 8 วันที่ผ่านมา

    Stand with your children kwa maandamano. Wapi watoto wenu.Nonsense

  • @Watt-er8or
    @Watt-er8or 8 วันที่ผ่านมา

    For the first time in history where opposition is against transparency in government... Kama Peter Munya amotoka Msituni kupinga public audit, ujue kuna watu walikula pesa za serikali