Hasara ya maandamano kwenye jumba la kibiashara la Sunbeam

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • Majuma Mawili Baada Ya Jumba La Kibiashara La Sunbeam Kuteketezwa Wakati Wa Maandamano Na Hata Kusababisha Vifo Vya Watu Watatu, Waathiriwa Wanaendelea Kuuguza Majeraha Na Kukadiria Hasara. Mmoja Wa Waathiriwa Hawa Ni Mashirima Georgina Na Charles Munene Wanaosema Sasa Wamelazimika Kujipanga Upya. Mashirima Sasa Akisema Maisha Yake Yamebadilika Baada Ya Kuvunjika Mguu Alipokuwa Akijiokoa Kwenye Sokomoko La Wahuni Waliovamia Na Kuchoma Jumba Hilo, Kama Gatete Njoroge Anavyoarifu

ความคิดเห็น • 1

  • @Sofia-rf6nd
    @Sofia-rf6nd หลายเดือนก่อน

    😢😢😢