Seminar ya vijana wa Katoliki Nyakahoja jinsi ya kuingia kwenye uchumba mpaka ndoa. Paul Magola

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ส.ค. 2023
  • Hii ni seminar ya mafundisho muhimu ya muendelezo ya vijana walio kwenye uchumba, upenzi na walio katika ndoa, mafundisho haya yameandaliwa na vijana wa Kanisa Katoliki la Nyakahoja chini ya usimamizi na muongozo wa Baba Paroko msaidizi Fr. Leo Amani na muwezeshaji bwana Paul Magola. Mafundisho haya yanalenga kumsaidia kijana kukua kiimani na kujiandaa namna ya kupata mchumba bora na kuwa na ndoa isiyokua na misukosuko na ndoa yenye baraka na uwepo wa hofu ya Mungu.
    kama utabarikiwa na mafundisho haya toa maoni na comment zako au tuandikie
    Paul Magola
    magolapaul@gmail.com
    Instagram fb na tweeter jina
    Paul Magola

ความคิดเห็น •