Mchungaji abiudi nakufurahia sana kwa mafundisho yako naomba msaada wako wa maombezi yako juu ya familia yangu. Haina upendo kabisa wa maelewano na mimi sielewi nakufuatilia sana pia napenda nyimbo zako hasa ule wa lini.utapita kwangu unanifariji sana uwa napata AMANI JUU WA WIMBO HUO ..NAJIPA MOYO SANA.
Nasema Mungu akubariki sn Zaid sn mruhusu kudownload maana huwa najifunza mitamdaon kwa kuandika kabisa maisha yangu ni km nipo Iraq ila mitandao hii inanifanya nimfurahie Yesu
Ndugu yangu pole soma warumi 7;14-25 ila ukishatubu kia mtu wa kusoma 1) neno, 2)toba kila wakati na kuomba kushinda udhaifu kwA kusema kabisa you mwaminifu YESU 3)Ikiwezekana marafik wajue umeokoka wasipoendana na wewe wabadili YESU NI rafiki sana 4)kama ulikua ni mtu wa mzaha na matani acha pia kaa na watu waliokoka katika kweli moto hufa kwA kukosa kuni chuma gunia chuma barikiwa utashinda mpendwa kwA jina lake YESU ALIETUCHUKULIA MADHAIFU YETU
Amen mtu wa MUNGU
Mungu akubariki sanà mchungaji.jaribu sana ufungue kanisa huku Kenya.
Asante ubarikiwe mtumishi abiud misholi
Barikiwa Sana mtumish was mungu
Mchungaji abiudi nakufurahia sana kwa mafundisho yako naomba msaada wako wa maombezi yako juu ya familia yangu. Haina upendo kabisa wa maelewano na mimi sielewi nakufuatilia sana pia napenda nyimbo zako hasa ule wa lini.utapita kwangu unanifariji sana uwa napata AMANI JUU WA WIMBO HUO ..NAJIPA MOYO SANA.
Asante yesu
Mungu ni mwema sana
Damu ya yesu Inaponya Inaokoa Inasafisha Inaondoa mapepo ya kila namna
Ashukuriwe Yesu
Atukuzwe Yesu Kristo sana kwa neno hili la uzima
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu Abiud
Mungu akubariki mchungaji , Samuel toka Congo Bukavu
Huwa na jengwa sana na mahubiri Yako baba
Amen Dad
Amen,🙏🙏🙏 nimembalikiwa sana👏mtumishi wa mungu REV
Ubarikiwe sana mtumishi Wa MUNGU napenda mafundisho yako Huwa yananijenga
Mtumishi wa Mungu misholi
Ubarikiwe sana baba ninakufatilia sana kutoka mombasa kenya
Mungu akubariki muchungaji injili yakweli
Ameen
Hii ni injili ya kweli.
Amen
AMEN
Haya mahubiri Nayataka kwenye flash
Nasema Mungu akubariki sn Zaid sn mruhusu kudownload maana huwa najifunza mitamdaon kwa kuandika kabisa maisha yangu ni km nipo Iraq ila mitandao hii inanifanya nimfurahie Yesu
Ubarikiwe
Nimebarikiwa Nina amani nimefunguliwa maana nimepiga miayo muda mrefu
Natamani sana kubadilika lkn nashindwa tamaa zimekuwa tanzi kwangu kifungo cha uovu kinanitesa sana nimeomba sana lkn naona bado sibadiliki
Ndugu yangu pole soma warumi 7;14-25 ila ukishatubu kia mtu wa kusoma
1) neno,
2)toba kila wakati na kuomba kushinda udhaifu kwA kusema kabisa you mwaminifu YESU
3)Ikiwezekana marafik wajue umeokoka wasipoendana na wewe wabadili YESU NI rafiki sana
4)kama ulikua ni mtu wa mzaha na matani acha pia kaa na watu waliokoka katika kweli moto hufa kwA kukosa kuni chuma gunia chuma barikiwa utashinda mpendwa kwA jina lake YESU ALIETUCHUKULIA MADHAIFU YETU
Ameen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen