YESU NURU YA ULIMWENGU ; " Yohana 3 : 19 ". Rev. Abiud Misholi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @AgnessIbrahim-nt1kr
    @AgnessIbrahim-nt1kr 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante Yesu kwa umekuwa nuru kwangu

  • @medionndagijimana9183
    @medionndagijimana9183 หลายเดือนก่อน

    MUNGU Akubariki sana kwa mahubiri mazuri unayo tufundisha

  • @emamshana979
    @emamshana979 7 หลายเดือนก่อน +2

    Baba yanguu,Yesu akutunze na kukujali zaidii akupe maishaa marefu saaana ,wanao tunakuombea

  • @CatherineOngondi
    @CatherineOngondi 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen kweli kabisa

  • @MarthaRichard-y3p
    @MarthaRichard-y3p 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe maisha marefu mtumish was mungu kwa kazi kubwa uayoifanya ubarikiwe sanaaa

  • @Zimnana-rp6dq
    @Zimnana-rp6dq 5 หลายเดือนก่อน

    Napenda Sana mafunzo yako Baba mchungaji,,,,swali langu ni hili,,,,huyo bathlemao aliyeteswa kweli kweli Hadi akichemshwa kwenye pipa la mafuta,,,,ni kitabu kipi kwenye bibilia

    • @WityIman-nu4fl
      @WityIman-nu4fl 5 หลายเดือนก่อน

      Mambo yote hayakuandikwa kwene Biblia,yangeandikwa yote Biblia isingebebeka..

  • @AgnessIbrahim-nt1kr
    @AgnessIbrahim-nt1kr 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @JoanithaIsrael
    @JoanithaIsrael 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana namshukuru sana mungu kwa ajiri yako kwa utumishi aliokupa naiona roho ya mzee k ndani yako. Mungu akulinde na akukinge na mashambulizi. Ya adui .nakuombea sana

  • @SellahKasebele-mu7hc
    @SellahKasebele-mu7hc 7 หลายเดือนก่อน

    Baba, Mungu akutunze, akufiche kwa ajili ya kizazi hiki.

  • @Edwini-si7jl
    @Edwini-si7jl 7 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa BWANA

  • @MichaelMgabe
    @MichaelMgabe 5 หลายเดือนก่อน

    Amen pastar

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 7 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana na Mungu wa mbinguni kwa kazi nzuri.

  • @atuganilemsomba3028
    @atuganilemsomba3028 7 หลายเดือนก่อน +1

    Baba asante sana

  • @emachangale769
    @emachangale769 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shalom Mtumishi. Njoo Dar bb tunakupenda Santa.

  • @Edisonmwalugala
    @Edisonmwalugala 6 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi

  • @MathayoRajabu
    @MathayoRajabu 5 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Edwini-si7jl
    @Edwini-si7jl 7 หลายเดือนก่อน

    BABA BWANA YESU ASIFIWE NIMIMI MWANAO EDWIN MASAWE NINABARK WA SANA MKTANO WA INJILI UNAENDELEA NAMTUMISH WA MUNGU ABIUD MUNGU .AKUBARK SAANA BABA

    • @estermmafie1758
      @estermmafie1758 7 หลายเดือนก่อน +1

      I can see my baba somewhere, Abuid mtumishi wa Mungu I call you again!! Sure Mungu azidi kukutumia

  • @Mathew-oy3tu
    @Mathew-oy3tu 7 หลายเดือนก่อน

    Abiudi baba nakupenda sanaaa

  • @zenanyachange8235
    @zenanyachange8235 7 หลายเดือนก่อน

    God bless you pastor

  • @AnnaNdendya-m9x
    @AnnaNdendya-m9x 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 7 หลายเดือนก่อน

    Abiudiiiiii nakuita tena

  • @eliudmgani1615
    @eliudmgani1615 7 หลายเดือนก่อน

    🎉

  • @ednaabyudi8465
    @ednaabyudi8465 6 หลายเดือนก่อน

    Na kwamini Baba

  • @MarthaMathias-ep3nt
    @MarthaMathias-ep3nt 7 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @user-ek2oy8ot6q
    @user-ek2oy8ot6q 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NyangaYohana
    @NyangaYohana 7 หลายเดือนก่อน

    Amen