UCHAMBUZI MKALABOKO: SIMBA HII ITAWAUMIZA NI MOTO WA KIFUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @nixsonmkamba2895
    @nixsonmkamba2895 วันที่ผ่านมา +1

    Simba nguvu moyaaa❤

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyu nae ni mchambuz au ni nan mm ndiyo namuona hapa

  • @FuadAlnabhany
    @FuadAlnabhany 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo interview ni kabla ya mechi ya jana na Kagera Sugar

  • @hasanisalimu5321
    @hasanisalimu5321 วันที่ผ่านมา

    Wewe tumeshakujua Mirembe inakuhusu

  • @MwajumaMsogoti
    @MwajumaMsogoti วันที่ผ่านมา

    Yaani nyie wachambuzi wa mchongo hamna jema jmn mmeishaanza kumsema loo mbona hamna jema jmn mwacheni acheze mpira midomo yenu hiyo ndio uchawi wenyewe aunmnataka umchawie hebu we mzee kaa kwa kutulia mapema mono jmn

  • @AzizMangara
    @AzizMangara 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Maneno ya ovyo yanini, na kukashifu, Kama unamjua MKALABOKO, Ni mtu wa kunyooka na kuongea ukweli kwa wakati huo, Tangu alivyo kuwa ABOUD Media, ukifanya vizuri atakusifia utasema timu yako nayeye ni yake, ila ukiharibu atakusema tu. Hata kama timu yake. Huwa apindi pindi.

  • @MwajumaMsogoti
    @MwajumaMsogoti วันที่ผ่านมา

    Mmeoshaanza umbea uongo ndio kazi yenu

  • @muraajastin9189
    @muraajastin9189 วันที่ผ่านมา

    ww ndio hamnazo kabsaa ww unagonjwa wa unafiki 😂

  • @MwamvitaKizua
    @MwamvitaKizua วันที่ผ่านมา +1

    We baba huna akili wenzako wengi wamekubali mziki hujaangalia nn match ya kagera fala ww mnafkikulll

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa วันที่ผ่านมา

    Huna lolote