🚨Uchambuzi Cloudsfm,Simba imeamua kuvuruga watu,Simba 5-2 Kagera sugar,Huelewi umzungumzie nani.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @abdallahsaidi5933
    @abdallahsaidi5933 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    asante mungu kutujalia ushindi mnono...bila wew tusingeweza

  • @omarykibanda8310
    @omarykibanda8310 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sasa Yesu ni mungu

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Simba nguvu moja ❤️❤️❤️❤️

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    SIMBA NI #UBAYA_UBWELA🦁🦁
    NA SISI SIMBA TUNAJENGA TIMU NA HATUGOMBANII KOMBE IKITOKEA KUPATA NIBAHATI MBAYA 🤣🤣🐯🐯🔥🔥

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa 41 นาทีที่ผ่านมา

    Nyie wachambuzi feki, ile ilikuwa clear obstraction

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ubaya ubwela nndooo huuu sasa😅

  • @DankenSimon
    @DankenSimon 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Punguzeni misifa kwa wachezaji mnawahalibu wacha Bolly litembee

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Alie muonaaa chasambiii atwambieeee akina mwambaaa pale kunaaaa ngomaaa kuleee3 kuna shabalala bila kumsahauuu mukwalaaàa😅

  • @mpinabaharia2247
    @mpinabaharia2247 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Msikufuru jamanii

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwaka huu mtsema yote halfu msisahau Simbaa bado tunajitfuta

    • @kristofuraha
      @kristofuraha 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Simba bado tunatengeneza timu, mtuache!🙌

  • @revocatusbusia
    @revocatusbusia 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +11

    Masia ni MUNGU MWENYEZI ambaye ni YESU....hili jina siyo la kuongelewa vibaya ama kwa utani... So n marufuku kulitaja Bure.....

    • @yasinihassani-fo9hk
      @yasinihassani-fo9hk 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Weee nae YESU sio mungu acha upumbavu,mungu hajazaa Wala hajazaliwa,mungu Hana nafsi,acha ujinga wew kaisome vizuri biblia uielewe usikalilishwe

    • @SULEIMAN-l8v
      @SULEIMAN-l8v 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Masia ni mrejea lkn c Mungu ni mtjumbe wa Mung kwa wanadamu

    • @josephvenus3259
      @josephvenus3259 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏🙏

    • @ChandeJunior
      @ChandeJunior 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ulaaniwe

    • @halimaiddiijengo7376
      @halimaiddiijengo7376 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kamayesu nimungu sikualiokufa dunia kamuachianani? Achaujinga ww😅😅

  • @eliudmfumbilwa3675
    @eliudmfumbilwa3675 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mngesema kabra ya ligi ningewaelewa mlimpa sofa nyingi Sana yanga

  • @edwardsoteli9075
    @edwardsoteli9075 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie wanafiki tu. Kama simba ilikuwa mbovu mbona wachezaji wake wamechukuliwa na utopolo

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndooo apo sasa wamechukua wachezaji wetu karibiaa 7 ili tuuu kutuuwa kimchezooo lakini wanakufaaa waooo😅

  • @mapinduzisylvester1903
    @mapinduzisylvester1903 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Masia maana yake mkombozi acheni ufala

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TUNAOMBA KOCHA WA SIMBA UWE UNAWABADILISHA NA MAKIPA ILI KUWEKA AKIPA YA CK CAMALA AKIPATA UDHURU.

  • @GeofreySolomon-lp7xl
    @GeofreySolomon-lp7xl 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na sisi tunajenga timu hatugombanii ubingwa😂😂😂😂

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Oya msiteletee uchuro kwenye timu anaitwa Elia mpanzu sio masia atutaki masihala na Yesu tunamwogopa SANA

    • @yasinihassani-fo9hk
      @yasinihassani-fo9hk 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tunaemuogopa ni mungu pekee na sio yesu acha ujinga,kaisome vizuri biblia uielewe usikalilishwe

  • @StevenNdekeja
    @StevenNdekeja 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kagera aliyakanyaga kuvaa jez za utopolo watu walipiga mtoto wa nyoka kama mama yake

  • @SylvesterMasalu-u5w
    @SylvesterMasalu-u5w 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kipindi mnashinda nyinyi mbon walikuwa wanawasifia kwaiyo kosarao liko wap mbon bado hamjasema yani mpaka mseme vizuli

  • @NathanaelKatundu
    @NathanaelKatundu 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchambuzi kabisa anasema Dribling ya Kibu siyo nzuri kuliko ya Ahoua 😂😂😂😂😂

    • @olelaizer2012
      @olelaizer2012 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nilishangaaaa

  • @KhamisShaban-sm4pp
    @KhamisShaban-sm4pp 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Naiona ile furaha iliopotea miaka 3 iliopita inaludi sasa msimbazi.

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kukoselewa tulikua atukatai nyie mlikua mnakosea

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni upumbavu. Utamwitaje Mpanzu masia.

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani huyo Masia ni nani au Shoga gani huyo

    • @GeofreySolomon-lp7xl
      @GeofreySolomon-lp7xl 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      usikaze fuvu😅😅😅