simba kuna kimondo kinasukwa combination ya Elie mpanzu,Kibu d na Ahoua (EKA) kama wataelewana vizuri itakuwa ni hatari kubwa sana mtakuja kunielewa sku nyingine kwa sasa ni ngumu sana kuelewa
@JohnJohn-fs8ex Yaani Kibu unamkataa leo? Mpira wa sasa ni mtu mwenye uwezo wa kupress kwa nguvu.Na Mpanzu na Kibu ndio vinara wa uwezo huo.Sasa Kapombe unamlinganisha na Kibu?
mumkanye habari ya kubadilishana jezi yatamkuta ya Debora Fernandez toka amebadilishana jezi na yule mchezaji wa costal union naona kaanza kupotea ila yote kwa yote nawaombea mungu awalinde
Maswala ya kubadilishana Jezzey kwakwel ungeacha aidha uwe na Jezzey ambayo haujaivaa wewe unadhan mtu anachukua Jez ina kasho lako anaenda kufanya nayo nini
Mpanzu tunae na tunatamba naeeee salute kwa Mpanzu 🎉🎉
😮
Tusiwe watu wa majivuni. Tunamwomba mwenyezi Mungu aibariki na kuilinda club ya simba sc, awabariki na kuwalinda wachezaji wooote wa Simba SC.
Shikamoo Mo , Magori na kamati nzima ya usajili please bring Fei and one center back
Nachojua mimi ni maombi tuu kwa wachezaji wetu
Mungu awalinde na mabaya na hatari zote❤❤❤
Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Amina
aaamin
Mpanzu Anajuwa sana
Anaejua anajua tu mpanzu analijua Sana boli simba ni Kama Barcelona sasa. ❤😅😅😅
Nimeshawahi mpanzu ni wa kwang sitaki ugomvi na mtu ❤❤😂😂😂
🔥🔥🔥🔥 daah ni moto mwingn mpanzu
nimfatilia sana simba inatakiwa huyu bwana Atunzwe sana tena sana Nalindwe kutokana nanguvu za kishilikina isije akawa jeshuwa mutale
Noma san mpanzuu
Nguvu Moyaaaaaa
simba kuna kimondo kinasukwa combination ya Elie mpanzu,Kibu d na Ahoua (EKA) kama wataelewana vizuri itakuwa ni hatari kubwa sana mtakuja kunielewa sku nyingine kwa sasa ni ngumu sana kuelewa
Mpanzu Tunae
Duuh Mpanzu ni balaa, Mungu tunakuomba umlinde mchezaji wetu
Natamani Mpanzu na Kibu waanze pamoja
Yaani wewe unawaza kama mimi, natamani siku moja Mpanzu acheze winga ya kushoto na Kibu winga ya kulia tuone moto utakavyo waka.
KIBU HUYUHUYU???
Kibu hapana anapoteza mipira. Mpanzu anacheza vizuri na Kapombe, kocha alipaswa kuwapa dakika 90 wote wawili , alipowatoa tu mchezo ukapooza.
@JohnJohn-fs8ex Yaani Kibu unamkataa leo?
Mpira wa sasa ni mtu mwenye uwezo wa kupress kwa nguvu.Na Mpanzu na Kibu ndio vinara wa uwezo huo.Sasa Kapombe unamlinganisha na Kibu?
Wapinzani wajipange nw untouchable simbaa
Mchezaji mzuri mwepesi yupo fast
Naomba ile jezi namba 7 apewe mpanzu
dah jamaa anajua sana naiona ile simba ya moto yakina mikson gari likiwaka hakuna wakumzuia simba kupitia mpanzu
baba mpanzu minima
Shikamoooooo....mpanzu
Ahsante nguvu Moja ila da huyu mpanzu wanataka kutuharbia miguu, maana anafuatiliwa sana kumuumiza,
MUNGU MTUNZE MPANZI 🙏🏾
Wakianza pamoja mpanzu na kibu itakuwa hatari sana
MCHEZAJI MZURI sana
Elie mpanzu nimekupenda Sana siwezi ishi bila wew ❤️😂
😂😂😂 mbwa wewe
@@allymwashambwa5920😂😂😂😂😂😂 wivu unataka akupende wewe
@allymwashambwa5920 mwenyewe 😁😂
Mobeto wa Mchongo hahaaa
Mungu anakuona..😅😅
Anajua
Mpanzuu Mali safii sana Hii Wana msimbazii maombi kwake asilogwe na utopolo fc
Ikiwezekana wabadilishane jezi na Mavambo. Mpanzu avae jezi namba 17 itapendeza zaidi. Maoni yangu tu.
Namba 10
Ok bongee la mchezajii
Anajua boli aisee. Mchezaji mzuri unaangalia movements zake tu
Daaah! nawaonea huruma San wapinzani wetu tukikutana nao kweny dabii😢😢
Mwamba fundi sana Mungu amlinde tuu
Amen
😊😊
Uyuuu atasabaibishaa arufu za mavii ziongezekee mjinii nyuma mwikoo wakianzaa kualishaa kw wasiwas😂😂😂
Baba huyu jamaa noma sasa hio pacha na Debora noma kabisa🎉🎉
mumkanye habari ya kubadilishana jezi yatamkuta ya Debora Fernandez toka amebadilishana jezi na yule mchezaji wa costal union naona kaanza kupotea ila yote kwa yote nawaombea mungu awalinde
Kabisa hawawanaoitaji kubadilishana jezi wanakuwa wanaagizwa wafanye hvo ili hzo Jez wakafanye yao
Nimejikuta nikicheka tu kwa furaha. Tuzidi kumuomba Mungu amlinde asije akarogwa kama Joshua Mutale
mm nilisema El mpanzu Akituwa simba mm nachinja kuku
😂😂😂goli keeper aliongea na mpira
❤❤❤❤❤
Wasenge awa walitaka wamvunje mpanzu wetu shwain
Sindyo man c wameona jamaa anajua
Mungu kaepusha alhamdulilah
Huyu Mwamba ni Hatari
Elii kamfanya golikipa auongeleshe mpira ,mi ndio kuyaona aisee simba Kalama Dume
😂😂😂
😂😂😂
Makocha cha kumshauri mpanzu asiwe mchoyo sehemu ya kutoa pasi atoe asilazimishe kufunga yeye tu.
Kagera wana uchezaji mbaya jamani khaaa
EBHANAEE HUYU MPANZU ANAJUA HADI ANAJUA TENA
TUNAOMBA MWENYEZI MUNGU ATULINDIE HII CHOMBO AMIIN!"
Huyu jamaa hatari duuh
Kikubwa asijetengenezwa kama walivyomfanya Mutale
Mpanzu
Fundi mpira ni kumwombea tu asilogwe na nyuma mwiko
Aamiin inshaallah 🤲
Unazani mkongo analogeka kilaisi
😂😂😂😂❤wabaya sana hao
❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉😮😮😮
Mpanzu Dribbling Master MDM
Mchezaji mzuri haitaji muda mwingu kuonyesha uwezo wake,mpanzu ni kama chama alivyoanza kucheza simba kwa mara ya kwanza.
❤❤❤❤🎉🎉
🔥🔥🔥🔥
👑👑👑👑👑👑👑
Wazee wa Simba msilale kumlinda mpanzu, MUNGU awe nae popote alipo aamin.
Ni mchezaji wa kiwango Cha juu anastahili kuchezea Simba
Simba nguvu moja naomba Mungu tuwe na msimu bora 🙏🙏
Wana Simba tunawaombea Kwa mchezo wa kesho mshindee goli 5
Huyu jamaa kapga target TATU zote Kwa mguu wa kushoto najiuliza mguu wake wa kulia niaje km kushoto Yuko hivi
oya simba ya mpanzu mechi tutayo shinda magoal kidogo goal 3
halaf hyu line one muongo sana...ile ofside gani dakik ya 9 pasi kutoka kwa mpanzu
Nilivyo muona mpanzu washambuliaji wanatakiwa wapite kwenye njia akiwa na mpira
Tunahitaji wachezaji wenilqine kwenye kikos dirisha likowaz kwasabu yamashindano huko mbeleni mamboyatakuwa maqumu lazima tufanye mainqizo mapya
Wachezaji wetu wote wazuri, mapungufu ni madogo waombewe kila kitu kitakuwa sawa kabisa
Hata budo??
Mungu amlinde huyu mtu na wachawi wa ligi ya bongo
Mtu na nusu
Ni mwamba kwl kwl yani
Nyuma Mwiko wasilete Uchawi
Elie tunae na tunatamba nae
Nimemkumbuka nteze John lungu
Kagera walijipanga kumuumiza Mpanzu kama walivyofanya kwa Moses Phiri
Asa ndo Goalkeeper angoleshe Ball? Walahi Sijapenda😂😂😂
Kamara akae kwenye mbao ndefu maana anasahau wajibu wake umakini unapungua wakati usio dhaniwa,
Huyu jamaa simba wamelamba dume
Mdebejiday
Uyo jamaa chukua pacome ally kwamwe na GSM 😂
Maswala ya kubadilishana Jezzey kwakwel ungeacha aidha uwe na Jezzey ambayo haujaivaa wewe unadhan mtu anachukua Jez ina kasho lako anaenda kufanya nayo nini
Huyu jamaa anaujua mpiraa sanaa.. ni kipaji
Uchawi ndo Mwingi Kwa yanga
Sasa Simba tunalo tena jini lingine si walimchukua chama Sasa ni Elie mpanzu afu huyu kunasiku ataitwa mpanzi wa simba
Sio saana kawaida
3 Malogo Kolo...
Msaidien joshua a anapitia wakati mqumu hata wanasaikolojia mpeleken
Mimi Yanga lakini huyu Mpanzu ni hatari
Atawafanya vibaya sana wapinzani wetu
Usajili mzuri Elie mpanzu ni hatari yaan anacheza kimataifataifaa!!
Kitale alianza iviivi
Fund wa mpira alimpa kipa uchiz akaongea na mpira ndio kwanz kuona
Mpanzu tunae tunatamba nae mnateseka mkiwa wap
kwani tunacheza lini tena😅😅
Nusu final ya cafcc naiyona vile
Uyu jamaa ni mjanja sana akidondoka anabiduka hili kupunguza ajali asiumie zaid
Fundi wa ball haswaaa
Wakenya ni wapumbavu hawajueleweiiii
Amna mchezaji hapo kuni tuh zinavunjwa
Fund
hiyo ni ni yenyewe
WACHEZAJI WETU WAHIMIZWE KUCHEZA KWA KASI KAMA WALIVYOCHEZA LEO
Kama mayele hv