Wanaume na wanawake wote wapuuzi tu...hao si walijifanya wagumu hawataki challenge wala nn, wamesikia hela wakalegea kama hao mademu zao wamesikia hela wakalegea na kuwakana....kama ww mwanaume umekosa msimamo kisa 50k unategemea mwanamke wako awe na msimamo? 😂😂😂
Mpenja mmeanza kuzingua kabisa Yani mnachukua hbr ya magazeti kwl???😢😢
Makapi
Yeye amechukua riport kama ilivyo sasa shida yake ipo wapi??!!
ukitaka kujua ni uongo, kasema Fei kuongezwa caf, wakati Fei kasha cheza akiwa azam
Acha kuangalia kwan umelazimishwa we ndo umebaka.. kuufatilia mpenja..
Mpenja watu wameanza kukwamini kuusu ichezo lakin unaanza kuzingua usikubli kupsp habar kama izi za tetes
Unateseka au!!?
L