MIRAJI APAGAWA GOLI LA BACCA | KIBWANA ATAKULA ANA PESA ZA MASHABIKI | GOLI LA MZIZE SIO RAHISI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @JumaShahame-pr3re
    @JumaShahame-pr3re 18 วันที่ผ่านมา +18

    Miraji anaujua mpira,anajua kuuchambua mpira,huwezi kukubali ukiambiwa kwamba huyu ni shabiki wa simba,lakini kwa uchambuaji wake, mashabiki wote tunampenda,haijalishi ni shabiki wa Yanga au Simba, hongera sana miraji

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 18 วันที่ผ่านมา +1

      Mashabiki wa simba hawampendi wanamuita mamluki

    • @NeemAmianaMramiFamily
      @NeemAmianaMramiFamily 18 วันที่ผ่านมา +1

      Si wanataka wasifiwe wao tu
      Miraji anajua ila baadhi ya wachambuzi wengine ni wanafiki sana Yani wanadhani ndo wanajuuuua kumbe wanaungua na jua

  • @GodsonSeverin
    @GodsonSeverin 18 วันที่ผ่านมา +15

    Mko vizuri Sana sema mzee said tunamtaka

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania 18 วันที่ผ่านมา +18

    Miraji maramoja Mungu akuweke sana maana unajua sana kuchambua mpira haijalishi wewe unashabikia timu gani

  • @NemaMsungu
    @NemaMsungu 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubal miraji mara moja kama kawa makochalii record❤❤❤❤❤

  • @ZachariaMasanja
    @ZachariaMasanja 18 วันที่ผ่านมา +2

    Miraji maramoja nakukubali sana kaka unachambua mpira bila kuegemea upende ww ni mnyama lkn salt kwako kaka tupe uchambuz mzur tuujue mpira kwa kuuchambua hivo2 familia🤝👏

  • @EsterMagosho
    @EsterMagosho 18 วันที่ผ่านมา +3

    Kusema kweli miraji nakupenda sana!! Hua unaongea ukweli!!! Nakurufahia sana!!!! Endelea kuchambua mpira hivo hivo vizuri!!

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 18 วันที่ผ่านมา +3

    Duuuuu mm m2 kama miraji nikiwa nae najikuta tumegombana mana sipendi m2 anae sema huku ananipiga piga duuuu ila chukua maua yako❤💓🙏🙏🙏💥💥💯💯💯💞👇💗❤✊💐💐💐💐

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn 18 วันที่ผ่านมา +12

    Weweeeeeee. Hiyo ndo Yanga. Baba miraji🎉🎉🎉 pokea maua yakooo bro😂😂😂

  • @davidtrezuget.379
    @davidtrezuget.379 18 วันที่ผ่านมา +5

    I really like your channel, from Kenya, The Hand of God, Diego Maradona , Argentina vs England QF , Mexico 86.

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kwahio tunaonba umpelekey mzeeee Said 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 18 วันที่ผ่านมา +2

    Miraji na changamba ninawapata nikiwa Kenya Garissa ❤❤❤

  • @DottoWache
    @DottoWache 18 วันที่ผ่านมา +4

    😂😂 vibao ivyo vya chagamba leo miraji utakoma😂😂

  • @manjaroplatnum4917
    @manjaroplatnum4917 18 วันที่ผ่านมา +14

    Gusa achia twende kwao 😂😂😂😂

  • @EmmanuelCharles-o6l
    @EmmanuelCharles-o6l 18 วันที่ผ่านมา +4

    Miraji nakumbali sana vs changaba

  • @GehaziMetelii-p4m
    @GehaziMetelii-p4m 18 วันที่ผ่านมา +3

    Farid Mussa Maliki huyo ni fundi Sana yan namkubali Sana huyo jamaa anajua sana mpira

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 18 วันที่ผ่านมา +3

    Miraji utamtoa bega chagamba 😂😂😂

  • @MariaSigani
    @MariaSigani 18 วันที่ผ่านมา +4

    Chagamba tuletee Mzee said

  • @kapondadr5840
    @kapondadr5840 18 วันที่ผ่านมา +1

    Goli la mzize n km mayele na air 🙌

  • @JohnPatrick-h5b
    @JohnPatrick-h5b 18 วันที่ผ่านมา +6

    nakubari mzee

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sema nilichogundua yanga wachezaj walikuwa wametumika sana na gamond hakulijua Hilo mapema!!

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 18 วันที่ผ่านมา +4

    Lile goli ni ngumu sana kujitambua,,,na ndio hata wachezaji wa prisons hata benchi la ufundi hawakulalamik

  • @mathiasdaud7842
    @mathiasdaud7842 18 วันที่ผ่านมา +3

    Changamba 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Fabyjose-l2f
    @Fabyjose-l2f 18 วันที่ผ่านมา +3

    Miraji uko vizuri sana

  • @AlfaCharles-e8h
    @AlfaCharles-e8h 18 วันที่ผ่านมา +5

    Nlikuwa nakusubil san kaka mkubwa atimae nmekuona🤛

  • @RajiiYusials
    @RajiiYusials 18 วันที่ผ่านมา +5

    Nawakubali sana

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 17 วันที่ผ่านมา

    Milaji na mtangazaji huyo mnafurahisha, mnaelewana sana.

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 18 วันที่ผ่านมา +3

    *tupeleke kwa mzee said bhnaa*

  • @Asia-p5r
    @Asia-p5r 18 วันที่ผ่านมา +5

    Miraji.....unakumbuka faulo iliyozaa goal la pili la simba mechi dhidi ya kagera suger...hd ahoua anafunga goal safi km la aziz ki dhidi ya mamelodi?....marefa wa bongo wana mbingu yao kbs tuwaache

  • @achillebanga2492
    @achillebanga2492 18 วันที่ผ่านมา

    uyu jamaa ni simba. ila akiuchambuwa mpira jamaa iko vizuri sana huwezi juwa ni shabiki wa team gani. binafsi namkubali sana.

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nataka kuja kumuona mzee said 😂😂😂ebu mhoji

  • @RachaelEmmanuel-ky5ri
    @RachaelEmmanuel-ky5ri 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂Mirajii🎉🎉🎉🎉

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nilisbr Xana Hii Interview Kbs✅✅

  • @HusseinIdrissa-ed6tl
    @HusseinIdrissa-ed6tl 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wapi mzee said

  • @Njilenhungo-u3x
    @Njilenhungo-u3x 18 วันที่ผ่านมา +5

    Guasa achia twende kilelen

  • @AllyMsafari
    @AllyMsafari 17 วันที่ผ่านมา

    MIRAJI watu wengi Huwa tuna msikiliza kwa sababu ANAJUA kuchambua Mpira bila kuingiza ushabiki

  • @KelvinMhenga-e9e
    @KelvinMhenga-e9e 17 วันที่ผ่านมา

    Chagamba nashukuru unatuletea vitu maramoja nimemsikia good saana, mzee Said yuko wp???

  • @jamalinuru5503
    @jamalinuru5503 18 วันที่ผ่านมา +1

    Miraji haiitwiAsst mpaka imekua goli Kwahiyo usiseme asst inaweza kua sio goli

  • @NzeyimanaEgide-d3b
    @NzeyimanaEgide-d3b 18 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania hii kahuna mtu ambae anajuwa mpila kama milaji hatakama yeye ni mnyama Mimi ni yanga lakini respect kwak Haina naya ukweli unaijuwa na unauongea

  • @AmosiGeorge-w5b
    @AmosiGeorge-w5b 17 วันที่ผ่านมา

    Miraji ni simba lakin anachambua vzr kuna yule mwehu Gb 64 ajui mpira ajui chochote amekaa kupiga kelel akiongea mate2 yanatoak mdomon mshenz yule

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 18 วันที่ผ่านมา +2

    Code yenyewe ni MOROGORO NA KIGOMA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nakukubali sana Miraji unajua pira

  • @AnthonyRweyemamu-f3p
    @AnthonyRweyemamu-f3p 17 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ hii n hatr

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c 18 วันที่ผ่านมา

    Ukishamaluza kwa milaji basi mperekey mzee Said fasta sio watu wengine kwasababu wao ndowanae juá to

  • @MagesaRevocatus-m9h
    @MagesaRevocatus-m9h 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sema hayo mabega yatavunjika Kwa hayo mabao asee

  • @MaikoKakoma-v4n
    @MaikoKakoma-v4n 18 วันที่ผ่านมา

    nakubali xana milaji

  • @chollejr_
    @chollejr_ 18 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂ivi kocha ni RAMSO au RAMOVIC???? miraji vp bhanaaaa

  • @KhamisSayuni-b5b
    @KhamisSayuni-b5b 18 วันที่ผ่านมา

    Chagamba mm nakukubari sana maana hauna ushabiki maandazi

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna baa mpya iko relini moshi baa. Hao wafungwa walikesha hapo juzi kuamkia jana. Ningeshangaa kama wangepata hata goli moja jana.

  • @mclove8684
    @mclove8684 18 วันที่ผ่านมา +3

    code ya watoto wa morogoro hao wana ushilikiano 😂😂😂

  • @AnthonyMasilila
    @AnthonyMasilila 18 วันที่ผ่านมา +2

    Chagamba jmn mzee said mbn hatumuoni tumemumic mzee w3tuu

  • @azizasaid7660
    @azizasaid7660 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji kaanza kulalamika 😂😂

  • @silahamichael1676
    @silahamichael1676 18 วันที่ผ่านมา +1

    TUNAMTAKA MZEE SAID BWANA MM YANGA

  • @rajabali5882
    @rajabali5882 18 วันที่ผ่านมา

    Tunamtaka Mzee Side baada ya Miraraji

  • @JustineJasson
    @JustineJasson 17 วันที่ผ่านมา

    mzee said yuko wapii

  • @silahamichael1676
    @silahamichael1676 18 วันที่ผ่านมา

    Tuepeteee Mzee wetu wew

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 18 วันที่ผ่านมา

    Ilikuwa ngumu sana kwa refa kujua goal la mkono maana pale Kuna mikono 4

  • @georgettesaidi6809
    @georgettesaidi6809 18 วันที่ผ่านมา

    Tunae msubiria mzee saidi tujuwane

  • @maigemayasa3382
    @maigemayasa3382 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji nami nitakukumbusha ikifika muda huo, ili uwakumbushe goli la 4😅😅😅

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo 18 วันที่ผ่านมา

    Wapi Mzee said 😂😂

  • @emaculatemakoi8226
    @emaculatemakoi8226 18 วันที่ผ่านมา

    Kwan mzee said kasafiri au

  • @AnnaMzava-o2j
    @AnnaMzava-o2j 17 วันที่ผ่านมา

    Chagamba unanifurahisha sn

  • @MabulaBunzaly
    @MabulaBunzaly 18 วันที่ผ่านมา

    Chagamba mlete mzee said

  • @Josephinefrancis-z9y
    @Josephinefrancis-z9y 18 วันที่ผ่านมา

    Mzee said tuletee

  • @maryammwashuya4955
    @maryammwashuya4955 18 วันที่ผ่านมา

    mzee said yupo wap😢

  • @yes_yes1310
    @yes_yes1310 18 วันที่ผ่านมา

    Lile goli la 4 kwa picha za marejeo ni kipa ndio aligusa mpira wa Mwisho. Kwa picha za marejeo Bacca hajaguza mpira ila alimuhada refa kama kafunga yeye .Miraji rejea kwenye video za azam tv n uchambuzi.

  • @elizabethmanya4399
    @elizabethmanya4399 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji kosa la nani

  • @michaelseme7730
    @michaelseme7730 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji nakushauri kasomee ukocha

  • @obedi84
    @obedi84 18 วันที่ผ่านมา +1

    Wee Mzee said Yuko wapi

  • @luckstarofficial3876
    @luckstarofficial3876 17 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂Jmn mbn code inakuj na kutok vle

  • @DicksonKobe
    @DicksonKobe 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji umezungumza poa lakini kuusu goli ata wewe ujaona mpka marudio ya picha siyo kweli wachezaji wapo karibu awajaona

  • @shaabanothman5219
    @shaabanothman5219 18 วันที่ผ่านมา

    Okelo wa Uganda 😂

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 18 วันที่ผ่านมา

    Mwambie miraji anataka dube, akiwa afungi, tusiongee au.

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji utatoa Bega la chagamba

  • @jimmymwita3714
    @jimmymwita3714 18 วันที่ผ่านมา

    Ww ni mchambuzi bora huna ushabiki cyo yule gb anajifanya teacher

  • @africanbuddah7141
    @africanbuddah7141 18 วันที่ผ่านมา

    Mzee said yuko wapi

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 18 วันที่ผ่านมา +1

    MAREFA HATUNA BONGO ,WAMETOKA KWENYE SINDANO SASAIVI WANAFUNGA KWA MKONO

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 18 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅wamefungwa wajerjere anaomiya ni kolo😅😅😅mbona mulikuwa mnapewa penalty zamchongo mbona hakuongea hao maneno

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 18 วันที่ผ่านมา

      ​@@MariaMnthaxyaan hawa juzi wamepewa faul ya mchongo wamekaa kimya? Wanapewa penalty za mchongo hawasemi wanasifia timu yao tu ila afunge yanga sasa refa, bahasha, GSM ht hawaeleweki😂😂😂

  • @majidymohamed8734
    @majidymohamed8734 18 วันที่ผ่านมา

    Bega Hilo

  • @Fatma-jt6zn
    @Fatma-jt6zn 18 วันที่ผ่านมา

    hiro bega ritashuka chagamba

  • @Sundaypaul-b4g
    @Sundaypaul-b4g 18 วันที่ผ่านมา

    Mara moja bonge la mchambuz mbona redio zetu mtu kama mara moja wachache sana

  • @jamesgebu2652
    @jamesgebu2652 18 วันที่ผ่านมา

    Mngekuwa mnaweka na clip za magoli hapo hata kidogo ingekuwa burudaaaanii😅

  • @mkongwijudith8457
    @mkongwijudith8457 18 วันที่ผ่านมา

    Hamia yana umekuwa km nabii meja

  • @MwambaVicent-w8j
    @MwambaVicent-w8j 18 วันที่ผ่านมา +1

    🙌🙌🙌🇹🇿🇹🇿

  • @LeylaSaria
    @LeylaSaria 18 วันที่ผ่านมา

    Sindy mkono wa nan😂😂😂

  • @EvansGamarwa
    @EvansGamarwa 18 วันที่ผ่านมา

    Duuuh hiyo code sasa ndo ngumu

  • @joycesamweli1219
    @joycesamweli1219 18 วันที่ผ่านมา

    Chagamba mbeya sana

  • @choloizak6687
    @choloizak6687 18 วันที่ผ่านมา

    Mzee said ypo wp

  • @imrankweka4752
    @imrankweka4752 18 วันที่ผ่านมา

    Kkweli goli la nne4 lilikua la mkono cha kushangaza hata prison hawakulilalaMikia!

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 18 วันที่ผ่านมา

      Ht wakilalamika bado kuna tatu bila ndio maana wamenyamaza lingekuwa goli la pekee ingekuwa mtiti

  • @imamhussein1104
    @imamhussein1104 18 วันที่ผ่านมา

    Hiyo code alielewa atuambie na sisi

  • @davidmalila9221
    @davidmalila9221 18 วันที่ผ่านมา

    Chagamba mzee said yupowap?

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 18 วันที่ผ่านมา

    TAMBWE Gori la mkono BACCA Gori la mkono utopolo

  • @MajaliwaYusuph-qb1xp
    @MajaliwaYusuph-qb1xp 18 วันที่ผ่านมา

    Mchezaji yupi tena jaman?

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 18 วันที่ผ่านมา

    CODE NI MKOA MILIMANI NA KULE MWISHO 😂

  • @MussaKaminyoge
    @MussaKaminyoge 18 วันที่ผ่านมา

    Duuu mpaka nimesoma comment ndo nimeelewa

  • @abdallayunnus3475
    @abdallayunnus3475 18 วันที่ผ่านมา

    Nkubali miraji na chagamba

  • @dr.allyahmada
    @dr.allyahmada 18 วันที่ผ่านมา

    Uingereza waliwahi kupigana vita na Agentina kugombea visiwa hivyo uadui upo

  • @ibrahimemmanuel1060
    @ibrahimemmanuel1060 18 วันที่ผ่านมา

    Miraji acha2 hilo gori kali la mwaka

  • @RamadhanYusuph-xi3rh
    @RamadhanYusuph-xi3rh 18 วันที่ผ่านมา

    Jana yanga tulikuwa tupate goli nane

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 18 วันที่ผ่านมา +1

    Vipi goli la mkono mbona hamchambui??

    • @JOSEPHEMMANUEL-m8y
      @JOSEPHEMMANUEL-m8y 18 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @MariaMnthax
      @MariaMnthax 18 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅nimewashangaa na mm au kwasababu nawawo alikuwa anapewa penalty zamchongo

  • @RahelSasi
    @RahelSasi 18 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki 18 วันที่ผ่านมา

    Milaji were ni mtu wa ukweri🎉