AMINA. Watu wanaweza fikiria wanatuweka katika shida ama wanatuaibisha lakini ni baraka wanafanya zikuje kwetu. Hata wale waliiba nyota zetu, wale walisema wameiba baraka zetu, wale walisema wameiba utajiri wetu Jehova Atawakosesha amani na hawatazitumia. Kilicho chetu kitarudi kwetu. Haijalishi kimechukua miaka mingapi . Watateswa kwa sababu yetu. Shida zingine zinaweza kuja ndivyo tutajirike, labda hizo nyota waliiba zilienda kufanya kazi ndivyo hizo nyota zikirudi hazitarudi pekee yake. Kazi yote zimefanya huo utajiri wote utarudi katika maisha yetu. Kuna wengine watawekwa hatarini leo, watateswa kama Farao waachilie maisha yetu. Wamekwamia maisha yetu miaka mingi sana. Leo wanaachilia wapende wasipende.
AMINA. Wakristo Mungu Yuko pamoja nasi katika kila hali yoyote ile tuko. Leo tukisimama na Mungu na tuondoe malalamiko kama Abramu kuna mambo makubwa Ametuandalia mbele. Ni Mungu Alikuwa Amemuahidi Abramu mambo makubwa na akapatana na shida. Kupatana na shida sio kusema hiyo shida itazuilia kile Mungu Ametuahidi tupokee. Apana. Hiyo shida inaweza kuwa ndiyo mlango wa kufungua ile njia ambayo Mungu Ametuandalia mbele. Kuanzia leo tusitorokee Jehova. Ukiwa na Neema ya Mungu hata ukiona kama miaka imechapa Mungu Akikushukishia Neema na Utukufu ukishuka ni wewe tu utaonekana. Kwa sababu Abramu na Sarai walikuwa kwa Utukufu hata walipofika tu habari zilifikia Farao.
Kila sunday kunakuanga 🔥 🔥 🔥 mungu wa jesus winner amenipea kibali
Amen amen amen mungu asante kwa ubali huu hakika niwewe mungu napokea kwa jina la yesu amen
Amen, I believe and receive all blessings spoken over me IJN.
Powerful sermon 👏👏👏👏👏👏
AMINA. Watu wanaweza fikiria wanatuweka katika shida ama wanatuaibisha lakini ni baraka wanafanya zikuje kwetu. Hata wale waliiba nyota zetu, wale walisema wameiba baraka zetu, wale walisema wameiba utajiri wetu Jehova Atawakosesha amani na hawatazitumia. Kilicho chetu kitarudi kwetu. Haijalishi kimechukua miaka mingapi . Watateswa kwa sababu yetu. Shida zingine zinaweza kuja ndivyo tutajirike, labda hizo nyota waliiba zilienda kufanya kazi ndivyo hizo nyota zikirudi hazitarudi pekee yake. Kazi yote zimefanya huo utajiri wote utarudi katika maisha yetu. Kuna wengine watawekwa hatarini leo, watateswa kama Farao waachilie maisha yetu. Wamekwamia maisha yetu miaka mingi sana. Leo wanaachilia wapende wasipende.
Amen hallelujah HE IS PRESENT IVEN IN THE DARK WATER
AMINA. Wakristo Mungu Yuko pamoja nasi katika kila hali yoyote ile tuko. Leo tukisimama na Mungu na tuondoe malalamiko kama Abramu kuna mambo makubwa Ametuandalia mbele. Ni Mungu Alikuwa Amemuahidi Abramu mambo makubwa na akapatana na shida. Kupatana na shida sio kusema hiyo shida itazuilia kile Mungu Ametuahidi tupokee. Apana. Hiyo shida inaweza kuwa ndiyo mlango wa kufungua ile njia ambayo Mungu Ametuandalia mbele. Kuanzia leo tusitorokee Jehova. Ukiwa na Neema ya Mungu hata ukiona kama miaka imechapa Mungu Akikushukishia Neema na Utukufu ukishuka ni wewe tu utaonekana. Kwa sababu Abramu na Sarai walikuwa kwa Utukufu hata walipofika tu habari zilifikia Farao.
Iyo story ya abraham is a clear example of everything working together for good.. Such an encouraging sermon
Amen 🙏
Amen and Amen
Am blessed to be here 🙏. Powerful message 🙏 ✨️
Amina amina amina...
Amen Glory Be to GOD
Amen they must release my life
Amen
Amen powerful word of God
amen napokea baraka zangu
Am missing this but I thank God am save here I am,great
Ooh very blessing message
Powerful message Dad
Amen