AMINA. Atukuzwe Jehova Aliyetegua mitego ya maadui na Aliyetuokoa kutoka kwa makucha yao yaliyokuwa yametushika na yaliyokuwa karibu kuturarua. Hakuna mtu angezuia kile Jehova Amepanga. Kushinda tutashinda lakini sio kwa uwezo wetu wala nguvu zetu lakini Roho wa Jehova Anashuka. Tumeng'ang'ana sana lakini kuna Roho Anashuka ndani yetu na kufaulu tutafaulu. Kuna Roho Atatuinua, Atatunyanyua, Atatuwezesha na Atatusaidia, maadui hawatatuona. Kungojea tulingojea Jehova kwa uvumilivu, tukinenwa na tukichekwa lakini Atukuzwe Bwana Ambaye Hajatuachilia na Hajakubali maadui watumalize. Lazima maisha yetu yatabadilika sasa!
AMINA. Wakristo Mungu Akiahidi Kutenda lazima Atatenda wakati unaofaa ukifika, hata ingawa hapo katikati kuna mambo ambayo huwa tunapitia. Kama Daudi tunafaa kujua msaada wetu hutoka kwa Mungu. Watu wacha wakuondokee lakini Mungu Asimame upande wako. Hakika kama sio Yeye Amekuwa upande wetu, wakati maadui walituinukia na Ahadi ya Bwana iko mbele zetu wangetumeza. Sio kwa nguvu na uwezo wetu kuna Mungu Alihusika, Ametushika mikono yetu. Jehova Akiwa upande wako Atakuficha na Atakufunika na Mkono Wake utatembea lakini hauonekani. Mahali tumefika ni Mungu Ametembea nasi, Amekuwa mbele yetu, nyuma, kulia na kushoto. Wakati wachawi walisema tutakufa Neema ya Madhabahu ya Mungu ya JWM ikatufunika.
AMINA. Wakristo maadui wangetumeza mara moja lakini Jehova Alisimama kwa niaba yetu kwa sababu ya ahadi iliyo mbele yetu. Kuna jambo Mungu Amekwambia, kuna kitu Alikuongelesha, kuna sauti Aliongea ulipoingia mara ya kwanza JWM, hiyo Sauti ndiyo Jehova Anaichunga maana Yeye Mwenyewe Ni Neno na kila kitu kitapita lakini Neno Litasimama. Jehova Anakuja tusiondoke kwa Madhabahu/ barabara. “You are in the right place at the right time!”Tusiondokee Neema. Maisha yetu haiko mikononi mwa watu bali iko mikononi mwa Jehova. Tumeandikwa katika Viganja vya Mikono Yake. Hakuna yule Anaweza badilisha kile Amesema, zuia kile Aliwaza wala kufuta kile Ameandika. Ahadi Yake juu ya Maisha yetu lazima itatimia.
Pastor me naomba tu unisaidie na maombi sijui nini inaedelea na familia yetu juu mumu alipotea machi last year na tena my brother pia amepotea macho..naitaji maombi yenu saana .me pia mahali nafanyianga biashara sahii tumesimamishwa niko na kilio naomba mungu anifute machozi.
I love Jesus Winner Ministry so much,that church. Is blessed and have seen miracles in this church, may God bless you Dad, we are blessed to have you, may you live long Pastor
I never knew God is very close to us until I joined Jesus winner and realized God lives there. Sifa na utukufu Zimurudie Mwenyezi mungu
AMINA. Atukuzwe Jehova Aliyetegua mitego ya maadui na Aliyetuokoa kutoka kwa makucha yao yaliyokuwa yametushika na yaliyokuwa karibu kuturarua. Hakuna mtu angezuia kile Jehova Amepanga. Kushinda tutashinda lakini sio kwa uwezo wetu wala nguvu zetu lakini Roho wa Jehova Anashuka. Tumeng'ang'ana sana lakini kuna Roho Anashuka ndani yetu na kufaulu tutafaulu. Kuna Roho Atatuinua, Atatunyanyua, Atatuwezesha na Atatusaidia, maadui hawatatuona. Kungojea tulingojea Jehova kwa uvumilivu, tukinenwa na tukichekwa lakini Atukuzwe Bwana Ambaye Hajatuachilia na Hajakubali maadui watumalize. Lazima maisha yetu yatabadilika sasa!
MUNGU Apokee sifa zote.
U are faithful God of Jesus winner, Sifa na utukufu sikurudie JEHOVAH
Sekemu Githinji Njugu hakika kama sio BWANA AMEKUWA NAMI Singekuwa mahali nipo Thenkyu mighty God
AMINA. Wakristo Mungu Akiahidi Kutenda lazima Atatenda wakati unaofaa ukifika, hata ingawa hapo katikati kuna mambo ambayo huwa tunapitia. Kama Daudi tunafaa kujua msaada wetu hutoka kwa Mungu. Watu wacha wakuondokee lakini Mungu Asimame upande wako. Hakika kama sio Yeye Amekuwa upande wetu, wakati maadui walituinukia na Ahadi ya Bwana iko mbele zetu wangetumeza. Sio kwa nguvu na uwezo wetu kuna Mungu Alihusika, Ametushika mikono yetu. Jehova Akiwa upande wako Atakuficha na Atakufunika na Mkono Wake utatembea lakini hauonekani. Mahali tumefika ni Mungu Ametembea nasi, Amekuwa mbele yetu, nyuma, kulia na kushoto. Wakati wachawi walisema tutakufa Neema ya Madhabahu ya Mungu ya JWM ikatufunika.
AMINA. Wakristo maadui wangetumeza mara moja lakini Jehova Alisimama kwa niaba yetu kwa sababu ya ahadi iliyo mbele yetu. Kuna jambo Mungu Amekwambia, kuna kitu Alikuongelesha, kuna sauti Aliongea ulipoingia mara ya kwanza JWM, hiyo Sauti ndiyo Jehova Anaichunga maana Yeye Mwenyewe Ni Neno na kila kitu kitapita lakini Neno Litasimama. Jehova Anakuja tusiondoke kwa Madhabahu/ barabara. “You are in the right place at the right time!”Tusiondokee Neema. Maisha yetu haiko mikononi mwa watu bali iko mikononi mwa Jehova. Tumeandikwa katika Viganja vya Mikono Yake. Hakuna yule Anaweza badilisha kile Amesema, zuia kile Aliwaza wala kufuta kile Ameandika. Ahadi Yake juu ya Maisha yetu lazima itatimia.
Amen...Asante yesu Kwa kunitoa Kwa makucha ya maadui...walijaribu kunitoa jwm wakashindwa
Pastor me naomba tu unisaidie na maombi sijui nini inaedelea na familia yetu juu mumu alipotea machi last year na tena my brother pia amepotea macho..naitaji maombi yenu saana .me pia mahali nafanyianga biashara sahii tumesimamishwa niko na kilio naomba mungu anifute machozi.
I love Jesus Winner Ministry so much,that church. Is blessed and have seen miracles in this church, may God bless you Dad, we are blessed to have you, may you live long Pastor
Ameen 🙏
Alove Jesus Winner ministyr
Amen, Kunaye roho atashuka na kunenena juu Ya maisha yangu na sitakua vile tena
I waited upon the lord patiently.Glory of GOD Jesus winner
Groly be to God ,thanks God for taking me to this altar until I go to a abroad,.Groly and honour be to God
It's not by might nor by power but my spirit says the Lord. Thank you Lord for a powerful word.
Hakika mungu ndiye Yule Yule ambandiliki kamwe lasima atatimiza kwa family yangu
Ameeeeeeeniii
Today preaching 🙌 was lit ...pasi you are blessed aki kabisa
I listen the testimonies and I can say God does miracles.
Amina
Amen, the word was very powerful. Glory be to God.
Amen and Amen
Wait upon the lord
Amen amen
Barikiwa mtumishi kwa mafundisho ya leo
Asante yesu najua. Utanitendea
Umeokolewa
Amen....glory to glory 😊 Yuko mungu binguni he did the impossible
Amen na sifa na utukufu simurudiye mwenyezi mungu
🙏🙏🙏
the battle you cannot win does not exist# mwenye dunia..Glory be to God Amighty Hallelujah AMEN 🙌
Thank you, Jesus Christ
Youth didn't dance like men's
Amen
🙏🙏
Amen
Amen
Amen