WIVU NI MLANGO WA KUELEKEA JEHANAMU - ( 1 SAMUEL 18:9, GENESIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 44

  • @mercywanjiru-mw3tl
    @mercywanjiru-mw3tl 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor niombee na mungu aniondolee maisha ya aibu na niachee kuchekwa na kudharauriwa iishe

  • @mercywanjiru-mw3tl
    @mercywanjiru-mw3tl 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor niombee nibarikiwe.

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 8 หลายเดือนก่อน +1

    Halleluya Halleluya

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 8 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA. Wakristo ndivyo upate Mungu lazima umtafute. Amesimama mlangoni akigonga gonga, yule atasikia Sauti Yake amfungulie. Kufungulia Yesu lazima ujue Sauti Yake. Anaweza kuwa amesimama lakini wewe mwenyewe hujakubali aingie. Yesu Hawezi ingia kwako Akubariki lazima wewe mwenyewe ukubali. Wewe ambaye unataka kukombolewa ni wewe mwenyewe utakubali kukombolewa. Tafuta Mungu wachana na watu. Tukumbuke/tutazameni mwamba tuliochongwa, chimbo la mawe tulilochimbuliwa. Ni vizuri kujua Mwamba Wako, your foundation. Kama ulitoka mwamba mbaya toa huo ubaya wote. Hauwezi enda Mbinguni kwa kusema umeokoka, wokovu sio maneno wala ushuhuda, wokovu ni matendo.

  • @ruthwaithiegeni3242
    @ruthwaithiegeni3242 8 หลายเดือนก่อน +1

    Thanks daddy you have saved my life Malaika wa Mungu ananipenda Sana may God bless you daddy

  • @abigaelprincess2670
    @abigaelprincess2670 8 หลายเดือนก่อน

    Remember me oooh God,heal my heart na unipee nguvu nakuhitaji mungu

  • @edithpeters4369
    @edithpeters4369 8 หลายเดือนก่อน +1

    Neno Ni nyundo,Mungu atupiganie kutokana Na hao wachawi wa kirooho

  • @EvalyneWanjiku-nx1xr
    @EvalyneWanjiku-nx1xr 8 หลายเดือนก่อน

    Amen daddy God bless you Kwa kuhubiri ukweli,niombee ukombozi

  • @ninawairimu732
    @ninawairimu732 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen ni kweli daddy wivu ndio imefanya ata family members wakosane .Kuna family members hawataki wengine wabarikiwe

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 8 หลายเดือนก่อน +2

    AMINA. Wivu ni mlango wa kuelekea jehanamu. Wivu inakuwanga imebakia mlango/point moja ukuwe muuaji ama mchawi. Wale watu wanafanya mabaya zaidi ni kwa sababu ya wivu. Mtu yeyote either umeokoka ama haujaokoka na uko na wivu hautaki kuona wengine wakibarikiwa, wewe na shetani hamna tofauti. Wivu ndio mlango shetani amefungua ya kuleta chuki kwa watu. Akijua mnakaa na amani unapenda mtu fulani atatafuta jambo lolote ataweka chumvi amake sure huyo mtu mmekosana. Wivu ni msingi wa mahali umetoka na huwa inafanya hata watoto wako waishi na shida. Ndivyo Mungu Aingie ndani yako ubarikiwe lazima ukubali kuachilia kile umeficha itoke ndani yako. Mambo mengine lazima tukubali kuachilia.

  • @ElijahKamau-p3e
    @ElijahKamau-p3e 7 หลายเดือนก่อน

    mungu ainuliwe amen amen God bless all pastors and all members of Jesus winner family

  • @sherrienduati7651
    @sherrienduati7651 8 หลายเดือนก่อน +1

    AMINA. Wakristo yale mema tutafanya ndiyo yatafanya tukubaliwe. Tusipotenda mema uovu/ubaya/dhambi inatungoja mlangoni na shetani anatutamani. Vile Yesu Amesimama mlangoni hata shetani amesimama mlangoni. Mlango inaweza bishwa italingana unafungulia nani. Mambo ni mawili, Yesu Asipoingia shetani ataingia. Ukitaka kuinuliwa shinda dhambi. Kama unataka mazuri tenda mema. Ndugu zako either ni wa kiroho ama wa kimwili wanaweza kukumaliza. Kuna watu wanaona ile ndoto uko nayo, wanaona utabarikiwa zaidi, wanaona vile Mungu Atakuinua, wivu imeingia, wanataka kukutoa kwa Wema wa Bwana, wanataka kukutoa mahali baraka yako iko. Ikiwa Baba Yetu ni Mkulima na Yesu ni Mzabibu na sisi ni matawi basi hatufai kuoneana wivu.

  • @elizabethwangui8384
    @elizabethwangui8384 8 หลายเดือนก่อน +1

    A new Revelation i like that

  • @EstherCharagu
    @EstherCharagu 19 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ujumbe wa kuelimisha

  • @jaywan_s
    @jaywan_s 2 หลายเดือนก่อน

    Amen GOD help me change✝️💯

  • @stephenondieki168
    @stephenondieki168 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen amen

  • @leahwambugu5902
    @leahwambugu5902 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu niodolee wivu ndani yangu

  • @gladysngulu4541
    @gladysngulu4541 8 หลายเดือนก่อน +2

    I thank God, Leo Mungu amenikumbuka. 🙏🙏🙏

  • @florencenyambura4940
    @florencenyambura4940 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tuombea hiyo roho itoke ndani yetu

  • @abigaelprincess2670
    @abigaelprincess2670 7 หลายเดือนก่อน

    Nikumbuke nahitaji kibali na kazi nzuri

  • @JaneMueniKonzaCity
    @JaneMueniKonzaCity 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tume pewa 2nd chance, tenda mema ufungulie baraka very powerful.

  • @JoyceNjoki-tw6wf
    @JoyceNjoki-tw6wf 7 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni kweli wivu saulu alionea Daudi wivu baadaye akajiyonga

  • @Sherry-me
    @Sherry-me 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amina
    Mungu abadilishe watu🙏
    Wanalilisha watu sana

  • @wanjikukaranja334
    @wanjikukaranja334 8 หลายเดือนก่อน +2

    Thanks so much daddy for teaching us,

  • @yvonnewangui6383
    @yvonnewangui6383 8 หลายเดือนก่อน +1

    Neno ya Leo ni moto

  • @NafulaJacinta
    @NafulaJacinta 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @SamsonKaranja-m1o
    @SamsonKaranja-m1o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tuned

  • @josephmbithi1704
    @josephmbithi1704 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo ndipo Bishop wivu ni uchawi na uganga .tuned from Kangundo

  • @SamsonKaranja-m1o
    @SamsonKaranja-m1o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Blessed by the word of GOD

  • @SamsonKaranja-m1o
    @SamsonKaranja-m1o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen to GOD word

  • @elyhillary2000
    @elyhillary2000 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeeeniii

  • @ceciliahblessings6119
    @ceciliahblessings6119 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nataka kukombolewa

  • @kutataslife
    @kutataslife 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pastor n
    Niombee nilijiprick na SinDano ya patient akiwa positive please niombee ,nipate ata school fees ya mtoto na peace ya akili na mind na soul ,na kunguni ziishe nisiaibike na maisha

  • @ceciliahblessings6119
    @ceciliahblessings6119 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi hutamani kuongea na pastor mwai ama apostles kiongo lakini sina number zao nko gulf

  • @kutataslife
    @kutataslife 8 หลายเดือนก่อน

    Pastor niombee Aky nikombolewe 100%kunguni umaskini ziishe na nipate kazi ngambo
    Nisiabike uGonjwa zisinipate huku hospital attachment

  • @MuthoniFortunate
    @MuthoniFortunate 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dad naomba uniombee, mgongo yangu inauma sana,,,,nilikuja ukaniombea na ikaacha kuuma,,,lakini saa hii siwezi manage kukuja ju Niko gulf,

    • @severinahkangentu2583
      @severinahkangentu2583 8 หลายเดือนก่อน +1

      Gulf ni wapi?

    • @JohnMugua
      @JohnMugua 8 หลายเดือนก่อน

      amen and Amen

    • @kamitafaithful5240
      @kamitafaithful5240 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@severinahkangentu2583either Saudi, or qater Kuwait Oman or dubai,,

    • @ceciliahblessings6119
      @ceciliahblessings6119 8 หลายเดือนก่อน

      @@severinahkangentu2583 maybe ako saudia

    • @ceciliahblessings6119
      @ceciliahblessings6119 8 หลายเดือนก่อน

      @@severinahkangentu2583 maybe ako saudia

  • @lucykiriungi82
    @lucykiriungi82 8 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @Tra_vel89
    @Tra_vel89 7 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @gibsonmungai-u7k
    @gibsonmungai-u7k 6 หลายเดือนก่อน

    Amen