AMINA. Wakristo tutii unabii iwe wakati unafaa na wakati haufai na uwe unabii mzuri ama unabii mbaya. Ikiwa ni wa Mungu lazima tutatii na tukitii Mungu Ataonekana. Tusingojee unabii mzuri tu, ingine itatuvunja moyo lakini ikiwa imetoka kwa Mungu tutii siku ya leo na Mungu Atatubariki. Haijalishi Nabii atakuwa wapi, haijalishi Mpakwa Mafuta atakuwa wapi ata akiwa ndani ya gereza Sauti ya Bwana itafika. Hata katika hiyo shida yako unabii utakuja. Ikiwa Mungu Ako na kusudi njema juu ya maisha yako, lazima Ataongea. Haijalishi mahali utakuwa bali iwe ni sauti ya Mungu lazima itaingia. Ikiwa ni Mungu Amekuongelesha usiogope. Katika shida ya gereza Mungu Aliongea na Yeremia, katika hiyo shida, umaskini na kilio Mungu Ataongea na wewe. Unabii haujazimia.
Nasema asante June 1st I got an accident na we had accident with more than 3 cars and since then I have had bad dreams I will lost my job kesho God of pastor mwai help me
Amen All The Glory be to GOD 🙏

Amen ,laana zote zituondokea katik jina la yesu
Baraka yangu itanipata huku Oman Amen.
Hii neno si ya kawaida,inafanya kazi ndani ya maisha yangu.
Mungu tuondolee laana kwa utukufu wako
Amen 🙏 God bless you The Twins my favorite Servants of God 🙏
Amen Amen
Mungu nikumbuke, tuomdelea aibu kwa boma yetu tuko wasichana 5 na hakuna mwenye ako na ndoa tuku mbuke mungu wacha hiyo laana ifike mwisho.
Kwanzia leo, hiyo laana ya kutoendelea imenifuata maisha yangu yote, IMEONDOKA.
Powerful message ancle,napokeea unabii wangu
Happy Father's day Dad and Uncle. God Bless you very much.
Hallelujah 🙏
Amen 🙏🙏🙏
Powerful word God bless you Apostle 🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Amen Apostle kiongo
Nasema asante June 1st I got an accident na we had accident with more than 3 cars and since then I have had bad dreams I will lost my job kesho God of pastor mwai help me
MY MESSAGE 👌
Ahsante JEHOVAH Kwa kuongea na Mimi.
Amen 🙏,ni bundles zina leta shida, sijui kwanini shetani ananikosanisha na safaricom🙆 God niangalie tu nikubaya 😭
Every prophecy has a purpose May God fulfill every prophetic word spoken to me luv you MOG.more revelations
God has ur purpose and never give up
Napokea unabii hd nikiwa Saudi Arabia ,am blessed
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen amen amen
Amen 🙏🙏🙏