Ninamshukuru sana MUNGU Wetu. SIFA na UTUKUFU ni kwake. Asante kwa kwaya nzuri ya WATOTO. Pongezi kwa Baba Paroko MANINGI. Baba Padre Mlezi MATIIKA. Na Masista. Kiongozi Mwalimu wa Kwaya na mpiga kinanda. MUNGU MKUU Awabariki sana. Asante YESU KRISTO MKOMBOZI WETU.
Nawapenda watoto wangu. Mw/ Mung awafunike kwa damu yake,.. Mt Agustin anasema anayeimba anasali mara mbili zaidi… nyie mmeeneza jina kwa Bwana kwa vinywa vyenu kwa kusifu
Pongezi kwa uinjilishaji huu wa kwaya ya watoto,Mungu azidi kuwatia moyo wa uinjilishaji,Pia pongezi kwa baba mlei wa kwaya ya watoto Mungu azidi kumpa moyo huohuo wa kuwalea watoto katika maadili ya Mungu
Hongereni sana watoto kwa kwaya nzuri,,,,pongezi ziende kwa baba Paroko, walezi pamoja na waumini wa Parokia ya Korongoni kwa kufanikisha kwaya hii🙌🔥🔥🔥

Amina Sr Digna Mungu akubariki kwa maneno yakutia moyo🙏🙏🙏
Sauti za malaika♥️♥️♥️.
Hongereni sana👏👏👏.
Kaniki nakuona unafanya kazi nzuri sana👏👏👏👏
Pongezi kwa uinjilishaji huu wa kwaya ya watoto,Mungu azidi kuwatia moyo wa uinjilishaji,Pia pongezi kwa baba mlei wa kwaya ya watoto Mungu azidi kumpa moyo huohuo wa kuwalea watoto katika maadili ya Mungu
Mungu awabariki endeleeni na unjilishaji mwema 👏👏👏👏👏❤❤❤😀😀
Wimbo huu niliusikiza miaka nyingi mno... hongereni Sana watoto wetu..ishini sana
Jiwe walilolikataa waashiiii kameimba vizuri sanaaaaaaaaaaaaaaaa
What a joy watching these little angels melodiously singing for the Lord❤.... Hosanna hosanna
Mungu wangu! Nabarikiwa kwa kuwasikiliza watoto hawa
Hongereni sana wapendwa katika kristo
Mungu awajalie moyo huohuo watoto hao ili wakue wakimpendeza mungu siku zote
Safi sana.mbarikiwe Sana watoto na walezi wenu.
Tunashukuru kwa kutuinjrisha ,sauti nzuri kama za malaika wa mbinguni
Waaaaaaaaaoooooooooooo kazi nzuriii sanaaa watoto mmeimbaa vzurii sanaaaa
Hongereni sanaa Malaika
Hongereni sana watoto wazuri mnainjilisha
This is so wahoo Asanteni Sana watoto kwa ujumbe mzuri sana na wabarikiwe wazazi kwa kuwapa nafasi ya kumtumikia Mungu hakika usiiache hata uzee wako
Wimbo mzuri umenibariki sana ❤❤
kenge kama kenge aiseeee
Hongeren watt kwakipaji mnasaut
Hongereni sana watoto na Hongera sana Baba Vicar General kwa kazi nzuri.
Simply beautiful....what a joy to watch these little ones ministering to the flock. Kudos watoto wetu.
Kwa kweli Mungu azidi kuinua kipaji hiki cha watt!! Hongera sana bb mlezi bb Matiika na bb Paroko kwa kz nzuri
Mungu atukuzwe
Amina Baba🙏
Kazi nzuri🔥
Hongera sana Baba Deo Matiika Kwa kipaji ulichojaliwa na Mungu watoto wetu hongereni sanaaa
Kazi nzuri uinjilishaji mahiri, pongezi za dhati kwa watoto na Walezi wao
Hongereni watoto wapendwa wimbo mzuri sana
Hongereni sana.Wimbo unatafakarisha sana.Hasa tukikumbuka Bwana anavotufadhili katika Mengi
Hongereni mapadre kwakulea vipaji vya watoto hakika wameimba vizuri
Good work may God bless you all❤️🙏
Kazi nzuri sana wanetu
Safi kweli, Mungu azidi kuwa nanyi,pamoja na walezi wenu.
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya utume
Shukrani wazazi kuwapa watoto fursa ya kumsifu Mungu na kuenjilisha. Wazazi na walezi tuwawezeshe watoto kuendeleza vipaji walivyojaliwa na Mungu
Hongereni sana watoto kwa kwaya nzuri,,,,pongezi ziende kwa baba Paroko, walezi pamoja na waumini wa Parokia ya Korongoni kwa kufanikisha kwaya hii🙌🔥🔥🔥
Safi.Amasing Hakika wacheni watoto wamuimbie Bwana wao duniani hapa na mbinguni waurithi ufalme.Bwana Mungu wetu atukuswe milele na milele.
Mbarikiwe sana watoto kwa nyimbo nzuri sanaa hoñgereni
Mungu awabariki sana watoto Hawa wakawe mwanga Kwa watoto wengine wameimba vizurii sana 👏👏
Safiii mno
So nice hongerni watoto, hongera baba Padre Matiika
Saaafi mnooooooo
May the Good Lord bless this generation!
Amazing ❤
Well done our beloved Fr.Rev Deogratius🙏🙏
Praising God with wonderful voices. 🎉❤
Amen
Mungu azidi kuwabariki Hawa watoto
MUNGU KWANZA MENGINE BADAE
Nice song
Aisee watoto Wana vipaji
Awesomeness
Good song
Nice❤
Kaniki baba
🎉❤❤❤❤🎉