Hongera sana kaka kwa kuinjilisha , Nyimbo zako zinatupa uhalisia wa nyumbani hasa tulio mbali na makazi asilia, na kitupatia utulivu wa uwepo wa Mungu kila tunaposikiliza nyimbo hizi. Hongera tena na Mungu akubariki Zaidi na Zaidi
Asante Sana Mpedwa Sr Jovitha, Asante Kwa Kuniombea, Asante Kwa kunitia Moyo Katika Utume Huu ninaoufanya. Endelea kuniombea Sr Ili niendelee kufanya Kazi ya Bwana kupitia Karama hii aliyonijalia. Wasalimie Wote Huko Italy Rome Msalimie Mama Mkuu wa Shirika 🙏
Mwalimu sasa ivi unaweza kuona kawaida ila naamini utakuja kukumbukwa sana badae Ile album ya ninayokila sababu haichoshi hata kidogo nyimbo zote zote. Kinanda na Ngoma za kiasili zilinogesha sana. Ni sala kabisa pia unafanya kitu kuziri sana kuchukua meseji kwa maandiko matakatifu
Tunakuombea nguvu kwa Mungu kwa Kazi nzuri. Yaani siyo kua mapenzi Tu ila ni sala hasa sauti nzuri, zimetungwa vizuri pia kinanda kizuri na Ngoma za kikatoliki napenda sana kusikiliza kila asbhi kabla ya kuamka

Hongela😅😊😂❤
Hongera sana asanteni sana mungu awabariki
😊😊😊😊😊😊❤
😊😊😊😊😊😊😊😊
Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao
Ni. Na ayo sababu ya kumwambia Mungu asante
Ni kweli kabisa mwl unakila sababu ya kumwambia Mungu sante kwani nyimbo zaka ni nzuri na zinainyilisha
Hongera sanaaaa
🙏
Mungu akubariki kwa utume wako na kutuinjilisha💯
Asante Sana Ndugu Mutua Augustine. Endelea Kuniombea Ili Kristo ajulikane zaidi kati ya watu kupitia Huduma hii ya uimbaji
Nyimbo zako ni za kipekee. Na shukuru Mungu kwa kipaji chako kinachotubariki.
Mwenyezi Mungu akubariki Kwa unjilishaji mzuri hakika nyimbo hizi zinaleta amani katika mioyo yetu.
Amina. Asante Theresia Kwa kuendelea kutufatilia na Kwa Matashi Mema
Bikira Malia tulinde siku zote
Santé sana kwa Ku muimbiya mungu hongera sana
🙏
Kristo mungu akutunze🙏
🙏
From states , nyimbo nzuri mno
Asante Sana Dennis kutoka Marekani, ni furaha Yetu kuona kuwa Kristo anaeleweka kwa watu kupitia Nyimbo hizi, Endelea kuwa Karibu nasi Ndugu Dennis
Kristu! Hongera sana mwalimu! Kazi nzuri mno. Ni tafakari/ Ibada nzuri sana hasa kunapokucha.
Asante Sana Ndugu Wilson
Good job... As we sing we pray twice.
🙏
Team kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 listening
🙏
Kali nxuri sana. Hongera
🙏
A very blessed songs 🥳
🙏
Aaaameeeen
Mwalimu unaweza kutusaidia ukuu wa Mungu unaweza kuuweka peke yake
Nitafanya hivyo Ndugu
Utume mwema tunakutakia
🙏
Hiz nyimbo ninzul San wandugu zang ongea
Asante Ndugu
Mwalimu sasa ivi unaweza kuona kawaida ila naamini utakuja kukumbukwa sana badae Ile album ya ninayokila sababu haichoshi hata kidogo nyimbo zote zote. Kinanda na Ngoma za kiasili zilinogesha sana. Ni sala kabisa pia unafanya kitu kuziri sana kuchukua meseji kwa maandiko matakatifu
Asanteni Sana Ndugu Msuva Endalea kuniombea Ili kupitia karama hii Mungu ajulikane na Atukuzwe kati ya Watu
Tunakuombea nguvu kwa Mungu kwa Kazi nzuri. Yaani siyo kua mapenzi Tu ila ni sala hasa sauti nzuri, zimetungwa vizuri pia kinanda kizuri na Ngoma za kikatoliki napenda sana kusikiliza kila asbhi kabla ya kuamka
Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu
Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao
Mwalimu Kuna ule wimbo mwingine unasema umeshibaleo mshukuru mgonjwa usikufuruu nazani waimbaji nihaohao
@@JohnMrutu hapana ni the glorious catholic singers pia Familia takatifu mwenge waliimba unaitwa Hakuna kama Mungu wa P. Mboye
Huo wimbo unaousema hatukuimba Sisi Chang'ombe