RAIS MWINYI KAMUINGIZA PETER KWENYE HOTELI CHINI YA BAHARI ILIYOPO ZANZIBAR | TANZANIA ROYAL TOUR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 พ.ค. 2022
  • RAIS MWINYI KAMUINGIZA PETER KWENYE HOTELI CHINI YA BAHARI ILIYOPO ZANZIBAR | TANZANIA ROYAL TOUR
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #RaisMwini #TanzaniaRoyalTour
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 111

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 2 ปีที่แล้ว +7

    Ukwei Ni kwamba..huyu Peter..alifaidi kutalii nchi yetu kuliko watalii wengine wote waliowahi na watakao kuja...
    Inatafakurisha.....hivi inamwaminije mzungu ki rahisi rahisi tu...katumwa huyo.....

  • @ngeymo7311
    @ngeymo7311 2 ปีที่แล้ว +2

    Peter, Peter, Peter.. Who's is this Guy? Mbona anatawala hivi? U Director tu wa hiyo movie.. No way

  • @hallin9561
    @hallin9561 2 ปีที่แล้ว +11

    Nzuri ila sijazipenda izo ngazi za kushuka wima wima sio poa, kuna watu wengine ni wanene sana na wengine ni walemavu, kwaiyo kwa ilo lingefanyiwa mabadiriko

    • @ambrosehenryk5497
      @ambrosehenryk5497 2 ปีที่แล้ว

      Km hauko fiti kuingia uko unataka kwenda kufanya nn sio kila sehem inapokea watu wote

    • @tiffahdangote7548
      @tiffahdangote7548 2 ปีที่แล้ว

      Huko ni kwa wapiga madili uende ww kajamba Nani ukafanye nn!

    • @maryamnassor9482
      @maryamnassor9482 2 ปีที่แล้ว +2

      @@ambrosehenryk5497 hahahahahaaa haweshi sababu binaadam pengine ndio kwanza anapaona analeta hoja dah

    • @mweusiasili8345
      @mweusiasili8345 2 ปีที่แล้ว

      @@maryamnassor9482 wanaweza kukosa adi pepo hawa🤣🤣

    • @hisanmwakijungu10
      @hisanmwakijungu10 2 ปีที่แล้ว

      Wanene tunawarusha kama mpira 😂😂😂😂 IVYO Hall PUNGUZA kula ovyo ili upite vizuri

  • @mweusiasili8345
    @mweusiasili8345 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah!!

  • @joookahjokah8430
    @joookahjokah8430 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah ❤

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH

  • @adusamuel9033
    @adusamuel9033 2 ปีที่แล้ว

    Its a very nice hotel. Hongera Tanzania

  • @ignasmalema8354
    @ignasmalema8354 2 ปีที่แล้ว +9

    Peter, mmhhhh ,who is this guy ,tuwe makini watanzania kuna jambo linaendelea

    • @neemasawe7016
      @neemasawe7016 2 ปีที่แล้ว +1

      Navojua ni mwandish wa habar nguli huko Texas ila kuwa makin tuwe tu🤣

    • @halimos295
      @halimos295 2 ปีที่แล้ว

      Tanzania nii buree kwanini hata Kamala Harrison au snoozy Joe Biden hawajakuja. Peter kuja inamanisha hakuna serekali baada yaa ku uwa JPM. Suluhu hapa kazi ya kuzunguka tu

    • @khamisally7550
      @khamisally7550 2 ปีที่แล้ว

      @@halimos295 Akili za Kisukuma hizi. Mijitu mna akili za kisenge sana. Hata Kagame aliandaa Rwanda Royal Tour na huyu huyu Peter wala hakujaibuka maneno ya kipumbavu kama haya ya kwenu. Mapumbavu makubwa njie mkafie mbeli na usenge wenu.

  • @jacquelinesizya3780
    @jacquelinesizya3780 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow😍😍😍😍

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 ปีที่แล้ว

    Nice one 👍

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 ปีที่แล้ว +1

    PETE ZA MAJINI ZENYE MVUTO MKUBWA UTAJIRI*#
    ttps://m.th-cam.com/video/wrdjNRzYUxg/w-d-xo.html

  • @yassirrashid7802
    @yassirrashid7802 2 ปีที่แล้ว +1

    The Manta resort PEMBA Island ZANZIBAR 🏝

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 2 ปีที่แล้ว +1

    👏👏

  • @mohamedfaris3000
    @mohamedfaris3000 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe ni Rais Mwinyi uyo, mimi nilijua yule msanii Mtanga

  • @kakabaraka1058
    @kakabaraka1058 2 ปีที่แล้ว +11

    safi sana,, watanzania tujifunze sana kuwashangilia viongozi wetu wanapofanya makubwa, na kufunga vinywa pale tusipo elewa hatua wanazozichukua na kumsii sana Mungu aliye hai juu ya afya zao, akili zao na wawe na nia njema juu ya taifa letu hili... Pengine hatupo katika nafasi za kulijenga taifa letu moja kwa moja lakini kwa kuwaombea viongozi wetu tuna kua tunafanya kazi kubwa sana katika kulijenga taifa hili, kwasababu nchi yetu sio ya serikali ya ccm na mama samia lakini ni yetu na vizazi vyetu.

    • @darkplatnum9006
      @darkplatnum9006 2 ปีที่แล้ว +1

      Hivo vizaz vinakuw vya ssm au

    • @kakabaraka1058
      @kakabaraka1058 2 ปีที่แล้ว +1

      @@darkplatnum9006 sina maana hiyo, nacho maanisha ni kwamba taifa hili ni letu na vizazi vyetu, sisi pia tuna wajibu wa kulijenga hili taifa si tu kazi ya viongoozi... sijui kama nimejibu swali lako?

    • @hamisiliton5893
      @hamisiliton5893 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwa kipi kwa mfano

    • @kakabaraka1058
      @kakabaraka1058 2 ปีที่แล้ว

      @@hamisiliton5893 mh! sijalielewa swali lako.

    • @vintz338
      @vintz338 2 ปีที่แล้ว +3

      Ningekutukana sema mchungaji amesema tuctukane watu tusiowajua

  • @ollacamusic
    @ollacamusic 2 ปีที่แล้ว +3

    NDUGU ZANGU NAWAOMBA MNISAIDIE KUANGALIA NYIMBO YANGU MPYA ILI KUWAFKIA WENGI ZAIDI🥺🥺👇👇👇👇
    th-cam.com/video/gnIe4ZeeTDY/w-d-xo.html

    • @halimos295
      @halimos295 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe bure sana nchii ina uzwa na wewe una ongea kuhusu nyimbo mwanagu amuka umee lala

    • @ollacamusic
      @ollacamusic 2 ปีที่แล้ว +1

      @@halimos295 Sawa nitaamuka😂😂

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 2 ปีที่แล้ว

    Namkubali sana hii royal tour .. haihitaji nguvu nyingi ya wasanii kuielezea hata mtoto mdogo Kwa kuangalia tu anafurahi

  • @anabankhamis7951
    @anabankhamis7951 2 ปีที่แล้ว +1

    Home island

  • @diolindanativo7268
    @diolindanativo7268 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo peter mpelekeni vijijini akatalii nyumba za matope na nyasi atafulahi na sio kwenye nyumba za vioo hao kwao ndo vinatoka ivyo vitu

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 2 ปีที่แล้ว +3

    Nchi zinaendelea kwa viwanda, siijui nchi iliyondelea kwa movie.

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 2 ปีที่แล้ว +4

    Peter yuko na shem lake

  • @martinmhuwa4641
    @martinmhuwa4641 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah wana enjoy tu

  • @mountaincoffee7
    @mountaincoffee7 2 ปีที่แล้ว +1

    #peter

  • @cathbethmkenda3930
    @cathbethmkenda3930 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani uyo Peter ninan mbon anapenya penya ktk tz yetuu

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa filamu hii, umasikini kwaheli Tanzania

  • @mwanajumamohammed6327
    @mwanajumamohammed6327 2 ปีที่แล้ว +3

    Tuna njaa mtaani..maisha magumu..vitanda vina kunguni tusaidieni kwa hili

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +1

      We acha tu ndg yng

    • @tittoskeysproject1967
      @tittoskeysproject1967 2 ปีที่แล้ว +5

      Sasa vitanda vina kunguni si ufue mashuka na uanike juani jamni 😂😂😂😂 kwani ni kazi ya Serikali

    • @comulusnimbuss931
      @comulusnimbuss931 2 ปีที่แล้ว

      Acheni uchafu

    • @ip_header
      @ip_header 2 ปีที่แล้ว +1

      Mkombozi wa maisha yako ni wewe mwenyewe, usitegemee kuna siku kiongozi atakuletea pesa mkononi..!

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +1

      @@ip_header huna akili ww

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 2 ปีที่แล้ว

    kwan huyu Peter ni nani?

  • @abuadobakaly2394
    @abuadobakaly2394 2 ปีที่แล้ว

    Mm huyu peter mbona kama simuelewi huyu jmn

  • @halimos295
    @halimos295 2 ปีที่แล้ว

    JPM hapa kazi tuu. Suluhu hapa kazi kuzunguka tuu

  • @evalinvictoriavitalis1386
    @evalinvictoriavitalis1386 2 ปีที่แล้ว

    Mimi binafsi cjaelewa huyu peter ni nani ,ni msanii, mwanasiasi au ni bilionea wa huko ulaya anayejua aniambie

  • @rafikingango
    @rafikingango 2 ปีที่แล้ว +2

    Hii ni Baraka sana 🎶🎶🎶😊😊😊😊🔥🔥🔥🔥🔥👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
    th-cam.com/video/CTKEv7VUpRc/w-d-xo.html

  • @onesmomlinga2739
    @onesmomlinga2739 2 ปีที่แล้ว

    Huyo mzungu mbona habadrishi nguo

  • @MM-oe2eo
    @MM-oe2eo 2 ปีที่แล้ว

    Ngoja aje shark hapo, mbona hapatatosha. Piga pua moja anapasua hiyo kioo. Kuna haja ya wavu wa chuma.

  • @shkjumaa8339
    @shkjumaa8339 2 ปีที่แล้ว

    huyu Peter ye kachangia bei gani du Kaivuruga nchi kila kona tena akiwa na ulinzi mkali kila kona...ni kama kaonja urais kwa mda

  • @florameza1028
    @florameza1028 2 ปีที่แล้ว

    Huyu peter huyu mmmmhhhh

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂

    • @consojacob8636
      @consojacob8636 2 ปีที่แล้ว +1

      Kila mahali yupo🤔
      Utafkri yeye mwenye move

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว

      @@consojacob8636 huyo ndo kila kitu kwenye movie ndo kiongozi wa iyo movie ameshawaongoza wakongwe wengi kwenye movie nchini Marekani director mkongwe sana mtafute utampata tu

    • @unclepwechnov1381
      @unclepwechnov1381 2 ปีที่แล้ว +1

      @@kennyrogers4734
      Kenny Rogers unajua Kiswahili au unatumia Google Translater?
      By the way, welcome to TZ.

    • @kennyrogers4734
      @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

      @@unclepwechnov1381😂😂 Google

  • @petergirago5465
    @petergirago5465 2 ปีที่แล้ว

    Peter ameupiga mwingi

  • @azharrmohammad9938
    @azharrmohammad9938 2 ปีที่แล้ว

    Pemba hiyooo

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 2 ปีที่แล้ว

    .

  • @sources5462
    @sources5462 2 ปีที่แล้ว

    Yuko ma shemej ake 😂

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว +3

    Wazungu wanawaangalia mabongolala wanacheeeeekaa Mana Ni aibu hii

  • @robertmisako9443
    @robertmisako9443 2 ปีที่แล้ว

    Iv uyu peter ninani? Kila sehemu peter peter aise ,apana anaupiga mwingi kwakweli

  • @ibrackibrahim6909
    @ibrackibrahim6909 2 ปีที่แล้ว +1

    Inchi inahendeshwa kizanzibar😁😁😁😁 kishamba

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 2 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa apelekwe mbuga za wanyama

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว +3

      Ndiooooooo
      Washambaaaa
      Lakini baina ya ZANZIBAR na kule porini CHATO wapi Shambaaa?

    • @khamisrubea5083
      @khamisrubea5083 2 ปีที่แล้ว +3

      Watu wanatoka italy , spain ,russia ,uk ,canada ,south africa,France, germany wanakuja kutalii zanzibar watu maarufu kama steven curry,thiery henry ,matarazi wote hawa ni washamba au ww ndo mshamba ushazoea mapori

    • @sogolamwishekhe5667
      @sogolamwishekhe5667 2 ปีที่แล้ว +1

      Inawezekana wewe ndo mshamba ila hujajishitukia tu

    • @ibrackibrahim6909
      @ibrackibrahim6909 2 ปีที่แล้ว

      @@jambo3751 kwani mimi wa chato 🤣😂😂😂 muhulize mbowe

  • @haniffa9024
    @haniffa9024 2 ปีที่แล้ว

    PETE ZA MAJINI ZENYE MVUTO MKUBWA UTAJIRI*#
    ttps://m.th-cam.com/video/wrdjNRzYUxg/w-d-xo.html

  • @mozejcs9160
    @mozejcs9160 2 ปีที่แล้ว +3

    Shame on you! mnafanya vitu vya ovyo hk wananchi mmewajazia mizigo ya kutosha, one day your grandchildren will pay for this, they will sufforcate for you foolish you are doing on us today! They will pay for you! Mmetuona sisi mazuzu Sana we have no eyez! Mnakula kwa urefu wa kamba mnatumia Kodi zetu kwa upuuz wenu

    • @ip_header
      @ip_header 2 ปีที่แล้ว

      Are you sure?

    • @mbishkula1875
      @mbishkula1875 2 ปีที่แล้ว

      MJINGA Wewe Utakufa Kwa ROHO MBAYA TZ inaenda Kufunguka Acha WAZUNGU Waje tupate MADOLAR MJINGA MKUBWA WEWE na KIZUNGU Chako cha UGOKO icho😜😜😜😜

    • @mozejcs9160
      @mozejcs9160 2 ปีที่แล้ว

      @@mbishkula1875 mshenzini nn! Mnalipwa kusifia upuuzi! Njaaa zako sitateketeza wajukuu zako! Viposho unavyopewa kutetea upuuzi huk shangazi yako hko porini anaumia kwa gharama za maisha it will cost you mbwa ww

    • @mbishkula1875
      @mbishkula1875 2 ปีที่แล้ว

      @@mozejcs9160 Acha Kua BONGO LALA MJINGA WEWE
      UTALII Ni Zaidi ya UTAJIRI TZ inaongoza Kwa Vivutio Vya Utalii DUNIANI Lakini inashindwa na EGYPT isio hata na MBUGA 1
      Sasa tusipo utangaza Utalii wetu leo tutautangaza lini?
      Halafu Kumamako Unalalamika MAISHA MAGUMU Hujui Kama Utalii Unamgusa kila Mtu?
      MBWA KOKO Wewe Acha Tanzania ifunguke Wazungu waje na MADOLAR
      KAZI IENDELEE

    • @mozejcs9160
      @mozejcs9160 2 ปีที่แล้ว

      @@mbishkula1875 ivi nyie wanawaokotawapi mje kuwatetea kwenye mitandao ya kijamiii mbona hamna hoja hadi mnatukana waliwatuma wamewapa Uhuru Hadi wakutukana! Subir utaiona nguvu ya wananchi endeleeni kumpotisha huyo mwanamke