Madhara ya Hofu ya Mabadiliko | Rev. Dr. Eliona Kimaro

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 11/ 07/ 2024
    SEMINA YA NENO LA MUNGU:
    MADA:
    "HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    SOMO LA LEO:
    "MADHARA YA HOFU YA MABADILIKO"
    Kutoka 1 : 8 - 16*
    Mathayo 2 : 13 - 18
    Matendo 7 : 54 - 60
    NENO KUU:
    "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    KUMBUKUMBU LA TORATI 28 : 6
    &
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    MAANDIKO YA LEO:
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    Kutoka 1 : 8 - 16
    8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
    9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi.
    10 Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
    11 Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.
    12 Lakini kwa kadiri ya walivyowatesa ndivyo walivyoongezeka na kuzidi kuenea. Nao walichukiwa kwa sababu ya wana wa Israeli.
    13 Wamisri wakawatumikisha wana wa Israeli kwa ukali;
    14 wakafanya maisha yao kuwa uchungu kwa kazi ngumu; kazi ya chokaa na ya matofali, na kila namna ya kazi ya mashamba; kwa kazi zao zote walizowatumikisha kwa ukali.
    15 Kisha mfalme wa Misri akasema na wazalisha wa Waebrania, mmoja jina lake aliitwa Shifra, na wa pili jina lake aliitwa Pua;
    16 akasema, Wakati mwazalishapo wanawake wa Kiebrania na kuwaona wa katika kuzaa, ikiwa ni mtoto mwanamume, basi mwueni, bali ikiwa ni mtoto mwanamke, na aishi.
    Mathayo 2 : 13 - 18
    13 Na hao walipokwisha kwenda zao, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu katika ndoto, akasema, Ondoka, umchukue mtoto na mama yake, ukimbilie Misri, ukae huko hata nikuambie; kwa maana Herode anataka kumtafuta mtoto amwangamize.
    14 Akaondoka akamchukua mtoto na mama yake usiku, akaenda zake Misri;
    15 akakaa huko hata alipokufa Herode; ili litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nalimwita mwanangu.
    16 Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi.
    17 Ndipo lilipotimia neno lililonenwa na nabii Yeremia, akisema,
    18 Sauti ilisikiwa Rama, Kilio, na maombolezo mengi, Raheli akiwalilia watoto wake, Asikubali kufarijiwa, kwa kuwa hawako.
    Matendo 7 : 54 - 60
    54 Basi waliposikia maneno haya, wakachomwa mioyo, wakamsagia meno.
    55 Lakini yeye akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama upande wa mkono wa kuume wa Mungu.
    56 Akasema, Tazama! Naona mbingu zimefunguka, na Mwana wa Adamu amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
    57 Wakapiga kelele kwa sauti kuu, wakaziba masikio yao, wakamrukia kwa nia moja,
    58 wakamtoa nje ya mji, wakampiga kwa mawe. Nao mashahidi wakaweka nguo zao miguuni pa kijana mmoja aliyeitwa Sauli.
    59 Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu.
    60 Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 12

  • @EsterMbena-q4z
    @EsterMbena-q4z หลายเดือนก่อน

    Mchungaji nafarijika sana nasikia amani ndan ya moyo wangu mungu akupe afya njema

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 3 หลายเดือนก่อน +4

    Unanifungua sana kiimani kimaisha umekuwa kioo kwangu Mchungaji Bwana azidi kuwa msamamizi na mlinzi wa.maisha yako uendelee kuitumikia taifa la Mungu 🙏🙏

  • @SilaJeremiah
    @SilaJeremiah 3 หลายเดือนก่อน +1

    MUNGU wa mbinguni akubariki. Kwakila hatua ninayopitia ya maisha nakutana na neno la MUNGU.

  • @VictoriaKalinga
    @VictoriaKalinga 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atuponye nimejikuta ni mwenye dhambi tu sistahili bwana nihurumie nimefanya hayo yote.

  • @josephlukumaya4223
    @josephlukumaya4223 3 หลายเดือนก่อน

    Amen KUBWA SANA

  • @henerikokasiani7726
    @henerikokasiani7726 3 หลายเดือนก่อน

    Amina baba barikiwa sana

  • @NiceSilayo-zm6sk
    @NiceSilayo-zm6sk 3 หลายเดือนก่อน

    Amen baba

  • @annamasalu981
    @annamasalu981 3 หลายเดือนก่อน

    Imenigusa sana

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @AliceHatibu
    @AliceHatibu 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @modestamshana1279
    @modestamshana1279 2 หลายเดือนก่อน

    Maisha kuna wakati unakutana na changamoto hasa wale watu wamuhimu wanapoondoka mahali ulipo au kufariki.

  • @BrendaMamuya-tt9qf
    @BrendaMamuya-tt9qf 3 หลายเดือนก่อน

    Amen