Sitochoka Kumomba Allah,Atujaalie Vijana Hawa,wanao tengezwa na Masheikh wetu Allah awahifadhi na Awabariki Kwa Kazí yao hii,Wanatengeza Warithi Wema wakuchukua Pahala pao.Allah awakuze katika Khulaka ya Qurani.Ili Dunia iwe na Amani.❤
Sheikh Kishki wewe ndiye uliyyepanga na Allah akuibariki mipango ya kutuwezesha sisi kuisikiliza Quran hii. Allah akupe jazaa hapa duniani nakesho akhera akupe Firdaus. Amiin
Hongereni sana. Mimi ni mkristo ila kwa hili mmetuacha mabali sana. Hivi ndivyo inavyotakiwa kuhifadhi maneno ya mwenyezi Mungu vifuani mwetu. Inaweza kutuepusha na hila za ibilisi za kuchakachua maagizo ya Mungu
Mashaallah kwa siku yakwanza natamani kuwa kama huyu kijana yaa rabbi tujaalie mwisho mwema ummaat Muhammad🤲🤲 Wajaarie shufai wagonjwa waliopo mahospitlin na majumbani🤲🤲 pia warehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki🤲🤲... na utujaarie vizazi vyenye kukutii na kukuogopa yaa rabbi Allahumma Ameen🤲🤲🤲
@@nakundwamkubwe7823 sawa dada,,,yote yanawezeka na nirahis saana,,sema sisi tunaekeza elmu dunia saana Hadi twaisahau elimu ya dini,,,tuwe TU na nia na tuwasomeshe watoto wetu
Maashallah wabaarikillahu fiyk,hivi ndivo quran inavo takiwa kusomwa,na sio kuchukua hao maceleb wenu wanao ikanyaga quran bila kuipa haki zake kisha mnawasifu eti wanasoma quran vizuli,jaman tusiichezee quran tafazal hivi ndivo inavo somwa mola awajalie wao na sisi kwa kila alo shiriki kwènye shindano hili elimu ynye manufaa mbeleni na daima waendelee kuihifadhi quran ktka vfua vyao yaa rabb,Aamm thumma Aaamin 🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲
Quraan inasomwa kwa njia nyingi sio tu hii ina njia na adabu nyingi,,na usimseme mtu anaesoma ukamkashifu unatakiwa umuongoze,,,hapo baadhi yenu ndio mnapokosea kwenye Uislam,,,
Ma Shaa Allah, Ma Shaa Allah, Ma Shaa Allah, Allah azidi kuitunza Qur'an ktk kifua chake na awape afya njema na umri mrefu wenye manufaa washiriki wa zoezi zima akiwemo Sheikh wetu Muhammad Nurdiin Kishki pamoja na wengine aamiin🤲
Qur an ikisomwa lazima unapata hisia machozi ya furaha yanakutoka....mashaaAllah Allah awahifadhi wote walohifadhi kitabu hichi kisichokuwa na shaka ndani yke.....uislamu ndio dini ya haki....ulimwengunii....
Let me be honesty i’m not a muslim but i like to listen a Quraan🙌🙌
Find a translation of that's words and then apply to you daily life
Allah akujaalie uwe muislam
@idayaedson .may Allah lead to u Islam .ameen
@idayaedson .may Allah lead to u Islam .ameen
My friend please enter in the muslim,wallahi you won't regret it
Sitochoka Kumomba Allah,Atujaalie Vijana Hawa,wanao tengezwa na Masheikh wetu Allah awahifadhi na Awabariki Kwa Kazí yao hii,Wanatengeza Warithi Wema wakuchukua Pahala pao.Allah awakuze katika Khulaka ya Qurani.Ili Dunia iwe na Amani.❤
❤Amin
Allahumma amiyna ya rabb !
Aameen Rabbil Alamiin Alf Marrati Yaa Rabby Aameen
Mashallah
Sheikh Kishki wewe ndiye uliyyepanga na Allah akuibariki mipango ya kutuwezesha sisi kuisikiliza Quran hii. Allah akupe jazaa hapa duniani nakesho akhera akupe Firdaus. Amiin
Allahumma Ameen
Huyu amehifadhi kwa kuisoma na kuiyandika pia,,,, Allah amuweke mbali na vitu vitakavosababisha kutoisoma Quran
Amiin
Amin
AMIIN YAA RAB'BI
Amin
AMEEN
ALLAH atuhifadhie na awaongoze watoto wetu
Nasi atupe nguvu wakujua umuhimu wakuisoma Quran nakuisomesha
MashaAllah tabarak Rahman,,,,I'm proud to be amuslim Alhamdullah
Exactly 💯........
Islam ni neema kubwa kutoka kwa Allah. Sio ufakhari
Mashallah hakika Uislam nibdin ya haki unaskiliza Quran mwili unakusisimka machoz ynakuto❤❤❤
Riziki wa oman upo wwe dah kitambo sanaaa sijakuona kwa mkojani
@@salimaziz9858 nipo mbona
@@Rizikialiamechannel763 alaaa ok sawa
Mashaallah anaisoma quruani kwa ufasaha zaidi nmependa kiraa chake nkizuri mashaallah Allah amzidishie
@@user-rv7py4gr7i kabisa yaani anaitendea haki kila herufi mashallah
Mungu awafanyie wepesi wote pamoja na wazamini wetu
Hongereni sana. Mimi ni mkristo ila kwa hili mmetuacha mabali sana.
Hivi ndivyo inavyotakiwa kuhifadhi maneno ya mwenyezi Mungu vifuani mwetu.
Inaweza kutuepusha na hila za ibilisi za kuchakachua maagizo ya Mungu
Mashaallah kwa siku yakwanza natamani kuwa kama huyu kijana yaa rabbi tujaalie mwisho mwema ummaat Muhammad🤲🤲 Wajaarie shufai wagonjwa waliopo mahospitlin na majumbani🤲🤲 pia warehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki🤲🤲... na utujaarie vizazi vyenye kukutii na kukuogopa yaa rabbi Allahumma Ameen🤲🤲🤲
Mashallah
Mash Allah nimetani awe mwanangu wa kumzaa. Allah akuhifadhi kijana wetu Quran hii uliyo ihifadhi iwe ije na manufaa kwetu sote Allahuma Amiin.
Masha allah
Inawezekana kumtengeneza na wako,,usitaman tyu..weka juhud na kwa wako
@@hassanaliamin1104 anza wewe kuweka juhudi na wakwako alafu akashinde tuone mfano. Kutamani mema sio dhambi ndio mana nimetamani.
❤ameen
@@nakundwamkubwe7823 sawa dada,,,yote yanawezeka na nirahis saana,,sema sisi tunaekeza elmu dunia saana Hadi twaisahau elimu ya dini,,,tuwe TU na nia na tuwasomeshe watoto wetu
❤ ماشاء الله تبارك الرحمن Allah akubariki na akupe umri mrefu ameen
ALHAMDULILLAH QUR'AAN TAKATIFU IBARIKIWE 🙏
Maa shaa Allah Huyu alistahili ni zaidi ya kila kitu Huyu kajua kuzipa haki harfu na hifdhi yake Ipo saaaaaaaaafi kabisa Hiyo Ndio WEST AFRICA 🌍
ALLAH amlipe malipo mema kwa kuisoma Qur'aan..kwa ufasaha..Mashaallah
Allah akuhifadhi akupe hekma na busara kwenye dini na dunia kwenye kheir akuepushe na machafu
Mashaallah hukmu za herufi amezitendea haki❤❤❤
mashaAllah tabarak Rahman sheikh kishki na wote walioudhuria na walioshiriki mungu awajaze kheri inshallah
ALLAH AMZIDISHIE ELIMU YENYE MANUFAA ALLAH AWAZIDISHIE KHERI NYINGI WAZAZI WAKE .
Maasha Allah maasha Allah tabarrak rahman Allah amuhifadhi na hasad za binadamu na majini amiin
Afanyiwe mpango ashiriki Yale mashindano ya Quran ya Dubai pia Inshallah
بارك الله فيه اللهم اجعلنا من حافظين لكتابك
🤲🤲
Maashallah wabaarikillahu fiyk,hivi ndivo quran inavo takiwa kusomwa,na sio kuchukua hao maceleb wenu wanao ikanyaga quran bila kuipa haki zake kisha mnawasifu eti wanasoma quran vizuli,jaman tusiichezee quran tafazal hivi ndivo inavo somwa mola awajalie wao na sisi kwa kila alo shiriki kwènye shindano hili elimu ynye manufaa mbeleni na daima waendelee kuihifadhi quran ktka vfua vyao yaa rabb,Aamm thumma Aaamin 🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲
Allahumma Aamiin,
Jitahid uandike Quraan ukianza na herufi kubwa kuonyesha umeiheshim.
Quraan inasomwa kwa njia nyingi sio tu hii ina njia na adabu nyingi,,na usimseme mtu anaesoma ukamkashifu unatakiwa umuongoze,,,hapo baadhi yenu ndio mnapokosea kwenye Uislam,,,
Mashallah
Mashaallah Allah atufanyie wepesi sisi na watoto wetu wawe miongoni mwa wanaoisoma kuhifadhi Quran, mkono kwa mkono mpaka peponi
Mashaallah baraqa llahu fii qum washirik wote Allah awazidishie elim watuwakilishe namwakan in shaallah
His recitation is the best!
Allah awahifadhi wote wanafunzi na waalim zetu
MAASHAALLAH ALLAH YAH FADHKA
Mashallah tabarakarrahmaan❤Allah amhifadhi Ibrahim n awaongeze wtt wetu kuhifadhi kitabu chetu Qur'aan amiin y Rabb 🤲
ISLAM is perfect and there is no religion like islam
Masha Allah, Allah awahifadhi na kila baya washiriki wote ameen
Ma Shaa Allah, Ma Shaa Allah, Ma Shaa Allah, Allah azidi kuitunza Qur'an ktk kifua chake na awape afya njema na umri mrefu wenye manufaa washiriki wa zoezi zima akiwemo Sheikh wetu Muhammad Nurdiin Kishki pamoja na wengine aamiin🤲
Qur an ikisomwa lazima unapata hisia machozi ya furaha yanakutoka....mashaaAllah Allah awahifadhi wote walohifadhi kitabu hichi kisichokuwa na shaka ndani yke.....uislamu ndio dini ya haki....ulimwengunii....
allaah atujaalie kheri sote kwa baraka yakisomo cha qur^aan 🤲🤲🤲🤲
Allahumma RAHMNAA BIL QURAN WAJAALNAHU LIY IYMAM WA NOURAH WA HUDAA WARAHMA
ALLAHUMMA DHAKRIYNA MINHU MAA NUSIYNAH
Masha Allah akulinde Rabbi nq husda za wenye kuhusudu wakaturudiaha nyuma vijana kuogopa kukihifadhi kitabu cha Allah
Ma shaa Allah ma shaa Allah allaha wabarik wasomaji wote na waskilizaji alhamdulillah
MashaAllah TabarakaAllah.. may Allah bless and protect you, Ibrahim Sow.
Mashallah yuko sawa nakisha chengine waliangalia umr wake nimdogo sana kwakuhifadh Qur'an nzima,,, Mashallah Aleyk,
AllahuAkbar ❤❤❤ mungu awape maisha marefu na wisho mwemà
Ma Shaa llah tabbaraka llah, sheikh kishki Allah akuweke, mashindano haya yaendelee miaka yote, hadi vizazi vvetu waje washiriki
Mashallah May Allah give him good knowledge on the world and the day of judgement
ما شاء الله ، اللهم ارزقنا بالقرآن واجعله لنا إماما ونورا وهدى ورحمة
Ameeen
Allah amdumishe katika kheyr atujaalie nasisi kua wema
MashaAllah mwenyezi mungu awalipeni nyotee vijana wetu na fisadi juu kusoma kwenu kitabu cha mungu. Awaongozeni daimani yaarab
Allah ampe kheri
Mashallah Tabaraka Rahmani baraka Allahufik
MashaaaAllah mashaaaAllah Allah muhifadhi huyu kijana leo na kesho akhera Amiin
Manshallah tabarak allah mola wangu jalia kizazi changu muhumbawangu ya ssllam
Mashaallah,allah akupe heri hapa duniani na kesho akhera wewe na wazazi wako
Mashaallah tabarakallah ❤❤
Ma Shaa Allah ❤❤.Allah amjalie Kila la Kheri wallah.yaani mpka najiona Peponi Kwa Sauti yke nzuri❤
Masha Allah
Mashallaah kher iwe juu yako
Mashallah. Mungu atujaaliye kheri zanakjera na duniania atakuepushia Shari za duniani
Mashalah Allah amuhifadhi inshallah.
Mashallah tabarakallah Allahu Amuhifadhi
Jazakah Allahu khair
Bismillah, MashaAllah Tabarakah
Mashallah Wabaarakallahu fyk
Mashallah allah amjaze kheŕ
Mashallah
Barakallahu fiikum
Maa Shaa Allah anastahiki kwakweli Allah amhifadhi
Allah amuhifadhi
Mashaallah tabarakallah
Mshaallah ❤
Aĺlah(s.w) akuhifadhi na akiifadhi ulichokiifadhi na ss atujaaliie tuhifadhi na atuyifadhie vizazi vyetu ktk haki.
Mashaallah tabarika allah
Mashallah may Allah grant him Jannah him and his two parents plus his teacher ❤❤❤
Allah akulinde na ibilisi ujanani , uzeeni mpaka mpaka uingiapo kaburin,
Masha'Allah,baaraka llahu fik
Allahu akbar mwenyezi mungu akupe maisha marefu uifundishe hii qurani kwa wengine kama unavyoisoma were maashallah alhamdulilah
Mashaallah😊😊
مشاءالله تبارك الله
Mashallah Allah amuongoze Quran iwe Nuru kwenye maisha yake
Allahumma Ameen
Wallah kuruan ndo kil kit nimesikiliza mashaallah hadi rah ila hiy bahat ya kwenda umra jaman nilitaman San IPO sik nam nitashid inshaallah
Mashallah Tabarakallah
MAA SHAA ALLAH ❤
Wallah Allah akuongoze mdogo wangu nakupenda kwa ajili ya Allah na Allah akupe upana wa elimu zaidi ❤❤❤
Ma sha Allah tabaraka Allahu
Mashaaalah Allah akufanyie wepes inshallaah jamani quran raha kwakweli
BARAKALLAHU FIIKUM.
MAA SHAA ALLAH TABAARAKALLAH.
Maasha'Allah Tabarak'Allah ♥️
Mashaallah baarakallahu fiika
جرك الله خير
Mashaallah Allah akuhifadh mwanangu
Mashaallah.... Allah Akbar 🤲🏾
Mashallah tabarakah allah
Mashaallah ❤❤
Masha Allah,,Allah azidi kuijaza Qur an,,katika kifua chako
Masha aallah ❤
Alhamdulilah allah awaongoze wote masha allah
Maashaallah Allah awalinde hakika 🎉🎉🎉🎉
Mashaallah allah akuepushe na hasad
Maashallah Maashallah Maashallah alhamdulillah
mansha ahllah mwenyezi azidi kuwawekea wepesi insha ahllah
Mashaallah tabarakrahman allah akihifadhi mtoto wetu
Mashallah ustaz meu
MAA SHAA ALLAH!!! ALLAH,AKUBAARIKI MWENETU.AKULINDE NA KILA AINA YA HASAD,NA UWE MFANO MZURI KWA VIJANA WOTE WA KIISLAM NA KWA WASIOKUWA WAISLAM.
Amin thuma amin
Maa Shaa Allah
Mashaallah jazaqallahu khairaa