ADABU KATIKA KUKHTALIFIANA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 4 หลายเดือนก่อน +8

    Shukran sana sheikh wetu doctor Islam
    Nakupenda kwaajili ya Allah
    Ni mzaliwa wa Burundi naishi south Afrika

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 4 หลายเดือนก่อน +6

    Allah akuhifadh dr islam

  • @aman.recitations
    @aman.recitations 4 หลายเดือนก่อน +6

    mashaAllah sheikh shukran kwa kutupa elimu inshaAllah mungu atakulipa na akuweke uzidi kutuelimisha

  • @AyubuKimea
    @AyubuKimea 4 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @rajababdallah9239
    @rajababdallah9239 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mawaidha mazuri sana.
    Kiukweli ikhtilifu au kutofautiana ndio asili yetu wanadamu.ifike mahala ikhtilafu hizi ziwepo bila kutukanana,kukejeliana,kuvunjiana hishma n.k.
    Jahazi letu ni moja Al-ISLAM.
    Tofauti zitaendelea kuwepo lakini mapenzi na kuheshimiana na kushirikiana bado itabaki ni muhimu mno katika umma huu .tusisahau waislam sisi sote ni ndugu.

  • @KibwanaMwinyikai
    @KibwanaMwinyikai 4 หลายเดือนก่อน

    Allah akuhifadhi..

  • @bwanamakakassim3659
    @bwanamakakassim3659 4 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran sheikh kwa khutba yako mzuri sana na mungu atakubariki akupe umri ulio na mwema,
    Leo mekuwa hakuna dini tena ya allah bali kumebaki mizozano tuu isio na faida kwa umma,tumebaki na miashindano na mikao isio kuwa na maana.mungu atuongoze,ameen

  • @ustadhamiin5941
    @ustadhamiin5941 4 หลายเดือนก่อน +1

    Aslm alykm, mashallah!! Allah akuzudishie ufahamu huu na wengine wafate mfumo huu inshallah

  • @abdallahsaid4997
    @abdallahsaid4997 4 หลายเดือนก่อน +8

    Lau hao mashekhe wote wangesoma adabu za ikhtilafu na wazitekeleza aslimia kubwa sana ya mashakil yetu yangeondoka na tunge shughulika na vitu muhimu

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 4 หลายเดือนก่อน +2

    Maa Shaa ALLAH 💚. Jazakallahu hyeir sheikh.

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 4 หลายเดือนก่อน +2

    MAASHAA ALLAH Dr ALLAH akuhifadhi

  • @abdichongowe2255
    @abdichongowe2255 4 หลายเดือนก่อน +6

    Maneno ya busara Sana haya , Asante shekh

  • @hadiyamohamed594
    @hadiyamohamed594 4 หลายเดือนก่อน

    Nilikuwa na dubiri hii khutba . Masha Allah Dr

  • @SurprisedCat-wk8ls
    @SurprisedCat-wk8ls 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah umesema kweli

  • @abdullahyahaya7092
    @abdullahyahaya7092 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaallah

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 4 หลายเดือนก่อน

    Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mawahabi mukishindwa hoja munakumbuka adabu zaikhitilafu

    • @SaidKessy-f5p
      @SaidKessy-f5p 4 หลายเดือนก่อน

      Kuwa na adab ya dini..dini si ushindani lazma uheshimu maneno yenye haki bila kuangalia yameoka kwa nani

  • @Dhikriqadiriarazaqia
    @Dhikriqadiriarazaqia 4 หลายเดือนก่อน +2

    Nice

  • @JumaMvungi-ot4ef
    @JumaMvungi-ot4ef 4 หลายเดือนก่อน +2

    Huu uwanja uko wapi kwa anaejua

    • @mahamedmonte
      @mahamedmonte 4 หลายเดือนก่อน +3

      Kizingo ground

  • @HamzaAli-cw7qg
    @HamzaAli-cw7qg 4 หลายเดือนก่อน

    Apa nadhani ni ummu kulthum kwa joho.

  • @hamisilewa1943
    @hamisilewa1943 4 หลายเดือนก่อน

    Mwawalaumu salaf ,sawa lakini sisi hatuna neno katika hili masala ya mwezi hamna shida ikhitilafu hii ipo ,lakini manhaji jamani , sasa salaf wanalaumiwa tayari

  • @SalumKeya
    @SalumKeya 4 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuhifadh dr islam