Niguse tena Yesu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @tabumrishoamen8601
    @tabumrishoamen8601 3 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu nimebarikiwa na somo

  • @viviansalem2611
    @viviansalem2611 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mungu kwa uponyaji wako ,mm nimefstilia mahubiri Leo na nimepokea uponyaji waajabu asubui hii ya Leo asante MUNGU

  • @justinapaul3880
    @justinapaul3880 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema nabarikiwa sana na mahubiri yako, unanigusa sana mtumishi wa mungu

  • @MaryWilson-vg2mm
    @MaryWilson-vg2mm 3 ปีที่แล้ว

    Hakika Mch umenifanya kua jasiri kwa mahubiri na mafundisho yako,siteteleki hata! Najiamini najiamin sasa kwakua alie ndani yangu ni mkuu kuliko vyote,barikiwa sana mungu aendelee kukuweka miaka ming uwaokoe kondoo waliopotea,sjui kanisa lako linapatkana wap nataman siku moja nije nisali jaman itakua baraka.

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 4 ปีที่แล้ว

    Ee mungu wangu nami nigushe mahali niko nahufimbe nipone Kwai mani ameni

  • @davidsandimba8613
    @davidsandimba8613 6 ปีที่แล้ว +2

    mchungaji huwa unanibariki sana...napenda mafundisho yako sana...zidi kuniombea nidumu kwenye imani...mungu akubariki

  • @barakajoseph1816
    @barakajoseph1816 5 ปีที่แล้ว

    Niguse tenaa Eeh Mungu Wangu..ubarikiwe sana Pr

  • @sikanastima8754
    @sikanastima8754 5 ปีที่แล้ว +1

    Pastor Mungu akupiganie akupe nguvu za kuishinda dhambi na mbinguni uwepo

  • @wahindiakwembe8066
    @wahindiakwembe8066 6 ปีที่แล้ว +2

    Asante mtumishi kwa neno hili. Nimeguswa sana na kubarikiwa

  • @neema1922
    @neema1922 6 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mwema sana.
    Nimewahi kuota ndoto na ikajirudia mara kwa mara, Siku moja baada ya ndoto niliamka usingizini, nikapiga magoti nikamuomba Mungu anisaidie kujua maana ya ndoto ile maana nilijua haikuwa ya kawaida, Mungu akanijulisha saa ile ile.
    Ndoto ile haikurudia tena tangu siku ile, maana aliniwezesha pia kufuata agizo lake.

    • @liliankassase3645
      @liliankassase3645 4 ปีที่แล้ว +1

      pr. mbaga wewe ni mmoja
      lakini huku nje zipo mbegu
      nyingi zinazoota hizo nazo
      ni Mbaga.kweli Barikiwa sana
      siku Yesu akirudi watakuwepo
      Akina Mbaga wengi nyuma yako
      na utashangaa.Nakupenda sana
      nabarikiwa sana endelea kulisha
      Kondoo wa Bwana.

  • @martinbabu4434
    @martinbabu4434 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mchungaji wangu

  • @violetnyansiaboka2821
    @violetnyansiaboka2821 5 ปีที่แล้ว +1

    AMINA.mungu ni mponyaji

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 6 ปีที่แล้ว +2

    Nami naamini nguvu ya Mungu.jina la Yesu lipewe sifa

  • @MahubiriPrMmbaga
    @MahubiriPrMmbaga  5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha Mungu akubariki sana

  • @kaburarachel406
    @kaburarachel406 5 ปีที่แล้ว

    Mchngaji Mmbaga barikiwa sana mahubiri yananijenga sana kiimani,ila nina chngamoto ya miguu sana karibu miaka 6 dawa nyingi za hosptalini lakini nafuu ya muda mchache tu naomba unikumbuke kwa maombi.

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 5 ปีที่แล้ว

    Amen am really blessed i wish i could get your DVD 📀 in Kenya

  • @fadhililogatus4422
    @fadhililogatus4422 6 ปีที่แล้ว

    namshukulu mungu sana nazidi kubalikiwa kila siku ninapo tazama mahubili haya.

  • @angel-y
    @angel-y 6 ปีที่แล้ว

    Amen. God bless you Pastor.

  • @agnesbwananomuchungajiwang6645
    @agnesbwananomuchungajiwang6645 5 ปีที่แล้ว

    Amene Bac Mungu akubariki

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @graceymaghema2753
    @graceymaghema2753 6 ปีที่แล้ว

    Amina na barakiwa sana Mungu azidi kukujaza

  • @bobog9732
    @bobog9732 5 ปีที่แล้ว

    Amen Mungu azidi kukupa nguvu Mucungaji

  • @genevieveemmanuel1804
    @genevieveemmanuel1804 5 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema hubiri limekua chachu ya mabadiliko kwa kweli kabla ya hubiri nilikua na moyo wa visasi mnoo ila nimeachilia yote

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 5 ปีที่แล้ว

    Mungu apewe sifa kwa huo uponyanji

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 6 ปีที่แล้ว +1

    Nimebarikiwa sn na somo hili hakika sifa, utukufu, na heshima ni vya BWANA

  • @ibrajoel798
    @ibrajoel798 6 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mch mbagga GOD bless uuu much

  • @ibrajoel798
    @ibrajoel798 6 ปีที่แล้ว +3

    Daaah huuu ujumbe nais ulikua kwa ajili yangu jaman

  • @bensonissaya4052
    @bensonissaya4052 6 ปีที่แล้ว

    Amina.. Mungu ni mwema.. Nimepata kipya na leo

  • @bensonissaya4052
    @bensonissaya4052 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema wakati wote... Jina la bwana lihimidiwe

  • @akwiliniswai5203
    @akwiliniswai5203 5 ปีที่แล้ว

    Kweli na mimi niliota ndoto nikaapuuzia baadae ikaja ikatokea kweli nilipata shida sana

  • @BIBLIANURUYADUNIA
    @BIBLIANURUYADUNIA 5 ปีที่แล้ว +3

    kupitia mahubiri yako mch.nimeamini kwamba kuna nguvu katika maombi na hakuna lisilo wezekana,naomba umweke binti yangu katika maombi ambaye amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafakwa miaka karibu tatu sasa.Tumezunguka hospitalini bila kupata suluhisho,leo namshukuru mungu kwamba kupitia mahubiri yako nimetambua ya kwamba suluisho niyesu pekee daktari mkuu.msichana wangu ako katika darasa la chekechea jina lake ni JUNE NAVIOLE.no.ya simu ni:0723012079/0724750487KENYA.barikiwa sana.

  • @cloudinebatamuliza1578
    @cloudinebatamuliza1578 6 ปีที่แล้ว

    Amen Amen

  • @victoriajames6190
    @victoriajames6190 2 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @brigittendihokubwayo9474
    @brigittendihokubwayo9474 3 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @stephanokalile215
    @stephanokalile215 6 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki pr

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @giansiamariki1726
    @giansiamariki1726 5 ปีที่แล้ว

    pastor MBAGA naomba uje utoe somo la kuhusu uumbaji

  • @wewehehe6405
    @wewehehe6405 5 ปีที่แล้ว

    Inspiration🙏

  • @leticiasteven860
    @leticiasteven860 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mahubiri

  • @verosena2924
    @verosena2924 6 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa PR

  • @namsamson3443
    @namsamson3443 6 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kupewa sifa

  • @waridiibrahim9427
    @waridiibrahim9427 5 ปีที่แล้ว

    Naomben namba ya mchungaji mbaga inayopatikana

  • @nippermshana9260
    @nippermshana9260 6 ปีที่แล้ว

    Haleluya

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 5 ปีที่แล้ว

    Amina!

  • @ezekiatave9581
    @ezekiatave9581 6 ปีที่แล้ว

    hakika mungu mkuu

  • @tumainingonyani3226
    @tumainingonyani3226 6 ปีที่แล้ว

    Asante mtumish ubarikiwe

  • @josphinemumbi352
    @josphinemumbi352 6 ปีที่แล้ว

    Ameena

  • @mashakamkolwi7829
    @mashakamkolwi7829 6 ปีที่แล้ว

    atukuzwe muumba mbingu na nchi kwakumtumia huyu mbaga.

  • @brigittendihokubwayo9474
    @brigittendihokubwayo9474 3 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @margratematuku3824
    @margratematuku3824 6 ปีที่แล้ว

    amina

  • @claudinebatamuriza7804
    @claudinebatamuriza7804 6 ปีที่แล้ว

    Tunawomba mutupatiya Number za pastor tuko hapa America tunawomba please

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 6 ปีที่แล้ว

      Claudine batamuriza mtumie email kwenye davidmmbaga@gmail.com

    • @Tango696
      @Tango696 6 ปีที่แล้ว

      Habari za america

  • @janekuloba926
    @janekuloba926 6 ปีที่แล้ว

    Kweli pastor haya niyangu naomba MUNGU niguse ten a niokoe yesu pastor naomba no'yako ya whatsapp

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 6 ปีที่แล้ว

      Jane Kuloba tuma email kwa davidmmbaga@gmail.com

  • @lailathussain6492
    @lailathussain6492 6 ปีที่แล้ว

    Tafadhari mtumishi naomba namba zako niko omani

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  6 ปีที่แล้ว

      tuma email kwa davidmmbaga@gmail.com utapewa number

    • @davidmmbaga3350
      @davidmmbaga3350 6 ปีที่แล้ว

      Lailat Hussain +255764600129

  • @esthersimuli9952
    @esthersimuli9952 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @brigittendihokubwayo9474
    @brigittendihokubwayo9474 3 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @judithnjalambaya2450
    @judithnjalambaya2450 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @yohananyabu4040
    @yohananyabu4040 4 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @davidmmbaga3350
    @davidmmbaga3350 6 ปีที่แล้ว

    Amen