Umeimba wimbo 2008 na umemtabiria muhusika anajina hilo hilo na kweli yuko Ulaya masikini sasa hiv 2023 anajiuza mdada wa watu ulaya huko nahisi anateseka sana masikini Mungu amsamehe na kumkumbusha atafute njia sahihi ya maisha...
Yeeeees...! Niliusotea sana huu wimbo kuutafta lakin Leo nimeunasa. Hii ngoma inahistoria na mm mwaka2008 tukiwa kitaani Igogo Mwanza ndio ilimtoa na kumtambulisha vyema katka tasnia ya Bongo flevor. Imesukiwa Bit na voko pamoja na Miksing na SOME TIMBA katika Studio ya A 2 P Record. Pale Rock cty home sweet home. Sasa Watoto wa Igone homies tunaelewa habari hii bwanaaaaa
Ngoma kaliii nimekumbuka mambo yanakuja nitokea Sasa 2023
2024 kamatuko wote gong alike by msoviet
Dah tunao sikiliza 2022 tujuane kwenye goma yetu pendwaaa
2008 nakumbuka kipind kile
Hii nyimbo inanikumbusha mbal sana 2008 it was my favourite song ad kwenye daftari niliandikaga dah😢😢😢
Old is gold daah nyimbo zinaishi sana hizi ❤❤❤❤❤
Yaani nimecheka kumbe najulika
Anaeweza kudowoad anitumie pls nimeitafuta sana huu wimbo pls wakuu
Katika Ngoma zako zote hii niliipenda sana vip mbona Haina video ulikwama wapi mbona hukuitolea video
Hii nyimbo niliipendaga sana enzi hizo niko shule kitambo
Umeimba wimbo 2008 na umemtabiria muhusika anajina hilo hilo na kweli yuko Ulaya masikini sasa hiv 2023 anajiuza mdada wa watu ulaya huko nahisi anateseka sana masikini Mungu amsamehe na kumkumbusha atafute njia sahihi ya maisha...
Sajna unajua Sana kwanini now hufanyi mziki?😭😭
Yeeeees...! Niliusotea sana huu wimbo kuutafta lakin Leo nimeunasa. Hii ngoma inahistoria na mm mwaka2008 tukiwa kitaani Igogo Mwanza ndio ilimtoa na kumtambulisha vyema katka tasnia ya Bongo flevor. Imesukiwa Bit na voko pamoja na Miksing na SOME TIMBA katika Studio ya A 2 P Record. Pale Rock cty home sweet home. Sasa Watoto wa Igone homies tunaelewa habari hii bwanaaaaa
Na mm mkuu niliufutaga mnooo..
Yupo wapi Leo ???? 2024???
Ndio wimbo ninaupenda kuliko nyimbo zako zote
Asanteh kwa hili song
Sajnaaaaaa wew sajn wewe rudi kwenye gemu hicho kipaji kilikua kitambo
Dhaaaaaa mkubali sana melod hii
Hili ni bonge la song daima milele naipenda huu wimbo
yeah is batter
Unajua sana umepotelea wp janja
Nipo hapa 2023 ❤❤❤
Broo hapo sikupingi unajua
Mwenye huu wimbo anitumie in box pls
Pandisha ngoma yako ya subira
🔥🔥🔥
🔥
Nilisha tafuta sana hii ngoma
Uko wapi sajna aisee
Kweli
Kitambo sana
Nadhifa mussa islamiya 2010
Ngoma kali inanikumbusha bali sana
@aubmnjia