![NGODA TV](/img/default-banner.jpg)
- 9
- 427 992
NGODA TV
เข้าร่วมเมื่อ 31 ก.ค. 2020
Karibu katika channel yetu pendwa kwa habari za udaku,michezo na matukio ya dunia nzima
วีดีโอ
MATONYA FT BARNABA,ISMAILI~GAUNI LA KIJANI
มุมมอง 34K3 ปีที่แล้ว
MATONYA FT BARNABA,ISMAILI~GAUNI LA KIJANI
Hii nyimbo inanikumbusha mbal sana 2008 it was my favourite song ad kwenye daftari niliandikaga dah😢😢😢
Naitaji nyimbo ya akumbukwe nan
Those moments when Dance Music was on 🔥🔥
Kweli
Enzi hizo tunda hajaweuka na manyimbo ya hovyo
2024 kamatuko wote gong alike by msoviet
Hii nyimbo niliipendaga sana enzi hizo niko shule kitambo
Like every week must listen to this song, it message clearly understood
Fact
Jamani mwenye video yake naiomba
Still hot song🔥
Ngoma kama huwez kukuta zina likes nying kushinda za mapenzi 😢
KWANI TABIA UMEKUWA JE
Nyimbo zingine zitaishii sana kwa wenye akili2 ndo wataelewa
Naipenda sana Yani sana
Mdudu pagdog hatar Sanaa tobbaco family game linawatakaa again🤜🤛🤜🤛✌️😊
Mungu mkubwa
2008 nakumbuka kipind kile
very feelings song
Kuna manzi yangu aliendaga chuo akawa anazingua kinoma,alibadilika mno kipindi icho ilikua mwaka 2013 nikamtumia hii ngoma uzuri nae nilikua namsikilizishaga ngoma ngumu hvyo alikua anaelewa,aisee alivosikiliza alilia mno
Camp nzima hakuna dada anaye weza kama uba
weka like hapa kama uaskiza 2070
2024 bado ngoma ya moto,Nash anajua
Ni wimbo mzuri mno
Kijan hta mm kuna k2 flan nakumbuk dem flan iv
Unyamaa kaka nashi mc
❤
Kocha wimbo um eu te dê a haki
Love this song🎉
Message passed
❤❤❤
Ngoma Kali xn
2023 na bado tunasonga nayo kwanza after kuchoma foreign moja safi 😅😅😅
Nash mc still together 2023
Daaaah yalinikuta kwa boss mmja hivi.. ila dunia hiii
Wooooow❗️❗️❗️ mziki manana.. ❤❤❤❤
Jamaa ni mkali Sana
Mwenye huu wimbo anitumie in box pls
kali sana hiiii nyimbo
Sajna unajua Sana kwanini now hufanyi mziki?😭😭
Anaeweza kudowoad anitumie pls nimeitafuta sana huu wimbo pls wakuu
Nipo hapa 2023 ❤❤❤
Old is gold daah nyimbo zinaishi sana hizi ❤❤❤❤❤
Unavuna noti tu my bro na unatulia zakoooooo
Pagdog
Bonge la ngoma
Broo hapo sikupingi unajua
Wakati ni ukuta daaah😢😢😢 maisha haya
unatisha sana
💯💯🎤🎤