Padri Kitima Awasimamaisha Tundu Lissu, Nchimbi na Mnyika, Waliompiga Risasi wako wapi Nimewasamehe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 63

  • @norahfrank
    @norahfrank 3 วันที่ผ่านมา +10

    Asante padri Kitima.uko vizuri na hofu ya Mungu imekujaa.

    • @PeterBureta
      @PeterBureta 3 วันที่ผ่านมา

      Hongera Baba kemeeni haya maovu yanayoelekezwa na viongozi.

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 2 วันที่ผ่านมา

      AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE..!
      th-cam.com/video/TfoMGMw13zU/w-d-xo.html
      BAGAMOYO.
      Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa.
      Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST.
      Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili.
      Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.

  • @JohnNgambeki
    @JohnNgambeki 4 วันที่ผ่านมา +11

    Asante father kitima mungu akubariki Sana

  • @bonifacesulley3470
    @bonifacesulley3470 2 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Fr.Kitima kwa kuwaalika kuwaleta hawo wote madhabahuni hakika umefanya jambo jema sana mungu wa mbinguni ahimidiwe milele yote, wanashangaa wote wako Kanisani na kila moja anamshangaa mwenzake kwa makusudi Fr.Kitima akawaleta mbele ya madhabahu.

  • @JamesSitta-b9s
    @JamesSitta-b9s 4 วันที่ผ่านมา +9

    Nakukubal sana Dr kitima

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert 3 วันที่ผ่านมา +2

    Nimempenda huyu padri

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mbunge wetu bashungwa nakupenda sana

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 4 วันที่ผ่านมา +5

    Bashungwa kaiva ndani ya DINI na ndio maana kazi zake daima zimenyooka ! Hana matambo yeye na kazi tu !

  • @MohdSalum-y5i
    @MohdSalum-y5i 3 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana siasa nzuri

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 4 วันที่ผ่านมา +5

    Mababa wa kiroho nimefurai sana,, sasa isiwe sababu ya kupoza mandamano

  • @MasudSalum-o4o
    @MasudSalum-o4o 4 วันที่ผ่านมา +5

    Kitima mm kila siku namkubali

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mnyika tangu tukio la mbeya kuvuliwa miwani hataki tena kuvaa miwani amezila hataki tena miwani

  • @butungo1
    @butungo1 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Fr. Kitima

  • @user-ei9xd4qs7o
    @user-ei9xd4qs7o 2 วันที่ผ่านมา +1

    Saf sana viongoz hapo hatamungu amewaona kwa macho yote raki tu. Watejaji mmewasahau wangekuja mbele tuwaone apo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu atende zaidi alete Amani zaidi undugu zaidi dini zote tunaomba Amani dini zote zikemee utekwaji uuwaji uporaji wa haki za binadamu

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kanisa Katoliki Anzisheni Cha ma cha Siasa Tuwaelewe Sio U ndume wa kuvili

  • @evaemil856
    @evaemil856 3 วันที่ผ่านมา +2

    Sawa Ekarist hii tumeombea undugu wetu na Kudumisha Amani, lakini Kudumisha undugu wetu ni kuwatoa hadharani waliompiga risasi Tundu Lissu na waliomteka Ali na kwenda kumtesa na Kisha kumtesa, kumuua, na kutupa mwili wa marehemu

  • @Wambula..deogratias
    @Wambula..deogratias 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sisi wakilisitu atuna roo mbaya

  • @StewartShumbu-w6m
    @StewartShumbu-w6m 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kwani kiongozi wa dini ametumwa kufanyanini kama sio kupatanisha

  • @Wambula..deogratias
    @Wambula..deogratias 2 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa w mama hawapumziki waachiena vizazi vya reo jamani watanzania

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 3 วันที่ผ่านมา +3

    Fr Kitima ni MTU na nusu

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 3 วันที่ผ่านมา +5

    Hakuna mtu yoyote duniani anaye mwamini yesu halafu asiwe MUISLAMU kwani moja ya imani ya waislam ni kumwamini yesu kuwa ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya wana wa Israel tu na hakutumwa kwaajilo ya watu wote SOMA MATHAYO 10:5-6
    MATHAYO 10:23
    MATHAYO 15:24
    Na sehemu nyingine nyingi....
    Na baada ya yesu mwenyezimungu akamtuma mtume Muhammed saw kwaajili ya watu woooote kwahiyo ili uwe mwislam inakupasa kushuhudia kuwa MUNGU ni mmoja tu wapekee na wakweli na kushuhudia kuwa mtume Muhammed saw ni mtume wa MUNGU aliyetumwa kwajili ya watu woooote.

    • @freduallughano2301
      @freduallughano2301 3 วันที่ผ่านมา +1

      Ona gaidi huyu

    • @Werema3760
      @Werema3760 3 วันที่ผ่านมา

      ACHA UJINGA😂
      👉“Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ULIMWENGU, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili KILA MTU amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

      - Yohana 3:16 (Biblia Takatifu)

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 3 วันที่ผ่านมา

      @@Werema3760 maneno hayo yako wazi zaidi ALIE UPENDA ULIMWENGU NI MUNGU AKAMTUMA YESU NA SISI TUNA AMINI KUWA YESU ALITUMWA na aliyetumwa hawi MUNGU tunacho shangaa ni wale wanao mwita yesu kuwa ni MUNGU !!! Na hakuna andiko lolote ambalo yesu alifundisha kuwa yeye ni MUNGU.....
      Ndomaana yesu anasema katika yohana 17 : 1-10
      ( mimi siuombei ulimwengu bali hawa ulionipa kwa kuwa wanasadika ya Kuba wewe ndio uliye nituma)

    • @abrahmanhmd2557
      @abrahmanhmd2557 3 วันที่ผ่านมา

      UMEAMUA UJE NA HII AU SIO..
      JITAHIDI NGEDERE WEW

    • @istambulahmed6664
      @istambulahmed6664 3 วันที่ผ่านมา

      @@freduallughano2301 usi walaani watu halafu laana ika kurudia mwenyewe
      Labda uniambie kosa liko wapi ili tuelimishane bila jazba
      SISI WAISLAM TUNA AMANI KUWA YESU ALIZALIWA BILA BABA NA ALIFANYA MIUJIZA MINGI KAMA KUFUFUA NA NK ILA YEYE MWENYEWE ANASEMA ALIFA KWA UWEZO WA MUNGU NAAKAFUNDISH KUWA YEYE NI WANAADAMU NA NI MTUME ALIYETUMWA NA MUNGU KWAAJILI YA WANA WA ISRAEL NA HAJAWAHI KUFNDUSHA HATA MARA MOJA KUWA YEYE NI MUNGU AU MUNGU NI MMOJA KATIKA NAFSI TATU NA KAYIKA MAFUNDUSHO YA YESU YESU ANASEMA TUJIFUNZE KWAKA NA SISI TUNA AMINI KUWA MAFUNDISHO YA YESU NI KWELI TU BILA YA SHAKA YOYOTE NA WEWE LEO UKIMWAMINI YESU KUWA NI MTUME WA MUNGU NA WALA SIO MUNGU UTAKYWA SAWA NA SISI..........ACHA JAZBA TUELIMISHANE KWA UPENDO......

  • @AgustaZaile
    @AgustaZaile 4 วันที่ผ่านมา +4

    Kanisa katoliki lina mikono mirefu san

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 3 วันที่ผ่านมา +2

    Msifanye hivyo siku ingine mnatuaibusha jamani

  • @SaugoNdemo-tx4le
    @SaugoNdemo-tx4le 3 วันที่ผ่านมา +2

    Naona kuna watu hapo nafsi zao !

  • @ezekielmapunda2751
    @ezekielmapunda2751 2 วันที่ผ่านมา +2

    Shetani akikuambia sisi sote ni ndugu utajibu vipi?

  • @Samuelmanga-r7z
    @Samuelmanga-r7z 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nmefrah sana maaskofu mmeponya wengi kiriho juu ya nchi yetu japo ccm maskio ni ngumu kuelewa

  • @user-nt1lf8rr9g
    @user-nt1lf8rr9g 3 วันที่ผ่านมา +1

    🎉

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 4 วันที่ผ่านมา +2

    Ok haya

  • @GidionySimfukwe
    @GidionySimfukwe 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kama ndo hv elewanen tu,tunaumia ni ss na umasikin

  • @JetaMlawa
    @JetaMlawa 3 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani nipenda iyo watu tunatakiwa tuishi vyeo vistufanye tukajiona.kuliko wengine

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Na wewe tuoneshe waliouwa Polisi na kuuwa police Sitaki Shari , Mkuranga na kibiti. Mnafiki mkubwa.

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 3 วันที่ผ่านมา +2

    Acha uchawa wako, waulize waliotekwa wapo wapi,

  • @rashidkapile
    @rashidkapile 3 วันที่ผ่านมา +1

    Padiri umefanya jambo zulisana ila nakuomba uwaite viongozi wa isilam uwena mkutano kama uwo ili vuguvugu lililopo likae sawa

  • @omarsuleiman9064
    @omarsuleiman9064 4 วันที่ผ่านมา +3

    Mtajijua nchi mnaiharibu wenyewe kwa kuendekeza ubinafsi ipo siku mtajuta

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 4 วันที่ผ่านมา +2

    Katoriki ni siasa tupu hapana imani hapo

    • @lovenesdickson1824
      @lovenesdickson1824 4 วันที่ผ่านมา +1

      Sio katoriki tuu, Kwa Sasa dini zote

    • @JosephLaizer-q8f
      @JosephLaizer-q8f 4 วันที่ผ่านมา +2

      Acha ujinga ww hauelewi chochote

    • @ULIRCKTARIMO
      @ULIRCKTARIMO 4 วันที่ผ่านมา

      Katoliki sio katoriki

    • @SadickMfilinge
      @SadickMfilinge 4 วันที่ผ่านมา +1

      Au sio kwa hiyo awaache halafu wote wakatoliki halafu wanakwazana,wanatekana wanauwana pia kumbuka hao wote walipitia seminari za kanisa kanisa katoliki lazima waonywe na kubadilika

    • @lovenesdickson1824
      @lovenesdickson1824 3 วันที่ผ่านมา

      @@ULIRCKTARIMO kimeeleweka