KIUKWELI MAMA NIMEKUELEWA NA NIMEKUPENDA BURE Nakupenda mama WEWE NI MAMA uishi miaka mingi Mungu akujalie hekima na neema ya kuendelea kuongoza taifa letu na ulifikishe kwenye nchi ya ahadi MUNGU IBARIKI TANZANIA, kwa mtazamo huu uliouonesha hakika unauchungu na taifa letu NAKUOMBEA SANA SANA UWE HODARI NA USHUJAA MWINGI
Ivi watanzania mnao Amin selikali yetu kua Iko vizuri Je!? kunamtu anae tambua kuhusu mchanganuo wa mkataba wa linganga na mchuchuma ludewa sio mnasifia2 tunaibiwasana
Suara la kutekwa tekwa tumechoka toa kauli tamko Kama yanatokea ndo tunyamaze sisi hatujazoea vita kikubwa Uhuru Kwanza siasa zenu hazituhusu make mmegeuza siasa kuwa kazi
Hiyo milioni tano ya goli la mama ikomee hapo sisi huku vijijini tunakunywa maji ya kuchangia na fisi,mijisi,kenge na kila aina ya uchafu hivi ukituchimbua visima vya maji si ni bora sana kuliko kugawa hovyo hizo pesa za walipakodi ama kweli mwenye nacho ataongezewa asiye nacho hata kile kidogo atanyang,anywa
Sasa kwa hotuba hiyo ndio umenirdisha kundini nanimeamini wewe ni Amiri jeshi mkuu lazima uvunje ukimya upole wako ulinipa tabu nakuona hatuna Rais kongole hayo ndo maamuzi ya kiongozi wajuu❤❤❤
Nashukuru san ila mmi ni mwanchi nanpenda tupewe mikopo kuna watu wanao tuongoza nwanakua mbele kutafuta ndungu zao tunaomba Kemea hilo tupate wote tunaoomba mikopo ili tuwesaw sot mungu akulinde amina
Hongera zako mama, Mitano tena Dr Samia S. Hassan kwa Hotuba nzuri, Kiukweli Umeeleweka vyema, Amani ya Nchi yetu tutailinda wenyewe kwa Jasho na Damu. SSH-2025
Kumbe mama habari zote unazo mbona hujawahi kukemea Siku zote watu wanapiga kelele nauko kimnya ndio maana mapolisi wako wanatuhumiwa kwa sababu wao ndio wavunja Armani
Finya kabisa mama wamezoea chokochoko hao chadema lisu kàzidi ujinga wake na huyo mbowe washenzi sana wasijekuona kuona sababu we mwanamke pumbavu zao manyani hao misura yao mibaya kaa minguruwe
Asante mama, Asante Amiri Jeshi Mkuu Asante Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tuko sambamba na wewe mama yetu kipenzi. Fanya kazi mama. Hakuna wa kukubabaisha wataondoka wao na mabalaa yao. Na hao mabalozi wao waende wakakemee kwao wanakooana ndoa za jinsi moja.
Lameck Laizer kutoka ARUSHA hao wa pinzani mwaka huu hawatoboi mama mitano tena Natena wa kituzengua tuna kupa mitano tena mala mbili Ahsant kuubwa mama yetu SSH. Unaupiga mwingi vijana wako tuku pamoja nawew MONDULI kula zoote kwa Samia Ccm hoyeeeeee..
Mama yetu mheshimiwa,ukimya, uvumilvu, upole ndivyo ishara ya ujasiri,hekima na busara, hususan unapotukanwa.Unatufaa sana mama,kutulindia na kudumidumisha amani yetu! Songa mbele, waache wahangaike.
Mama tatzo unapoa sana Kwann upiti kwenye nyayo Ya mzee maguful kuwa katiri Kama mzee maguful watu Wakizingua watupe ndani Mda mrefu wakitoka watakuwa Wamejifunza maana wanazingua Wanakuzoeya sana
Asante sana mama etu, hotuba yako ni tamu na imejitosheleza sana kwa wale vibaraka wanao iyonea chuki amani yetu, sisi tunajua kuna nchi wanaona choyo kutuona tumetulia Tanzanian, wanawatumia baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, ila niwakumbushe wasijidanganye hawatofanikiwa kutuharibia tupo macho kwa hili, lakini tunajua kama hassad inawaumiza wakiona muislam, mwanamke pia mzanzibari, musiumie wakristo wamekaa sana hatukusema kitu, sasa tulieni. Msitafute yaliolala. Mama hana ubaguzi katika utumishi wake uliotukuka
Mama sisi hatuhitaji siasa zenu au kujirejesha, embu rahisisha fursa za raia katika shuhuli za kijamii na jicho lako embu lieke kwa watu wadogo, tz hatuhitaji chama ila tunahitaji utayari wa kila jambo la mtu mmoja mmoja, Embu wezesha jasho la watu liwe haki yao, ila wezesha pia hekima ya watu iwe amani yao
Watanzania tuwe macho. Kuna viongozi waroho wa madaraka wanajipendekeza kwa wazungu yaani wanakuwa vibaraka wa wazungu. Wako tayari nchi hialibike. Tujiangalie nyumba yetu tutaichoma moto sisi wenyewe . Cha msingi mama angalia Sana utendaji wa polisi... Polisi awatumwi. Ni wenyewe Kama binaadamu Wana hulka zao. Ata uku mitaani tunaona wanayotufanyia. Chunga Sana polisi
Mlitaka watu wakae kimya maana aliekufa paka yule ila tambueni ipo ck mutafika katika mamraka ya allah mutasimamishwa nakila kiungo kitaongea inshallah hakimu wa haki nimungu tu nyie leweni na dunia kifo chakuuliwa mwanaadamu unasimama nakusema kufa kupo tu kwahio haki yk kuuliwa mungu simama nahii kauli🤲🤲🤲
Vita vyenu sisi haavituusi wala hatuhitaji kuvisikia masikioni mwetu, uwaneni mtajua wenyewe, tunachotaka ni amani na haki ya mtu mmoja mmoja ili mwenye haki astawi kwa amani yake baaasi
Kutolewa mtu ndani ya basi na watu wanaona kweli hii na kesho yake anakutwa kachinjwa na kutupwa kama nguluwe hii kubwa lao wakamatwe wahusika kwa kweli ili tuwe na amani
Hilo tu linatosha kuonesha udhaifu wa serikali. Kama wapinzani ndo wanahusika mbona hawakamatwi? Au vyama vya siasa vimeizid serikali? Hiyo intelligencia mbona haijasaidia kuwakamata wanaohusika na utekaji pamoja na mauwaji ya kiongoz WA chadema
Naam wamezoweya taabu na kudabganywa nadhani machawa wote hao walocoment hivyo iko siku Allah atawapa machungu ya kuuliwa watu wao watekwe wateswe wauwae ndio itakuwa fundisho kwao YAARABB
Unajivunia hao polisi waendelee kuua ili kulinda uovu huo ni ujina na ujue wapo walio tangulia kabla yako walikua jeuri na lakini leo hii wako wapi, yukowapi firaun, yukowapi Aldof hitla, yuko wapi Savimbi mungu atakunyoosha subiri hii damu mnayo imwaga isio na hatia mtailipa In Sha Allah
Sawa mama amani isipotee kata mikia maana hatuna pa kukimbilia vita ikitokea zuia kabsaa vita isitupate, lakini shulikia hawa wauwaji wadogo wadogo wanaoua familia na kubaka na kulawiti tumia ukuu wako wote ikomeshwe😢
Hapo penye ukimya. Ukimya sio fadhila ( it is not a virtue). Ukimya ni hali fulani tu, haimaanishi kuwa mkimya ni mtu mzuri au mbaya, inategemea. Ila upole, kiasi ni fadhila. Unapokuwa mkimya watu wanaokuzunguka hukuogopa sana na watakufanyia chokochoko ili useme kitu iliwakujue jinsi ulivyo "utamjua kwa maneno yake". Ushauri, unapokuwa mkimya hasa ukiwa kiongozi, ukiamua kuongea hakikisha kila neno unalolitoa unalipima, vinginevyo ukimya wako waweza kosa maana.
Huko kwa Trump/USA wanaofanya uhalifu wanakamatwa,hatua zinachukuliwa..ila huku kwetu hatuwajui,hatuoni hatua/jitihada za kuwatafuta.. tunaambiwa ni wasiojulikana
@@sskondopoleani9616 kwa hiyo na sisi weusi huku kwetu tanzania mnatufanya kama weusi wa USA? Hivi mama alisema kesi za mauaji ambazo hazijaisha huko ulaya na USA ni za weusi?
Pole mama yangu ki penzi tunakuombea, Mungu akulinde kwaajili yetu mama ,umekuwa mpole mvumilivu, umejaa hekima hakika wewe ni mama,songa mbele mama yangu,
Mama mama toka uongee lsasa nimeona umekomaa sana umeongea.kama rais na kiongozi mkuu kabisa kama wewe ndiye rais lazima watii asiyetii ashugulikiwe hongera mama hakika hatakura yangu haitapotea najua itakuwa Iko kwa jemedari hongera sana
Huruma saa zingine inaponza umewaonea hurum sasa wanakugeuka cha msingi turudishe tu kulekule zuia uhuru wa habari hawa watu wa habari ndo wabaya sana ba pia zuia vyama vingi nk hapo ndo utajenga na ndo watakuelewa nini una maanisha baada mda usimuangalie mtu usoni mi yangu ni hayo tu mh wetu
Wala hajakosea mboa wakofa mailing vijijini hamuongea lkn kama kibao kila mtu anajifanya ana uvhungu Unafiki tu kifo ni kifo tu maumivu ya kifo ni yale yale
Kuongoza nchi kugum Hawa wanalalamika watu wawo wameuliwa wengine maji wengene Kodi nyingi mfano gari moja inakodi kama nane hapo mwenyegari hajagusa vipuli matairi na wafanyakazi ila munaoongoza nchi jiandaeni na azabu ya mungu tuitii viongozi tusubiri nusra ya mungu
Kuuliwa kwa kiongozi na mtu wa kawaida ni tofauti japokua roho ni roho lkn status ni tofauti Na wanafunzi wanaoua amerika ni wanafunzi na sio watekaji au serikali Kwani serikali imeunda genge la uuwaji na utekaji hatuwezi kufananisha ujambazi na serikali kupoteza watu na ushahidi ni rc aliposema na yeye alishiriki ktk mapori ikwiriri msijitowe fahamu
Hii Nchi ni yetu, kifo ni kifo maana yake nini?na mbona hakuna maagizi ya nini kifanyike baada ya vifo hvyo?na juu ya waliopotea tuelewe nini? Serikali mnarahisisha mambo sana
Rais naomba wasikupotezee tunajua kuwa unafanya kazi nzuri na wala usibabaishwe na hao wapinzani hao wanajua kuwa hawakuwezi kisiasa kilichobaki wamebakiza kukuchafua tu kisiasa ila tunajua ushawaelewa. Tumia hekima tu kuwatuliza hao wanahamasisha maandamano ili waadhibiwe wapate ya kuzungumza. Mungu akusimamie rais wetu. Tupo nyuma yako Rais wetu. MUNGU AKULINDE kuongoza nchi sio kazi rahisi ila wewe umeleta mabadiliko na kuweza kudhihirisha kuwa hata wanawake wanaweza kuongoza nchi. Mungu akuongoze na nchi hii wewe ndio unatufaa na utapita bila kupingwa
Mama tupo sasa hihi usirudu nyuma wadhibitiwe wavuruga amani kabla taharuki haijaleta athari kwa jamii,,tunaliomba jeshi la police waendelee kuhakikisha watovu wa adabu wanashikishwa adabu,,mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa
Kibao ni kiumbe cha Allaah kama hao maalibino na wote waliouwawa kikatili na nyie madhalim mtalipwa kwa udhalim wenu Hasbunallah Waniimal Wakiil looo mitanzanzii msokuwa na imani wala ubinadam roho mbaya Allah atakupeni machungu kuliko hayo msikuwa na hisia na wezenu looo
Ehee mama . Tatixo ametekwa live Ni wanaojulikana. Mama nakupendasana Kama mama , pia raisi , pia Kama mzanzibar mwenzetu, mama watu wameonekana na ak 47 napingu Mama's watu wachatu mamawalalamike. Ila hao waliouliwa ndani watatu ndio hawajulikaniki mama. Mwisho mama nahofia vitahivi vitarudi kwetu raia wachini m. Bara kumvizia mzanzibar kwao , na mzanzibar kumvizia mbara. Jamani kisasi hatari . Siongei kwaubaya 😢
KIUKWELI MAMA NIMEKUELEWA NA NIMEKUPENDA BURE Nakupenda mama WEWE NI MAMA uishi miaka mingi Mungu akujalie hekima na neema ya kuendelea kuongoza taifa letu na ulifikishe kwenye nchi ya ahadi MUNGU IBARIKI TANZANIA, kwa mtazamo huu uliouonesha hakika unauchungu na taifa letu NAKUOMBEA SANA SANA UWE HODARI NA USHUJAA MWINGI
Ivi watanzania mnao Amin selikali yetu kua Iko vizuri Je!? kunamtu anae tambua kuhusu mchanganuo wa mkataba wa linganga na mchuchuma ludewa sio mnasifia2 tunaibiwasana
Mtihani kweli mama hajadhamiria mazuri
Suara la kutekwa tekwa tumechoka toa kauli tamko Kama yanatokea ndo tunyamaze sisi hatujazoea vita kikubwa Uhuru Kwanza siasa zenu hazituhusu make mmegeuza siasa kuwa kazi
Hiyo milioni tano ya goli la mama ikomee hapo sisi huku vijijini tunakunywa maji ya kuchangia na fisi,mijisi,kenge na kila aina ya uchafu hivi ukituchimbua visima vya maji si ni bora sana kuliko kugawa hovyo hizo pesa za walipakodi ama kweli mwenye nacho ataongezewa asiye nacho hata kile kidogo atanyang,anywa
Sasa kwa hotuba hiyo ndio umenirdisha kundini nanimeamini wewe ni Amiri jeshi mkuu lazima uvunje ukimya upole wako ulinipa tabu nakuona hatuna Rais kongole hayo ndo maamuzi ya kiongozi wajuu❤❤❤
Acheni unafiki enyi watu, dunia tunapita tu, tuliko na tuendako pengine muda ni mchache sana, acha kinywa cha kujipendekeza enyi watu
MAMA SAMIA KWA MARA YA KWANZA UMEONGEA KAMA KIONGOZI hoyooo Asante sana mama YETU ✊ this is leadership Legacy
Hutuba nzuri sana mama samia hongera mama mungu akuifathi uendelee miaka ijayo allah akupe wepesi inshallah
Me nimependa hapo kufa lazima tufe Amina kufa tufe tu Mungu utupokee
Nashukuru san ila mmi ni mwanchi nanpenda tupewe mikopo kuna watu wanao tuongoza nwanakua mbele kutafuta ndungu zao tunaomba
Kemea hilo tupate wote tunaoomba mikopo ili tuwesaw sot mungu akulinde amina
Hongera zako mama, Mitano tena Dr Samia S. Hassan kwa Hotuba nzuri, Kiukweli Umeeleweka vyema, Amani ya Nchi yetu tutailinda wenyewe kwa Jasho na Damu. SSH-2025
Safi sana mama wasikujaribu umetambua njama zao tuijenge nchii yetu na sio kuibomoa .
Mungu iponye nchi yetu na ushugulike na kila mharibifu wa hii nchi.Kwa Jina la Yesu.
Tukizungumzia Amani kila mmoja anayohaki ya kujali na kulisimamia kwa dhati ahsante sana mama
Hongera cn mama wakizimkazi kwa hotuba safi cn tunakuahidi tutakulinda na kukutetea muda wote mungu ibariki tanzania
Poy sana
Kaa kimya wewe.unasifia kitu ambacho hukijui utajipoteza wewe
Bendera yafata upepo umeamka usingizini umelopoka
Kumbe mama habari zote unazo mbona hujawahi kukemea
Siku zote watu wanapiga kelele nauko kimnya ndio maana mapolisi wako wanatuhumiwa kwa sababu wao ndio wavunja Armani
Finya kabisa mama wamezoea chokochoko hao chadema lisu kàzidi ujinga wake na huyo mbowe washenzi sana wasijekuona kuona sababu we mwanamke pumbavu zao manyani hao misura yao mibaya kaa minguruwe
Watanzania Tunajitaidi Sana Kuichezea Amani Siku Moja Tutajua Atujui Hata Nyerere Alisema
❌❌❌❌❌❌❌❌mama samia mmmmh kifo ni kifo kwer mmmh sawa siku akija kupotea ndugu au mtoto ndo utajua maumivu saiv sema hivyo tu kuwa kifo ni kifo
Asante mama,
Asante Amiri Jeshi Mkuu
Asante Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuko sambamba na wewe mama yetu kipenzi.
Fanya kazi mama. Hakuna wa kukubabaisha wataondoka wao na mabalaa yao. Na hao mabalozi wao waende wakakemee kwao wanakooana ndoa za jinsi moja.
Eheee
Kwahiyo ulitaka wakae kimia na kushushwa kwenye bas
Nadhani walitaka iwe kimnya kama alouliwa sio Kiongozi wa watu looo phooo
Mweheshimiwa Rais leo ndio umeongea kama Rais. Urais sio lelemama safi sana Dr. Samia Suluhu Hassan.
Tunataka kiongozi mwenye msimamo kama wewe mama yangu, Mungu akulinde sana
Lameck Laizer kutoka ARUSHA hao wa pinzani mwaka huu hawatoboi mama mitano tena
Natena wa kituzengua tuna kupa mitano tena mala mbili
Ahsant kuubwa mama yetu
SSH. Unaupiga mwingi vijana wako tuku pamoja nawew
MONDULI kula zoote kwa
Samia Ccm hoyeeeeee..
Watu wanaogopa kuacha tembele makofi Kila mda😅😅
Mama yetu mheshimiwa,ukimya, uvumilvu, upole ndivyo ishara ya ujasiri,hekima na busara, hususan unapotukanwa.Unatufaa sana mama,kutulindia na kudumidumisha amani yetu! Songa mbele, waache wahangaike.
Mama tatzo unapoa sana
Kwann upiti kwenye nyayo
Ya mzee maguful kuwa katiri
Kama mzee maguful watu
Wakizingua watupe ndani
Mda mrefu wakitoka watakuwa
Wamejifunza maana wanazingua
Wanakuzoeya sana
Mungu ibariki Tanzania
Wameota mikia hawajitambui hawa,heshima Keisha kabisa,asante Mama.
Asante sana mama etu, hotuba yako ni tamu na imejitosheleza sana kwa wale vibaraka wanao iyonea chuki amani yetu, sisi tunajua kuna nchi wanaona choyo kutuona tumetulia Tanzanian, wanawatumia baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, ila niwakumbushe wasijidanganye hawatofanikiwa kutuharibia tupo macho kwa hili, lakini tunajua kama hassad inawaumiza wakiona muislam, mwanamke pia mzanzibari, musiumie wakristo wamekaa sana hatukusema kitu, sasa tulieni. Msitafute yaliolala. Mama hana ubaguzi katika utumishi wake uliotukuka
Kwani ni Rais yupi mkristo aliyekuwa na udini!? Acha udini sisi sote ni ndugu.
Sio kosa lako no upungufu wa elimu na ufahamu Tanzania ni non-secular state acha ujinga udini hauna nafasi Tanzania huo ni uchochezi.
Mama sisi hatuhitaji siasa zenu au kujirejesha, embu rahisisha fursa za raia katika shuhuli za kijamii na jicho lako embu lieke kwa watu wadogo, tz hatuhitaji chama ila tunahitaji utayari wa kila jambo la mtu mmoja mmoja,
Embu wezesha jasho la watu liwe haki yao, ila wezesha pia hekima ya watu iwe amani yao
Jamani hao watu wasiojulikana wanatok wapi mbn hawakamatwi 😢na wapo nchin jamani na mbon wanaisha hao watazania
Kazi iendelee
MAMA SAMIA KWA MARA YA KWANZA UMEONGEA KAMA KIONGOZI hoyooo ✊✊ safiii sanaa
Watanzania tuwe macho. Kuna viongozi waroho wa madaraka wanajipendekeza kwa wazungu yaani wanakuwa vibaraka wa wazungu. Wako tayari nchi hialibike. Tujiangalie nyumba yetu tutaichoma moto sisi wenyewe . Cha msingi mama angalia Sana utendaji wa polisi... Polisi awatumwi. Ni wenyewe Kama binaadamu Wana hulka zao. Ata uku mitaani tunaona wanayotufanyia. Chunga Sana polisi
Mlitaka watu wakae kimya maana aliekufa paka yule ila tambueni ipo ck mutafika katika mamraka ya allah mutasimamishwa nakila kiungo kitaongea inshallah hakimu wa haki nimungu tu nyie leweni na dunia kifo chakuuliwa mwanaadamu unasimama nakusema kufa kupo tu kwahio haki yk kuuliwa mungu simama nahii kauli🤲🤲🤲
Vita vyenu sisi haavituusi wala hatuhitaji kuvisikia masikioni mwetu, uwaneni mtajua wenyewe, tunachotaka ni amani na haki ya mtu mmoja mmoja ili mwenye haki astawi kwa amani yake baaasi
Watanzania tupo nyuma yako wataondoka wao mama we piga kazi mungu akulinde mama yetu
Mama hongera, umezidi kunikosha, big gup mama , a strong president
🤔🤔🤔
@@fredrickjohnson26927:04 7:04 7:04 7:04 7:05 7:06
Kutolewa mtu ndani ya basi na watu wanaona kweli hii na kesho yake anakutwa kachinjwa na kutupwa kama nguluwe hii kubwa lao wakamatwe wahusika kwa kweli ili tuwe na amani
Hilo tu linatosha kuonesha udhaifu wa serikali. Kama wapinzani ndo wanahusika mbona hawakamatwi? Au vyama vya siasa vimeizid serikali? Hiyo intelligencia mbona haijasaidia kuwakamata wanaohusika na utekaji pamoja na mauwaji ya kiongoz WA chadema
Hongera mama wewe ndio amir Jeshi mkuu saluti kwako
Mtu kuuawa kikatili unasema ni kifo tu muogope Mungu hujaimaliza dunia mama dhamana ya watanzania iko mkononi mwako
❤Best to you our president and we let the power of Our Living powerfull GOD over reign forevermore in our home.
Laiya wote tupigeni mazoezi wote tuwe mashujaa unyanyasaji tumechoka mimi naanza leo
Watanzania kwenye kupiga makofi tuko vizuri
Acha waandamane huenda huu ukatili utapungua kidogo kwaupande wangumimi nimechoka nahaya yanayoendelea nchini😢😢😢
Naam wamezoweya taabu na kudabganywa nadhani machawa wote hao walocoment hivyo iko siku Allah atawapa machungu ya kuuliwa watu wao watekwe wateswe wauwae ndio itakuwa fundisho kwao YAARABB
Hakika acha viwafike majumbani mwao ndy wataelewa wanacoment ujinga mtupu
Mama piga kazi wanakuonea wivu waache kula rushwa na mataifa mengine CCM hoyeeee
Unajivunia hao polisi waendelee kuua ili kulinda uovu huo ni ujina na ujue wapo walio tangulia kabla yako walikua jeuri na lakini leo hii wako wapi, yukowapi firaun, yukowapi Aldof hitla, yuko wapi Savimbi mungu atakunyoosha subiri hii damu mnayo imwaga isio na hatia mtailipa In Sha Allah
Kazi nzuru mama lazima uwe makin kama ivyo pole sana kwa majikumu mamaetu Mungu atakulinda
Sawa mama amani isipotee kata mikia maana hatuna pa kukimbilia vita ikitokea zuia kabsaa vita isitupate, lakini shulikia hawa wauwaji wadogo wadogo wanaoua familia na kubaka na kulawiti tumia ukuu wako wote ikomeshwe😢
Hapo penye ukimya. Ukimya sio fadhila ( it is not a virtue). Ukimya ni hali fulani tu, haimaanishi kuwa mkimya ni mtu mzuri au mbaya, inategemea. Ila upole, kiasi ni fadhila. Unapokuwa mkimya watu wanaokuzunguka hukuogopa sana na watakufanyia chokochoko ili useme kitu iliwakujue jinsi ulivyo "utamjua kwa maneno yake". Ushauri, unapokuwa mkimya hasa ukiwa kiongozi, ukiamua kuongea hakikisha kila neno unalolitoa unalipima, vinginevyo ukimya wako waweza kosa maana.
Huko kwa Trump/USA wanaofanya uhalifu wanakamatwa,hatua zinachukuliwa..ila huku kwetu hatuwajui,hatuoni hatua/jitihada za kuwatafuta.. tunaambiwa ni wasiojulikana
Wewe umeishi kwa Trump ukaona?? Kesi zinazokwisha ni za wazungu ya weusi unayajua???
@@sskondopoleani9616 kwa hiyo na sisi weusi huku kwetu tanzania mnatufanya kama weusi wa USA? Hivi mama alisema kesi za mauaji ambazo hazijaisha huko ulaya na USA ni za weusi?
@@josephlorri431 Usipotoshe elewa kwanza.
@@sskondopoleani9616 usilazimishe,jenga hoja.. raia wameamua kujilinda huku mitaani... maonyesho ya polisi ilikuwa kushambulia waandamanaji waliobeba mabango, SSH amesema tumeota mikia
Mungu ibariki tanzania
Ameen
Pole mama yangu ki penzi tunakuombea, Mungu akulinde kwaajili yetu mama ,umekuwa mpole mvumilivu, umejaa hekima hakika wewe ni mama,songa mbele mama yangu,
Hongera sana bi mkubwa 🇹🇿🇹🇿 chadema wanatumika na marekani kutuvuga na kufanya nchi isitawalike mungu saidia Tanzania 🇹🇿👏
Mama mama toka uongee lsasa nimeona umekomaa sana umeongea.kama rais na kiongozi mkuu kabisa kama wewe ndiye rais lazima watii asiyetii ashugulikiwe hongera mama hakika hatakura yangu haitapotea najua itakuwa Iko kwa jemedari hongera sana
Tusilaumu tuu .tuungane kwa pamoja tulinde amani ya nchi yetu. Tuwafichue wabaya Hawa
MUNGU IKUMBUKE TANZANIA YETU.😢
siasa,siasa!..inaharibu nchi yetu
Amedhamiria mabaya, tunashughulika barabara na uovu huu na Mungu ni mwanangu katika hili.
Mungu akulinde wakati wote Rais wetu mpendwa.
Huruma saa zingine inaponza umewaonea hurum sasa wanakugeuka cha msingi turudishe tu kulekule zuia uhuru wa habari hawa watu wa habari ndo wabaya sana ba pia zuia vyama vingi nk hapo ndo utajenga na ndo watakuelewa nini una maanisha baada mda usimuangalie mtu usoni mi yangu ni hayo tu mh wetu
Kumbe mama km unawaona chadema kila wanachofanya basi utakuwa unawaona na watekaji tusaidie ndugu zetu warudi
Mama unakosea sana kifo ni kifo lakini kunatofauti ya mazingira ya hovyo yanayosababishwa na mifumo ya usalama. Kwy hili mama uwe mwangalifu.
Kabisa maneno yake sio mazuri kifo nikifo kweli yanii mtu auwawe kihuni alafu nisawa
Msitetee ujinga hizo ni fitna na wanafanya hivyo Kwa maslahi Yao binafsi nyinyi hamjui
Wala hajakosea mboa wakofa mailing vijijini hamuongea lkn kama kibao kila mtu anajifanya ana uvhungu
Unafiki tu kifo ni kifo tu maumivu ya kifo ni yale yale
@@iddyissa8110mbona akifa albino hamsemi amekufa kibao munabwata au kibao ni basha wenu
Allah wajalie viongozi wetu wa mtanzania uwape afya njema
Watu wanaogopa kuacha derega!! Makofi Kila mda
Wabaya huwa hawakosi mama yangu kikubwa MUNGU akupe subira ya utendaji kaz wako tunakupenda sana watanzania tupo pamoja sana
Hongera Rais kwa msimamo ila safisha jeshi Hilo la polisi,hao hao polisi baadhi Yao ni waovu sana,kila mtu anahaki ya kuishi na kuwa salama.
Yes, kifo ni kifo lakini si kuana madam😢 watu hawalalamikii watu kufa, wanalalamikia watu kuawa!!
😂😂😂 eeh mbn mikia tena apa tumepigwa hatunaraisi kabisa mmh mana mitano tena😂😂😂
Kuongoza nchi kugum Hawa wanalalamika watu wawo wameuliwa wengine maji wengene Kodi nyingi mfano gari moja inakodi kama nane hapo mwenyegari hajagusa vipuli matairi na wafanyakazi ila munaoongoza nchi jiandaeni na azabu ya mungu tuitii viongozi tusubiri nusra ya mungu
Aya mambo yana mwisho Mungu atafanya jambo juu ya hawa wauwaji soyo mda endeleeni2 na mambo yenu.
😮 hakika majibu Yako njian Mungu ndy anayehukumu kwa haki acha tuu Mungu atatutetea
Uko sawa kabisa mamaangu samia nakupenda sana mama❤❤
Kuuliwa kwa kiongozi na mtu wa kawaida ni tofauti japokua roho ni roho lkn status ni tofauti
Na wanafunzi wanaoua amerika ni wanafunzi na sio watekaji au serikali
Kwani serikali imeunda genge la uuwaji na utekaji hatuwezi kufananisha ujambazi na serikali kupoteza watu na ushahidi ni rc aliposema na yeye alishiriki ktk mapori ikwiriri msijitowe fahamu
MUNGU ingilia kati tunakuomba 🙏🇹🇿
Hakika Mungu ampe uchungu mtu wake mmoja ktk familia yake afanyiwe hivyooo hlf km ataongea hivyooo
Hataukijua utafai
Sawa Mama simama imara tupo pamoja nawe. Linda kwa nguvu ibara ya 14 ya Katiba yetu.
Hii Nchi ni yetu, kifo ni kifo maana yake nini?na mbona hakuna maagizi ya nini kifanyike baada ya vifo hvyo?na juu ya waliopotea tuelewe nini? Serikali mnarahisisha mambo sana
Unataka uagizwe wewe?
Ata wewe ni mfu tu
@@mohamedimiraji5495 ikifaa sawa
@@KuruthumKilawi kwa hyo?
kwaza uyu bogazi kapaje uongozi hili limama haereweki kabisa
Hongera rais umeongea kishujaa sana haowote wanaotakakuivuruga amani hakika washughulikiwe.watu tufanye kazi Kwa utulivu.
Rais naomba wasikupotezee tunajua kuwa unafanya kazi nzuri na wala usibabaishwe na hao wapinzani hao wanajua kuwa hawakuwezi kisiasa kilichobaki wamebakiza kukuchafua tu kisiasa ila tunajua ushawaelewa. Tumia hekima tu kuwatuliza hao wanahamasisha maandamano ili waadhibiwe wapate ya kuzungumza. Mungu akusimamie rais wetu. Tupo nyuma yako Rais wetu. MUNGU AKULINDE kuongoza nchi sio kazi rahisi ila wewe umeleta mabadiliko na kuweza kudhihirisha kuwa hata wanawake wanaweza kuongoza nchi. Mungu akuongoze na nchi hii wewe ndio unatufaa na utapita bila kupingwa
najionea maajab kwa waliocoment huku daaaah kweli taab itabaki palepale
😂
Safi sana mama.umeweza ndo hao .maghulukutabuu wanyooshe.😂😂😂😂.
Piga kazi mama, hawa kalubandika wanajua hawana Chao wameshapoteana tayali, mama mitano tena, na hongera kwa uimara na weledi wa uongozi wako.
Kalumbandika mwenyewe
Mama wananchi wengi tuko pamoja na ww hongela na huu ndo uwongozi bola katika nchi
Mama tupo sasa hihi usirudu nyuma wadhibitiwe wavuruga amani kabla taharuki haijaleta athari kwa jamii,,tunaliomba jeshi la police waendelee kuhakikisha watovu wa adabu wanashikishwa adabu,,mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa
Mungu wa Abraham ndiye Bwana wa Majeshi. Hana jeshi linalomzuia
Kifo ni kifo akifa albino kinya akifa chadema kelele kwani kibao ni nani?😂😂😂
@@AminiMsellem-gk3yy akili zako zikoje..kwa hiyo kuna albino na chadema.. (nani hao)..
Kibao ni kiumbe cha Allaah kama hao maalibino na wote waliouwawa kikatili na nyie madhalim mtalipwa kwa udhalim wenu Hasbunallah Waniimal Wakiil looo mitanzanzii msokuwa na imani wala ubinadam roho mbaya Allah atakupeni machungu kuliko hayo msikuwa na hisia na wezenu looo
@@AminiMsellem-gk3yyRudi darasan kuna CCM hata mmoja àiyefanyiwa vitendo km hivyo utekaji
Pole sana itafika mwisho tu
Mama Mungu hadhihakiwi ...Muda ni mwalimu mzurii
Atalipa kwa wakati unaofaaa hakika
Ehee mama . Tatixo ametekwa live Ni wanaojulikana. Mama nakupendasana Kama mama , pia raisi , pia Kama mzanzibar mwenzetu, mama watu wameonekana na ak 47 napingu Mama's watu wachatu mamawalalamike. Ila hao waliouliwa ndani watatu ndio hawajulikaniki mama. Mwisho mama nahofia vitahivi vitarudi kwetu raia wachini m. Bara kumvizia mzanzibar kwao , na mzanzibar kumvizia mbara. Jamani kisasi hatari . Siongei kwaubaya 😢
Mm ww kweli unaongoza inchi vzr❤❤❤❤❤❤
Pole sana mamayetu Samia yote hayo mungu atakulinda pigs kazi mama
Safi amani ikitoweka hapa tutafutana komesha kbsaa heri tule mboga na furaha kuliko tule wali tunakimbia kimbia 😢
Hongera mama, umesimama leo kuwa mbogo mungu akulinde❤❤
Sijakuelewa kabisa bi mkubwa... kifo ni kifo vip tena.. unamaana gani sasa.
Atamimi sijaelewa
@@iddyissa8110utaelewa jichanganye uone 😂😂😂
Utaelewa tu jichanganye uone
Mambo magumu
Kuondoka mama ni lazima mama utaondoka tu hao polisi unaowajaza ni ndugu zao ndio wanaotekwa na kuwawa hapo wanakuangalia tu kama mdo
Tunahitaj vitendo siasa zinataka kutupoteza tatizo ni iman tumuamin nan nawote nyie niwanadam❤
Mnatudanganya tz ya aman mbona watu wanatekwa kila siku watanzania wanauliwa
Jamani kuendesha nchi nikazi tumwaachie uyu mama kwani kunashida gani