Kaka joel nanauka niappreciate kitu unachokifanaya. MUNGU aendelee kuwa nawe mpaka pale kwenye UBORA wako wa juu Sana. #BelieveYouCanDoit #SeeYouAttheTop
Hiki kitu kinafanya kweli uwezo ushuke wa kila kitu kufanyiwa na mtu , ila ukikaa mwenyewe kwanza najuwa unakuwa mtu wa kufikiria sana, ahsante sana Brother kwa Elimu hii Ubarikiwe sana 🙏🥋🥊👉🏆
brother joel tafadhal, tunaomba utueleze mbinu ulizozitumia kufaulu(kwa kiwango cha juu) darasani/chuo. maan wengin tunajion tunasom san ila tunafaulu kwa shida san.
Point ya mwsho inayohusu kujifunza vitu vipya sijaielewa vizuri maana kuna video yako ya core Genious ulielekeza kuwa watu wanabidi wawe/specialize kwenye maeneo yao kwa kumanisha kuwa watu wasitake kujua kila kitu, kwa sababu kujua kila kitu ndo mwanzo wa kufeli ulmanisha nn msaada tafadhali ila zingatia point zote nilizoandika.
Kaka joel nanauka niappreciate kitu unachokifanaya.
MUNGU aendelee kuwa nawe mpaka pale kwenye UBORA wako wa juu Sana.
#BelieveYouCanDoit
#SeeYouAttheTop
Ameen Ameen ahsante sanaaaa
Safi
Hiki kitu kinafanya kweli uwezo ushuke wa kila kitu kufanyiwa na mtu , ila ukikaa mwenyewe kwanza najuwa unakuwa mtu wa kufikiria sana, ahsante sana Brother kwa Elimu hii Ubarikiwe sana 🙏🥋🥊👉🏆
Nimejifunza kitu Leo jmn asante sana mungu akubarik nimepata ki2 kikubwa sana kwenye maisha yang
Asante,sana nimekupata,adui Wangu ni kuongeza kitu kila Siku kipya.
Nayakubali sana masomo yako yamenipa hamasa ya kujiamin
Nisaidie. Siendimbelle nakata tamaa sana
Kaka napenda sana ushauri wako mwenyezi akuongoze kwa kila hatua.
Mungu akubaliki sana kaka akupandishe viwango vya juu zaidi
Mi nishamjua adui wangu ngoja nimfanyie kazi
Àsanteee kaka kwasomo zur minitaanza nakuwa nauliza maswali
Mr. Joel Nanauka, you"re the best one. Tunajifunza mengi sana kupitia wewe. thanks so much, fam from ZANZIBAR.
Good bless u sanaa adui anaenisumbua ni kukata tamaa
Joel nakusikiliza kila siku natamani Sana siku moja nikutane na wewe uso kea uso.
Ameen,naamini siku moja tutakutana
@@joelnanauka 👍👍
Ahsante san. Mda 1 wpo mzur wa kufikiri ni ple Asubuh mpm unapoamka huw akil ipo active haijangliw na effect yyt ya Mzunguko wa sku yko
Yes ni kweli kabisa.Robin Sharma kwenye kitabu chake cha 5AM amezungumzia hiki kitu pia
Kiukweli mentor umegusa sana penyewe.
🔥🔥🔥💯👌🤝
Watu hatupendi kazi nzito na kufikria ni kazi nzito
Amani sana brother ubarikiwe #arafati Nanyumbu mtwara# siku naianza ivi umenifanyia nijione bora kuliko siku zote za maisha yangu asante sanaaa🔨🔨🙏
Safi Sana,tuendelee kujifunza
Ahsante sana mentor wangu. Nashukuru sana
Asante sana kaka Joel kwa somo zuri. Mungu azidi kukuinua
See me at thetop broo uko good navuna vigi Sana kwako
Ahsante sana kwa kuendelea kufuatilia.🙏🏼
Yes namb 2 nimeiyeelewa san...
Mtu anapat tatizo anatafut mtu wa kumsave kweny tatiz hiloo..
Shukran san kak joel
Ahsantee Sana my Kaka,
Bwana wa majeshi na akuongezee Zaidi yaliyo mema
Ameen Elizabeth nashukuru sana
@@joelnanauka Ameen,Ameen.
kwangu adui wangu mkubwa ni kukata tamaa
Adui wapili alinisumbiasana
Perfect u are great thinker
Big up bro
Asante sana kaka..... Huyu adui wa kutegemea watu wengine kunitatulia matatizo yangu
Hongera kwa kumgundua
Napenda sana kukufatilia
I appreciate you my brother Joel God bless you keep it up...
Mimi nafikili bro uishi tu miaka mingi
Thanks mentor
Salute brother
Ahsante sana Mkuu
Ahsante mwalimu
Kaka nashukulu kuljua ili mm adui yangu mkubwa nikutegemea wengine kutstua matatzo yangu ila nanza ssa kulfanyia kaz mungu akubaliki sana
Ni hakika uko sawa
Thank you our uppleaner
Kaka Joel nabarikiwa Sana na mafundisho yako mungu akubariki
Daah!! Huyo mimi kabisa yaan😭
Thanks bro your messages are helpful to my life
Maarifa fresh
Nashuhudia changes from the time I knew u cos nazingatia stay blessed brother through u I hope to live my dreams
Barikiwa xana mwalimu
Nace
Thanks sana kwa mafunzo haya
Great...
Asante sana
Uko vizur mnoo nakukubali sana
Asante kwa ujumbe huu leo umeibariki siku yangu
Ahsante kwa ujumbe wako maridhawa
Uko vizuri kaka
Asante mwalimu
Thanks my mentor
Thanks
Kweli kabisa aise
Asanteeee kak joel
Thank you brother
Kukata Tamaaa
upo good br
Sifa zote izo ninazo isipokuwa namba 3 dah nimekuwa ovyo Kwa ili
Ahsante sana
Good brother najifunza meng san kwako
Ameen Ahsante sana
It's helpful
Nashukuru sana,tuendelee kujifunza
@@joelnanauka shukran kwako pia kak
Inspired
Thank uu
Shukrani
Thanks bro kwa darasa zuri 🙏
Be blessed for the message,🙏🙏💪
Barikiwa sana kaka 🙏
Asante kaka joel MUNGU akubaliki sana sana kwa masomo yako
Ameen Ameen
Huo ndio ukweli wa maisha
Hapo Kwenye kukata tamaa Umenigusa😂😂,,NtaJirekebisha An Mm kitu kisipo Enda Vzur Na kata tamaa Mapema 😔😔
Always inspiring.
brother joel tafadhal, tunaomba utueleze mbinu ulizozitumia kufaulu(kwa kiwango cha juu) darasani/chuo. maan wengin tunajion tunasom san ila tunafaulu kwa shida san.
Thanks
Thanks broo
Kweli kaka
Asante kaka
Uwasijutii kuku Post
Nashukuru Timotheo
Kweli me natatizo ilo
Nice
Thank you for the upload I'm inspired. God bless you coach🙏🔥
😊🙏
See you at the top
🙏🙏
See me at the top
Point ya mwsho inayohusu kujifunza vitu vipya sijaielewa vizuri maana kuna video yako ya core Genious ulielekeza kuwa watu wanabidi wawe/specialize kwenye maeneo yao kwa kumanisha kuwa watu wasitake kujua kila kitu, kwa sababu kujua kila kitu ndo mwanzo wa kufeli ulmanisha nn msaada tafadhali ila zingatia point zote nilizoandika.
👌🏽👌🏽🔥
🎉🎉🎉🙏🇨🇩
A
Thank you brother
Asante sana
Thanks
Nice