LIFE WISDOM : CHOMA MELI ZAKO ZOTE - JOEL NANAUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

ความคิดเห็น • 44

  • @JHLILOBWA
    @JHLILOBWA 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kk Joel nanauka umekuwa msaada mkubwa sana kwetu na tunajivunia kwa uwepo wako. Mungu akuongoze vyema na akupe afya njema ili tuendelee kujifunza zaidi na kufaidika juu ya wito wako.

  • @MartinNelson-g7r
    @MartinNelson-g7r 3 หลายเดือนก่อน +6

    God increase you brother joel

  • @julianalaly2095
    @julianalaly2095 3 หลายเดือนก่อน +5

    Tunakufuatilia kaka yetu.

  • @FarajaMkumbo-pc3ft
    @FarajaMkumbo-pc3ft 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika kwa haya maarifa yako nimejifunza kitu kikubwa sana kwenye maisha tangu nianze kukufuatilia nimebadilisha maisha yangu mungu azid kukubariki zaid ❤❤

  • @DanielyTelesphory
    @DanielyTelesphory 3 หลายเดือนก่อน +2

    Daaaah nakubaliana na wewe kiongozi

  • @Madam255
    @Madam255 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pamoja sana kaka Joel kwa hekima hizi namimi nachoma. Meli zangu zote ili nisimame kwenye Malengo yangu

  • @NdalahwaLugwisha
    @NdalahwaLugwisha 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakufuatilia bro

  • @anipherwella
    @anipherwella 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ubarikiwe kaka

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 3 หลายเดือนก่อน +2

    Top Teamers 🏆

  • @Zaytun-v2x
    @Zaytun-v2x 3 หลายเดือนก่อน +2

    Joel 🎉🎉❤

  • @BobMathias-p8c
    @BobMathias-p8c 3 หลายเดือนก่อน

    Kamanda alikua mkali aise maamuzi yakikomando hayo nimependa kilak2 ni maamuzi❤❤

  • @fadhilkagoma5578
    @fadhilkagoma5578 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ushauri mzuri

  • @NeemaSalanya
    @NeemaSalanya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu aendelee kuwa nawe kla hatua

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 3 หลายเดือนก่อน +2

    Good morning top team

  • @veronicamwautenga7394
    @veronicamwautenga7394 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mtupu Asante kutupa mbinu yakupambana nao

  • @kishoshamisungwi
    @kishoshamisungwi 3 หลายเดือนก่อน

    Bro Joel, asanaaa

  • @lucianambalamwezi1864
    @lucianambalamwezi1864 3 หลายเดือนก่อน

    Nachoma now Kaka asante Sana ishi saaana

  • @kuruthumukondo7149
    @kuruthumukondo7149 3 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani kaka ❤❤

  • @mlingijames1917
    @mlingijames1917 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana👏

  • @reginajoel3785
    @reginajoel3785 2 หลายเดือนก่อน

    umekuwa baraka kwangu,nachoma meli zangu zote kwenye mahusiano ambaye sielewi malengo yake ni yapi yanipa maswali mengi mengi

  • @عايشةتنزانيا
    @عايشةتنزانيا 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran Sana kaka Joel insha'Allah nitalitekeleza hili biidhin Allah

  • @MusaChundu
    @MusaChundu 3 หลายเดือนก่อน

    Asante bro Jo

  • @SmilingLagoon-rp4cj
    @SmilingLagoon-rp4cj 3 หลายเดือนก่อน

    Naitwa Emmanuel from Bujumbura nakufuatilia sana na nafaidika sana kutoka mafundisho yako ubalikiwe sana

  • @MabalaTheson-je6bq
    @MabalaTheson-je6bq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza kitu

  • @brackskinyozi3280
    @brackskinyozi3280 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kaka Joel mungu azidi kukubariki sana...nitachoma meli zangu zote ili nitimize malengo yngu... asante....sana..acha niendelee kushare kwa ndugu n..marafiki🙏🙏

  • @olivanooraladin5436
    @olivanooraladin5436 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Sana

  • @AfyaLengo
    @AfyaLengo 3 หลายเดือนก่อน

    Uwiiii kaka Joel ,hili somo linanilizaaa .
    Asante

  • @mnyamamkali6288
    @mnyamamkali6288 3 หลายเดือนก่อน

    Kwel kaka

  • @SherryEverest
    @SherryEverest 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki na kukuinua zaid viwango vya juu

  • @goldiegranted5501
    @goldiegranted5501 3 หลายเดือนก่อน

    Lazima tuchome meli zote ✊🏆✈️

  • @ShafiiMbande
    @ShafiiMbande 3 หลายเดือนก่อน

    Tupo pamoja sana mbaka tufanikiwe

  • @mwanaidihassan5868
    @mwanaidihassan5868 3 หลายเดือนก่อน

    Ngoja nichome meli zote kuanzia sasa

  • @nyandajustine9916
    @nyandajustine9916 3 หลายเดือนก่อน

    I'm following from Germany

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nisipofuatilia kipindi hiki huwa sijisikii fisuri . Kutoka nairobi kenya

  • @FunguaUbongoWako
    @FunguaUbongoWako 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉

  • @oseahmbembela-gi4du
    @oseahmbembela-gi4du 3 หลายเดือนก่อน

    Hii lazima nitoboe

  • @Sumay228
    @Sumay228 3 หลายเดือนก่อน

  • @FredyKisendi
    @FredyKisendi 3 หลายเดือนก่อน

    Bro ili somo limenilenga moja kwamoja umeniongezea kitu kikubwa.....

  • @WINNERBOYKE
    @WINNERBOYKE 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 3 หลายเดือนก่อน

    That's true

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 3 หลายเดือนก่อน

    Hicho kisa ni historia ya kiongozi wa kiislamu
    Aitwaye twariq ibnu Ziyad.
    Wakati akiivamia Hispania.

  • @NickGamba-ft8tl
    @NickGamba-ft8tl 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mwalim Joel