KIVUMBI: WAZEE KOO YA BUKIRA WAJIBU MAPIGO"MBUNGE WAITARA ATOKE AJIBU HOJA ZETU SISI SIO WANAFIKI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @MATHAYOPETROGARYA
    @MATHAYOPETROGARYA หลายเดือนก่อน +5

    Kwa mfano huyu Mzee wa watu mnamfanyisha kazi ngumu2 na hajapendaa kabsaa😂😂😂😂😂

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li หลายเดือนก่อน +6

    Waitara. Umekwisha usizani hizi nizama zingine sio zama za magufuli aliye kuweka madarakani wewe waitara ni mnafiki Toka chadema ulikuwa hivi hivi Sasa ccm tuliwambia kuwa huyoo ni mgombanishi Leo jee mmeamini bado nahuyoo mgine WA iringa msigwa nae mtaona mambo yake ccm hawa wapinzani mnao wachukuwa mtaona matokeo yake ccm someni kwa waitara huyoo mbunge waitara ni mchonganishi na nimuwongo sana waitara Sasa chama tarime kaipasuwa pasuwa ccm nawaonea huruma ccm

  • @YassinRajabu
    @YassinRajabu หลายเดือนก่อน +3

    alaumiwe aliempa ubunge yeye ndio aliye waweka wabunge wa chama kimoja nchi nzima

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 หลายเดือนก่อน +1

    WABUNGE WOTE WA PROMOSHEN YA MAGUFULI HAWAFAI... 😭😭😭😭😭😭😭

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 หลายเดือนก่อน +1

    Wazee mnazingua ccm inawatumia vibaya

  • @stewartdyamvunye-wz6rn
    @stewartdyamvunye-wz6rn หลายเดือนก่อน +1

    Kazi kwelikweli. Kilio kila kona na kila rika! Na naona kuna harufu ya kampeni ya kuipaisha CCM na m/kiti wake kupitia hawa wazee, kafara mbunge Waitara. Mbinu za CCM ni moto!

  • @JuliusWerema
    @JuliusWerema 21 วันที่ผ่านมา

    Acheni ubaguzu kumbukeni kidole kimoja hakivunji chawa,

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน

    Wazee hawa wametumika vibaya. Very sad

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน

    Waitara utajua hujui, kuita wazee wahuni, wewe ndiyo mhuni na wenzako.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm หลายเดือนก่อน

    Wazee mnatumika vibaya. Ccm ime kwisha.

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 หลายเดือนก่อน +2

    Mila na desturi zetu ameisha pigiwa yowe kwisha.Sio kiongozi tena hapo 😮

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 หลายเดือนก่อน

    Ukija nyamongo tutakupigia mwanooooo uuuiiiiiiiiiiiii😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 หลายเดือนก่อน

    Waitara.umeona.dhambi.ya.usaliti.mwanbie.mpupavu.mwenzio.msigwa..na.fala.silinde.muda.utaongea

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Aisee mnanikera sana mnaongea vzr halafu mnaanza kusifia sifia rais
    Kwani Samia yeye amezitoa wapi

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 หลายเดือนก่อน

    Waitara kwishaaaaaa.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏

  • @infodigtechforcommunityemp4103
    @infodigtechforcommunityemp4103 หลายเดือนก่อน +1

    Waitara kazi anayo

  • @user-gx9jr5le2f
    @user-gx9jr5le2f หลายเดือนก่อน

    Ngoja huyu anayewadanganya muda ufike tumshughulikie kwani hatumjui maswi ajiandae

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l หลายเดือนก่อน

    Kweli kila jambo linamwisho akati anagombea ukonga atukulala siku ya kupiga kura na namba yake ya cmu akanipa ckuniliyo mpigia akiwa naibu waziri nikiwa na shida ofisini kwake nilichojibiwa nilimuachia mungu,afu baada ya mwezi nikawasikia cloud's FM power break fast wakisema awasikilizi wananchi na anakiburi na dharau.😂

  • @gatimakonge8678
    @gatimakonge8678 หลายเดือนก่อน

    AMELAANIWAAAAA😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน

    WAZEE TAFUTENI MBADALA HUYO KWISHA , ACHANE NAYE AMEPIGIWA HOYEE!! WAZEE NI TUNU, 😂 CHAMA CHA MAKUNDI, WATAMKUMBUKA JOHN MAGUFULI

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x หลายเดือนก่อน

    Yani mwita waitara ameleta ubaguzi wa koo

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 หลายเดือนก่อน

    Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana

  • @johnsonmria3824
    @johnsonmria3824 หลายเดือนก่อน

    Jamani Vijana mkowapiii hadi wazee kama hawa wanatoka kutetea maisha yenu na nyie mpo kimya tuuu Aibu

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 หลายเดือนก่อน

      Vijana wengi nchi hii ya Tanzania hawajitambui kabisa. CCM na viongozi wake wakuu wanaiharibu nchi yetu na kupora Rasilimali zetu na kuiuza nchi yetu kwa wageni,lkn Vijana wamenyamaza tu na wengine wamegeuka kuwa machawa.

    • @bockerNyarusahi
      @bockerNyarusahi หลายเดือนก่อน

      ​@@yassinnabwera4273na wenyewe wana nafas tena kubwa kuliko unavyodhani,hao ni Wazee wa kimila,Wazee wanaoheshimiwa na jamii ya Kikurya

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 หลายเดือนก่อน

    Wazee mmetumwa na Heche acheni hayo

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz หลายเดือนก่อน

    Haya sasa

  • @user-ef2ln1mx3s
    @user-ef2ln1mx3s หลายเดือนก่อน

    Waitara ni rahana kama umewaudhi wazee wetu

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน

    Huyo mbunge Ni mhuni

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Mzee nimhuni

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 หลายเดือนก่อน

    Kwanini mnafanyia kikao polini,,?

    • @harunamtiko117
      @harunamtiko117 หลายเดือนก่อน

      😊 c unajua wazee, hapo washajinja kondoo pembeni kamoto kamewaka

    • @simonnaivasha6393
      @simonnaivasha6393 หลายเดือนก่อน

      Wanaume wanafanya kikao poring, sio kwenye bar upewe rushwa.

  • @hajikadoma1652
    @hajikadoma1652 หลายเดือนก่อน

    IVI HAWA WAZEE WA JIMBO ZIMA AU NI KIKUNDI CHA WATU WACHACHE KWA MASLI YAO NAJIULIZA TU NCHI HII SIJUI INAENDA WAPI

    • @adeltuszakumuha9618
      @adeltuszakumuha9618 หลายเดือนก่อน

      Hawa wameandaliwa unasikia wanachosifia