#Live

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp....
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp....
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp....
    Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
    #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

ความคิดเห็น • 38

  • @user-iw1yq3op8f
    @user-iw1yq3op8f หลายเดือนก่อน +1

    Amina pastor ubarikiwe sana nimebarikiwa sana ninamutaka yesu katika maisha yangu

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 หลายเดือนก่อน +2

    YESU KRISTO ni MUNGU hallelujah sipingi hiyo nakubali 💯💯 ubarikiwe zaidi nazaidi Mtumishi wa MUNGU Kwa baraka za mbinguni naduniani

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Katekela kwa mahubiri
    hiyo, Yesu kirsto ni Mungu
    mwenyewe mwenye haki ya kweli.

  • @MariaMdemu-xt5cv
    @MariaMdemu-xt5cv หลายเดือนก่อน +1

    Na ubarikiwe na Bwana kwa mafundisho mazuri ....tunabarikiwa kazi imebakia kwetu

  • @annangowi5517
    @annangowi5517 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa Mungu wa mbinguni mwenye utukufu wote
    Ubarikiwe sana

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w หลายเดือนก่อน +2

    God bless you and your ministry man of God.

  • @user-po2fw5yu7o
    @user-po2fw5yu7o หลายเดือนก่อน +1

    Amen Yesu Kristo ni MFALME na ni Kila kitu Mbinguni na Duniani. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu songa mbele mpaka kieleweke

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard หลายเดือนก่อน +2

    Yes sio Mungu anayetesa ni shetani peke yake anayetesa groly to God

  • @benardsiwaluka
    @benardsiwaluka 16 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe Mtumishi

  • @Josephlaizer-y7l
    @Josephlaizer-y7l หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu I'm always blessed kw mahubiri yako

  • @user-ne1cd7oq4z
    @user-ne1cd7oq4z หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mchungaji ninabarikiwà sana

  • @JaneKuyokwa-ng2qf
    @JaneKuyokwa-ng2qf หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubaliki akukumbuke mtumishi

  • @utawalarecordstudiosnairob5929
    @utawalarecordstudiosnairob5929 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ndo injili niipendayo. MUNGU akubariki sana

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur หลายเดือนก่อน +1

    Ameen YESU ndie Bwana wa bwana MUNGU wa miungu

  • @user-wl6ns9hb6j
    @user-wl6ns9hb6j หลายเดือนก่อน +1

    Amen amen wewe ndiwe mungu wa miungu

  • @tuponearon7368
    @tuponearon7368 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuombea Yesu akutunze mtumishi wa Mungu

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ameeeen 🙏🇰🇪

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 21 วันที่ผ่านมา

    Amina ubarikiwe sana mtumishi

  • @FarajaelDaniel-qb8eh
    @FarajaelDaniel-qb8eh หลายเดือนก่อน +1

    Amen injili yenye nguvu,

  • @johnbosco9763
    @johnbosco9763 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe sikungi zakuishi ili uafunguwe wengi wasoiamini waamini kuyesunibwana aamini

  • @judyokumu8439
    @judyokumu8439 หลายเดือนก่อน +1

    Aaamen 🤲

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 หลายเดือนก่อน

    Amen nimepokea kufunguliwa mimi na mtoto Wangu queenmariamu na familia yangu na wazazi Wangu amen

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen

  • @HarryMbale
    @HarryMbale หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @angelamugoywa4917
    @angelamugoywa4917 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @EZRA-b1c
    @EZRA-b1c หลายเดือนก่อน

    Amen Hallelujah

  • @user-xw2rj3cl6r
    @user-xw2rj3cl6r หลายเดือนก่อน

    Aaaaaamen

  • @AnnaLwanda-oj4jn
    @AnnaLwanda-oj4jn หลายเดือนก่อน

    Ameen mtumishi

  • @andjelaniilombe-go5kj
    @andjelaniilombe-go5kj หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Amen

  • @nazarenajoseph2695
    @nazarenajoseph2695 หลายเดือนก่อน

    Nimeibiwa imani yangu mchungaji wangu nimeambiwa nina cancer nisaidie kuniunulia iman

  • @KasyokaKimanzi-pf2wp
    @KasyokaKimanzi-pf2wp หลายเดือนก่อน

    Na hizo takibir za kuzimu zinakuanga za kiislamu kumaanisha waslamu ni wakuzimu??

  • @btsanime6138
    @btsanime6138 หลายเดือนก่อน

    Wafilipi2:9-11

    • @user-fu6fx8if6w
      @user-fu6fx8if6w หลายเดือนก่อน

      Ameen,God bless you.🙏

  • @RizikiWisongata
    @RizikiWisongata หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @VeronicaEdesiusBernard
    @VeronicaEdesiusBernard หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-gc7zp6yr7h
    @user-gc7zp6yr7h หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @gracemutono5023
    @gracemutono5023 หลายเดือนก่อน

    Amen