WAZANZIBARI IKO WAPI ZANZIBAR HII?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @walidsaid7807
    @walidsaid7807 19 วันที่ผ่านมา +11

    Allah akuhifadhi sheikh kwa kujitowa mbele ya Waumini kusema ukweli wa nchi yetu,hizi ndio khutba zinaohitajika

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 18 วันที่ผ่านมา +2

    Shukraan maalim Rashid hakika ww nijemedari wetu allah akupe nguvu zaidi siku moja uwe khalifa katika dola ya zanzibar inshallah

  • @AminaOthman-b4f
    @AminaOthman-b4f 18 วันที่ผ่านมา +6

    Mungu ibariki Zanzibar..🏝️

  • @alsam4881
    @alsam4881 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mawaidha Mazuri Masha Allah, na msichoke kukemea maovu, Na Allah azidi kuwa nguvu na Afya njema na mzidi kuelimisha jamii, na ikiwezekana mkaelimishe hadi kwenye mashuleni na madrasa ili kizazi kipya kipate elimu kuhusu Zanzibar na maadili yake.

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p 19 วันที่ผ่านมา +12

    Kuna dude linaitwa mmungano. Ndio wanalolitumiya. Ndio njiya yao kubwa. Zanzibar kulikuwa hakuna duka liko wazi itakapofika saa 3 usiku. Ssa kuna vigenge vinafunguwa saa 6 usiku. Night shift. Eti mwarabu alikuwa anachukuwa watumwa. Ni unafiki mkuuuuubwa walodangywa. Muengereza ni mtu mbaya sanaaa

    • @Faraji-n6l
      @Faraji-n6l 19 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo warabu hawaja chukua watumwa???

    • @ummuhammad7571
      @ummuhammad7571 18 วันที่ผ่านมา

      Wamechukua kanisa la mkunazini ndio warabu wakisali pale .tukiambiwa tujiambie mwarabu muislam alokua Zanzibar ilikuaje biashara yake afanyie kanisani ? ​@@Faraji-n6l

    • @SaidAbdala-f7p
      @SaidAbdala-f7p 17 วันที่ผ่านมา

      @@Faraji-n6l
      Lete ushahidi. 1 tu. Tena sio picha za kuchora. Kwa maana ushahidi mnao danganywa. Ni ule kwenye picha za kuchora. Hakuna hata ushahidi 1 wa picha ya kupiga kwa camera. Muengereza ndio alopanga kila kitu. Kwa kumtumiya nyerere.

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 19 วันที่ผ่านมา +2

    Sheikh wangu hongera saana Allah azidi kukupa nguvu ya kutupa elmu ila wasiwasi wangu ukimaliza hapo subiri simu ya police ufike madema serikali haitaki sheikh yeyote aseme histri ya zanzibar ila mwanasiasa

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 18 วันที่ผ่านมา

    Wallahi sheikh Rashid anajitowa kila sehemu kuitetea Zanzibar na maadili yake na thilka zake mungu akupe nguvu na akuepushe na shari maana usema ukweli uliopo hongera sana tunakupenda kwa ajili ya Allah

  • @SuleiyumJuma-lz4yy
    @SuleiyumJuma-lz4yy 13 วันที่ผ่านมา

    Mashallah, Allah atuhifadhi ili tunyooke ktk maadili mema

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 18 วันที่ผ่านมา +2

    Wallah niwakati wakipigana kwasasa tuamkeni tuamkeni

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 15 วันที่ผ่านมา

    Subhana Allah Laa illah haillah Yarrab 🤲..ziko wapi neema zetu jaman.... Turud kwa Allah Tabbarak Rahman 🤲 thumma wallah laadhiim

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mashallah tabarak rahman zanzibar ilikuwa watu wanauza zahabu njenje hakuna wizi

  • @Samsungjprime-ww9ve
    @Samsungjprime-ww9ve 18 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah Mashaallah Mashaallah nakupenda sana sheikhe kwa ajili ya Allah

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 15 วันที่ผ่านมา

    Wallah ni kweli.. Zanzibar ni nchi ilikuwa ni nchi ilio barikiwa ...lkn kwa Sasa muflisi kila kitu... Zanzibar...madhambi yamekithir.... Tumrudie Allah Tabbarak Rahman 🤲 ili tupate kufaulu laa c hivo hakuna kitakacho kuwa tusidanganyane... turud Kwa Allah tu

  • @iFly-t9b
    @iFly-t9b 19 วันที่ผ่านมา +4

    Juhud zako zinaonekana, Allah akulipe kheri na azidi kukutia nguvu kuhusu suala la kukemea uovu na mporomoko wa maadili Zanzibar. Kiuweli Zanzibar inaelekea kwenye hasara wakati tukiwa tumeghafilika na majengo na mwarumwaru zenye hadaa zidi ya nafsi zetu

    • @maryamadam5622
      @maryamadam5622 19 วันที่ผ่านมา +3

      Khutba nzito hii. Amma umejitahidi Skh. Inshallah tutanabahi. Tuondoshe fitna za siasa na ubinafsi tumatafute Mmungu ki kweli kweli. Tusome historia sana.

    • @w4058
      @w4058 19 วันที่ผ่านมา +2

      Alhamdulilah Rabilaalamin Allaah amekuwezesha kuyafanyaia haki hayo yaliotokea Allah akuhifadhi akuzidishie uadilifu na ukweli

    • @w4058
      @w4058 19 วันที่ผ่านมา

      Lakini Amani na utulivu bila ya haki sio sawa kidogo hapo Sheikh wetu tunakuna au tunakuomba haki usisahau kuwa maonevu yanayotokea Zanzibar wakati wa uchaguzi na uchafu uuwaji kuingiliwa kwa wari wa watu wake za watu na mpaka kulawitiwa wanaume hata Fatma Karume alikemea video kwa hivyo na la haki pia lihimize kwa nguvu zako zote watu wanamiminika kutoka bara kwa visingizio vya dude la muungano tafuta njia za kuwafa pia upande wa pili uwaulize wamepata vitambulisho vyao masheha wanawatowa haki kama ulivyosema wakati hayo mapinduzi ndio sababu ya maadil kuporomoka

    • @w4058
      @w4058 19 วันที่ผ่านมา

      Neema lazima ziporomoke baada ya kufanyiwa mavamizi kwa jina mapinduzi yalio sababishwa mauwaji na uchafu wa kila aina sasa nchi imejaa wenda utupu Ramadhan kunaingizwa pombe wanawake wanawake wanatembea serikali ndio kwanza inapalilia utalii

    • @w4058
      @w4058 19 วันที่ผ่านมา

      Lakini Amani na utulivu bila ya haki sio sawa kidogo hapo Sheikh wetu tunakuna au tunakuomba haki usisahau kuwa maonevu yanayotokea Zanzibar wakati wa uchaguzi na uchafu uuwaji kuingiliwa kwa wari wa watu wake za watu na mpaka kulawitiwa wanaume hata Fatma Karume alikemea video kwa hivyo haki pia lihimize kwa nguvu zako zote watu wanamiminika kutoka bara kwa visingizio vya dude la muungano tafuta njia za kuwafa pia upande wa pili uwaulize wamepata vitambulisho vyao masheha wanawatowa haki kama ulivyosema wakati hayo mapinduzi ndio sababu ya maadil kuporomoka

  • @dalfatsoud4867
    @dalfatsoud4867 19 วันที่ผ่านมา +3

    Naam ya kale dhahabu na hakuna lisilowezekana ishallah kheri

  • @Shdy2569
    @Shdy2569 16 วันที่ผ่านมา

    Mashallah mawaidha mazuri sanaaa

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 18 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah Sheikh Rashid...Khutba majarab kabisa🎉❤

  • @yahyahamad4140
    @yahyahamad4140 18 วันที่ผ่านมา

    Mashaallh Yani hii hutba Kama tuliyotolewa Jana nidio hihi tunatakiwa tujitafakar waislam

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 18 วันที่ผ่านมา

    Asalam aleykum tumetolewa ktk kujitegemea tunapelekwa kwa waeeke zaji kila kitu muekezaji kwa kweli viongozi na raiya tujitathmini vinginevyo tutamalizika

  • @AmneAbdulhakim
    @AmneAbdulhakim 19 วันที่ผ่านมา +1

    Subhanallah maneno mazito yaa rabb tupe nusra yako

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 19 วันที่ผ่านมา +1

    Maashaallah Shekhe, ila ya buju. Zanzibar kwasasa ni jina lake Zilipendwa.

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mashallah she rashid

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 18 วันที่ผ่านมา

    masheikh waseme kila mahali Quran iwe ni sheria yetu uwone huo utovu wa nidhamu kma utaingia hapa lkn kwa sheria hizi tutapiga kelele hadi vifo vyetu Allah atupe mwisho mwema lkn iwe Hamu yetu iwe Quran ni sheria na iwe hukmu ktk mambo yetu yetu ya kijamiii

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 19 วันที่ผ่านมา +2

    Maashaallah tupe darsa maalim

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 15 วันที่ผ่านมา

    Tutake tusitake hali ya Zanzibar ni mbaya tena inatisha na kusikitisha.... husda nyingi na mmomonyoko wa maadili mema hakuna...matukio mabaya mengi..... Zanzibar hakuna barka ya chchte saiv....Tubadilike jaman turud kwa Allah Tabbarak Rahman 🤲

  • @WahidaAlharthi
    @WahidaAlharthi 19 วันที่ผ่านมา +1

    HONGERA. SHEKH. KWELI KABISA. INAUMA SAANA
    SASA NI NAFSI NAFSI.
    ZANZIBAR IMEKWISHA

  • @hajijabir8677
    @hajijabir8677 19 วันที่ผ่านมา +3

    muungano ndo shida

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 17 วันที่ผ่านมา

    sh rashid usisumbuke mapinduzi,kisha muungano hivi vitu ndo viliharibu zbar na ndo Allah akatuacha mkono

  • @nasrimswaki4824
    @nasrimswaki4824 17 วันที่ผ่านมา

    maashallah

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 19 วันที่ผ่านมา +2

    Zanzibar,Leo,yamejaa,majanga,uchi

  • @sleyumalgheithy3268
    @sleyumalgheithy3268 19 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifathi sasa tumerudi nyuma

  • @jaysullman3697
    @jaysullman3697 18 วันที่ผ่านมา

    Kiukweli AlLah akuhifadhi na akupe Maisha marefu na kuipigania dini yetu akuondolee Hassad na Shida zote ktk jamii yetu maana imefikia hatma ukiongelea ukweli hupendwi😢 Inna lilLah Wainna ilahi rajiun!

  • @RidhiwaniAlly-k3v
    @RidhiwaniAlly-k3v 17 วันที่ผ่านมา

    Izo ndizo khutuba zinazohitajika zama iziii

  • @hamzamohamedKeslivol
    @hamzamohamedKeslivol 19 วันที่ผ่านมา +1

    Bismilah Mashaa Allah

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 15 วันที่ผ่านมา

    As-salam Alaykum warahmatullah wabarakatul

  • @khatimfamilys5640
    @khatimfamilys5640 19 วันที่ผ่านมา +1

    subhanallah

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 18 วันที่ผ่านมา

    TabarakaAllah

  • @MariamHassan-q3i
    @MariamHassan-q3i 14 วันที่ผ่านมา

    Wazanzibari nikweli imeshakwendazake Zanzibar nyijyi hamuyaonihayo lakini sisi tunayaona hayo ,🎉

  • @AlkafaaMarket
    @AlkafaaMarket 18 วันที่ผ่านมา

    Tunasubiri sehemu ya 2

  • @abdullmo8736
    @abdullmo8736 19 วันที่ผ่านมา +1

    Viongozi wa nchi kunzia Rais mpka sheha hao ndio wanruhusu uchfu Hakika Allah atachoma bila kuwanglia siku ya kiyama wasipo tubia na Allah alisem

  • @HusnaH-t4v
    @HusnaH-t4v 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amani bilahaki haipo tusidanganyane

  • @makamekhalfan5968
    @makamekhalfan5968 19 วันที่ผ่านมา

    ماشاءاللہ

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 19 วันที่ผ่านมา +1

    TURUDINI KWA ALLAH NDIO IYOBAQIA,TUKEMEE UOVU NA TUONDOE KWA MIKONO YETU ILI RAB ATUREJESHEE BARAQA ZAKE

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 19 วันที่ผ่านมา +2

    Zabzibar ndi nchi ya kwanza kuwa na meli zake katika afrika

  • @HazardMjeshi
    @HazardMjeshi 17 วันที่ผ่านมา

    Ndomana kuna msemo inasema kutangulia sokufik

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 18 วันที่ผ่านมา

    Kumbe huyu Mtangazaji ni Sheikh...?

  • @bellalygeomecky1145
    @bellalygeomecky1145 14 วันที่ผ่านมา

    Huzuni moyoni.......!!!

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 19 วันที่ผ่านมา +1

    Walimkamta Amani Karume akafungwa siku moja na suruali yake ikachanwa na volantia

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nyerere na ndugu zake wameua kila kitu

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 18 วันที่ผ่านมา +2

    Asilimia 90 ya waislamu kweli hatuwezi kusimamisha Quran hapa Zanzibar ikawa sheria yetu ?

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 18 วันที่ผ่านมา

    Quran

  • @AllyMohammed-fv6nf
    @AllyMohammed-fv6nf 18 วันที่ผ่านมา

    Haya yamebadilika baada ya mungano lazma tutafakari upya

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 19 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo viongozi wanaangalia maslahi yao kuliko maslahi ya nchi. Maana haiwi watu waletwe tu hapa Zanzibar wapigie kura chama fulani kwa maslahi ya viongozi kisha ndio wamefika hawaondoki. Itaharibika tu Zanzibar maana maadili yao sio ya Kizanzibari.

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 19 วันที่ผ่านมา +1

      @Catherine-mh8sw jawabu unaijua wewe

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 18 วันที่ผ่านมา

      @Catherine-mh8sw Na sisi hatutaki hasa kuungana na nyinyi

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 18 วันที่ผ่านมา

    Wazanzibar,tunakosea,wenyewe,kwasababu,anatokea,mtu,tu,anataka,uimamu,tunampisha,mbele

  • @drabdi6806
    @drabdi6806 17 วันที่ผ่านมา

    kuna watu hapo hawatosali tena msikiti huo na pia sheikh wangu utakamwatwa

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 19 วันที่ผ่านมา

    Zanzibar ni njema ,atakaye aje ndo wanakuja wao kujakuineghemesfa Zanzibar Wazanzibar sote hatuna njaa Wazanzibara ndo wenye njaa. Bado wanaendeleakuja wao Wazanzibar.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 18 วันที่ผ่านมา

    DR MWINYI AMEIGEUZA ZANZIBAR KUA NI CHAKA LA KUTENDA MACHAFU NA WAWEKEZAJI WAKE WAHUNI! ETI ANAPITA MISIKITINI AOMBEWE DUA

  • @saidseif5457
    @saidseif5457 18 วันที่ผ่านมา

    Tusipo ikomboa Zanzibar 2025 panapo majaaliwa wakati Mzanzibar mwenzetu yupo madarakani tusahau Zanzibar kuwa huru. Nahiyo naamin Shekhe hiyo ndio fursa aliyoikusudia.

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 18 วันที่ผ่านมา +1

    Na utatishwa utatishiwa usirudi nyuma nasi tuko na wewe

  • @ZanzibarTrustTours
    @ZanzibarTrustTours 19 วันที่ผ่านมา +1

    Tukiondosha uovu tujapelekwa ukonga Wazanzibar hawataki wasikie kuwa Wazanzibara wanaondosha uovu.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 18 วันที่ผ่านมา

      Mhhhh 😂😂😂😂 Ukisema wa Zanzibara unaonekana mjinga…. Kwasababu hakuna Zanzibara ipo Tanzania Bara wacha kuchekesha watu…

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 18 วันที่ผ่านมา

    Hakuna WaZanzibara wewe ni mtu wa wapi??? Zanzibar ni wa Unguja au wa Pemba.

  • @nailamohd-wn6sb
    @nailamohd-wn6sb 19 วันที่ผ่านมา +1

    Tusimtafute mchawi mchawi wetu mkubwa ni Muungano na viongozi wa ccm mahasid wakubwa wa nchi yetu

    • @JumaOmar-kp8rx
      @JumaOmar-kp8rx 19 วันที่ผ่านมา

      Ndo wachawi wakubwa