WAFAHAMU WATU WALIOFICHWA KATIKA UHURU WA TANGANYIKA | MOHAMED SAID (SEMA NASI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh หลายเดือนก่อน +1

    Tabora ilikuwa na watu weye akili sana kama huyu babu Abdallah wa tabora lakini sasa w hamna kitu

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee kwakweli anastahiki kutunukiwa U- Profesa wa heshima kutokana mchango wake mkubwa wa uhifadhi historia yetu.

  • @suleimannassor3276
    @suleimannassor3276 2 หลายเดือนก่อน +2

    Dakika chache tafadhal wape mda mkubwa tumefrai kuwaskilz

  • @Omarjumanne-zm9zh
    @Omarjumanne-zm9zh หลายเดือนก่อน

    Kama bungi umesema kweli miembe tabora kama bungi

  • @mrwangxingcai6711
    @mrwangxingcai6711 2 หลายเดือนก่อน +1

    Historia ya Tabganyika ILIBAKWA inahitaji kuandikwa upya
    Tuliyosoma ilikuwa ya kisiasa zaidi na kutukuza nimeona clips mbalimbali kwenye social media za wazee waliotoa mchango kabla na baada ya Nyerere kuwepo kwenye vugu vugu la Uhuru , wana haki ya kutambuliwa katika level flani
    Kwa Mfano wapo wanaostahili kutambulika kitaifa , kimkoa, kiwilaya, ki kata nk
    Kwa mfano ikaundwa kamati huru sio ya kisiasa yenye kujumuisha wanahistoria na wadau toka sekta mbalimbali wakakusanya hizi taarifa toka kila mkoa na tukawa na wataalam wa historia na watunza kumbukukumbu
    Kwa muda mrefu huko mashuleni tumekuwa tulisoma propaganda
    Labda nitoke nje ya mada kidogo , kwa ujumla mfumo wa elimu hauendani na uhalisia wa Mtanzania kiuchumi , mitaala inayofundishwa au kukaririshwa huko kwenye taasisi za elimu haiendani na mazingira halisi ya mtaani

    • @josephmachange2024
      @josephmachange2024 หลายเดือนก่อน

      There is only one person recognized after the marathon end. The first one to cross the line.
      To that context is an equivocal that Nyerere played pivotal rule in Independence of Tanzania. That is fact inama inuka simama kaa itabaki hivo.
      Waislamu wengi wanakua na chuki juu ya mwalimu simple because hakua muislam na wanadhani waislam ndio walitakiwa au walistahili kuleta uhuru wa nchi. That is wrong
      Mimi binafsi naamini uhuru wa tanzania na africa kwa ujumla haukua chini ya watu weusi kama tunavofundishwa. Sio waislam sio wakristu BIG NO
      Wazungu wao ndio waliamua nani wamuachie nchi hakuna muafrica alie kua na uwezo wa kumtoa muingereza HAYUPO
      So hao wazungu they are a key factor

  • @Space-f9y
    @Space-f9y หลายเดือนก่อน

    Tatizo mnataka kuonyesha jinsi muislamu alivyoshiriki kupigania uhuru , na SIO JINSI WATANZANIA MBALIMBALI WALIVYOCHANGIA KUPIGANIA UHURU, nyerere kawekwa kwenye historia kama yeye na sio kama mkatoliki aliyepigania uhuru ,hayo yakwenu hatuna haja nayo muelezane msikitini maana yanawahusu ninyi zaidi tumieni akili kubwa kidogo

    • @alisalimo2861
      @alisalimo2861 หลายเดือนก่อน

      wewe mdini hao watu wawili mtaje mwengine

    • @MakukaOmary-e2b
      @MakukaOmary-e2b หลายเดือนก่อน

      Shida ukwel history ndio hiyo