PART16:TAJIRI ALIEPEWA SHARTI LA KUTOJISAIDIA KWENYE CHOO CHA NYUMBA ALIYOJENGA YEYE KWA PESA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 93

  • @bahatimsacky7803
    @bahatimsacky7803 ปีที่แล้ว +18

    Tandia davista aanze hii channel leo ndo nimekuwa wakwanza😂😂🎉 naombe likes zenu

  • @hono1232
    @hono1232 ปีที่แล้ว +7

    Njia pekee ya kupata mali ni kufanya kazi kwa bidii na kumtegemea mungu pekee. Hakuna njia ya mkato ya kupata mali , utaishia kwenye majanga kwa mali za kishetani. Hii ni hatari sana watu kumbe wanaua hata wazazi wao. Mungu nusuru kizazi hiki.kizazi cha sasa kinataka njia za mkato pamoja na kuua ndugu zao.

  • @frankkajoba8372
    @frankkajoba8372 ปีที่แล้ว +17

    Duu, aisee bora nife masikini siwezi kuishi na masharti ya kinyama hivi. Hata raha ya pesa iko wapi sasa kwa hali hii. Hizi simulizi zinatufundisha kutopenda njia za mkato na kuepuka tamaa

    • @waidarajabu6977
      @waidarajabu6977 ปีที่แล้ว

      Ndonzuli

    • @frankkajoba8372
      @frankkajoba8372 ปีที่แล้ว +1

      @@waidarajabu6977 nzuri kwako mm sitaki kabisa huo uchafu wa mali za mashetani nife tu na umasikini.

  • @MtumishiNgowi-wt9ph
    @MtumishiNgowi-wt9ph ปีที่แล้ว +4

    Yesu atulinde na haya mambo ama kwel tamaa ni mbaya

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 ปีที่แล้ว +5

    God bless this guy,to know there's God of another chance,

  • @joivon3038
    @joivon3038 ปีที่แล้ว +10

    Watoto tunawazaa na wanatuuwa jamani Mungu tulinde na vizazi vyetu

    • @saeedahhenry711
      @saeedahhenry711 ปีที่แล้ว

      Yani unazaa mtoto unaleta Kwa tabuu anakuwa unasema sasa nimepata msaidizi ndio anakuuwa apate mali jamanii uuuwiiii nimeogopa sana ghaaaaiii

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 ปีที่แล้ว +1

      Kwa mimi hawaniwezi YESU wangu ananitosha nashukuru sana MUNGU ni mwema nampenda sana huyu YESU yeye anasema "utajiri na heshima viko kwangu utajiri udumuo na haki pia natembea ktk njia ya haki niwarithishe mali wale wanipendao".

  • @jumakisailo8496
    @jumakisailo8496 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante sana, Davistar Matta

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +2

    huyo binti nahic alikuwa n yule yule malkia na yule jamaa aliyekupeleka kwa mama wa mıkono 3 n yule mganga, ila ulikuwa ınachezewa tu akili Maana ulikaidi kumtoa mama ako kafara!!
    Nani kagundua hiliiiiiiii😂😂

  • @AnthonyVitalis-r3s
    @AnthonyVitalis-r3s ปีที่แล้ว +2

    Kumbe nyie mkisikia mnataka kufa mnasikitika sana

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +1

    good nice Davst

  • @florencebochere1729
    @florencebochere1729 ปีที่แล้ว +2

    Wa sita on time🔥🔥

  • @michaelcharles4693
    @michaelcharles4693 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo la majini vigeugeu sana ndomana utajir wao unakuwa mwishoe wakudhalilishe mamake

  • @allanothuman2941
    @allanothuman2941 ปีที่แล้ว +2

    DUUUH YAAN MWISH WA YOTE UNAKUW TENA MASKINI DAAAH

  • @saeedahhenry711
    @saeedahhenry711 ปีที่แล้ว +1

    Mungu tukinge na utufunike na damu ya yesu kristo dunia ndio imetufikisha hapo kweli tamaaa mbayaa sana

  • @ommylax7231
    @ommylax7231 ปีที่แล้ว +1

    Yes hii yenyewe ile uliludia iliyopita, nice story

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 ปีที่แล้ว +4

    halaf mama wa mikono mitatu ana tamaa, yan makafara yote lkn bado anataman!!

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +3

      Toka lini.sheytwan akalizika miajali yote yanayo fanyika lakini hawaridhiki nawao wagomvi wao nibinadam tuuh

    • @Irenes_Kitchen
      @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

  • @ndigwako
    @ndigwako ปีที่แล้ว +4

    Hii ni fundisho kwetu wengine

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Kwakweli nimtihan mzito tamaa hizi mbaya jamani

    • @robsonsadiki
      @robsonsadiki ปีที่แล้ว

      Yote yanayompata ameyataka mwenyewe tamaa mbaya sana

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      @@robsonsadiki ndio mana alikua kishaa pona tatizo la mara yakwanza hasa kenda kule kule sheytwani niyule yule

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว +2

    Nihatr umetoka kwenye matatizo umerudia tena matatizo

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 ปีที่แล้ว +1

    Pesa za shetani Apana 🙌 doooh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hazina maana hata kidogo wallaah

  • @womanofsteel1402
    @womanofsteel1402 ปีที่แล้ว +2

    Utajiri wa kichawi Ni mzigo

  • @khadijakhadija6158
    @khadijakhadija6158 ปีที่แล้ว +2

    Subuhanallah dunia ina mambo hii

  • @joivon3038
    @joivon3038 ปีที่แล้ว +2

    Pesa hutatua tatizo lkn pesa za matatizo huongeza matatizo unaitafuta kwa shida na inakupa shida dah

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 ปีที่แล้ว +2

    Tuko na wewe hadi majini wakuuwe kaka,,una Tamaa sana

  • @janethhendry6734
    @janethhendry6734 ปีที่แล้ว +2

    Sura inaonekana Sana kwann mmekaa upande?

  • @jafaryjey
    @jafaryjey ปีที่แล้ว +1

    Eeh, Mwenyezi Mungu! What is This, why unaruhusu mambo haya yafanikiwe

  • @user-qr6qw3qt3c
    @user-qr6qw3qt3c ปีที่แล้ว +1

    Kweli ni kumtegemea mgu

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว +3

    Nilikufamisha part ya 15 mashetani wanataka watu wako wakalibu tu kuwaua🇹🇿🇬🇷⚓

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Raha yoyote uliyopata Yan utajiri wamateso kiasi icho wanini mie😂

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 ปีที่แล้ว +2

    Naomba umuulize nikwanini hawapeleki pesa bank ni za kuweka ndani tu je ukihifadhi bank haiziwwzi kukaa na zikadumu?

  • @bahatimsacky7803
    @bahatimsacky7803 ปีที่แล้ว +2

    Davista hebu muulize jee mama yake alikufa au alipona????

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 ปีที่แล้ว +2

    Dunia ina mambo hii hatar!

    • @elizabethleonce1089
      @elizabethleonce1089 ปีที่แล้ว +1

      Yan hakun raha hata ya hizo pesa zenyewe aisee si stress hizo

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      ​@@elizabethleonce1089 bado wazazi masikini mara paa umefirithika wazazi wanabaki pesa hakuna naukilema juu

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 ปีที่แล้ว

      @@kalssambaboo9932 du!

  • @joivon3038
    @joivon3038 ปีที่แล้ว +1

    Safar hii utajiri umekuja kwa moto na iyo binti alikuambia utajiri ulochagua nnwa moto Hy unejisema mwenyewe

  • @dawayao2837
    @dawayao2837 ปีที่แล้ว +1

    Habari za kufikirika!

  • @kitutujuma9602
    @kitutujuma9602 ปีที่แล้ว +1

    Mumi #0

  • @paschalmayunga749
    @paschalmayunga749 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @Irenes_Kitchen
    @Irenes_Kitchen ปีที่แล้ว +2

    Mmmh uchawi shida Sana 😢umetoka hili unakwenda hili 😢lakini we nae uko na tamaa😅

    • @michaelcharles4693
      @michaelcharles4693 ปีที่แล้ว

      Tatizo wale majamaa wanapenda kugeuzia vibao watu yani sadaka wanataka kila mwezi sasa si lazima majirani wakuogope maana daah

  • @alalwialalwiii8194
    @alalwialalwiii8194 ปีที่แล้ว +1

    Hii. Dunia nihatariii Sana hakika pesa. Hizi nimitihan waarh 😢😢

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nifanye mpango wa kuanza kuroga

    • @mosesjohnswilla9926
      @mosesjohnswilla9926 11 หลายเดือนก่อน +1

      Utakuja kutusimulia hapa😂😂😂

  • @cyantess8423
    @cyantess8423 ปีที่แล้ว +1

    siku hizi hamna kitu eti urafiki wamayo alipea nyoka mshikaji

  • @isaiahjohnofficial
    @isaiahjohnofficial ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @catherinejames6714
    @catherinejames6714 ปีที่แล้ว +1

    Part 17 please

  • @khadijakhadija6158
    @khadijakhadija6158 ปีที่แล้ว +2

    Tutafika mbinguni tumechoka sana wallai

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 ปีที่แล้ว +1

    Safari nyingine mpya ya kuutafuta usafiri

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 ปีที่แล้ว +1

    Ukichunguz vizr utagund mattz yote baba ndo kayaleta

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 ปีที่แล้ว +1

    Lets gooo

  • @kakajoss2464
    @kakajoss2464 ปีที่แล้ว +1

    Mkono mmoja ulikuwa unaleta kama kiasi gani?

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 ปีที่แล้ว +2

    Mke wako huna raha nao, watoto hawakujui na wazazi ndio hao unwanyofoa mikono. I hope your dad hukumfanyia haya mambo. Wewe ulivyoona yaliyokukuta mara ya kwanza ungeachana na hayo mambo ya hao mama zako wa ujijini. So what sort of life are you living for heaven sake?

  • @zulfajuma8394
    @zulfajuma8394 ปีที่แล้ว +1

    Yani uyu mtu sio muogaa

  • @estherkosick4700
    @estherkosick4700 ปีที่แล้ว +2

    Je, sasa huwa anaweza kujisaidia kwa Choo cha nyumbani?...Ama hali ni ile ile?

  • @mbwanaomary4504
    @mbwanaomary4504 ปีที่แล้ว +1

    One

    • @georgedaud3411
      @georgedaud3411 ปีที่แล้ว

      Shetani hana urafiki na binadamu hata siku moja!

  • @wilsonkakili2481
    @wilsonkakili2481 ปีที่แล้ว +1

    Nyumba ni ileil bado hanakunya bar

  • @nantaembanusurupia5674
    @nantaembanusurupia5674 ปีที่แล้ว +1

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว +1

    👊🙏✌.

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +1

    muulize mama yake aliendelea vip
    maana alikuwa hospitaliii😊😊😊

    • @umbeaeastafrica7943
      @umbeaeastafrica7943 ปีที่แล้ว

      Mama mkono ulikatwa akaregeshwa nyumbani anauguziwa huko.

    • @PiliJuma-mm2sx
      @PiliJuma-mm2sx ปีที่แล้ว

      Lakusudi mtu hambiwi pole chande

  • @anziberthenry6298
    @anziberthenry6298 ปีที่แล้ว +1

    hatariii

  • @AdamKipara-r3b
    @AdamKipara-r3b ปีที่แล้ว +1

    Atari sana

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 ปีที่แล้ว +1

    natarjıa part 17/18 leo hiii

  • @dayana5513story
    @dayana5513story ปีที่แล้ว +1

    Pesa izi

  • @mosesjohnswilla9926
    @mosesjohnswilla9926 11 หลายเดือนก่อน

    Mkono mmoja ni sawa na bei gani?

  • @JaneDoe-hf3zy
    @JaneDoe-hf3zy ปีที่แล้ว +3

    Ulivyo ombewa unge achana na vitu vyo duniani ona sasa una maliza wazazi viungo vyao kwa tamaa zako

    • @kalssambaboo9932
      @kalssambaboo9932 ปีที่แล้ว

      Tamaa nakati sheytwan niyule yule yupo kazini mana alikimbia kamkimbia sheytwan karudi tena kwa sheytwan hasa alikimbia nn nakafata nini

  • @MedenMuthama-yb9gf
    @MedenMuthama-yb9gf ปีที่แล้ว +1

    Davista nataka uniunganishe na uyu kaka ama unipe namba zake

    • @khadijakhadija6158
      @khadijakhadija6158 ปีที่แล้ว +1

      Na wewe unataka pesa za kichawi au

    • @MedenMuthama-yb9gf
      @MedenMuthama-yb9gf ปีที่แล้ว +1

      @@khadijakhadija6158 Hilo sidhani linakuhusu🙄

    • @bryanlimbi326
      @bryanlimbi326 ปีที่แล้ว +1

      ​@@MedenMuthama-yb9gf sema usaidiwe jinga wewe ...

    • @MedenMuthama-yb9gf
      @MedenMuthama-yb9gf ปีที่แล้ว +1

      @@bryanlimbi326 sawa wewe mwerevu nisaidie basi juu mm n mjinga we mwerevu

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 ปีที่แล้ว +1

      Unataka kukatwa mkono au 😂😂

  • @pettiecranwel7588
    @pettiecranwel7588 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo yenyewe sasa 16,,twende Kazi🏳️‍🌈

    • @jakembazi
      @jakembazi ปีที่แล้ว +2

      We mzima

    • @LoFi_120
      @LoFi_120 ปีที่แล้ว

      @@jakembazi swali zuri🤔