Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika Yoh14:8-11. Soma hii aya ndivyo utakapojua kuwa hamna tofauti ya Baba na mwana. Yoh 4:2 Mungu ni roho,kwa hiyo roho wa Mungu , ni Mungu mwenyewe. Isa 9:6-7 Inatueleza kuwa,Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele. Wapendwa wa Kristu, hamna tofauti ya Baba, MWana na Roho mtakatifu.
Ndacha unachokiongea ni Cha ukweli Ila waislamu hawawezi kukubali ukweli wao wanaabudu pamoja na mashetani wanaita majini wasafi no wangeitwa malaika bas
@@stephen-S7n ukristo ni kuwa kama kristo na kristo alikuwa neno , leo watu wanachukua neno moja lingine wanaacha wakati siku moja kristo alisimama akasema mtu asipo ula mwili wangu na kuinywa damu yangu hana uzima ndani yake , kaka kinachotakiwa ni kula mwili wote wakristo sio kula mkono alafu then mguu unasema ni mchungu tunatakiwa kuka mwili wote wakristo ambao ni neno , kama neno limesema ubatizo ni kwa jina la BWANA yesu . basi tukabatizwe kwalo .kama neno limesema wanaume na wasalishe kila mahali .basi na tutende hivyo . kama neno limesema usipunguze wala kuingeza neno lolote basi na tulichukue hivyo hivyo
Isome kwa kiingereza,,biblia ya kiswahili wamekosea,,,"the only begotten son" kwa tafsiri haiwezi kuwa MUNGU MWANA bali ni "MWANA PEKEE WA MUNGU AU MZALIWA PEKEE "
shetani alikuzuilia ktk njia ya kweli kukutoa ktk kuufuata uislam dini ya haki na kukupeleka ktk njia yake ndo maana maswali hayata kuisha ya mashaka hata siku moja ila nakuombea ukue kweli sio wao tu hata wewe upo ktk makosa
Ndacha hujui bibilia unadanganya Wakristo wenzako! Eti hakuna pepo msafi!! Kuna pepo mchafu na yupo pepo msafi. Soma Marko 5:2 " Na alipokwisha kushuka chomboni, Mara alikutana na mtu ambaye ametoka makaburini mwenye pepo mchafu." Sasa kwanini isiandikwe mtu mwenye pepo na iandikwe mtu mwenye pepo mchafu? Maana yake yupo pepo msafi. Ukisema Kuna mtu msafi maana yake yupo pia mchafu, ukisema Kuna mwanamke mzuri maana yake yupo mwanamke mmbaya. Ndacha pitia hiyo aya wacha uongo.
This man is not smart at all but he has smartness in some points like he denays and not agree with trinity 3gods in one but he still believe in devine Jesus and also believe in one God the father, that is cntradiction there is no such believe still Islam is the best belief
Punguza munkali, wapo walio funguliwa na kuelewa kuwa majini hawawez kuwa wazur hata cku moja , ukimsikiliza utamuelewa tu😂 na utajua kuwa kwenye Quran hakuna sehem ambayo Mungu anasema kwa kinywa chake kuwa kamtuma Muhammad kama mtume wake, hakuna Aya hata mojaa
@@profs.a5412 kale nguruwe ukalale huna unalolijua huyo mwenzenu yuko kwenye payrole nzuri ya kukupotezeni yeye ukweli anaujua. Tafuta ukweli kwa namna yako uongoke
Sasa ukitaka kujua ukristo sio dini ananukuu andiko mungu anasema usiwe na mungu mwengine ila yeye ukimuuliza anaesema hivo ni nani atasema yahwe! Je yesu ni mungu anatasema ndio sasa huyo aliesema usiwe na mungu mwengine nani? Ukimuuliza kwa hiyo mungu wa ngapi atasema mmoja sasa ndio nini hao madhehebu yote unasema yameanzishwa na watu ni kweli na hata hiyo SDA mwanzilishi wake mwanamke marekani Madhehebu elf 55 kha huu uongo wa wazi
Tatizo nyie MAKAFIRI mnachanga baina ya jini na shetani, majini ni viumbe wameumbwa na M/Mungu lkn wale waliowaasi ndo mashetan ambao ni MAKAFIRI km ivo nyie wakristo
@@qerysir4410 ndo nikasema hamuna elimu ya maandiko, malaika ni viumbe watakatifu wa M/Mungu ambao hawamuasi mola wao, tambua M/Mungu ameumba malaika, majini na wanadam soma uelewe
Sasa ukitaka kujua hawa watu vichwa maji anasema andiko Mungu anasema usiwe na mungu mwengine ila mimi ukimuuliza huyo mungu aliesema hivo ni nani atasema yehova ukija ukiimuuliza je yesu ni mungu atasema ndio sasa yule mungu aliesema usiwe na mungu mwengine ila mimi ni nani ? Kwa hiyo yehova ndio mungu ndio yesu nae ni mungu ndio mungu wa ngapi mmoja sasa hiyo akili au matope
This is guy is so smart in the name of Jesus
Bwana YESU akubariki sana mchungaji
Love from USA 🇺🇸
Napenda unyenyekevu wa Ndacha......iwe heri kwako....maneno yako yanabariki
Wonderful I like it, congratulations
Hongera sana pastor ndacha
Filipo akamwambia Yesu, “Bwana, tuonyeshe Baba yako nasi tutaridhika Yoh14:8-11. Soma hii aya ndivyo utakapojua kuwa hamna tofauti ya Baba na mwana. Yoh 4:2 Mungu ni roho,kwa hiyo roho wa Mungu , ni Mungu mwenyewe. Isa 9:6-7 Inatueleza kuwa,Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele. Wapendwa wa Kristu, hamna tofauti ya Baba, MWana na Roho mtakatifu.
Ndacha pole pole utasilimu
Huyu jamaa ana uelewa sana wa neno la Mungu
Yesu ana sema mkiwa batiza kwajina lababa na mwana naroho mtakatifu
BWANA azidi kukubariki kwa Baraka zote za rohoni na mwilini
Mimi ni sda but nakufuata na ninakubaliana na wewe kabisa lakini siami sda na mungu ni mmoja akuna mwingine na yesu ni mwana
Bosire gwakanire pi😂😂
@@stephen-S7n why do we tangatanga makanisa juu huyu anaubiri ukweli tena nasikia akisema sda ilipewa ukweli haja gani nimufuate Kwa teebu ameazisha
@@JustineBosire-wm3kp sidhani kama ndacha ni dhehebu amefungua Bali kile najua reformers wako kila mahali?
NDACHA Ni Mtu Wa kweli
Ndacha unachokiongea ni Cha ukweli Ila waislamu hawawezi kukubali ukweli wao wanaabudu pamoja na mashetani wanaita majini wasafi no wangeitwa malaika bas
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Usisemenumewafundisha na kuelewa sema umewadanganya na kudanganyika.😂😂
Unajua shida kuubwa ya uislamu ni kuwa ndugu na majin japo tu
Hapo kwenye utatu nakuunga mkono mtume wa Mungu
Ndacha Mungu Roho yupo kwa mujibu wa Yesu huyo unae mwamini Yohana 4:24 Mungu ni Roho nao wamwanio yawapasa wamwabudu katika Roho na kweli
Wewe inaonekan hujui kiswahili,,,kusema MUNGU ROHO na MUNGU NI ROHO,,,unaona znafanana??
Wewe soma andiko vizuri iyo yohana 4:24 ijasema mungu roho imesema mungu ni roho yaani mungu ndio roho
Madhehebu elf 55 na hapo ukivo muongo umepunguza sasa kuna dini hapo uongo wa wazi
asant pasta ilanaomba unieleweshe utatu nini?
✌️👍👊.
ingekuwa heri kwa wote tukatoka katika eagt ,sda ,catolic lutheran, angrikan,n,k na tukawa wakristo
Ubaya tunapenda madhehebu yetu Saidi kuliko ukweli wa maandiki
@@stephen-S7n ukristo ni kuwa kama kristo na kristo alikuwa neno , leo watu wanachukua neno moja lingine wanaacha wakati siku moja kristo alisimama akasema mtu asipo ula mwili wangu na kuinywa damu yangu hana uzima ndani yake , kaka kinachotakiwa ni kula mwili wote wakristo sio kula mkono alafu then mguu unasema ni mchungu tunatakiwa kuka mwili wote wakristo ambao ni neno , kama neno limesema ubatizo ni kwa jina la BWANA yesu . basi tukabatizwe kwalo .kama neno limesema wanaume na wasalishe kila mahali .basi na tutende hivyo . kama neno limesema usipunguze wala kuingeza neno lolote basi na tulichukue hivyo hivyo
Ahmadia sio waislamu babu mbona unapenda porojo wewe hata hija hawaendi hao
Yoh. 4:24 inasema Mungu ni Roho. Kama ndivyo, huyo Roho atakuwa ni nani? Kwa vyovyote vile ni Mungu.
Inasema MUNGU ni roho siyo roho ni MUNGU! Elewa. Mungu an nature ya roho ila syo roho ni MUNGU.
Mfundishe naona haelewi kiswahili huyo😂😂
Ndacha Bwana Apewe Utukufu
Nisaidie hapa; YOHANA 1:18
Isome kwa kiingereza,,biblia ya kiswahili wamekosea,,,"the only begotten son" kwa tafsiri haiwezi kuwa MUNGU MWANA bali ni "MWANA PEKEE WA MUNGU AU MZALIWA PEKEE "
Isome kwa kiingereza na uchukue hyo begotten son ucheki google maan yake uone
shetani alikuzuilia ktk njia ya kweli kukutoa ktk kuufuata uislam dini ya haki na kukupeleka ktk njia yake ndo maana maswali hayata kuisha ya mashaka hata siku moja ila nakuombea ukue kweli sio wao tu hata wewe upo ktk makosa
Tatizo la kushiriki midahalo ya kiislamu ,umashajichanganya. Umeshachukua mautopolo ya kina mazinge na sule na kuyaleta kuvuruga ukristu
Leta andiko acha swaga
Huyu ni mwanautatu anaumia
Kama anajiamin aombe mdahalo
@@YusuphLyanga-e8j Hakuna MKRISTU wa kweli anayependa kushindana kwenye midahalo ya kidini. Hayo ni ya Waislam na WASABATO waendelee na mashindano yao
@bernadjohn8788 Soma vizur maandiko umejificha huko kwa katholic njoo ujenge hoja kama utaweza 😂😂
Ndacha hujui bibilia unadanganya Wakristo wenzako! Eti hakuna pepo msafi!! Kuna pepo mchafu na yupo pepo msafi. Soma Marko 5:2 " Na alipokwisha kushuka chomboni, Mara alikutana na mtu ambaye ametoka makaburini mwenye pepo mchafu." Sasa kwanini isiandikwe mtu mwenye pepo na iandikwe mtu mwenye pepo mchafu? Maana yake yupo pepo msafi. Ukisema Kuna mtu msafi maana yake yupo pia mchafu, ukisema Kuna mwanamke mzuri maana yake yupo mwanamke mmbaya. Ndacha pitia hiyo aya wacha uongo.
Majini pepo chafu na malaika pepo safi (jin is evil spirits and angels is right God spirits)
Pepo ni Pepo hakuna safi
Msidanganyane hakuna Mwalimu wa injili, bwana yesu alikua na wanafunzi na aliwatuma wakafanye watu kua wanafunzi duniani
Sio Bure Umekunywa
Mchungaji uungunautatu kunatofautigani. ?
Huyu kumbe mpuuzi kabisaa ukristo ni dini ya kiitalyano
Wwe mpuuzi !! Uislam ni mira ya kiarabu
Usituletee uislam hapa wew
Madhehebu hayatupeleki mbinguni
Tupe habari
hkn muislam ataiacha dini yke ya kwel akaingia kwnye ukafir isipokua ni yule aliyefirisika kiakili
wewe umejuaje kama amefilisika kiakili? je alioacha ukristu na kuingia katika uislamu sisi nas tunaona vile vile kama wewe uonavyo?
@@herimornchriston6083kbs
Ni kweli yule aliyefilisika kwa majini ndiye atafanya maamuzi ya uhakika kuliko hao wanaoshirikiana na majini.
🤣🤣🤣 an waisilam shida tu. Eb waachen hao watu hawajui maandiko
This man is not smart at all but he has smartness in some points like he denays and not agree with trinity 3gods in one but he still believe in devine Jesus and also believe in one God the father, that is cntradiction there is no such believe still Islam is the best belief
Kwahy ww ndacha bado utaingia motoni maana ww ni msabato na wasabato waamini utatu mtakatifu
Syo wasabato wanaamin utatu. No mm ni msabato na siamin utatu. Ko jua tupo sie wasabato wanamatengenezo
@@ludeelectronics unabishana na ndacha
Huyu mwehu kweli umempeleka nani kwenye ukristo wewe
Punguza munkali, wapo walio funguliwa na kuelewa kuwa majini hawawez kuwa wazur hata cku moja , ukimsikiliza utamuelewa tu😂 na utajua kuwa kwenye Quran hakuna sehem ambayo Mungu anasema kwa kinywa chake kuwa kamtuma Muhammad kama mtume wake, hakuna Aya hata mojaa
@@profs.a5412 kale nguruwe ukalale huna unalolijua huyo mwenzenu yuko kwenye payrole nzuri ya kukupotezeni yeye ukweli anaujua. Tafuta ukweli kwa namna yako uongoke
Wewe ni mwehu
@@franciscomtambakuluca2830 tuambiee wew , Kuna Majin wazur sasaaa:? Au hujui chochote kuhusu majini😂
Majini wote ni waovu,@@franciscomtambakuluca2830
Sasa ukitaka kujua ukristo sio dini ananukuu andiko mungu anasema usiwe na mungu mwengine ila yeye ukimuuliza anaesema hivo ni nani atasema yahwe!
Je yesu ni mungu anatasema ndio sasa huyo aliesema usiwe na mungu mwengine nani?
Ukimuuliza kwa hiyo mungu wa ngapi atasema mmoja sasa ndio nini
hao madhehebu yote unasema yameanzishwa na watu ni kweli na hata hiyo SDA mwanzilishi wake mwanamke marekani
Madhehebu elf 55 kha huu uongo wa wazi
Tatizo nyie MAKAFIRI mnachanga baina ya jini na shetani, majini ni viumbe wameumbwa na M/Mungu lkn wale waliowaasi ndo mashetan ambao ni MAKAFIRI km ivo nyie wakristo
Majini ni majini tu hakuna jini zuri wala baya majini wote ni mabaya tu.
sasa ukiyachukia majini ama ukayasema vibaya siyachakua kitabu chao quran
malaika walioasi ndio mashetani au majini
@@qerysir4410 ndo nikasema hamuna elimu ya maandiko, malaika ni viumbe watakatifu wa M/Mungu ambao hawamuasi mola wao, tambua M/Mungu ameumba malaika, majini na wanadam soma uelewe
Sasa ukitaka kujua hawa watu vichwa maji anasema andiko Mungu anasema usiwe na mungu mwengine ila mimi ukimuuliza huyo mungu aliesema hivo ni nani atasema yehova ukija ukiimuuliza je yesu ni mungu atasema ndio sasa yule mungu aliesema usiwe na mungu mwengine ila mimi ni nani ? Kwa hiyo yehova ndio mungu ndio yesu nae ni mungu ndio mungu wa ngapi mmoja sasa hiyo akili au matope
Upuuzi mtupu
Kwanini upuuzi Mkuu?
Unaumia kutoka dini gani?!
Imekuumaeee,umekuchomaeee,,, yesu kiboko yenu
@@CharoHarrison-lf3jc Yesu ni Muislamu nyie ndie kiboko yenu Yesu aliingia kwenye masinagogi akasali kwa kusujudu
@@paulmushi2428😂😂😂😂😂
Ukiona mtu anaacha uislaam basi huyo kafuata ugari na njaa kali,uislam ndio dini ya kweli na asiyekuwa muislaam basi huyo makazi yake jikoni.
Huyu jamaa muongo