Group Performance ya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 64

  • @pastoryndetti9005
    @pastoryndetti9005 3 ปีที่แล้ว +8

    Master j kweli kundi lako lilikuwa gumu kuchangua hata mimi limenipa shinda mmoja tu wa mwanza ndo alikuwa hawezi

  • @bintijumachongoa892
    @bintijumachongoa892 หลายเดือนก่อน +2

    Wenye wanaangalia hii hadi sai 2024 likes hapa❤

  • @Kinogetv4753
    @Kinogetv4753 3 ปีที่แล้ว +10

    Ukiitwa master lazima uwe master kwel kwel🔥🔥🔥awo malapa ni noma na nusu kabis

  • @tumpegeophrey126
    @tumpegeophrey126 ปีที่แล้ว +1

    Huyo dada mwenye pink🙌🙌🙌

  • @katetigendo4988
    @katetigendo4988 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwaka huu watu wako serious na mziki tofauti na miaka ya nyuma kwakweli👌🏽

  • @alibalala8722
    @alibalala8722 3 ปีที่แล้ว +5

    Hawa maraper ni wakali Sana master you have to keep them

  • @Elcapitano_maestro
    @Elcapitano_maestro 3 ปีที่แล้ว +1

    Mchizi ana chanika Ile mbya🙌🙌🙌 afu aliemfatia utadhan barnaba

  • @eugeniakinabo9782
    @eugeniakinabo9782 3 ปีที่แล้ว +2

    hawa marapa mdada na mkaka ni noma sana

  • @meryjosee2024
    @meryjosee2024 3 ปีที่แล้ว +3

    Great group #randykinamber where are you man 🙈😂

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 3 ปีที่แล้ว +2

    Master ni Master Tu....hawa ni wasanii

  • @omarjoombi8802
    @omarjoombi8802 3 ปีที่แล้ว +2

    Hawa noma 🔥🔥

  • @tanialucas4579
    @tanialucas4579 3 ปีที่แล้ว

    Mbona team ya master je wote wanajuwa kuimba

  • @makavelibaddest7806
    @makavelibaddest7806 3 ปีที่แล้ว +2

    Maby✌yusuphu

  • @eunicechihunga7654
    @eunicechihunga7654 2 ปีที่แล้ว

    Ooooh my God I love this 😘😘

  • @josephlyimo1664
    @josephlyimo1664 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu ana rap jamn ni moto

  • @yusuphkacc6232
    @yusuphkacc6232 3 ปีที่แล้ว +1

    Elishaaaaa aahhhhh we kak unajua

  • @maderden7076
    @maderden7076 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyuuu mengi jaman anajua mpaka rahaa

  • @princeibra2042
    @princeibra2042 3 ปีที่แล้ว +7

    Yusuph 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @nainaiblack6736
      @nainaiblack6736 3 ปีที่แล้ว +1

      Yusufu as the best for me na mengi

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh
    nakubali ma rapers

  • @selinaselin8928
    @selinaselin8928 3 ปีที่แล้ว +1

    Master ndo nguli wa bss

  • @lydiamangeni675
    @lydiamangeni675 3 ปีที่แล้ว +9

    Kusema ukweli group performance ya Bella ndio iliuwa.

    • @kakongajosue
      @kakongajosue 2 ปีที่แล้ว

      Grunujtiohi😆🍓🌷👩‍👩‍👧‍👦👩‍👩‍👦‍👦👩‍❤️‍💋‍👩👨

  • @officialpangaboymtotowamam8014
    @officialpangaboymtotowamam8014 3 ปีที่แล้ว +3

    Oyoooooo ili group ninomaaaa

  • @richardr7037
    @richardr7037 3 ปีที่แล้ว +1

    Zaniel ana feel muziki unaflow ndani

  • @edmondjr17
    @edmondjr17 3 ปีที่แล้ว +3

    1:36 💯👏🏽👏🏽👏🏽

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimerudia Mara mbili hi kitu, marapa 100%

  • @samirasaidi8496
    @samirasaidi8496 3 ปีที่แล้ว

    Gres uko vzr

  • @ttoshcomedy3030
    @ttoshcomedy3030 2 ปีที่แล้ว

    Kenyan love

  • @bongorider8138
    @bongorider8138 2 ปีที่แล้ว

    Group pefomance tim madam rita

  • @frankmwakilambo9867
    @frankmwakilambo9867 3 ปีที่แล้ว +1

    Team mastar n noumaaaa

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 3 ปีที่แล้ว

    HAPA MJ UMEUWAAAA KINOMAAA NOMA

  • @samirasaidi8496
    @samirasaidi8496 3 ปีที่แล้ว +1

    Maby kama barnaba kwel uko vzr

  • @magrethdaniel7351
    @magrethdaniel7351 3 ปีที่แล้ว

    Rahaaa❤️❤️❤️

  • @yusuphkacc6232
    @yusuphkacc6232 3 ปีที่แล้ว +1

    Elishaaa unajua

  • @rebeccambwambo8189
    @rebeccambwambo8189 2 ปีที่แล้ว

    Yusuph noma mno

  • @eladiusrugazia5936
    @eladiusrugazia5936 3 ปีที่แล้ว

    Ni shidaaaaaaaaaa

  • @heispotipher
    @heispotipher 8 หลายเดือนก่อน

    💙

  • @nuraansuhail2578
    @nuraansuhail2578 3 ปีที่แล้ว +2

    Asipo shinda chalii rapa sitaangalia tena BSS

    • @joyjilien5432
      @joyjilien5432 3 ปีที่แล้ว

      Sasa wanavyokuaga na kiherehere si ajabu hapo pasitoke mshindi,,,,tatizo hawajuagi wasanii wa rap huaga wanaweka nyuma sana

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

    Hii kubwa kuliko mtakoma awamu hii Nani apate Nani akose ndo mtajua hamjui

  • @emmaonalloh5515
    @emmaonalloh5515 3 ปีที่แล้ว

    Nice performance

  • @janethauzebius6765
    @janethauzebius6765 3 ปีที่แล้ว +1

    💕💕💕💕💕💕

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 3 ปีที่แล้ว +1

    Master akili nyingi

  • @samirasaidi8496
    @samirasaidi8496 3 ปีที่แล้ว +1

    Elisha umeanza poa sana

  • @dismaskayombo9488
    @dismaskayombo9488 3 ปีที่แล้ว +1

    Jambazi soft🤣🤣

  • @arnoldchambika1492
    @arnoldchambika1492 3 ปีที่แล้ว +1

    Safar hii Kuna balaa

    • @nainaiblack6736
      @nainaiblack6736 3 ปีที่แล้ว

      Seme mengi changamka kidgo usipooze jp ktk kuimba uko fireee

  • @paschalpeter4540
    @paschalpeter4540 2 ปีที่แล้ว

    Ingependeza hiyo band ingeendelea

  • @linuswhero7958
    @linuswhero7958 หลายเดือนก่อน

    Nikija ndo itakua mwisho wakuiangalia

  • @bellrajkachafuo7813
    @bellrajkachafuo7813 2 หลายเดือนก่อน

    Bss msimu huu n date gani

  • @bellrajkachafuo7813
    @bellrajkachafuo7813 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mayb alitoka hapa kwel

  • @watchme5678
    @watchme5678 3 ปีที่แล้ว +1

    Yuzzo mimi binafsi sina neno

  • @Isaac.001-x3s
    @Isaac.001-x3s 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah. Still typing....

  • @anithamuttassa8530
    @anithamuttassa8530 3 ปีที่แล้ว

    Mmmmh Rapa Kamfanana Z Anto wa Wastara

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuu

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 3 ปีที่แล้ว

    Vizur mnanifanya nisilale

  • @sifalenard2988
    @sifalenard2988 3 ปีที่แล้ว

    Mbna timu zote hatar

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +1

    Ila kusema kweli master Hana team hapo huo ndo ukweli. Team ambayo ilikuwa hatari mpaka unatetemeka kuchagua ni Bella . master Ana msanii mmoja tu hapo na sijui kwa nini kamuacha mpiga keyboard.

  • @bonanzafocus2523
    @bonanzafocus2523 2 ปีที่แล้ว

    Htr snaa wanajua
    th-cam.com/video/J9yS48Prnfg/w-d-xo.html