Kwanini zaidi ya asilimia 50 ya wanaoenda hija toka Tanzania wanatokea Zanzibar - Sheikh Rusaganya

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2023

ความคิดเห็น • 22

  • @newlife2557
    @newlife2557 ปีที่แล้ว

    آمين يا رب

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 ปีที่แล้ว +3

    Zanzibar wastafu wote wanaenda hijja Tena kipato chao tofauti na kinakuwa kidogo kuliko bara,Mwenyezi Mungu atuongoze sisi watu wa bara tupate kubadirika

  • @mwigaadam1179
    @mwigaadam1179 ปีที่แล้ว +3

    Ss jahiili mungu amlani au amuongoze?

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +3

    Duu Allah atufanyie wepesi nyoyo zetu

  • @kuruthumumkalawa2786
    @kuruthumumkalawa2786 ปีที่แล้ว +3

    Allah akupe afya shehe w2

  • @Tatafati-uk8vy
    @Tatafati-uk8vy ปีที่แล้ว

    Swadakta sheikh

  • @waheedaw1953
    @waheedaw1953 ปีที่แล้ว

    Anae lets ujinga Allah amuhidi inshaAllah

  • @fadhilkhamis790
    @fadhilkhamis790 ปีที่แล้ว

    Iman

  • @SheikhSaidi
    @SheikhSaidi 9 หลายเดือนก่อน

    As, alaikum, garma ni miloni kumina sit laki 5

  • @ibrahimally8073
    @ibrahimally8073 ปีที่แล้ว

    Tena amlaani kama iblis alivyo laaniwa.. Aaamiiinnn 🤲

  • @halimayahya1948
    @halimayahya1948 ปีที่แล้ว

    Kwan gharama za hijjah ni kiasi gn in shaa Allah ni Ndoto yangu siku moja Allaah anijaalie niwe mmoja katika waalikwa wa Ibadah ya hajj

    • @zainarashid1024
      @zainarashid1024 ปีที่แล้ว

      Asalam alaykum warahmatullah wabarakat. Kiasi cha milioni 14 na 16

    • @halimayahya1948
      @halimayahya1948 ปีที่แล้ว

      @@zainarashid1024 shukran 🥰

  • @rahmaabubakarisaanatu1961
    @rahmaabubakarisaanatu1961 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna kitu kibaya km ubinafsi. Watu wanajitolea ili wenye kumudu kwenda kuhiji kwa fedha ya wafadhili waende.Lkn huku kwetu bara kuna watu LAANATULLAH WALLAH wanakwenda kuolea.

  • @saidkhatib9146
    @saidkhatib9146 ปีที่แล้ว

    Swadaqta

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว

    Wape maneno yao maana hawajui

  • @binseif2216
    @binseif2216 ปีที่แล้ว

    Walounusuru uislam zanzibar waliuliwa kama wanyama

  • @sofiyabakari9730
    @sofiyabakari9730 ปีที่แล้ว

    Kila Cku nauliza Kwan garama zinafika bei gan? Nataman na mim cku moja niwe hajat

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 ปีที่แล้ว

    Zanzibar ndio chimbuko la Uislam katika East Africa according to Islam Waislam wote ni sawa ukiwa mweusi ukiwa mchina ukiwa muarabu ukiwa muafrica wote ni sawa sawa¿thanks