Angel Benard - Mwanzo (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Upana wa Mungu hauwezi kuelezeka. Katika miaka ya kuishi maisha ya imani nimejifunza jambo moja, sijui mengi kama nilivyodhani wakati Nina umri wa mwaka mmoja katika imani. Hatujui Kama tunavyodhani, hatumjui kama tunavyodhani. Mungu ni Mpana sana na njia zake zipo juu mno kuliko njia zetu. Anaweza fanya lolote lile, kwa namna yoyote ile, wakati wowote ule, kupitia mtu yeyote yule.
    Yeye ni mwanzo kabla ya mwanzo tunaodhani tunaujua (Mwanzo 1:1) na ni mwisho baada ya mwisho tunaodhani tunaujua pia (Ufunuo).
    Hakuna hata mmoja wetu ambae anahaki ya kumkatia Mungu tamaa. Mambo yote yatapita ila Mungu anabaki wa kuaminika. Kila kitu kitapita isipokuwa neno lililotoka katika kinywa cha Mungu.
    Nakuombea usiyadharau mambo mapumbavu maana nayo hutumiwa kuthibitisha ukuu wa Mungu. Usidharau njia za Mungu au kuzichukia. Hatujui yote, na yeye ndio yote katika yote. Nakuombea urudishe na udumishe imani kwa Mungu, hatakuangusha. HAJAWAHI KUTUANGUSHA HATA PALE WANADAMU WANAPOKUANGUSHA.
    Muamini mwanzo kabla ya mwanzo na mwisho kabla ya mwisho kuliko mazingira, hisia na hofu. Bwana ni wa KUAMINIKA.

ความคิดเห็น • 169

  • @user-yh5tb6yh9z
    @user-yh5tb6yh9z 3 หลายเดือนก่อน +4

    Yes ongoza me nakufwata🙏🙏much love from Kenya Nairobi

  • @evalynedenis
    @evalynedenis 11 หลายเดือนก่อน +9

    Yeye Ni mwanzo kabla ya Mwanzo ,Tena Mwisho Baada Ya Mwisho (with that revelation Iam confident kuwa pale sijaanza yeye ameshaanza na ninapomaliza kwakuwa hana mwisho yeye anaendelea na kuendeleza yanihusuyo 🙌🏻🙌🏻🙌🏻)
    We Love You (Messanger of God ~Sis Angel) ❤️😘

  • @Ambmercymasika
    @Ambmercymasika 11 หลายเดือนก่อน +3

    Whaaat! Eeish. Such a beautiful song. More grace darling ❤

  • @maurisiakasike5232
    @maurisiakasike5232 11 หลายเดือนก่อน +18

    This is not just a song but a revelation. I have nerver known or seen God in this dimension before, thank minister angel benard, kwa hali ninayoipitia right now nilihitaji sana neno hili. Limeniinua. Mungu azidi kukubariki sana sana

  • @jacquelineniyo8177
    @jacquelineniyo8177 11 หลายเดือนก่อน +10

    Wewe ni mwanzo kabla ya mwanzo, tena mwisho baada ya mwisho 🙏❤️

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 11 หลายเดือนก่อน +5

    Basi ongoza Bwana, mimi nakufuata Ee Yesu Kristo!
    Ubarikiwe saana kwa wimbo huu wenye kutia moyo na maombi kamili mbele za Mungu aliye hai, Alpha na Omega!

  • @cynA222
    @cynA222 11 หลายเดือนก่อน +5

    I don't know what it is about hio part ya 'wewe ni mwanzo kabla ya mwanzo...' that makes me just want to fall on my knees and WORSHIP!! HALLELUJAH! God bless your ministry sister Angel.

  • @josephhopebaraka254
    @josephhopebaraka254 11 หลายเดือนก่อน +2

    I like that part,, "Wewe ni mwisho baada ya mwisho"

    • @esthernicholaus3568
      @esthernicholaus3568 4 หลายเดือนก่อน

      Amen. "Wewe ni mwisho baada ya mwisho."

    • @josephhopebaraka254
      @josephhopebaraka254 4 หลายเดือนก่อน

      @@esthernicholaus3568 thank you for the correction

  • @originalboy8518
    @originalboy8518 11 หลายเดือนก่อน +15

    U are the another level of Gospel Music in Tanzania unaipeperesha bendera 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 yetu vyema sana .
    Ambao Wanaliamini hili kama mimi lets like this video and this comment ❤😊😊😊😊

    • @SamuelErnest
      @SamuelErnest 11 หลายเดือนก่อน +1

      Yes

    • @witnessfelix3336
      @witnessfelix3336 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu aendelee kukuhudumia angel bernard i real love you God please protect my angel❤

  • @farajikakyaka7093
    @farajikakyaka7093 หลายเดือนก่อน

    Yesu ongoza mm nafuta🎉🎉

  • @RehemaNsemwa-ty3tb
    @RehemaNsemwa-ty3tb 11 หลายเดือนก่อน +2

    Muimbieni Mungu kweli..... Maisha yenu ndo yawe maubiri sio hizo sauti.

  • @marionwanjiku4226
    @marionwanjiku4226 11 หลายเดือนก่อน +4

    Uplifting song, can't enough of this song. Love from Kenya 🇰🇪

    • @jacklinemilka
      @jacklinemilka 9 หลายเดือนก่อน

      Love your songs our dear Kenyan

  • @minmianzi
    @minmianzi 11 หลายเดือนก่อน +10

    My all time and favorite Minister of God😍... what a declaration "Mwanzo kabla ya Mwanzo, tena mwisho baada ya Mwisho" 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 11 หลายเดือนก่อน +3

    Powerful song love ,and siku zote Napendaga jinsi unavyo vaa nywele ni very classy feminine ❤

  • @cleomusic254
    @cleomusic254 10 หลายเดือนก่อน +2

    Powerful ministration song

  • @johnstony4938
    @johnstony4938 6 หลายเดือนก่อน +1

    Basi ongoza Mimi nafwata, hizo mbingu na nchi sio mipaka ya utendaji wako,
    Congratulations Angel ,,, I still believe.❤

  • @deboravicent7427
    @deboravicent7427 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa kutupa nyimbo mpya jamani binafsi nilimisi nyimbo zako. Mungu akubariki sana hujui tuu ni kwa kiasi gani unatubariki na burudani hizi nzuri.

  • @martinejustinee3633
    @martinejustinee3633 11 หลายเดือนก่อน +3

    Beautiful song❤,,,, kiukweli Angel Bernard u are so blessed sister❤

  • @levimumbo581
    @levimumbo581 11 หลายเดือนก่อน +5

    I just love this song,Alpha Omega...Basi Ongoza me nakuvyata....
    Glory to God,
    God bless you Angel..

  • @nyanjilaneke4931
    @nyanjilaneke4931 11 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu ongoza ninafuata.....Alpha na omega❤

  • @SantinaLusigi-xd2kj
    @SantinaLusigi-xd2kj 11 หลายเดือนก่อน +2

    Basi ongoza mimi nafuata YESU Ongoza nakufuata ni 🔥🔥🔥

  • @danielathanas5872
    @danielathanas5872 11 หลายเดือนก่อน +2

    🙏LIFTED UP BE THE GOD OF EVERY BEGINNING AND ALL THE ENDS🙏

  • @nafulahbrendasite6984
    @nafulahbrendasite6984 11 หลายเดือนก่อน +2

    The revelation 🔥🔥🔥❤️❤️❤️

  • @Keyjop
    @Keyjop 11 หลายเดือนก่อน +3

    Sifa na utukufu Kwa bwana ...❤❤❤

  • @sonpmusic7317
    @sonpmusic7317 11 หลายเดือนก่อน +5

    What a song !! Keep shining for Jesus

  • @jerrywambura
    @jerrywambura 10 หลายเดือนก่อน +1

    Blessings blessings blessings.
    He is always the answer of our questions.🙏🏾 Beginning before the beginning, the end after the end

  • @vytahchummie4909
    @vytahchummie4909 11 หลายเดือนก่อน +1

    Woooow such a wonderful song from my favorite minister hakika yeye ni mwanzo......niko tayari kufuata baba basi usiache kuongoza...Amen

  • @francesmpangwa8801
    @francesmpangwa8801 11 หลายเดือนก่อน

    My sister

  • @kristinamwangekan2471
    @kristinamwangekan2471 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wakuaminika Mwanzo na Mwisho🙌🏾

  • @elizabethngala5366
    @elizabethngala5366 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe ni mwanzo ,Alfa na Omega,Bwana ongoza NAMI nafuata,Amen

  • @ruthie_nakhungu1007
    @ruthie_nakhungu1007 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu ongoza, mimi nafata hatua nawe.

  • @daisydennis6685
    @daisydennis6685 7 หลายเดือนก่อน

    This is a very nice song but the words are being drowned out by the music ( or is it my earphones).
    Edit: I've listened again. It was my earphones. Sounds better now

  • @msd0304
    @msd0304 11 หลายเดือนก่อน +6

    Beautiful! Such powerful worship! Love you-Auntie Mendy

  • @valaryakinyi4129
    @valaryakinyi4129 11 หลายเดือนก่อน +1

    the song of my season.... yaani i serve a living God amenijibu.....i surrender Mimi nafuata

  • @emmanuelchirambadare3463
    @emmanuelchirambadare3463 7 หลายเดือนก่อน +1

    Being blessed by your music, from Zimbabwe. God bless you Minister Angel Benard

  • @christinayamo7861
    @christinayamo7861 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mwanzo kabla ya mwanzo💪

  • @sammyg2542
    @sammyg2542 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanzo na mwisho....thanks for this piece

  • @goldenjunior_tz
    @goldenjunior_tz 11 หลายเดือนก่อน

    My sis ❤

  • @MagoriMarare-pd2zt
    @MagoriMarare-pd2zt 11 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you dear sister.

  • @Mutheujacque
    @Mutheujacque 7 หลายเดือนก่อน

    Your songs are a true blessing ❤thank you

  • @joymunyi7843
    @joymunyi7843 11 หลายเดือนก่อน +2

    Wa kuaminika mwanzo, wa kuaminika mwisho! Hallelujah 🙌🏾🇰🇪

  • @faithwanja7097
    @faithwanja7097 11 หลายเดือนก่อน +5

    Glory to God,, powerful song

  • @farizglobal
    @farizglobal 11 หลายเดือนก่อน +1

    How can I like this a 1000 times,I love this❤❤...

  • @ndungemartinofficial
    @ndungemartinofficial 11 หลายเดือนก่อน +1

    Very deep revelation there...... hallelujah....

  • @shwarikuuvj5416
    @shwarikuuvj5416 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amazingly beautiful ❤❤

  • @ireenmurithi2947
    @ireenmurithi2947 11 หลายเดือนก่อน +1

    You never disappoint WOG💜💙💙

  • @sophiaabukutsa5739
    @sophiaabukutsa5739 11 หลายเดือนก่อน +1

    Wakuaminika!!! Beautiful ,powerful song❤

  • @calebodero9012
    @calebodero9012 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hallelujah He is The ALPHA and The OMEGA He sees the end from the beginning and the end from the beginning.

  • @tabbyunique5327
    @tabbyunique5327 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ooh soo powerful,,, you're blessed,, I love every song sing,, looking forward to do collable

  • @susanrachuonyo254
    @susanrachuonyo254 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yes

  • @liezellist883
    @liezellist883 11 หลายเดือนก่อน +1

    Amen ❤

  • @vincentanyona6854
    @vincentanyona6854 10 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @clovisbyanjira7351
    @clovisbyanjira7351 11 หลายเดือนก่อน +2

    Je blessed dear Angel❤

  • @ceciloluoch
    @ceciloluoch 11 หลายเดือนก่อน +1

    I love you mamaa ...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @prophetamanimloy405
    @prophetamanimloy405 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hukoseagi hata siku 1. Mungu aongoze hatua zako kwa jina la Bwana Yesu

  • @anandeurassa3548
    @anandeurassa3548 11 หลายเดือนก่อน +1

    Weweeeeeee 😬😬😤🥵🥵 it’s a New HIT that completely HITS in a neeeew n a different way 🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Shkamoo Mungu!!! Salutes Beautiful 🤩👼🏻😍🤗🤍🤍🤍 umeuaaaaaa

  • @hellenmalesi4448
    @hellenmalesi4448 11 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh! God bless u,thk u

  • @johnstony4938
    @johnstony4938 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @AgnesNyivaTV
    @AgnesNyivaTV 11 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulations, wonderful song👏

  • @katessemambo6689
    @katessemambo6689 11 หลายเดือนก่อน +3

    I really love your sound. On repeat
    Thank you for this ❤❤❤

  • @catherinedeogratiusmgumba6183
    @catherinedeogratiusmgumba6183 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dadaa ee namwinua sana MUNGU kwaajili yako🎉🎉🎉❤❤

  • @selahythera1110
    @selahythera1110 11 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni mwanzo kabla ya mwanzo
    Tena mwisho baada ya mwisho

  • @DARAJANI_TV
    @DARAJANI_TV 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo ni wakiroho mzuri sana endelea mtumishi

  • @rachel8213
    @rachel8213 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @Claudekcbryan
    @Claudekcbryan 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah ❤

  • @paulsifa
    @paulsifa 11 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi safi siz👏🏽👏🏽👏🏽

  • @sammusic1580
    @sammusic1580 10 หลายเดือนก่อน

    Angle tunakuhitaji sana Pia Kwenye Live Events wewe ni Nyota Mkubwa sana barikiwa sana

  • @jefferick
    @jefferick 11 หลายเดือนก่อน +1

    Umenifanya nimkumbuke sana Mungu. Ahsante sana Angel Benard.🙏🏽

  • @stellar254
    @stellar254 11 หลายเดือนก่อน +4

    Powerful song , wonderful message.Stay blessed.

  • @lindahandati3192
    @lindahandati3192 8 หลายเดือนก่อน

    Wow❤

  • @user-tr6jm5fw3f
    @user-tr6jm5fw3f 11 หลายเดือนก่อน +3

    My always insipiration❤

  • @Lizkey.
    @Lizkey. 11 หลายเดือนก่อน

    Blessings

  • @kennethmuiruri4794
    @kennethmuiruri4794 11 หลายเดือนก่อน +2

    Amen. Glory to JESUS CHRIST. this is my type of sound.

  • @jessehasivirwe7679
    @jessehasivirwe7679 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesss, Mwanzo kabla ya Mwanzo....n'a Mwisho ❤❤❤❤

  • @eliwanzitasospeter3196
    @eliwanzitasospeter3196 11 หลายเดือนก่อน +3

    What a song! Yesu ongoza, Mimi ninafuata

  • @victorrumishalucas8563
    @victorrumishalucas8563 11 หลายเดือนก่อน +2

    Great song and beautifully mixed

  • @greatstar3866
    @greatstar3866 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤ beautiful song. Lots of love from Uganda.

  • @gospotv
    @gospotv 11 หลายเดือนก่อน +1

    Keep moving our beloved sister, your music is so touching..

  • @liliandavid8636
    @liliandavid8636 6 หลายเดือนก่อน

    Amazing ❤

  • @boazrhithik2697
    @boazrhithik2697 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana my dada Toka Congo Bukavu 🇨🇩 umetubariki sana

  • @JeskaPawa-sw4mx
    @JeskaPawa-sw4mx 11 หลายเดือนก่อน

    Napenda unavyo imba hakika MUNGU ni mwanzo na mwisho pia hakuwahi kupitwa na wakati

  • @marthanyamurama4129
    @marthanyamurama4129 11 หลายเดือนก่อน

    Amena 😢😢🙏

  • @saudajuma5237
    @saudajuma5237 11 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌

  • @carolinendegwa9593
    @carolinendegwa9593 11 หลายเดือนก่อน

    Bas ongoza mm nafuata hatua hatua nawe
    Yesu ongoza mm nafuata hatua hatua nawe...😊

  • @theapostolictribes
    @theapostolictribes 11 หลายเดือนก่อน +4

    This is such a beautiful song.

  • @nicromezb
    @nicromezb 11 หลายเดือนก่อน +1

    We missed you ❤❤❤🇹🇿

  • @alicendungu9583
    @alicendungu9583 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo na Mwisho🙌🙌🙌

  • @beatricedunstanntukula6517
    @beatricedunstanntukula6517 11 หลายเดือนก่อน

    Yaani sijui cha kusema, lakini kuna namna nyimbo zako zinanifanyaga sielewi. MUNGU aliye mwanzo kabla ya mwanzo na mwisho baada ya miisho yote, aendelee kukutumia.

  • @ShalomSavalla-uz6ds
    @ShalomSavalla-uz6ds 11 หลายเดือนก่อน +2

    Vocals! Vocals! Vocals!❤🔥🔥

  • @kehinde2057
    @kehinde2057 11 หลายเดือนก่อน +1

    Greater heights woman of God

  • @ntimifingulu8864
    @ntimifingulu8864 11 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed daughter of God ❤❤❤❤

  • @agathajuma4827
    @agathajuma4827 5 หลายเดือนก่อน

    amen GOD is good the chills from the song indeed Mungu ni kwema

  • @deleted.2416
    @deleted.2416 11 หลายเดือนก่อน

    amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty song i have screamed with ts pretty song i have yelled with ts pretty song. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing😭 .

  • @elijahsaro6611
    @elijahsaro6611 11 หลายเดือนก่อน

    Basi ongoza wewe ongoza unapo nielekeza nitafuata yesu

  • @oscarnderituz4531
    @oscarnderituz4531 10 หลายเดือนก่อน +1

    This is a song in season.Thanks Angel for allowing God to use you.Baraka

  • @josephngweta7033
    @josephngweta7033 11 หลายเดือนก่อน +2

    It's blessing song

  • @blessedben-el3363
    @blessedben-el3363 11 หลายเดือนก่อน +2

    So powerful

  • @user-xi6sd8rw5q
    @user-xi6sd8rw5q 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye ni Alpha na Omega🙏🙏💪💪

  • @denniskinuthia3261
    @denniskinuthia3261 11 หลายเดือนก่อน +1

    Angel you are so gifted 🙌🙌🙌May God keep using your gift for His glory.

  • @cecyjoel3039
    @cecyjoel3039 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤