UKWELI KUHUSU NDOA YA MWIMBAJI ANGEL BENARD NA ALIEKUWA MUME WAKE GODSAVE SAKAFU....✍️

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ค. 2023
  • Baada Ya Minong'ono Mingi Ya Watu Wakitaka Kujua Ukweli Kuhusu Ndoa Ya Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili ANGEL BENARD Na Aliekua Mume Wake GODSAVE SAKAFU Hatimae Tumempata FELIS MUBIBYA Kutoka Marekani Na Amethibitisha Kuwa Wawili Hao Wametengana Na ANGEL BENARD Kufunga ndoa Nyingine Huko Marekani.

ความคิดเห็น • 128

  • @theopistamwayeya1764
    @theopistamwayeya1764 ปีที่แล้ว +15

    Unaehojiwa Mungu akubariki,una hekima,endeleeni kuwapokea wengine wanaotoka Tanzania na kufika huko.Mungu atawalipa.

  • @elizabethfrank4396
    @elizabethfrank4396 ปีที่แล้ว +4

    Duh,, Mungu awasaidie waimbaji

  • @graysonkewe1004
    @graysonkewe1004 ปีที่แล้ว +9

    huyu Baba ana hekima sana, i like him aseee

  • @mariethamtawa314
    @mariethamtawa314 ปีที่แล้ว

    This man, Mungu ambariki

  • @josephmandelapenet4587
    @josephmandelapenet4587 ปีที่แล้ว +10

    Very mindful and logical man.

  • @user-fr2hd7rk2d
    @user-fr2hd7rk2d ปีที่แล้ว +1

    Nimefurahia sana hekima uliyotumia brothe Felis.

  • @mariamaloda5447
    @mariamaloda5447 ปีที่แล้ว +8

    Ni kweli anaangalia na kupiga pale Mungu anapoweka mkono na mahali penye baraka yako.😢

  • @janembalinga7074
    @janembalinga7074 ปีที่แล้ว +3

    Duh asee mungu aturehemu sana

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi ปีที่แล้ว +5

    😭😭😭😭😭 Ee Mwenyezi Mungu turehemu

  • @deborahrehema4066
    @deborahrehema4066 7 หลายเดือนก่อน +1

    MCONGOMANI WETU GOD BLESS YOU ❤❤❤🎉🎉

  • @farfijahgibson6965
    @farfijahgibson6965 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awasaidie watumishi wake wote kuishi kwa kufuata kusudu na kanuni za kiMungu hapa duniani.

  • @abrahamkanuya1076
    @abrahamkanuya1076 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake bhnaaa😢😢😢

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 ปีที่แล้ว +5

    Mwanamke ni Mtu usieweza kumuelewa sana.But every woman wants good life.Imeenda hyo

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 ปีที่แล้ว +2

    Binadamu na waasi by nuture, Mungu atusaidie

  • @marrynaftali7969
    @marrynaftali7969 ปีที่แล้ว

    My wizo favie

  • @user-lr7em1ch8g
    @user-lr7em1ch8g 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu awape uvumilivu katika kila jambo waimbaji wa nyimbo za injili

  • @JanethAlbert-bq8mm
    @JanethAlbert-bq8mm ปีที่แล้ว +2

    Kaka umeongea vyema tena kwa hekima kubwa sanaa🙌👏.Mungu azid kukuneemesha

  • @evankya1955
    @evankya1955 ปีที่แล้ว +4

    Aisee hii kali! I never expected this. May God help us

  • @yustaishengoma8526
    @yustaishengoma8526 ปีที่แล้ว +3

    Duh! Mungu tuwezeshe jamani

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 ปีที่แล้ว +7

    Umh kuna kazi kweli the Bible is say that kifo ndo kitakachotenganisha mtu na mkewe ama na mmewe hii imezidi penye ukweli lazima ukweli usimame sihukum lakini hapo bado yupo dhambini ni heri angebaki bila ndoa ingefaa zaidi maana hapo yupo ndani ya uzinzi bado hajaokoa kitu hata kama wao wanajua huko chanzo cha kufikia hapo lakini hyo sio ndoa ni uzinifu

  • @jennifermmanyema6693
    @jennifermmanyema6693 ปีที่แล้ว +6

    Narudia tena shikamoo waimbaji 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @fbr5113
      @fbr5113 ปีที่แล้ว

      NA WANAIMBA TU KAMA AJIRA LAKINI HAIMAANISHI MATENDO YAO. KWAMBA SIO KILA MUIMBA INJILI KAOKOKA KUTOKA MOYONI

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😂

  • @marrynaftali7969
    @marrynaftali7969 ปีที่แล้ว +8

    Nimeumia mno,sijui shida Ni Nini lakini angel kuachana na God kwangu huzuni mno

  • @pastor_benjie
    @pastor_benjie ปีที่แล้ว +24

    Uyu jamaa anaye hojiwa Ana akili kubwa na uwezo mkubwa sana.

  • @evangelistdanielsenyagwa4018
    @evangelistdanielsenyagwa4018 ปีที่แล้ว +3

    Waimbaji wengi sana Wanaachika ase

  • @florenciajacob5463
    @florenciajacob5463 ปีที่แล้ว +7

    😭😭😭😭😭😭😭nimeumia Sana jamani

  • @FloraMarinyo
    @FloraMarinyo 3 หลายเดือนก่อน

    Mtu unamuacha mume wako au mnaachana tena wewe ni mtumishi halafu unaenda kufunga ndoa na mwanaume mwingine na unaamani kabisa na unaendelea na hudùma kweli.....ivi mnajua mnatupa uguu gani wakuhubiri au kutangaza neno la Mungu ukishakuwa mtumishi jaman unakua barua watu wanqkusoma wewe matendo yko mpk maneno yako ....unakua kiooo kwamataifa na nikitu ambacho kinaleta utukufu kwa Mungu ...aisee Mungu atusaidie sanaa

  • @jacklineanyumba5413
    @jacklineanyumba5413 ปีที่แล้ว

    Ni kweli haya

  • @hamisikibwana6642
    @hamisikibwana6642 ปีที่แล้ว

    SAFI SANA

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 ปีที่แล้ว +3

    Dont judge kila mtu ana mazuri yake na mabaya yake..hata Mungu anajua ndo sababu ya Yesu kuja ulimwenguni.

  • @hopesengo6972
    @hopesengo6972 ปีที่แล้ว +11

    Kaka unahekima Sana,ubarikiwe.

  • @catherinekiwipa9271
    @catherinekiwipa9271 ปีที่แล้ว +1

    Duuu kweli

  • @abrahamkanuya1076
    @abrahamkanuya1076 ปีที่แล้ว +11

    Mtu anaimba lakn afati maandiko Mungu atusaidiee😢

    • @happysimle991
      @happysimle991 ปีที่แล้ว

      Mungu Hapendi kuachana aiseee

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      KUIMBA HAKUMPELEK MTU MBNGUNI ASE

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว +4

    Duh ila wadada 😢😢🙌🏻 mkaka wawatu anakusapoti unamuacha akikutaza unasema anakuonea mwee 🙌🏻🙌🏻

    • @messiasulleydidy2585
      @messiasulleydidy2585 ปีที่แล้ว +1

      Wew angel ameachn na Gody?

    • @janethvincent7572
      @janethvincent7572 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna anayejua nini kiliwakuta jaman usisimamie upande mmoja tu

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

      @@messiasulleydidy2585 et mwayego ndo namm nimebaki nashangaa wameachana nayy ameisha olewa uko uko USA

    • @ashurajengela3926
      @ashurajengela3926 ปีที่แล้ว

      @@janethvincent7572 ni kweli unacho sema ila waimbaji wa gospel wa KIBONGO wengi wanazingua wakifanikiwa tu wanawaacha waume zao

    • @AntonyDova
      @AntonyDova 9 หลายเดือนก่อน

      Maisha haya

  • @zumasamson6603
    @zumasamson6603 ปีที่แล้ว +2

    Dah jamani Angel na mumewe ...what happened?...imeshindikana Kabisa kutatua changamoto zao ...dah maisha haya

  • @EvaInnocent-nd2vg
    @EvaInnocent-nd2vg 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu wajua yote jaman uwiiii haya

  • @marianablessed7135
    @marianablessed7135 ปีที่แล้ว +8

    Shetani ni muongo sana, yaani ni kuzidi tu kumwomba Mungu atusaidie.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      Kwamba hatumombi? Tunamwomba jamaniiiiiii ila nass wanadam tupunguze tamaa na mihemko

  • @anessabinery5654
    @anessabinery5654 ปีที่แล้ว

    eehehehehehe

  • @GraceSimba
    @GraceSimba ปีที่แล้ว

    Kaka, ulishawahi kuwa mtangazaji was prez power radio?

  • @8019bm
    @8019bm ปีที่แล้ว

    Hamnaga ndoabya mfano. Kila ndoa ni unique.

  • @neypaul6416
    @neypaul6416 ปีที่แล้ว

    😭😭

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 ปีที่แล้ว +5

    huo mwanamke anajificha eti kaokoka nyumba anatabia mbaya

  • @evangelistdanielsenyagwa4018
    @evangelistdanielsenyagwa4018 ปีที่แล้ว +5

    Amejibu vema sana huyu mtu

  • @hamisikibwana6642
    @hamisikibwana6642 ปีที่แล้ว

    HONGERA

  • @miriamdavis3893
    @miriamdavis3893 2 หลายเดือนก่อน

    Waimbaji wengi wanatamaa

  • @user-gm1rp9qp1f
    @user-gm1rp9qp1f ปีที่แล้ว +2

    Naona huu mrembo anaeza bada olewa mara tena iwe tena ndoa tatu

  • @user-eb7un9fv2b
    @user-eb7un9fv2b ปีที่แล้ว +2

    Waimbaji wa kike wengi wanaachana na waume zao
    Shetani yupo kazini jamani sio wao ni roho ya uharibifu kwa kazi wanayofanya
    Kinachotakiwa ni wao wakae katika maombi ya kina ili kuepuka uovu ulioandaliwa na ibilisi dhidi yao.

  • @danielkullwa1613
    @danielkullwa1613 11 หลายเดือนก่อน

    Jesus...hsysa mambo yametokeaje tena...ok hakuna aliye mkamilifu but ...

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 ปีที่แล้ว +15

    Watoto watatu baba tofauti sasa na mume wa NNE!!
    Na bado anaitwa mtumishi!!
    Mungu tusamehe😭😭.

    • @user-op7zl7fo1r
      @user-op7zl7fo1r ปีที่แล้ว +11

      Ndio Mungu wetu ni Mungu wa wasio wakamilifu ko mtu n lazima atafute furaha yake na sio afanye kisaya walimwengu

    • @messiasulleydidy2585
      @messiasulleydidy2585 ปีที่แล้ว

      Kwa hyo anao watoto 3 now?

    • @pendolaison5478
      @pendolaison5478 ปีที่แล้ว

      @@messiasulleydidy2585 anao 5

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 ปีที่แล้ว +3

      Yesu mwenyewe hakuwa wa yusuf. Wewe mkalifu hongera yako

    • @messiasulleydidy2585
      @messiasulleydidy2585 ปีที่แล้ว

      @@pendolaison5478 weweee na ni kweli mtoto na babake?

  • @nereaigogo4442
    @nereaigogo4442 ปีที่แล้ว +1

    What I can say is
    Don't judge

  • @aliethlwaitama9592
    @aliethlwaitama9592 11 หลายเดือนก่อน

    Ninachokijua katika ukristo kwa maana katika ulokole ,Mke mmoja mume mmoja mpaka kifo kiwatenganishe,atakayeipenda nafsi yake ataiangamiza Bali atakeichukia nafsi yake ataiokoa

  • @deborahrehema4066
    @deborahrehema4066 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu wangu Angel ameolewa ndoa ya tatu ?? Ooh my God the enemy is at work kabisa

  • @ezzyzephania2597
    @ezzyzephania2597 11 หลายเดือนก่อน

    MUNGU atusaidie wanaume!

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh walokolo wengi hawajiombei ila wanapoteza muda mwingi kulaumu na kuwakosoa ambao hawajaokoka. Walokole jirekebisheni. Mnaturudisha nyuma kimaombi

    • @evodiaaloyce3670
      @evodiaaloyce3670 9 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Wasikurudishe nyuma maana Kila mtu anawajibikia maisha yake

  • @ennykyambiki2680
    @ennykyambiki2680 ปีที่แล้ว

    So sad kwakweli,.angel,Shetani anamtumia sanaa.

    • @leticialubala9721
      @leticialubala9721 ปีที่แล้ว

      Usilolijua ni kama usiku WA giza

    • @bonniebaraka
      @bonniebaraka ปีที่แล้ว

      @@leticialubala9721we unajua ukweli nini ?

  • @marymarie9941
    @marymarie9941 ปีที่แล้ว +1

    Tusihukumu jamani wanaojua ukweli kati yao ni wao wenyewe, usinyooshe kidole wakat vingine vinne vinakurudia, emb tumuache MUNGU ndie muhukumu sahihi

    • @upendojohn
      @upendojohn ปีที่แล้ว

      Kweli ndo ni ya wawili Siri ya kuachana wanaijua wenyewe

    • @naturelle1097
      @naturelle1097 ปีที่แล้ว

      Kweli

  • @macdonaldmwakisambwe6494
    @macdonaldmwakisambwe6494 ปีที่แล้ว +3

    Inatisha aisee Mungu atusaidie ila akumbuke hayo ni yadunia tu ila kuna mbingu, na mwisho wa mambo yote umekaribia

  • @gracemwita4167
    @gracemwita4167 11 หลายเดือนก่อน

    Ila angle n too much,Mungu amusaidie asee

  • @tumainimsigomba4117
    @tumainimsigomba4117 11 หลายเดือนก่อน

    duu angel bernad nimekosa neno la kuongeza

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 ปีที่แล้ว +1

    Dada amesha ingia mjini ame pata mabawa 😂

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

    Huyu angle ajitathmn ase sjapenda mm,, kabla ya kuolewa alibeba mimba, akazaa mtoto, alipoanza kuwa maarufu akaolewa akazaa watoto wawili, so ameacha huyo mume ndo kaolewa na mwingne so sadness sjapenda hata kidogo

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      Alizaa na Nick shaboka kabla hajaolewa 🙌
      Kumbe Kwa mumewe kazaa watt2? Sikujua ,nilidhani 1

    • @elizabethmabula6044
      @elizabethmabula6044 ปีที่แล้ว

      Mpendwa ni vita tuu wewe muombeee,, unapokuwa na kitu kikubwa zaidi ndo unazidi fatiliwa zaidiii

  • @Determined24_7
    @Determined24_7 11 หลายเดือนก่อน +1

    MADEM WAHUNI HAHAHA

  • @happysimle991
    @happysimle991 ปีที่แล้ว +2

    Huyu kaka anaonhea kwa upeo sana yupo rohoni, nilazima tuwe makini maana shetani pia yupo kazini

  • @josephatn5040
    @josephatn5040 ปีที่แล้ว +5

    Theologia ina evolve?!!!. Ni sawa na kusema Mungu anabadilika kulingana na wakati. Mie napita!

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว +1

      Wala hajakosea mana Mungu hapendwzw na hiyo kitu

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 ปีที่แล้ว

      Mungu ni yuleyule habadiriki
      Watu ndo wanabadirika

    • @linetwanjira4472
      @linetwanjira4472 ปีที่แล้ว +2

      Theology is not God just curriculum .God is the same yesterday, today and tomorrow.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 ปีที่แล้ว

      @@linetwanjira4472 good

  • @salvinahassan8778
    @salvinahassan8778 ปีที่แล้ว +4

    Sijaelewa, ni nini?, ,Angel au mwingine?, Mbona ndo mwimbaji ambae nilikuwa nafikiri ana akili na anamjua MUNGU

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 ปีที่แล้ว +10

    Kumbe uyu Dada anaishi Marekani sikuizi

  • @mariammbwaga8463
    @mariammbwaga8463 ปีที่แล้ว

    🤦 Mungu tusaidie

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว

    Hiv waimbaj wanawake asa wa gospel mko na shida gani???😢😢😢;,mkipta umaarufu tu kidgo kosaa mnakimbiaa ndoaa zenu?? Mbona mnatuimbiaa kuhusu ukuu wa MUNGU?? Anaweza kurejesha ndoa yko?? Inakuwaje ashindwe kusaidiaa ndoaa zenu???😢😢😢😢;waimbaj rudini magotin pa MUNGU hukumu inakuja uzinz wenu usifanye YESU atukukanwe n watu kisha muende jehanamu😢😢😢😢.tubun ufalme wa MUNGU umekujaaa??😢😢😢