@@mwanamkasiseleman7197 😀😀😀 POA....pitia kwenye channel page hii utaona njia rahisi Sana nimeelekeza za kupika keki au ngoja nikuwekee link zake kwa urahisi
Inawezekana dear ila Moto utaweka kidogo Sana ili uive vizuri bila kuungua. baada ya dakika 15 utaugeuza na upande mwingine uive vizuri. Upande wa pili utaupika kwa dakika 5-7. Unaweza bonyeza link hii kuangalia mapishi ya mkate kwa jiko la gesi th-cam.com/video/PZeGn4GnpFs/w-d-xo.htmlsi=ISiHTyXNVxAgFkR4
Daaah dada unajuaaa kuelekeza nyieeee mpk nmeamuaa nmeupike leo kutokana na maelekezo yako❤
😀😀😀 Asante dear... Karibu💕💕
Thanks you DeArmond nimepika imetoka soft looh!❤❤
Asante dear 💕💕
Nimekupenda bule kiukwel unajua kuelekeza ❤❤❤❤
Asante dear...karibu💕💕
Asante kwa somo zurii
Asante kwa kutufahamisha kuhusu kupika mkate lain
Asante dear... karibu💕
Wow, umeeleweka dada,.
Asante dear 💕💕
Asante mama listen bora
Ahsante kwa mafundisho mazuri
Asante dear... karibu 💕💕
Asante sana,nimejifunza kitu
Asante dear... karibu 💕
Nimependa
Umepedeza na upo vizuri
Asante dear 💕💕
hongera kwenu nimejifunza kitu
Asante dear....karibu💕💕
@@BelsFarmKitchenSwahili 🙏
Thanks, nimepika leo ...very soft and delicious 😋
Asante kwa feedback dear....karibu💕💕
Nimeipendaa
Asante 💕 💕
Asante nimejifunza kupika mkate mzur
😄😄😄karibu
Nzuri sanaaa
Asante....karibu💕
Asnte sana nimejifunza kitu
Napenda san
Asante.... Karibu 💕
Saafi! Bila yai inawezekana?
Inawezekana.....tofauti itakuwa tu kwenye ladha
Mashallah unga uliotumia ni waina gani? Yaan ngano ya kawaida au pipiefu? Naomba kujua?
Wa kawaida dear.....ila hata Kama una PPF unafaa (ila ukitumia PPF itakubidi upunguze maji au maziwa coz unawahi kukolea maji)
Ahsantee dear nimejaribuu imeetokaa vizur Sana shukran
@@mwanamkasiseleman7197 Nimefurahi kusikia hivyo...karibu😊
@@BelsFarmKitchenSwahiliahsntee dear Ila ningependaa unielekez jins ya kutengenezaa keki
@@mwanamkasiseleman7197 😀😀😀 POA....pitia kwenye channel page hii utaona njia rahisi Sana nimeelekeza za kupika keki au ngoja nikuwekee link zake kwa urahisi
Nzuri
Asante dear 💕
Asnt mamy nmejifunz ❤
Asante dear....karibu💕💕
Ni nzuri Nani nitajifunza
Asante....karibu💕💕
Kwani lazima kutumia maziwa???
Sio lazima.....waweza tumia maji tu ila ukiweka maziwa ladha yake inakuwa tofauti kidogo
Mkate mzuri kweli,lakini naweza tumia baking powder instead ya hamira
Asante dear.....unaweza ila utapunguza kipimo....kwa matokeo mazuri zaidi tumia hamira kidogo na baking powder kidogo
very useful
Glad to hear that😊
i love this❤😗
❤️
Good and vaic
Thanks
Delicious
Thank you 😋
Wow
💕💕
Asnt dada ntajaribu unajua
Jaribu..utaupenda 😊
Very nice,lakini je ?naweza tumia baking powder instead of hamila,kama cpendi hamila
Asante dear.....unaweza tumia ila utapunguza kipimo. ukitumia hamira mkate unakuwa mzuri zaidi
Nimefunza
Karibu 💕💕
❤
💕💕
Oyyyoo
💕💕
Nilazim mayai am
Sio lazima...
Mafuta hatuwek???
Huo tumeweka Blueband badala ya mafuta ya kupikia....inasaidia kuuapa ladha nzuri zaidi. Ila unawezaweka mafuta badala ya blueband
Je kama cna maziwa naweza ku2mia tui la naz?
Ndio unaweza
Asante sn, nimejaribu nasubiria uive😂😂
Hapo umetumia unga wa ngano aina gani ni pod?
Sorry PPF
Hapana.....huo ni Azam, ila unaweza tumia unga wa ngano wowote
Natalkupika kwenye gesi kubwa
Inawezekana dear ila Moto utaweka kidogo Sana ili uive vizuri bila kuungua. baada ya dakika 15 utaugeuza na upande mwingine uive vizuri. Upande wa pili utaupika kwa dakika 5-7. Unaweza bonyeza link hii kuangalia mapishi ya mkate kwa jiko la gesi th-cam.com/video/PZeGn4GnpFs/w-d-xo.htmlsi=ISiHTyXNVxAgFkR4
Kama sina maziwa?
Unaweza tumia maji ya vuguvugu au tui la Nazi...
Inapendeza zaidi kwenye vipimo kutumia kilogram badala ya vikombe.
Asante dear....tutazingatia hilo
Jisiyakupika vitubuw
Nitaelekeza awamu ijayo
St
Asnt mamy nmejifunz ❤
❤