Safi sana mziwanda bakers umetuonyesha ujuzi wako wa mapishi. Ya scons nzuri maashaalah ahsante sana kwa scons Allah akubariki kwa kuelimisha jamii.......
Asante sana Kwa Elimu Nzuri, nimeifuraia sana na itanisaudia kuanzisha Biashara ya Skonsi. SWALI Uaamdaji wa Mkate Mchakato wakeupoje? Hasa wa Unga wa Kahawiya
Hongera Sana sister mwenyezi mungu akupe Afya na neema nyingi sana, umenifundisha kitu ambacho si kukijua kabla, mungu akufanyieni wepesi ktk biashara yako ni mefata mafunzo yako kiukweli haielezeki, Ahsante sana mungu awe nawe.
Always the best dear!!! Like Kwanza kabla Kuwatch Kama kawaida!
Thank you dear
Nzuri sana big up
mungu akubariki
@@tatulutambi1361 amin amin
@@dayneskejo81 asanteee
Mashallah, hapa mambo mazuri Sana dada
Amiin shukran sana dada mkubwa🥰🥰
Ahsante sana
Dada ubarikiwe Sana wewe sio mchoyo wa njia na maandalizi nimeandaa skonzi zangu zimekua nzuri sana❤❤❤❤❤
Hakika wewe ni mwalimu mzuri sana usiye na ubinafsi, Mungu akubariki sana🙏
Amiin dear
Safi sana mziwanda bakers umetuonyesha ujuzi wako wa mapishi. Ya scons nzuri maashaalah ahsante sana kwa scons Allah akubariki kwa kuelimisha jamii.......
Amiin
Uko vizuri jus unamwansgunxi yuko nyuma yako barikiwa sana
MAASHALLAH scorns zako munnawar .Thanks for the lesson Mziwanda 🙏🏻
Asante sana Kwa Elimu Nzuri, nimeifuraia sana na itanisaudia kuanzisha Biashara ya Skonsi.
SWALI
Uaamdaji wa Mkate Mchakato wakeupoje? Hasa wa Unga wa Kahawiya
Mchakato mmoja
Asante mziwanda backer ,nimepata ujuzi wa kutosha ,leo hii naanza upishi
Nimependa jinsi ulivyotengeneza kz nzuri. keep it up.
Thank you
Asante sana dada kiukweli nilitoka kutizama nikaandaa zimetoka nzuri mashaalla mwenyezi Mungu akuzidishie kipenzi changu ❤❤
Unatumia moto namba ngapi kwenye micro wave
Maa shaa allah. Looking good
Nimeipenda dad
Hongera Sana sister mwenyezi mungu akupe Afya na neema nyingi sana, umenifundisha kitu ambacho si kukijua kabla, mungu akufanyieni wepesi ktk biashara yako ni mefata mafunzo yako kiukweli haielezeki, Ahsante sana mungu awe nawe.
Napenda maelezo yako dada,asante saana.Naomba unifunze keki pia
Karibu dear
We Dada ni Mwalimu mzuri Sana Hongera
MashaAllah awesome
Ww mvivu unapenda mashine haaaaaaha nakutania uko vizuri
Napenda ilivyo pika good
Nashukuru sana nimejifunza jinsi ya kupika mkate na skonji. Naenda kujarbu nitaleta mrejesho.
Ni nzuri na nimeelewa...
Waooo ccter nice
Vizr sana dada
Wow nmefurahia sana mapishi yenu
Nimependa unaelekeza vizuri
Mungu akubariki na akufanyie wepesi katk kazi zako
Uko vizuri sana nakufatilia sana vipindi vyako
Nzuri sana cjajuta
Kazi nzuri shoga yangu keep it up
Thank you firstborn
Well itx gud and fantastic
Honger kipnz❤
Kazi nzur nmeipenda sana naomba yako ya wasp
Mashaallah skonzi nzur ntajaribu inshaallah
MashaAllah inizuli sana😋
Your a gud teacher kwa kweli, napenda kupika pika naamini kupitia darasa lako nitaimprove jikoni, barikiwa dear.
🙏🙏
Asante
Kiukweli dada nakupenda yaan unafundisha kwa moyo wako wote jamani ubarkiwe😍
🙏
😘
Great Madam Maasha Allah I Learn It .👍💯✔❤❤❤❤
Mi mwenyew nilikua naatengeneza Ila mkate unakua mzitoo sasa APA nimejifunza kitu ashante mungu akujaaalie kila LA herrrry
🙏
@@mziwandabakers8297 ukiitaji mkate usiwe mzito unaweka ulaini ngano kiasigani naomba kuuuliza unga kilo2 unatoa mikate mingapi ya shilling 500
Nzuri sana hengela kwa mapishi haya
Nzuri sana nimependa
Ni nzuri sa na A
n
Wow bby mama
Love your recipe..nimeshajaribu 3 na zilikuwa perfect...i will also try this...shukurani sana
You are welcome dear
@@mziwandabakers8297 ukimaliza karimati afukeki zitafuata nazo
@@mziwandabakers8297 hii bread Improver naweza pata wapi?
My lovly tcha
❤
Asante sana Mungu akubariki
Ahasante sana ,MUNGU akujaalie ,Inshallah
🙏🙏🙏
Asante sana nimejifunza,na nimeelewa vyema
Nzuri hongera
Huwa na like before cjaangalia 😂
😂😂😂🙏🙏
Yaaan mziwanda unapatkn wapi siku nije bakery kwakoo nijishindie mavitu mie maanaa...unajua dadaa honger
Nzuri Sana Hadi zinatamanisha
Nimepika zimetoka. Bomba Sana
Hongera sana
MashaAllah very nice..... Thank u for sharing
Nimejifunza nice
MashaAllah
Asante sana kwakutufundisha dada mungu akubaliki Mimi muntu wa Uganda ntukuja kukutembelea
Karibu sana
Mmenipenda sana
Ahsante my dada kwa mapishi nifundishe basi na mie
Nzur sana dada
asant
MashaAllah woooh
Asante sana kwa mafunzo mazuri
Nzuri, hongera!!!
ukovzur sana nmependa
MashaALLAH, MashaALLAH
🤲🤲🤲
Nimependa my
Nzuriii sana
This recipe gave me perfect scones... Thank you
Nipe maelekezo mlipo nije
Samahani moto huwa unawashwa juu na chini au chin pekee yake
❤
@@jacquelineketau6399juu na chini
Nimependa mnafundisha vizuri sanaa
❤
uko vizuri sana.
Very nice
Nimependa
Hongera
Mzuri xana
Nice dear
Asantee my nimejifunza
Mashaallah uko vizuri
🙏
asante kwa elimu
Shukraan umenisaidia sana
Mashallah it was ajab
Interesting
Napenda sana mapishi yako
Karibu sana❤
mungu akuweke uzidi kutu elimishe thanks
Asante Sana! Napenda kujifunza toka kwako.
Shukran na karibu sana
Nice 🔥 we
Maa shaa Allah, nimezipenda
Karibu
Hongera sana. Zinaonekana ni nzuri sana.
Umenifundisha asant
N nzuri
Shukran sana my daer
Asante sana.Dada nimeielewa ntajalibu niwe mwanafunzi wako
Wooow nimeipenda Kama Sina mzani nawezaje kupata vipimo sahihi
Tumia vikombe itafaa
Nimejifunza asante
Nimependa asante sana
Fantastic.....
❤
nzuri sana
❤
Looks great
Nimekuwa nikifail mda mrefu jinsi ya kupika skonzi lakni nilipotazama video hii nimejaribu kupika zimetoka vizuri sana na laini Ahsante dada.
Huwa laini na ni nzuri sana,nafurahi umepika
Nzuri sn
Mashallah
MashaAllah ni nzuri sana lkn naomba vpimoja vya 1kg ok dear