Hi, Shuna..hongera kwa kazi nzuri i love it. Naomba kuuliza huo unga unaotumia ni wa aina gani. Unaonekana unang'aa sanaaa ukiukanda tofauti na ngano nazotumia mimi. Naomba kufahamu kama hutojali
Mi kwanza nakupongeza kwa darasa nzuri, mi napenda kujifunza kupika mikate ya biashara bila vizuri, nipo Dodoma, na pia naomba unielwkeze mahali wanapouza Oven inayoweza oka mikate mikubwa 50 kwa Mara moja na being zake kama unajua tafadhali. Mungu akujalie mwanamke mwenzangu kwa ujuzi wako.
💞💜💕💝tunakupenda sana 💕❤💘yani ume nifunguwa maho kabisa dada mungu akubariki🙏🙏🙏sana
Mashaallah hadi nimeutamani wallahi uko vzr sister shukran nimejifunza
Napenda sana mapishi yako na najifunza kupitia wewe Allah akujaalie
Uzuri najifunza na kujaribu matokeo nayaona 💞💞
MashaaAllah nataka kujaribu hii sasa😋
Thank you and be blessed darling..yaani unatusaidia sana..Mungu akubariki na akutimizie haja za moyo wako.
Shuna's Kitchen I love u for the sake of ALLAH...thank u so much habbty
Nmeupenda sana asantee dada...na je kwa jiko la mkaa inafaa
Mashallah shuna
Walahy you the best
Allah barik hayatty
Ameen asante mpenz
Mashaallah shukuran ujuzi wa bread
Shukran sana mola akubariki tunajifunza mengi kutoka kwako
Very nice Mashaa Allah my family loved it
Nimependezwa sana na mapishi yako , asante sana na hongera....
Shukran ukhty mungu akuzidishie ilimu na Allah atakulipa mema.amin
Ameen ameen shukran sana
Ooh aasante mama unatuboresha kila siku
Tunaomba mafuzo yako yakupika vutumbuwa 😍😍😍tunakupenda sana
Mashaallah mungu akuzidishie dada Mana nimejifunza vingi kupitia wewe penda Sana 😘
Ameen asante sana my dear
Asante kwa kutufundisha vitu vizuri
Ma Sha Allah Shukrn. 😍
mapishi mazuri
Ahsante Sana my nitajalibu
masha Allah Allah akulipe kheir ktk hili... amiin
Ameen yarabbi.. asante sana
Maa shaa Allah nimeupenda mkate wako habibty bravo
Asante sana sana Rukia
This bread looks so delicious Ma Sha Allah 😍😍
❤❤❤
Asante sana nimelewa hauna utofauti na skonsi za kuoka
Ninependa sana hugo mkate
Asante dear mungu akubariki
Very nice. I'll be an expert baker in no time. Asante Sana.
Thank you for watching
@@ShunasKitchen I actually tried this. Came out very nice. My mum thought I bought the bread.. 😁
mashaallah Allah akulipe kheri kwa kazi ya mikono yako
Ameen asante sana Fatma
Masha Allah habithy
Nice mashaallah jazakallah khayran
Shukran dear
MashaAllah. Nzuri zaidi ya zile tunazonunua. Shukran dadaake 🤗👌🏽👍🏽👏🏼
Asante sana my dear
Nimejifunza sana leo
Waow inakaa tamu acha nijarijabu leo nipike
mashaallah mzuri sana Allah akubarik napia azidi kukuzidishia ujuzi inshaallah
Ameen asante sana dear
@@ShunasKitchen Maa Shaa Allah
Masha allh Mimi ni ta kijaribu
Napenda sana mapishi yako
Ni mkate mzuri nimependa ni rahisi sana
Mashaallh rahisi sana
Aww mashallah ilove u😍 leo natengeza jam na mkate at same time 😋
Vizuri sana👌 nisubirie mrejesho tu
I like this receipe I will try it.
its good i appreciate it. u came with new cooking idea never seen, thanx.
You are welcome dear
Maashaa Allah asante dada
Karibu tena dear
Maa shaa Allah Habbibt yummy
MashaAllah habibty,napenda Sana video zako unatuilimisha sana
Asante dear, napenda pia unapocomment... :)
Ahsnt mummy jmn naenda kutengeza InshaAllah tukiamka tu kununuwa basi
Masha Allah, shukran
Afwan dear
Dada asante sana. Mkate uko poa sana na kwa njia nyepesi mno. Thanks and big up
shukran sana kwa kuangalia, nimefurahi umeifurahia
Mashaallah tabaraka ALLAH
Asante sana my dear
Nimependa sana nitajaribu nami ,ahsante dada
MashaAllah ajazaAllah kheir ,recipe ya pizza bread.
In shaa Allah nitajitahidi, shukran
Shukran dada nimependa umenifunza ki2 leo
Hi, Shuna..hongera kwa kazi nzuri i love it.
Naomba kuuliza huo unga unaotumia ni wa aina gani. Unaonekana unang'aa sanaaa ukiukanda tofauti na ngano nazotumia mimi. Naomba kufahamu kama hutojali
Nimetumia unga wa asda (supermarket) white bread flour, tumia unga wowote mzuri ambao ni mweupe
@@ShunasKitchen Thank you😍
Very easy! Nitajaribu in shaa Allah
Kazi nzuri mm nahitaji hivyo vibati vya kuchomea
Asante kwa ujuzi mumy
MaashaAllah
Shukran dear
Mashaallah habibty shukran
MashaAllah jus perfect
Thank you so much dear:)
Nitajaribu na Mimi Ahsante sana Mamy
Karibu sana my dear
masha Allah tabarakallah
Shukran dear
asante sana nami nimejaribu na umetoka mzuri sana nausubiri upoeee niukate nione ndani ukoje ila lwa nje unavutiaa sana
Asante sana my dear
Ahsante
mashAllah
Mi kwanza nakupongeza kwa darasa nzuri, mi napenda kujifunza kupika mikate ya biashara bila vizuri, nipo Dodoma, na pia naomba unielwkeze mahali wanapouza Oven inayoweza oka mikate mikubwa 50 kwa Mara moja na being zake kama unajua tafadhali. Mungu akujalie mwanamke mwenzangu kwa ujuzi wako.
Na mm pia naomba ukipata kuelekezwa unisaidie
Yummy yummy! Masha Allah
Shukran
Nakupenda bureee❤️😘
Asante sana my dear.. :)
Absolutely beautiful mashallah ..🍞🍰🔪🍉❤️💚
Asante my nimejaribu
Ajab ma sha Allah😘
It looks very nice mashallah 🍞🍝😋
maahallah.asante sana my
Karibu my dear
Mashaallah shuns ❤️❤️
Nzuri mashallah
Unatumia dakika ngapi kubake ? Thanks for sharing habibty Mashallah
Mashallah daa nmejifuza
Wow nice one am gonna prepare
Thanks for watching:)
ww nmekukubali yaan umeeleweka.
Wow i will try this you are the best .
mashallah.. naweza kuoka kwa sufuria? ama lazima hicho kibati.
Mashallah hbbty unavutia
Thank you so much dear:)
Mashallah shukran ntajaribu
Afwan dear
Anza biashara ya mkate you will b a millionair ..thank me later🤷♀️🤷♀️🤷♀️
Asante sana
MashaAllah
Dda yo the best u never disappoint me 😍😍
Thank you my dear
@@ShunasKitchen
Kakate poa
Hongera bwana maana nimejifunza nimeelewa vizuri tuuu ss hapo tatizo hicho kikopo cha kuchomea
Asia Issa kweli tatizo hicho kikopo cha kuchomea
Shukrani
Thank you
Mashaallah.... Maziwa ya unga ni lazima?Mimi nna maziwa fresh pekee
Si lazima dear ya unga
Mashallah nzur
Shukran Shuna ❤❤❤❤
Afwan dear
Masha Allah 😘
Asante sana
Nice 😢😢❤❤❤
Nimeipenda. Je kilo moja inatoa mikate mingapi? Kibiashara zaidi
Good job
Asante sn nimeipenda my love sister
Manshallah hbby
Asante sana Khatra
Ma sha Allah thanks
You are welcome dear.. :)
Nimependa sana recipe yako