MTAANI: ALIYEMCHINJA MTOTO ASAMEHEWA/MWANASHERIA AFAFANUA HUKUMU YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

ความคิดเห็น • 22

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumekucha
    "Kuangaria",😱kah
    Watangazaji mnatia aibu,cjui huko chuo mlisomajasomaje

  • @teddymasharo9531
    @teddymasharo9531 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana jamani hatujui hawa wadada wana nini mungu hatusaidie wamama tuondelea kuzas maana walezi hamna

  • @JanetOtoto
    @JanetOtoto 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana familia

  • @RosemaryMasunga
    @RosemaryMasunga 2 หลายเดือนก่อน

    Huyo dada wa kazi alithubutu kuchinja ana roho ngumu sana tena sana na ni mazoea hamuwezi kujua alikotoka alitenda Nini

  • @ZawadiNelson
    @ZawadiNelson 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante mwanasheria kwa kutuelimisha maana wengi wetu hatuzingatii afya za wadada wa ndani

  • @RahelAlly
    @RahelAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Aĺlah amponeshe mtoto malick

  • @katalamohamed4305
    @katalamohamed4305 2 หลายเดือนก่อน +3

    Pamoja na MH RAISI KUSAIDIA PAMOJA NA HAYO MNATAKIWA KUFANYA MAOMBI YA NGUVU KUTOKANA NA IMANI YENU

  • @nicolauselias9084
    @nicolauselias9084 2 หลายเดือนก่อน +2

    Acheni kipamba policy wamempata wapi wakati raia au msamalia mwema ndio kampata

  • @ericsutta
    @ericsutta 2 หลายเดือนก่อน

    Pole sana,

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanasheria msomi umefafanua vizuri sana. Napendekeza pawe na vyuo vya kufundisha wadada wa kazi. Wengine wanafika hata kunawa uso hawajui.

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa mme samehe lakini mme mkabidhi kwa Mungu!inamaanisha hamjasamehe 😢

  • @MathayoKakanyi
    @MathayoKakanyi 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wadau wanini tena rais anatosha

  • @JafariMyinga-h8x
    @JafariMyinga-h8x 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli samehe 7x70

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu binti bado ni mtoto kwa monekano, si ajabu alishindwa kustahimili akaamua alichoamua. Bint wa kazi ni mwanafamilia kama walivyo watoto wako. Tuwapende na kuwathamini

  • @zulfahaji91
    @zulfahaji91 2 หลายเดือนก่อน

    Huwezi jua nn tatizo

  • @AnatoriaRwabatwa
    @AnatoriaRwabatwa 2 หลายเดือนก่อน

    Pole

  • @EvaristKiondo
    @EvaristKiondo 2 หลายเดือนก่อน

    😊

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni kutesa wadada hkn mshhara wa 60 wala 70 na wanaoish na wadada wanawakamand kw hch kipesa Chao huo mfumo serikali wawe wnausimamia kama hawana uwezo wakulipa 15000 kwa ck wish na ndugu zao kwn wao wamezaliwa bila ndugu? Ndugu zao hwtk ujinga kama hwtk kuthamini kz za watu watoto wao watauliwa kila ck pia na has wazee adabu hawna wanawafokea

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 2 หลายเดือนก่อน

      anakula wapi? analala wapi? na najua hujawahi kumweka

  • @floraflora5717
    @floraflora5717 2 หลายเดือนก่อน

    Izo pesa za watazania tushukuru sisi sio zake mna sahau sana mhuishi vizuri na Wafa.nyakazi

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe inaonekana una chuki n raisi ila mitatano. Tena utajua hujui

    • @floraflora5717
      @floraflora5717 2 หลายเดือนก่อน

      @@zulfahaji91 wewe kaa apo kama kijiwa aliye fiwa