HIZI HAPA TAKWIMU ZA AUGUSTINE OKEJEPHA MKATA UMEME MPYA WA SIMBA SC
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 4 พ.ย. 2024
- Simba Pro tunafahamu kua Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustin Okejepha kutoka Rivers United ya Nigeria na kwa kulitambua hilo tumeona tuje na Takwimu zake akiwa na Rivers United msimu uliopita katika kombe la Shirikisho barani Afrika
Dullah anatupitisha katika Takwimu hizo zinazopima ubora wake akiwa dimbani
Kama unataka kuungwa katika group letu la Simba Pro tucheki kwa namba 0626629644 tuweze kukuunga pamoja na mashabiki wengine wa Simba
Nafurahia sana usajili unaofanywa na viongozi. Simba inatengenezwa timu ya ushindani ya muda mrefu
Naomba kujiunga na Simba pro
Naomba kujiunga na group lá Simba pro
Mtafika mbali Sana, mko vizuri
Niunge na Simba proo
Kwnn mnaomba hela kujiungabna hilo group?
Naombakujiungansgropyasimba
Yupo vizuri
Good signing 👍
Hakuna mchezaji asie na weakness ya kimchezo na hiyo ndiyo kazi ya kocha sasa kuzirekebisha kasoro za mchezaji!
Wote bora
Naomba uniunge kwenye grop
Huyo akejepha na babacar sarr nani bora zaidi
Yuko vizuri kwa maelezo hayo lkn mpira sio mchezo wa maneno, ni wahadharani hivyo tusubiri
Huyo sio mchezaji hata hapa tunao wengi mfano yule kiungo wa ihefu nashon bonge la kiungo mkabaji sijui mnahangaika nn
Hela zake wamsajiri Kapumbu na huyu miaka 20 tatuteni Watanzania au Wageni wanaocheza hapa TZ walioko Ihefu, Singida au Azam kuliko huyu sogo
Big disaappointment! Huyu atamshinda Kalabaha wa Simba yule Mzazibar? Achene bwana huyu hakuna kitu.
Kwa data hizo huyo mnigeria hafai anaporwa mipira mara nyingi tutafungwa sana jamani. Maana yake hawezi kuhold vizuri kati. Huyo ni jipu tafuteni mwingine kama fraga vile.
Ana miaka 20 masta
😂😂😂
Yeye na kapumbu nani bora?
Bora kapumbu.kapumbu tayari Ana uzoefu zaidi
Labda namb8
Hapa Simba wana fail. Hawa ndiyo wachezaji ambao Rage anasema utawakuta hata Manzese. Unafikiri watanzania kama hao hawapo?
Mchezaji Gani manzese ni MVP nigelia