Huyu bingwa hajazungumza kimrengo amezungumza ilimu ilivyo lau mashekh zetu wote wangekuwa hivi ingekuwa Bora zaidi lkn weengi niwale wa kupigania mirengo
Kwaiyo unakubali laiti mashehe wote wangekuwa wajinga kwenye mas'ala ya mwezi kama huyu sio. Huu ni ujinga na hakuna kumepelekea kuongea uo ujinga ispokuwa ni kutokuwa na ílmu nalo. Na ndio maana wakasema wanachuoni "mjinga hawezi mjua msomi lakini msomi anamjua mjinga kwasababu kabla ya kuwa msomi alikuwa mjinga. Ndugu tafuta ílmu na ujue sio kumuona mtu anaongea ukajua kupatia, huyo kakosea kwa mujibu wa dalili za hadīyth.
Alichozungumza ni kwamba watu waifuate BAKWATA lakini yeye mwenyewe amesema nchi yetu ina uhuru sasa ndo tunatumia uhuru huo ili pale na UMOJA katika hili basi inabidi wenye mamlaka waseme mwenye haki ya kutangaza ni BAKWATA TU
Mash lwah mm huyu alhadal namkubali Sana majibu yke hayana mihemuko n elmu na maslah mbele y umma wa kiislamu baark Leah fyka huyu ndie sheikh asie na jazba ya kielimu
Kabla ya kuandika chochote nimepitia comments zote alhamdulillah nikakuta wengi wenye kuvutiwa na usulubu wa sheikh huyu alotumia katika maelezo yake. Ila pia la kusikitisha xikuwakosa wazee wa misimamo isiokua na elimu nao wakaandika utumbo wao wa kumdhihaki Sheikh Dah subhaaanallah kwa kweli kuwaridhisha watu wote ni ukomo ambao haujawahi kufikiwa MUNGU akuhifadhi sheikh nimevutiwa na mawaidha mazuri kabisa yenye inswaafu
kuna kitu kinaitwa amana na ikhlas katika dini sheikh abdurkadir anamuongopa mola wake ana zingatia maslah ya umma na uisilamu mungu akujaze kheir آمين
Wewe mzee una hofu ya Mungu Allah akuhifadhi...nafarijika sana na fatua zako kwa hakika wewe ni sheikh ila huyu kijana wako kishk anatuvuruga sana 😇 lakini tunamuombea dua kwa Allah amuongoze katika njia sahihi inshallah
Kwa hakika shekhe kazungumza maneno ya busara Kabbisa hata huwezi kumwamuliya ni wa kikundi gani.. Allah atujaaliye hekma na busara sisi na viongozi wetu wa dini.. Baarak Allah feek ya sheikh wa ahsana Allahu ileyk..
Mashallah thuma Mashallah Alhamdulillah yaani maelezo yako wenye fahamu wakiyazingatia basi hakuna kuvutana wala kukejeliana wala kudharauliana na kuvunjiana adabu.
Maashallah .... Haya ndio mambo ya Watu kujifunza kuwa sisi ni wadogo saana kuliko umri wa farqa baina ya maswala ya dini... Oneeni waislamu huruma masheikh kaeni chini yajadilini mambo kwa uadilifu na muwaunganishe waislamu maana khilafu ipo katika mambo
*Arafah:* Ni pahali pako Maka panaitwa Arafah na hapo liko Jabali linaitwa Arafah au kwa kina jengine Jabal Arahma na mwaka mzima liko na pahala pako *Yaum Arafah:* Ni tareh tisa Dhul Hija ni siku inaitwa Arafah kwa wanao hiji wanatakiwa siku hio waweko pahala hapo ambapo panapoitwa Arafah, ni katika nguzo za Haji huko na waliokuwa hawahiji siku ya Arafah yaani tareh tisa Dul Hija ni suna kwao kufunga. Kuita tarekhe kwa kitendo au tokewo ni kawaida, kama vile Aam Al Fill (Mwaka wa tembo), yaum nahar (siku ya kuchinja,) ayam tashriq, ayam tasii, yawm tarwiya, ayam biydh, aam huzn n.k. *Vitu viwili tafauti baina pahala na tarehe na kila pahala pana tarehe yake haitangulizwi wala hairejeshwi* Haikuthibiti Kuwa Mtume (ﷺ) baada ya kuhamia Madina alikuwa akipeleka wajumbe Maka ili walete habari ya Mwandamo wa mwezi wa Maka ili na wao wafate Mwandamo wa Maka na wapate Arafat Moja, pamoja na Maka na pia haikuthibiti alipokuwepo Maka au alipohiji alikuwa akiwapeleka wajumbe wake katika Miji ya karibu kama Madina au Ttaif ili awape Waumini habari kuwa wafate mwandamo na Arafah ya Maka. Aliyekuweko katika nchi amabazo zimechelewa kuona mwandamo wa Mwezi basi si vibaya ikiwa atafunga siku ya tarehe nane ya Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya tarehe 9 ya Maka yaani ni siku ya Arafah ya Maka kisha akakamilisha kufunga siku ya Tarehe 9 ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya Arafah kwake. Lakini muhimu asifunge siku ya yarehe 10 Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo ni siku ya Idi kwao.
Ikiwa arafah ni pahala na ikiwa siku ya arafah ni mwezi 9 je haya mafungamano ya pahala na mwezi kwa sisi tusiokwenda hijja yametokea wap ata tuiite siku ya arafah? Ni sawa haikuthibiti kuwa mtme صلى الله عليه وسلم alikuwa akipeleka watu kutafuta habar za mwezi wa makka lakin je imethibiti alikuwa akizikataa habar za mwezi wa huko?
Aliziamini taarifa ila zilikuwa za sehemu hizohzo alizokuwa akikaa , haikuthibiti pia kuwa alipokea taarifa za masafa makubwa kama Tanzania na Saudia , kama ipo taarifa hiyo ya masafa hayo tuletee hy simulizi
Shekh Allah akuhifadhi, umebakisha neno moja tu kusema ilitokea wakati wa maswahaba kukhitilafiana wakafunga shamu mapema kabla ya madina tab'an huko kweli ni kutofautiana kwa kuona siyo kuandama Hasha. Lakini katika kutofautiana huko Sham walifunga na kufungua pamoja, na Watu wa madina walifunga na kufungua pamoja. Haya ya nchi moja au mji mmoja kuwa na iddi mbili au kuwa na saumu wengine wana Idi hiyo Shekh Bila kuutafuta maeneo Ungeufahamisha umma kuwa ni Bid'a TENA ni Munkar. Allah akupeni wanazuoni wetu, Ujasiri katika kufikisha, maana kwa wanazuoni mtaulizwa siku ya kiama
Elimu na ucha mungu vikikaa pamoja athari yake ndo hii. Hakuna kutiana motoni wala kutoana peponi kwasababu ya hitilafu. Namuomba Allah akuthibitishe ktk waja wema wenyekufuatwa.
Alhamdulillaahi rabbi l-aalamiin, Mawahabi naona mnaanza kuelewa kidogo kidogo MUNGU awajaalie muelewe kilichozungumzwa na Wanawachuoni Wacha Mungu,mngelifahamu hili tangu mapema wala kusingekua na mizozo
WATU WANGI HAWAJUI KUWA HUYU SHEIKH KWANZA NI SHARIFU KWELI KWA NASABA YAKE, PIA SHEIKH WAKE AMBAYE SASA HIVI AMESHAFARIKI PALE KENYA ALIKUWA NI SUFI NA KIILMU AMEKUZWA KTK MISINGI YA KITASAUF NA NDIYO MAANA UKIMFATILIA SANA YUPO TOFAUTI SANA NA MASHEIKH WENGI WANAOJINASBISHA NA SUNNAH HUKU WAKIKASHIFIANA HOVYO WAO KWA WAO, HAUWEZI UKAMKUTA AKIMKOSEA SHEIKH YOYOTE ADABU. SHEIKH KUSHKI ANA MENGI YA KUJIFUNZA KWA HUYU KAKA YAKE. UZURI NI KWAMBA ZAMANI NILIKUWA NAISHI JIRANI KABISA NA NYUMBANI KWAO PALE TEMEKE KATA YA KUMI NA NNE, NYUMBA YAO IPO KONA PEMBEZONI MWA MSIKITI WA TUNGI KILICHOTENGANISHA NI BARABARA TU. HATA KISHKI NILIANZA KUMFAHAMU KIPINDI KILE MIAKA YA ELFU MOJA MIA TISA TISINI NA KITU, ALIKUWA KIJANA MSTAARABU NA ANA HESHIMA KWA KILA MTU. SIAJABU KWA NASAHA HIZI NZURI ZA SHEIKH WATAKUJA WATU WASIOKUWA NA ADABU WATAMRADDI KWA HIKI ALICHOKIZUNGUMZA. ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH ABDULQADIR, AMIYN.
Mm nko wa kusema Kila mtu Ana Arafa kulingana na mwandamo.lakini Lau watu wangefwata anavyo sema huyu shekh hakuna mzozo kabisaaa.jazaakallah akhul fadhila
Mashekh jifunzeni kwake huyu shekh kaongeya vizuri dini yetu inatakiwa tupate mashekh kama hawa naamini wengi wangielekeya katika dini .Allah atuongoze .
@IbnuAlly-cg2gn pametajwa akhui Ili kujua nusus na Hadith kuna mambo mengi ya kuyasoma ndio mana nakuwa sina la kusema hapa kwasababu watu wengi hawayajui haya lakini kuelewa nusus na kujua kuzifanyia kazi ni jambo zito lazima upitie fani tofauti tofauti na hili linahitaji muda mrefu wa kusoma sio kujisomea kitabu kusoma darasani marhala marhala Kwa ufupi awamu nnas wawo juu yao ni kufuata wanavyuoni walivyosema na hili halikosi kutofautiana wijhatu nadhar ktk masaaili rai kwahio kila mtu afuate qauli anayoiona sahihi bila kumkufurisha mwenziwe wala kumuona ibada yake haitimii Na kufuata qauli ktk aqwali njia rahisi ni kupitia ktk madaaris islamia au madh habu Nafikiri maneno haya ni bora zaidi ktk kufahamisha kuliko kuanza kujadili riwaya na na makusudio ya nassi kitu ambacho watu wengi hawana ujuzi nacho au sio jukumu lao aslan wabaarakallahu fiik
Huyu Sheikh ni mfano wa kitabu kwangu.. Nayo yaunga mkono najifunza zaid kwake .. nisiyounga mkono najifunza kwake tena nikiwa na hammu na tamaa. SIO MASHEIKH WETU TANZANIA NA KENYA,Burundi wao niwaftaji wa wafuasi wengi.
Kusoma mbali kuelewa mbali lkn pia kufnyia kaz ulicho kisoma mbali kwa bakhti nzur shekhe anavyo vyote ukimuona mtu anakataa khilaf elim yke ina walakn
Shuklan sana kwa elimu nzuri sana shekh ombi langu tumia busara na elimu kama hii kukaa na viongozi wetu ili kuyajenga wambie sio tu haipendezi bali inaturudisha nyuma sana hatupigia hatua.pia kama kuna jambo la kutengeneza dini basi kaeni chini mashekh muyajenge maana kujibizana kwenye midia tunadhalilika
Kweli inauma hayo uliyo sema nikweli kabisa lakini utakuta kna mashekh apo watapinga unacho kiongeya maana hizo ndotabiya zao kuhitilafiyana nakutuchanganya sisi wakina maamuma .hasa,hapo bongo wamavula mipaka .
Arafa mlima ni mmoja. Lakini ufunga si moja wala si mbili. Yaweza kuwa ni siku tatu. Makka ikiwa saa7 mchana ambapo watu huanza kisimamo baada ya salat dhuhuri, utakuta marekani ni saa 11alfajiri muda ambapo adhuhuri bado. Na muda huohuo China huwa ni saa 1 usiku ambapo hawawezi kusimama wala kufunga usiku. Sasa marekani wafunge siku yao. Makka siku yao, na China siku yao. Siku tatu na arafa tatu.
Alichozungumza ni kwamba watu wote waifuate BAKWATA lakini yeye mwenyewe amesema nchi yetu ina uhuru wa kuabudu sasa ili pawe na umoja katika hili wenye mamlaka waseme mwenye haki ya kutangaza ni BAKWATA TU hapo utaondoka mzozo
@@mohdloushmoney9994 Hajalitaja lakini maongezi yake yanafahamisha hivyo. Hao aliowataja kwamba wanamamlaka ya kutangaza ni kina nani? Ukijua hivyo hutaniambia kua nina dhana mbaya
@@HamadAlly-ki8lrwewe itakuwa hujamwelewa vizuri amesema hili suala Lina ikhtilafiu na amesema kila mtu abaki na msimamo anaouamini lakini tusikashifiane
Allah akulipe,hakika hii ndio elimu ya kisalafy,sio kujiona bora kuliko wengine na kudharau wengine,,,,Allah akuhifadh sheikh
Jazakalllah khairan Sheikh! Sijapatapo kuona ahla sunna mwwnye hekima na busara nyingi kama wewe!
Namuomba Allah akuweke na akuhifadhi na kila shari na balaa za watu na majini akupe umri mrefu wenye kher nawe tupate kuelimika Ammyn🤲🤲🤲❤❤❤
Huyu bingwa hajazungumza kimrengo amezungumza ilimu ilivyo lau mashekh zetu wote wangekuwa hivi ingekuwa Bora zaidi lkn weengi niwale wa kupigania mirengo
Tunagawanywa kiushabiki na mashekhe wanaotafuta dunia na umaarufu
Kwaiyo unakubali laiti mashehe wote wangekuwa wajinga kwenye mas'ala ya mwezi kama huyu sio.
Huu ni ujinga na hakuna kumepelekea kuongea uo ujinga ispokuwa ni kutokuwa na ílmu nalo. Na ndio maana wakasema wanachuoni "mjinga hawezi mjua msomi lakini msomi anamjua mjinga kwasababu kabla ya kuwa msomi alikuwa mjinga. Ndugu tafuta ílmu na ujue sio kumuona mtu anaongea ukajua kupatia, huyo kakosea kwa mujibu wa dalili za hadīyth.
Alichozungumza ni kwamba watu waifuate BAKWATA lakini yeye mwenyewe amesema nchi yetu ina uhuru sasa ndo tunatumia uhuru huo ili pale na UMOJA katika hili basi inabidi wenye mamlaka waseme mwenye haki ya kutangaza ni BAKWATA TU
@@mundhirhassan2708sheikh hakakosea ila kaongea kihekma kama umemsikia mwanzo kabisa kasema ni vyema kufata saudia arafah
@@mundhirhassan2708 kayapime maneno yako ww muogope mungu hy shekh hana ilmu kweli ndo inswaafu ya ilmu kweli ndugu?
Wallahi namkubali sana huyu Sheikh. Ana inswaaf na Khofu ya Allah. Allah amfhifadhi.. Anatumia kauli zote bila ubaguzi.
Shukrani Sana she
Asalam alaykum sheykh wewe umesomea wap
@@Imrani-g9okwenu
Anatiwa Abdulkakadeer ,kaka ake na kishk na ukoo unaotokana na Mtume Muhammad S A W..huyu ni msomi wa fatwha,al Qur'an wal hadidh....
Huyu ndo shekh wangu wa kumuiga mungu ampe umri mrefu
Dah wallahi sheikh nakupenda kwaajili ya Allah, Allah akuhifadhi. Napenda nasaha zako katika kuwa umma mmoja.
Mashallah mashallah mashallah sharfu abdr qadir nakuelew vizr snaa,,Yan wew anajitahd sana kutogawa waislm,,Allah akulpe syo kam mashekh wengn wanawagawa waislm,,, Allah akulpe,,Kila la kher
Mash lwah mm huyu alhadal namkubali Sana majibu yke hayana mihemuko n elmu na maslah mbele y umma wa kiislamu baark Leah fyka huyu ndie sheikh asie na jazba ya kielimu
Mashallah shukran sana sheik wangu asalaam alaykum warahmatullahi wabarakat Alhabib, jazaaka Allah kheir
Sllah alupandishe cheo shekh na kukubali .naomba uwe ukituelimisha unapo kuwa na wasaa inshaalah .
Kwakweli hyu shekhe yupo safi sana hapigi kelele Allah akuhifadhi
Allah akuifadhi tungepata masheik kama hawa ingekua rahasana akika allah akuifadh
Kabla ya kuandika chochote nimepitia comments zote alhamdulillah nikakuta wengi wenye kuvutiwa na usulubu wa sheikh huyu alotumia katika maelezo yake. Ila pia la kusikitisha xikuwakosa wazee wa misimamo isiokua na elimu nao wakaandika utumbo wao wa kumdhihaki Sheikh
Dah subhaaanallah kwa kweli kuwaridhisha watu wote ni ukomo ambao haujawahi kufikiwa
MUNGU akuhifadhi sheikh nimevutiwa na mawaidha mazuri kabisa yenye inswaafu
kuna kitu kinaitwa amana na ikhlas katika dini sheikh abdurkadir anamuongopa mola wake ana zingatia maslah ya umma na uisilamu mungu akujaze kheir آمين
Barak Allah feeq, Jazzak Allah kheri.
Unaeleweka vzr sana abdr qadir,, mana unaweka vitu sawaa,,syoo kama mashekh wengne wanatfta kujifny wamesoma snaa kulko wengne,,allah akuweke zaid,,,mana hupend kugawa waislm kwaa,, maswlaa ya hitirafu,, Allah akuhfz
Mashaaa Allah Tabaraka Allah hakika Sheikh umefahamisha kwa ufasaha yapasa kuzingatia kwa wenye hekma.Jazzak Allah khairan.
Wewe mzee una hofu ya Mungu Allah akuhifadhi...nafarijika sana na fatua zako kwa hakika wewe ni sheikh ila huyu kijana wako kishk anatuvuruga sana 😇 lakini tunamuombea dua kwa Allah amuongoze katika njia sahihi inshallah
😂😂😂😂ety kijana wako
Mdg wake,alf kishki sio shekhe
Wallah huyu nishekhe kweli Allah amjalie afya
Kwa hakika shekhe kazungumza maneno ya busara Kabbisa hata huwezi kumwamuliya ni wa kikundi gani.. Allah atujaaliye hekma na busara sisi na viongozi wetu wa dini.. Baarak Allah feek ya sheikh wa ahsana Allahu ileyk..
Masha Allah kaongea pwenti
Allah akubariki sheikh
Mashallah thuma Mashallah Alhamdulillah yaani maelezo yako wenye fahamu wakiyazingatia basi hakuna kuvutana wala kukejeliana wala kudharauliana na kuvunjiana adabu.
شكرا وجزاك الله خيرا وبارك الله فيك
mwenzi mungu akukinge na sharizawatu namajini
ما شاء الله بارك الله فيك يا شيخ استمر في نشر الوحدة والاعتصام
Maashallah ....
Haya ndio mambo ya Watu kujifunza kuwa sisi ni wadogo saana kuliko umri wa farqa baina ya maswala ya dini...
Oneeni waislamu huruma masheikh kaeni chini yajadilini mambo kwa uadilifu na muwaunganishe waislamu maana khilafu ipo katika mambo
Mashaallh shukran jazakalah khairi shekh Allah akuhifadhi
Wewe ni mcha Mungu allah akupe afya njema na akupe umri mrefu
Shukran sana maneno yko mazur sana ❤
Allaah akurehemu shekhe,ww ni mwanachuoni wa kufaa kuckilizwa
*Arafah:*
Ni pahali pako Maka panaitwa Arafah na hapo liko Jabali linaitwa Arafah au kwa kina jengine Jabal Arahma na mwaka mzima liko na pahala pako
*Yaum Arafah:*
Ni tareh tisa Dhul Hija ni siku inaitwa Arafah kwa wanao hiji wanatakiwa siku hio waweko pahala hapo ambapo panapoitwa Arafah, ni katika nguzo za Haji huko na waliokuwa hawahiji siku ya Arafah yaani tareh tisa Dul Hija ni suna kwao kufunga.
Kuita tarekhe kwa kitendo au tokewo ni kawaida, kama vile Aam Al Fill (Mwaka wa tembo), yaum nahar (siku ya kuchinja,) ayam tashriq, ayam tasii, yawm tarwiya, ayam biydh, aam huzn n.k.
*Vitu viwili tafauti baina pahala na tarehe na kila pahala pana tarehe yake haitangulizwi wala hairejeshwi*
Haikuthibiti Kuwa Mtume (ﷺ) baada ya kuhamia Madina alikuwa akipeleka wajumbe Maka ili walete habari ya Mwandamo wa mwezi wa Maka ili na wao wafate Mwandamo wa Maka na wapate Arafat Moja, pamoja na Maka na pia haikuthibiti alipokuwepo Maka au alipohiji alikuwa akiwapeleka wajumbe wake katika Miji ya karibu kama Madina au Ttaif ili awape Waumini habari kuwa wafate mwandamo na Arafah ya Maka.
Aliyekuweko katika nchi amabazo zimechelewa kuona mwandamo wa Mwezi basi si vibaya ikiwa atafunga siku ya tarehe nane ya Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya tarehe 9 ya Maka yaani ni siku ya Arafah ya Maka kisha akakamilisha kufunga siku ya Tarehe 9 ya nchi yake ambayo itakuwa ni siku ya Arafah kwake. Lakini muhimu asifunge siku ya yarehe 10 Dhul-Hijjah ya nchi yake ambayo ni siku ya Idi kwao.
Ikiwa arafah ni pahala na ikiwa siku ya arafah ni mwezi 9 je haya mafungamano ya pahala na mwezi kwa sisi tusiokwenda hijja yametokea wap ata tuiite siku ya arafah?
Ni sawa haikuthibiti kuwa mtme صلى الله عليه وسلم alikuwa akipeleka watu kutafuta habar za mwezi wa makka lakin je imethibiti alikuwa akizikataa habar za mwezi wa huko?
Aliziamini taarifa ila zilikuwa za sehemu hizohzo alizokuwa akikaa , haikuthibiti pia kuwa alipokea taarifa za masafa makubwa kama Tanzania na Saudia , kama ipo taarifa hiyo ya masafa hayo tuletee hy simulizi
Huyu ni ulamaa mukhlis
Kwani arafa ni ck ngapi?
hongera sana
Shekh Allah akuhifadhi, umebakisha neno moja tu kusema ilitokea wakati wa maswahaba kukhitilafiana wakafunga shamu mapema kabla ya madina tab'an huko kweli ni kutofautiana kwa kuona siyo kuandama Hasha.
Lakini katika kutofautiana huko Sham walifunga na kufungua pamoja, na Watu wa madina walifunga na kufungua pamoja. Haya ya nchi moja au mji mmoja kuwa na iddi mbili au kuwa na saumu wengine wana Idi hiyo Shekh Bila kuutafuta maeneo Ungeufahamisha umma kuwa ni Bid'a TENA ni Munkar.
Allah akupeni wanazuoni wetu, Ujasiri katika kufikisha, maana kwa wanazuoni mtaulizwa siku ya kiama
Kuna jambo la kujifunza sheikh ametoa somo pana mno. Allah amuhifadhi
Kuna tofauti kubwa sana baina ya mtu aliyesomeshwa elimu na aliyejisomea, Sheikh Abdulqadri ana elimu fasaha sana tena ana ikhlasi kubwa sana.
Maashaallah sheikh umetumiya hekmaa(busara ya Hali ya juuu) waislamu haipendezi kufarakanaa .
السلام عليكم يا شيخ أنا محي الدين من كهم شنيانغى تنزانيا
أقر أني أحبك لله
MashaAllah maneno mazuri na iliobakia ni kufuata multi wa nchi na sote tuwe kitu kimoja hii ndio sawa
Kishki ajifunze uadilifu kwa huyu Sheikh Allah ampe furaha dunai wa Akhera. NAPENDA SANA FATWA ZAKE WITH EVIDENC
Masha Allah mawahab kuwen na inswaaf si kila kitu ni kubisha .naam shekh huyu ni mwamba ktk elimu.
Unajua maana ya wahabi
@@HamisiMussa-v1dtuambie ww mana ya wahabi ni nn
Vema sheikh shukran
Maashallah mashekhe kama hawa ndio tunaowahitaji katika dini na sio wale wanaovutia upande wanao amini wao
Elimu na ucha mungu vikikaa pamoja athari yake ndo hii.
Hakuna kutiana motoni wala kutoana peponi kwasababu ya hitilafu.
Namuomba Allah akuthibitishe ktk waja wema wenyekufuatwa.
Allah akuhifadhi
MASHAA ALLA
maashaallaah umesema kweli allaah akuhifadhi
Alhamdulillaahi rabbi l-aalamiin, Mawahabi naona mnaanza kuelewa kidogo kidogo MUNGU awajaalie muelewe kilichozungumzwa na Wanawachuoni Wacha Mungu,mngelifahamu hili tangu mapema wala kusingekua na mizozo
Maa'shaa Allah barakallah fiykum
MashaAllah ust
Nimeipenda sana hii
Upo sahihi Shekh Nimekupenda sana❤❤ Allah Akujaalie mwisho mwema Inshallah
Jazzaka llah kheri umefafanua kielimu na unatumia farsafa ya Aya nahadithi zamtume sw hivi ndivyo inavyotakiwa
حفظك الله ورعاك
WATU WANGI HAWAJUI KUWA HUYU SHEIKH KWANZA NI SHARIFU KWELI KWA NASABA YAKE, PIA SHEIKH WAKE AMBAYE SASA HIVI AMESHAFARIKI PALE KENYA ALIKUWA NI SUFI NA KIILMU AMEKUZWA KTK MISINGI YA KITASAUF NA NDIYO MAANA UKIMFATILIA SANA YUPO TOFAUTI SANA NA MASHEIKH WENGI WANAOJINASBISHA NA SUNNAH HUKU WAKIKASHIFIANA HOVYO WAO KWA WAO, HAUWEZI UKAMKUTA AKIMKOSEA SHEIKH YOYOTE ADABU. SHEIKH KUSHKI ANA MENGI YA KUJIFUNZA KWA HUYU KAKA YAKE. UZURI NI KWAMBA ZAMANI NILIKUWA NAISHI JIRANI KABISA NA NYUMBANI KWAO PALE TEMEKE KATA YA KUMI NA NNE, NYUMBA YAO IPO KONA PEMBEZONI MWA MSIKITI WA TUNGI KILICHOTENGANISHA NI BARABARA TU. HATA KISHKI NILIANZA KUMFAHAMU KIPINDI KILE MIAKA YA ELFU MOJA MIA TISA TISINI NA KITU, ALIKUWA KIJANA MSTAARABU NA ANA HESHIMA KWA KILA MTU. SIAJABU KWA NASAHA HIZI NZURI ZA SHEIKH WATAKUJA WATU WASIOKUWA NA ADABU WATAMRADDI KWA HIKI ALICHOKIZUNGUMZA. ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH ABDULQADIR, AMIYN.
Shekh wake unamjua wewe? Japo kuwa imepita miez kum na moja lkn shekh wake amekuja juz tu hapa mskitin wa mtoro wewe useme amekufa
Mashallah Allah akubarik sheikh
Uyu ndo Sheikh Sasa wallahi nd maana huwa namkubali sasa Very good point yaan hata ambaye Hana ilmu Ana elewaa safi sana sheikh
Mm nko wa kusema Kila mtu Ana Arafa kulingana na mwandamo.lakini Lau watu wangefwata anavyo sema huyu shekh hakuna mzozo kabisaaa.jazaakallah akhul fadhila
Baarakallahu fiika
Insha Allah Allah awalipe dungu zangu
Una akili sana wewe mashaallah Allah akuruzuku hekima nabusara
Mashekh jifunzeni kwake huyu shekh kaongeya vizuri dini yetu inatakiwa tupate mashekh kama hawa naamini wengi wangielekeya katika dini .Allah atuongoze .
MASHA ALLAH sharif 🇰🇪💚💚💚💚💚💚
Kaongea vizuri sasa mbona kishki anasema hakuna arafa mbili
Jazakallahu khaira
مشالله تبارك الله جزاك الله خير الجزاء يا شيخ
J
Baaraka llahu fik
Maashaallah maashaallah
huyu ndio shekh aliepata elimu ya uchamungu
Kila la kheri shehe wangu
Kiukweli tungekuwa na masheikh kama hawa kiukweli ni raha
@IbnuAlly-cg2gn pametajwa akhui
Ili kujua nusus na Hadith kuna mambo mengi ya kuyasoma ndio mana nakuwa sina la kusema hapa kwasababu watu wengi hawayajui haya lakini kuelewa nusus na kujua kuzifanyia kazi ni jambo zito lazima upitie fani tofauti tofauti na hili linahitaji muda mrefu wa kusoma sio kujisomea kitabu kusoma darasani marhala marhala
Kwa ufupi awamu nnas wawo juu yao ni kufuata wanavyuoni walivyosema na hili halikosi kutofautiana wijhatu nadhar ktk masaaili rai kwahio kila mtu afuate qauli anayoiona sahihi bila kumkufurisha mwenziwe wala kumuona ibada yake haitimii
Na kufuata qauli ktk aqwali njia rahisi ni kupitia ktk madaaris islamia au madh habu
Nafikiri maneno haya ni bora zaidi ktk kufahamisha kuliko kuanza kujadili riwaya na na makusudio ya nassi kitu ambacho watu wengi hawana ujuzi nacho au sio jukumu lao aslan wabaarakallahu fiik
Mashaallah shekhe wangu
Mashaallah mashaallah
لله درك ياشيخ!! أين الخطباء فيسمعوا ويأخذوا منك (واعتصموا بحبل الله جميعاولا تفرقوا)
Sheikh hujatwambia jibu je Arafat ni 1ao ni mbili ?
Sheikh Yuko sahihi
Anajua sna anahikma
Sahihi kabisa
Muwe mnasikiliza vizuri maneno ya wasemaji na kuyafahamu
hiyo ndio dini shekh maahashallah uislamu umoja
Issue sio kupendeza, tunataka dini inasemaje Aidha quran inasemaje shekhe tusaidie hivo
Ujumbe mzuri
Ndyoo huyoo ndoo shekh mm huwaa namfatria snaaa,,yani hatak kujifnya kuwaa yy ndoo yy,, japokuwa ana elim kubwaa zaid,,
Huyu Sheikh ni mfano wa kitabu kwangu.. Nayo yaunga mkono najifunza zaid kwake .. nisiyounga mkono najifunza kwake tena nikiwa na hammu na tamaa.
SIO MASHEIKH WETU TANZANIA NA KENYA,Burundi wao niwaftaji wa wafuasi wengi.
Masha Allah
Subhanaallah walihamdullah rabillamin mwenyezi mungu atujalie tupate muelekeo mwema yaarab ameen 🙏🙏MASHEKHE JAMANI KUMEKUWA NINI DUNIANI. 💔💔💔
Kusoma mbali kuelewa mbali lkn pia kufnyia kaz ulicho kisoma mbali kwa bakhti nzur shekhe anavyo vyote ukimuona mtu anakataa khilaf elim yke ina walakn
Shuklan sana kwa elimu nzuri sana shekh ombi langu tumia busara na elimu kama hii kukaa na viongozi wetu ili kuyajenga wambie sio tu haipendezi bali inaturudisha nyuma sana hatupigia hatua.pia kama kuna jambo la kutengeneza dini basi kaeni chini mashekh muyajenge maana kujibizana kwenye midia tunadhalilika
Jiida jiida maashaallah
MAASHAALLAH Tabaraka LLAH,"Adalatul l-i'lmiya"
Ni kweli kabisa maneno yako
Safi sana kuanzia leo wewe ndo shekhe wangu
Kweli inauma hayo uliyo sema nikweli kabisa lakini utakuta kna mashekh apo watapinga unacho kiongeya maana hizo ndotabiya zao kuhitilafiyana nakutuchanganya sisi wakina maamuma .hasa,hapo bongo wamavula mipaka .
hy ndo ajua hakki
Mash Allah,elimu yenye taqwa,hii ndio elimu maana ina hofu ya Allah
Arafa mlima ni mmoja. Lakini ufunga si moja wala si mbili. Yaweza kuwa ni siku tatu. Makka ikiwa saa7 mchana ambapo watu huanza kisimamo baada ya salat dhuhuri, utakuta marekani ni saa 11alfajiri muda ambapo adhuhuri bado. Na muda huohuo China huwa ni saa 1 usiku ambapo hawawezi kusimama wala kufunga usiku. Sasa marekani wafunge siku yao. Makka siku yao, na China siku yao. Siku tatu na arafa tatu.
Ww riadh Medio,tueleze unamanagani kusema msikize ndugu ya kishk.???tafathali fafanua
NIMEKUELEWA XNA
Mashallah HIV ndio masheikh wanatakiwa wawe
Alichozungumza ni kwamba watu wote waifuate BAKWATA lakini yeye mwenyewe amesema nchi yetu ina uhuru wa kuabudu sasa ili pawe na umoja katika hili wenye mamlaka waseme mwenye haki ya kutangaza ni BAKWATA TU hapo utaondoka mzozo
Hivi wewe umeskia neno bakwata katika hiyo mada dhanna dhana mbaya Kaka hamadi kuwa muelewa
@@mohdloushmoney9994 Hajalitaja lakini maongezi yake yanafahamisha hivyo. Hao aliowataja kwamba wanamamlaka ya kutangaza ni kina nani? Ukijua hivyo hutaniambia kua nina dhana mbaya
@@HamadAlly-ki8lr kama kina nani
@@HamadAlly-ki8lrwewe itakuwa hujamwelewa vizuri amesema hili suala Lina ikhtilafiu na amesema kila mtu abaki na msimamo anaouamini lakini tusikashifiane