WATOTO WA MARCOS WAWALIZA WATU WALIPOIMBA WIMBO HUU MBELE YA JENEZA LA BABA YAO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
- Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa mwimbaji wa kundi la Zabron Singers, Marco Joseph, likitolewa ndani kwa ajili ya kuagwa na wananchi nyumbani kwao Kahama mkoani Shinyanga, kabla ya maziko yatakayofanyika leo Agosti 25,2024.
Joseph alifariki dunia usiku wa Agosti 21, 2024 wakati akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
#zabronsingers
Be strong n courageous, family of late Marco, for God is with you , He will never leave nor forsake you ,,trust in Him n never relie in your own understanding but acknowledge Him in all your ways n He will prosper your path in Jesus mighty name. ❤Much love from Kenya.
Na ile kipawa ya wimbaji iliyokuwa na Marco saasa itakuwa kwa hawa watoto kwa utukuvu wa Mungu.
Du polen sana adi chonj linanitok Mungu awatie nguvu watoto wazur😭😭
Poleni sana watoto wa mikro take heart 😂😂😂😂😂😂
Polen sana watoto wazuri Mungu upo pamoja nanyi 🙏🙏
Poleni Saana Wana Wa MunGu,
Na MWENYEZI MUNGU Akawe Pamoja Nanyi Katika Hali Zote
Aminaa. Nimejikuta nalia ata sielewi.polen sana wanangu
Pole sana mungu awabariki sana
Poleni sana,mungu akawe tulizo lenu .
Poleni sana wanangu wazuri
Mungu huko pamoja na nyinyi watoto ❤❤
poleni wadogo zangu mungu awatie nguvu
😢 nlipofiwa nkabk peke yangu ,aisee nliteseka ,yn km naona yajsyo Kwa Hawa watoto😢😢😢😢😢
Watoto wazuri poleni mungu awe nanyi kila wakati
Mungu awalinde Watton ❤mkue tkt imagine na kumpendeza mungu,
Pole sana watoto pamoja na family mungu awe pamoja nanyi katika wakati uu mgumu 😪😪
Poreni sana mungu Yuko pamoja nanyi
Watoto wa Yesu..Poleni sana ila Bwana Yesu atawalea. Apumzike kwa amani Baba
Poleni sana watoto Mungu awatie nguvu
Nakosa neno😢😢😢
Mungu tuu ndie analojambo juu Yenu
May God stand with the family.Orphans are his.
😢😢😢😢😢😢Mungu awape Faraja watoto wazuri 😢jaman nimejikuta nalia polen sana
Kweli maisha ya mwanadamu ni Mungu tu!
Maybe God be with you😢😢
We all feel the pain😢
Till the resurrection morning 😭😭🙏
Poleni sana,,mungu awe pamoja nanyikila wakati
Jmn poleni watoto,, Mungu awalinde na kuwatunza?
Poleni Sana watoto waziri Mungu yu pamoja nanyi
Poleni sana watoto
Woi 😭😭😭😭😭poleni sana watoto wetu acha mungu awafariji
Poleni sana,, Mungu awape nguvu
Poleni wanangu mungu yupamoja nanyi❤
Bwana Yesu,,,awatie nguvu familia,,.tumaini liwe kwake2
Mwenyezi MUNGU awe pamoja nanyi watoto wazuri machozi yamenitoka
Mungu mume wa wajane umtunze mama huyu na watoto roho mtakatifu awe Nuru ktk maisha yot
Mungu awatunze muiendeleze kazi ya baba
This is another generation Marco family his raising congrats,poleni sana Marco family
Mungu aliye mkuu atawapa faraja iliyo kuu na wala msilie wanangu
Mungu awatunze daima msione kupungukiwa
Poleni sana kwa familia nzima
Poleni sana Watoto wa Marco Joseph
Mungu awatie nguvu watoto mazuri...Mungu hatowaacha yy ni baba siku zote
Poreni watoto wazuri mungu awatie nguvu
Wanangu mungu awatie moyo hiki ni kipindi tu mungu atawavusha
Poleni sana tena sana
Polen mung yupamoj😭😭😭😭 na nyinyi atakuw mfarij weng🤲🤲
Poleni Sanaa wandongo zangu
Mungu awatunze,awe pamja nanyi😭
May God take control🙏
Pole sana watoto polen
Poleni sana
Jamani inaumiza sana hawa watoto hawatasahau kamwe
Nimeshindwa kuvumilia nimelia mwenzenu 😭😭😭😭
😢😢POLENI WATOTO WETU,MUNGU ATAWATUNZA MTAKUA
Polen watoto wangu mungu you nanyi Kat yen amesmama awatie nguvu😂
Zabron mpya hiyo 😢😢
Heri ya wafu wafio katka bwana😢😢
Mungu yupo nanyi baba kaenda kuandaa makaoo
Kwahiyo Marco kawa Yesu tena?
Kwahiyo Marco kawa Yesu tena?
Pole watoto
Mungu awe faraja ktk familia hii
Mungu awaits nguvu
Poleni poleni sana
Poleni xna Mungu awe nanyi
mungu mbona ,pole sana
Mbona nalia jmn😢😢😢
😭😭😭😭daah cna chakusema
Kama Mimi inaniuma ivi Je familia jaman polen sana
Bestrong mybabys
Polesana family
Polen san jmn 😭😭😭😭🙏
Jamani inauma sana eti
😂😂😂 polen
Polen watto
Nasema pole
Polen sana wanangu
Poleni
Mungu yupo pamoja nanyi watoto
Why allow this kids to sing this tough song in a midst of their loss? It's not right. The kids do not understand what death is all about
It's very therapeutic,
So sad
Yan mi sijawaelewa vtu vingi tuu
😭😭😭😭
❤❤❤❤❤❤❤
Najikuta nalia
😭
Poleni sana wadogo wang
Poleni sana.mungu awatie nguvu.
Poleni sana jipeni nguvu
Poleni sana watoto
Poleni sana
😭😭😭😭
Poleni sana familia Mungu awe nanyi
Poleni sana
😭😭😭😭😭
😭😭😭