Changamoto Kubwa 7 Zilizopo Chuoni Na Namna Ya Kuzikabili

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 43

  • @eliaskiondo3507
    @eliaskiondo3507 3 ปีที่แล้ว +7

    Kupitia speech hii najiona mtu mpya. Najutia kwa kuchelewa kupata kupata nondo Kama hizi, kitu ambacho sikuwai kuambiwa sehemu yoyote ile, lakini I'm not too late to change. Nitaaply every single point. Asante Sana I won't be the same

  • @mwl.zabronbatega6717
    @mwl.zabronbatega6717 3 ปีที่แล้ว +3

    Kiukweli Mungu akubaliki sana kupitia masomo yako na vitabu vyako vimeweza kubadilisha direction ya maisha yangu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +1

      Ameen Mwalm Zabron. Ahsante sana

  • @irenemashallo2311
    @irenemashallo2311 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kaka... Kitabu cha CORE GENIUS by Joel Nanauka kina elimu ya dhahabu nimenufaika.... Nina shauri jamani Nunueni kitabu cha "CORE GENIUS " knowledge for life....

  • @elfridanyaluke8015
    @elfridanyaluke8015 3 ปีที่แล้ว +2

    ASANTE KWA UJUMBE MZURI 🙏🙏 blessed

  • @jaliafyayako6053
    @jaliafyayako6053 3 ปีที่แล้ว +5

    Pind hili nimelielew sana kiongozi🙌🙌

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +2

      Pamoja sana Muhidin, nisaide kushare kwa wengine pia

    • @jaliafyayako6053
      @jaliafyayako6053 3 ปีที่แล้ว

      Sawa kaka ila mim ningeomba utupe fundiaho la kujicomit

    • @DottoAmon-bs2cr
      @DottoAmon-bs2cr 3 หลายเดือนก่อน

      Asantee mtaalam ushauri Ako nimzuri sana

    • @DottoAmon-bs2cr
      @DottoAmon-bs2cr 3 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤ madin. Yakutoshs ukovzuri mtaalam

  • @lugalabagst3161
    @lugalabagst3161 ปีที่แล้ว

    Fantastic message, nimejifunza sana bro.Thankyou so much

  • @Haleem_07
    @Haleem_07 3 ปีที่แล้ว +2

    NGULIIIIIIIIIIIIIIIIIIII from zanzibar... 🔥 🔥 🔥 🤝🏻 🤝🏻🤝🏻🤝🏻 Abdulhalim from zanzibar.... 🤝🏻 🤝🏻 🔥 🔥

  • @zaburonsamwel4899
    @zaburonsamwel4899 3 ปีที่แล้ว +1

    In progress hearing!!! It is sensitive talk!! Thanks Mentor!!!

  • @fanuelmichael9480
    @fanuelmichael9480 3 ปีที่แล้ว

    Blessed sana bro kwa kutulisha chakula cha ubongo(maarifa)

  • @noahgeorge0174
    @noahgeorge0174 3 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed kaka joel Nanauka

  • @fredyelisha2686
    @fredyelisha2686 ปีที่แล้ว

    Kaka nashukuru maana kwa sisi wanafunzi duh 😅😅 ubarikiwe sana kaka

  • @MaajabuCrypto
    @MaajabuCrypto 3 ปีที่แล้ว +4

    Safisana Joel Nanauka #MrRobin

  • @innocentpallangyo3462
    @innocentpallangyo3462 3 ปีที่แล้ว

    thanks so much for this strong message

  • @GODIUSRWEYONGEZA
    @GODIUSRWEYONGEZA 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukrani Sana #godiusrweyongeza

    • @raineryshawa2879
      @raineryshawa2879 3 ปีที่แล้ว

      nakushuru sanaaa brother Joel Nanauka, umebalisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sanaaa, kwa vitabu vyako, video clips on youtube. thanx a lot." yes now l see you looking me at the top"

    • @yahayajumanne8874
      @yahayajumanne8874 3 ปีที่แล้ว

      Appreciate sanaa bro

  • @ninaelrichard1800
    @ninaelrichard1800 ปีที่แล้ว

    Mi nakuombea ulinzi wa Mungu uwe juu yako siku zote,na Mungu atufungulie akili zetu tupate kujua na ufahamu wakuelewa hivi vitu

  • @mohamedkitwana4241
    @mohamedkitwana4241 3 ปีที่แล้ว

    Shukranii Sana broo Noel🙏🙏

  • @herimailo8183
    @herimailo8183 2 ปีที่แล้ว

    Brother asante sana

  • @kpetres2872
    @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +3

    Nipo naiskiliza nalia TU😢😢😢

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +2

      Kwa nini tena?

    • @kpetres2872
      @kpetres2872 3 ปีที่แล้ว +1

      @@joelnanauka Kuna Mambo yanagusa uhalisia wetu direct. Wanachuo tunajisahau Sana. Lakini kimsingi kitaa kinatudai vingi Sana
      🙏🙏🙏🙏🙏Mungu akubariki Joel🙏🙏🙏

  • @tinolutonja8932
    @tinolutonja8932 2 ปีที่แล้ว

    Kaka uko vzr sana

  • @mosesalex9853
    @mosesalex9853 3 ปีที่แล้ว

    Gifted mind👊

  • @protazipius6281
    @protazipius6281 3 ปีที่แล้ว +2

    Joel joel madini yako yamenifikisha mbali natamani kila kijana MB zake zingetumika kukusikiliza wewe Ma milionia wangekuwa wengi Tanzania

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +2

      Nashukuru sana,nisaidie kushar e

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  3 ปีที่แล้ว +1

      Ahsante sana Protazi. Tuwatumie na wengine poa

  • @mukrimsalim8486
    @mukrimsalim8486 3 ปีที่แล้ว

    kaka umenifunua kwa hili ila tatizo langu baada ya kunipa mawazo mazuri nimvivu wa kufanyia kazi yale ninayo yajua

  • @Rivadetalentboy
    @Rivadetalentboy 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @michaelangelbert8352
    @michaelangelbert8352 3 ปีที่แล้ว

    🙏💞

  • @benjaminkimaro8348
    @benjaminkimaro8348 3 ปีที่แล้ว +2

    🇹🇿🙏🙏

  • @masoudibrahimu1403
    @masoudibrahimu1403 2 ปีที่แล้ว

    Kaka naomba niwe nanamba yako ya sim niwe na view at status zako nizid kujifunza kupitia wewe

  • @yaledmbuba3631
    @yaledmbuba3631 3 ปีที่แล้ว

    Hiv watu wenye uwezo na maalifa kama ww huwa mnayakuta wapi maharifa haya jaman yaan wengine mmekuja duniani hakika kuenjoy sio kuteseka maan vitu vngi mnavijua na nivyauhakika

    • @marcontilla7001
      @marcontilla7001 2 ปีที่แล้ว

      skujui ila hakuna mtu anazaliwa anajua hvyo vtu vyote wote wanajifunza sehem kubwa kama hvyo youtube kuwafuatilia watu kama akina nanauka na kusoma vitabu huko ndo kuna kila ktu anza na vitab vya kaka Joel nanauka hapo kuongeza maarifa baada ya muda utakua na maarfa na ww

    • @mussaulaya3926
      @mussaulaya3926 2 ปีที่แล้ว

      Ila Sasa pamoja na kuyajua hayo lakin Cha ajAbu unakuta na yeye anafel maisha 😁😁😁😁