MAGARI YA KIFAHARI NI TAX DUBAI, V8, BENZ, GMC, TESLA, DEREVA AFUNGUKA MAISHA YA DUBAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 มิ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 74

  • @JustinePatrinius
    @JustinePatrinius 27 วันที่ผ่านมา +5

    Dereva mwenyew anajua hayo magari ni expensive cars

  • @youngbob9761
    @youngbob9761 27 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona mbali uko zanzibar tu noma

  • @SurprisedAstrolabe-id9gc
    @SurprisedAstrolabe-id9gc 28 วันที่ผ่านมา +7

    Nilienda kutafuta maisha Dubai mwaka jana nikiwa naishi Deira, ila nilirudi nyumbani baada ya miezi 3 kwa kuwa huko watu maskini wanateseka sana. Lakini hivi najiandaa kurudi Dubai na ni bora nife nizikwe huko. I love Dubai na nina ndoto ya kuishi ndani ya BurjKhalifa

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 28 วันที่ผ่านมา +1

      Duu Hata ndoto sina zaidi ya America tena marecani nanicho mshukulu MUNGU Mimi mfanya biashala Niko nje yanchi siko tz 🙏🙏😔

    • @ShikukuMatoo
      @ShikukuMatoo 27 วันที่ผ่านมา

      Good ideas madam 😂

    • @user-gw8wv2zf2g
      @user-gw8wv2zf2g 27 วันที่ผ่านมา

      Kuish au kuja kulala siku moja burj Khalifa. Big dream safi sana

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 23 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-nb6yh2bn9ybecarefull in emerica 😂

    • @eliuskamwelwe1018
      @eliuskamwelwe1018 21 วันที่ผ่านมา

      Ko so tufanyaje?? Kafie mbele😅😅

  • @Djugaripro
    @Djugaripro 27 วันที่ผ่านมา +2

    🙌🙌 #millardayo mpaka dubai noma

  • @Zenny89
    @Zenny89 27 วันที่ผ่านมา +9

    GMS Ndo gari gani hiyo🙆🏾‍♂️😆 Au unaongelea GMC

    • @MirajiHussein-um7pc
      @MirajiHussein-um7pc 27 วันที่ผ่านมา +2

      Anzingua uyu gms 😂😂

    • @fredykaitani595
      @fredykaitani595 27 วันที่ผ่านมา +1

      Ww ndio bangi yeye kaandika gmc na sio hivo unavoongelea ww kobe.

    • @Zenny89
      @Zenny89 27 วันที่ผ่านมา

      @@fredykaitani595 😆..Nani kasema kuandika.. sasa wewe Ndo Bangi kabisaaaa😆 Sababu alichotamka ni tofauti..acha kurukia vitu.

  • @CHRISTINAKANGUNGU
    @CHRISTINAKANGUNGU 27 วันที่ผ่านมา +2

    Ama kweli tz bado sana tupo nyuma

  • @user-gy7mk8ur1f
    @user-gy7mk8ur1f 27 วันที่ผ่านมา +3

    Na hao wengi sio waarabu wa Dubai ni wapakistani hata wauza simu wengi wapakistani

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 27 วันที่ผ่านมา +3

    lakini pya tz shida kubwa Kody magali ya Japan hayana bei kiivo kule unaweza ukanunua V8 mtumb ambayo imetembea kidog2 kama km 10000 au chini ya hapo pengne kwa bei ya milioni 150 au 130 ila ukileta hapa ukijumlisha gharama mpaka inatoka pale dar Salam inafka mpaka mlimani 310 hapa kwetu ndio shd lst kule mpaka dollar buku unapata leta hapa sasa

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 21 วันที่ผ่านมา +1

      shida kule left hand.

  • @alibinali_
    @alibinali_ 27 วันที่ผ่านมา +1

    Dubai,Qatar, Saudi hayo magari ni Taxi kesha ata police car ni magari ya kifahari

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 28 วันที่ผ่านมา +8

    Nikweli hata hapa Qatar ndio tex na Uber

  • @johnny.j.nyondo
    @johnny.j.nyondo 18 วันที่ผ่านมา

    Brother Millard vijana wapate hata basic ya Lugha. Wanaenda kimataifa sasa.

  • @ScopionScopion-zj9cd
    @ScopionScopion-zj9cd 27 วันที่ผ่านมา +1

    ila inategemea gari model gani mana mfano Benz kuna moja yenye ukubwa kama crown Tani Nane ina cost bilion 2.5 mpka tatu.5 kwaiy sio mkisikia Benz mnajua Niyoyote sio kweli

  • @KijahboyChita
    @KijahboyChita 22 วันที่ผ่านมา

    Nenden Marekani mkajionee magari yakifahari mtashangaa

  • @dullybrown7841
    @dullybrown7841 27 วันที่ผ่านมา +1

    Qatar kuna mambo ya kushangaza njoo ujionee

  • @AbelCharles-co6qb
    @AbelCharles-co6qb 20 วันที่ผ่านมา

    Ucchokijua kuhusu nchi za uarabuni...mali zinamilikiwa na wachache sanaaa

  • @ismailradjabu3871
    @ismailradjabu3871 26 วันที่ผ่านมา

    Hata hapa South Africa tunazitumiya kama, uber black. Ni all over the world ambapo uber ipo zinatumikaga sababu yakutafautisha ambaye ana ela na asiyekuwa na ela

  • @jostamzxkaole3113
    @jostamzxkaole3113 26 วันที่ผ่านมา

    Hakuna gar ya kifahari: ufahari ni gharama tuu ambazo zinaeza kuepo kutokana na kodi , au mlipo yaziada.. (trekta nayo nigari yakifahar)

  • @user-pf9rk6jp4f
    @user-pf9rk6jp4f 28 วันที่ผ่านมา +4

    Ivi Dubai Kuna maskini kweli

    • @idrisakasuwi7865
      @idrisakasuwi7865 28 วันที่ผ่านมา +1

      Uae hkn masikin maan wafalme wa majimbo yote 7 ikiwemo Dubai wanawazingatia sn sn raia wao..tofauti na nchi zetu za kiafrika

    • @deadcrush
      @deadcrush 28 วันที่ผ่านมา

      Jamani. Huyo anaye hojiwa ni fukara.

    • @hatibumohamedi3471
      @hatibumohamedi3471 28 วันที่ผ่านมา

      Akuna nchi akuna masikini ila utofauti unakuja kulingana na hali ya ubinaadamu huko mtu kuteseka sirahisi snaa kwa sabab wana kilimiana sana kimsingi wan thaminiana sana

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 25 วันที่ผ่านมา

      Akuna sehemu inayo kosa masikini

  • @user-ty8ci5oi9m
    @user-ty8ci5oi9m 22 วันที่ผ่านมา

    Na ukitaka kununua kutoka huko?

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 21 วันที่ผ่านมา

    Dubenga🙏

  • @user-pw2rl5zs1v
    @user-pw2rl5zs1v 27 วันที่ผ่านมา

    Chakwanza Dubai nimji mkubwa na tajiri duniani ko Kwa hayo magari ni halali sio kama kwetu tz pkpk tu mashahidi 10 zamana isohamishika aaaaa hzo ndizo nchi

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 27 วันที่ผ่านมา

    Kwaiyo naire ya mond tex daa

  • @JustinePatrinius
    @JustinePatrinius 27 วันที่ผ่านมา

    Wacha kusema nyumbani Tanzania...Sema duniani kwa sababu hayo magari ni ya kifahari kweli ila hao warabu wanaela za mafuta wanachezea tuu.

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 27 วันที่ผ่านมา

    hahahaha nomaaa sanaa

  • @elidiustudoy2640
    @elidiustudoy2640 26 วันที่ผ่านมา

    Apo kama ya bilinas. Tengua kauli

  • @Theironrod9373
    @Theironrod9373 23 วันที่ผ่านมา

    Hapa mbulu karatu sisi tunayumia kama bajaji ya kupeleka watu munadani na sokoni kila siku ya gulio yapo mengi sana

    • @AllyTingi
      @AllyTingi 19 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅 hahahaha mpaka enda marariee

  • @mulastar
    @mulastar 28 วันที่ผ่านมา

    GMC not GMS

  • @Samdala.
    @Samdala. 23 วันที่ผ่านมา

    wakuu 72 subscribers 🤷🏾

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 28 วันที่ผ่านมา +1

    Kwan hapo kuwa tax nn kimeharibika mana ananunua gar nzur ili abebe abiria wa gharama kubwa kuliko tax za kawaida!! Nkama vile uamue kuborexha boda boda Yako unaamu kuachana na sanelog au king Lion unamua kununua TVS!

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 28 วันที่ผ่านมา +1

      Ebu tuambie wew africa umeona wap gari ya milion300 ikawa taxi wakati hapa mtu anaemiliki v8 ni bos wako au kiongozi wako

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 28 วันที่ผ่านมา

      ​@@karimmkejina980 Kati ya Africa mtoe msouth Africa jiwekeni nyie

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 28 วันที่ผ่านมา +1

      Hata huko south africa nikweli wamendelea lakin bado hawajafikia levo ya kuwa na mgari ya zaidi ya milion400 alafu yakawa taxi bado alafu sasa sio taxi moja zipo nyingi taxi zote za kifahari tupu

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 28 วันที่ผ่านมา +1

      @@karimmkejina980 Asante kalim nimekupata vyema 🙏🙏🙏

    • @hollymore4904
      @hollymore4904 28 วันที่ผ่านมา

      Nakubal.
      We una jua hesabu na uchumi na soko la dunia💪👊

  • @erickenock3198
    @erickenock3198 28 วันที่ผ่านมา +3

    Me nafikili masikini wa Dubai ndio akina murokoz wa babati

    • @Juliy_01
      @Juliy_01 28 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂

    • @emanuelherman7029
      @emanuelherman7029 27 วันที่ผ่านมา

      Unamkosea sana Mulokozi kaka

  • @kassimkhalid1185
    @kassimkhalid1185 27 วันที่ผ่านมา

    Hata hapa Canada..Mercedes benz, Tesla,Cadilac Escalade,Yukon Denali,Bmw ,borch,Hummer ,Msserati, Audi Quatrro ...Toronto Canada zinatumia Taxi na ku deliver Uber Eat food.

  • @user-xr8ih5ub5d
    @user-xr8ih5ub5d 25 วันที่ผ่านมา

    Sio ukweli tax v8 v6 hailipi

    • @Everline398
      @Everline398 21 วันที่ผ่านมา

      Unadhani litakuja kubeba wa buza acha mawazo mafupi

  • @majengoadventure3930
    @majengoadventure3930 27 วันที่ผ่านมา +3

    Mtangazaji anakingereza kibovu basic English kwa ntangazaji km ww ulitakiwa kuongea advanced English

    • @MJM52
      @MJM52 27 วันที่ผ่านมา

      Mwamba ngeli yake dah.
      Direct swahili translation

    • @prezyb1699
      @prezyb1699 27 วันที่ผ่านมา +1

      Mtangazaji kaangalia anayeongea nae pia hajui kiingereza

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 27 วันที่ผ่านมา +1

      Hujui Nini maana ya lugha ndio maana unalopoka ,

    • @georgenkanawa7156
      @georgenkanawa7156 26 วันที่ผ่านมา

      Anaye ongeanae pia hajui.

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 20 วันที่ผ่านมา

      Mbona ww umecoment kwa kiswahili? Comment kwa english km yy alivyoongea kwa english halafu ndo tujue ww na yy nani anastahili kumkisoa mwenziwe. Mbuzi ww!

  • @user-pf9rk6jp4f
    @user-pf9rk6jp4f 28 วันที่ผ่านมา +5

    Ivi Dubai Kuna maskini kweli

    • @lusupi
      @lusupi 28 วันที่ผ่านมา +4

      Si huyo hapo millard ayo ndo maskini wa uko dubai😅

    • @wadhhasuleiman2621
      @wadhhasuleiman2621 28 วันที่ผ่านมา +3

      Usitishwe na Hayo Mzee Dubai kuna maskin balaaa

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 27 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani huyo anaye kodisha hiyo gari ni tajiri namaanisha angekuwa tajiri asinge kodisha Bali angenunua LA kwake mwenyew

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 27 วันที่ผ่านมา

      ​@@deogratiusyudatadei5658Kama yuko safarini je?

    • @MustafaabdullaIssa-zl8mp
      @MustafaabdullaIssa-zl8mp 27 วันที่ผ่านมา +2

      Hakuna nchi siokuw na maskn