I love your song wakati niko na changamoto mingi but naona mungu wasidi kunionekania God bless you and protect you and your family in jusus chrst amen 🙌🙏🙏🙏
I mean 54 songs non stop acha usingizi uwende kabisa yaani ni mungu tu ,hta boss huniuliza mbn hulali namjibu mwenye kunipa usingizi ameniambia niache kulala ni muimbie🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!! youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET TH-cam onerpm.link/818041537428 Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*117# OK onerpm.link/392578501032 SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE DIGITAL PLATFORMS SKIZA DIAL *811*457# OK ±254799200738 HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all. th-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/w-d-xo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
Kiukweli mtumishi wabwana nasikia kubarikiwa zaidi ninaposikiliza nyimbo zako nakuombea kwa mungu huduma iendelee kusonga mbele wew ni dhahabu sikumoja utang'aa
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
Hakika nyimbo zako NI silaha Kali Sana Kwa Yule adui Ibilisi na faraja zisizo na kipimo katika mioyo. Bwana Yesu akupe rehema,kibali,neema, mafanikio na ulinzi
Im sorry,im frm kenya, bt i work at saudi arabia,sina mengi ila mungu akuzidishie kipaya ,nyimbo zako zimefufua maisha yangu zaidi remix hunimaliza usingizi najihisi nko na mungu ubavuni mwangu nakuona wa maana sana barikiwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nilikuwa natokwa na damu. Nikaweka phone kwa mwili wangu nikisikiza hizi songs za Sifaeli. You know what I got healed damu ikastop. Same same maadui wote walioniwekea mitego washindwe in Jesus. Mitego Yao iwanase wao wenyewe. Amen
I love all Tanzanian gospel musicians..especially this man sifaeli and William can't go a whole day without listening to your powerful songs..God bless you for always touching my heart .you always reminds me that God is my provider I'm blessed too..listening from 🇰🇪 Nairobi.
Amina Amina Amina kubwaaaaaa🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍💕💕💕💕💕 Nimeongeza Imani kutoka kiwango cha chini kwenda kiwango cha Juuu!! Mungu Baba wa Mbiguni aendelee kukubariki !!!
Mungu akubariki kaka. nyimbo zako simenitoa bali hati naminime asa kuimba kwa kubitia kwa nyimbo zako Mungu akusitishie. natamani siku moja kwa. uwenzo wa Mungu. niembe. na. Wewe
Ama kwa kweli hizi ni nyimbo unapozisikiliza, roho yako inatulia tu. Pongezi sana sifaeli na kikundi chako. Mungu akuzidishie hekima zaidi ya utunzi wa nyimbo za kumutukuza. Great music composition indeed. God bless you man of God.
This is my youtube account original follow me no else,the one who is using my name and profile picture replyed your comment is not me! He confusing God's peoples is a thief be careful please don't trust what he tell you Any information follow me +255719482223 my whatsapp sifaeli mwabuka from Tanzania amen?
Nyimbo zako zilinifanya nihisi napendwa na Mungu, nimepitia Mengi magumu, mazito lakini Mungu amefanya njia heshima yangu inarudi mwaka huu tunaanza na kila kitu nilipoteza will be restored back in 2025
My tears is the testimony of who I am now. Thanks Mtumishi Sifael for changing people's life's through your inspiring songs & encouraging words. I can't stop crying 😭😭😭😭😭😭
I'm a living testimony , 2020 used to go giturai buy vegetabe to go sell meanwhile waiting for pikipiki, there is a pastor who used preach in the market then i sit near to listen this song BABA SHUKA till i cry. Today I'm in Canada i thank God
Ubarikiwe mwimbaji wetu sifaeli mwabuka kwa kutuelekeza mungu muumba wetu ubaeikiwe sana na uzidi kuwa mmtu mwema mbele za mungu na mungu akuongezee kipawa kikubwa mno ubarikiwe
All that God need from us is worship no matter what we go through in life for at the right time He will see as through for those who agree with me let’s type Amen. God bless you servant of God for this inspirational songs much encouraged and blessed.
Asante kwa nyimbo zako za kutia moyo kwa wale amelemewa na wazo na mizigo mizito,nilifika mahali nilikata tamaa bt vile nasilikiza nyimbo zako ,zinaninjenga na zinanituliza,kwa hakika umenitoa kiwango cha chini na ukaniweka kiwango cha juu nashukuru Mungu,,Mungu akubariki na ukuwe na afya njema
Actually i do like and love your songs servant of God,very inspiring and uplifting, am always blessed when i listen to them,thak you alot.one day i will look for you i also bless you. Big up,
I'm a matatu driver from kisumu to eldoret I always play your songs my customers are really blessed by your songs
Ooh amen groly to be God asante Sana
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL God bless your good work Mr Sifaeli. Nyimbo zako hunitia nguvu.
Wooo
Aà very Nice songs
@@shixsshixs4191 k8i8
I love your song wakati niko na changamoto mingi but naona mungu wasidi kunionekania God bless you and protect you and your family in jusus chrst amen 🙌🙏🙏🙏
Ubarikiwe sifael nyimbo zako hunibariki huduma Yako idumu daima
Amen 🙏
Amen 🙏
Kwa kweli napenda sana kuzikiza nyimbo zako maana Zina massage nzuri Sana ,,,Jackline frm western God bless you so much siphael🙏
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Niwewe Mungu Wangu Usiyena Upendeleo, Niko hapa Baba Uniguze 🙏🙏🙏
Hongera❤❤❤❤
54 dongs non stops ,ni mungu tu 🙏🙏🙏🙏
I mean 54 songs non stop acha usingizi uwende kabisa yaani ni mungu tu ,hta boss huniuliza mbn hulali namjibu mwenye kunipa usingizi ameniambia niache kulala ni muimbie🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
For real songs zako hua inanipa moyo c oz a times I feel to give up but nikieka hizi nyimbo zinanipa kusonga mbele..God bless you haki.
amen asante kwa support yako, please subscribe my channel and share to others and God bless you
Hi!! my fancy thanks for following my content to all platforms be blessed!!
youtube.com/@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL?si=8L-iW9FDTvqXzZET TH-cam
onerpm.link/818041537428
Song= ULIYONITENDEA KUHESABU SIWEZI DIGITAL PLATFORMS
SKIZA DIAL *811*117# OK
onerpm.link/392578501032
SONG: NAOMBA MBINGU ZIFUNGUKE
DIGITAL PLATFORMS
SKIZA DIAL *811*457# OK
±254799200738
HIZI HAPA NYIMBO 50 ZA UPONYAJI -link below gusa hapa chini listen all.
th-cam.com/video/6ZlC5yQ5AOg/w-d-xo.htmlsi=aMw5gZvAJzIdF06u BEST CONTENT
Receive a baby in Jesus name
Amen,,
May God of Sarah and Hannah bless you with triplets in Jesus name 🙏
Sifaelimwabukaf
unaeza tusaidia link ya kudownload
Kiukweli mtumishi wabwana nasikia kubarikiwa zaidi ninaposikiliza nyimbo zako nakuombea kwa mungu huduma iendelee kusonga mbele wew ni dhahabu sikumoja utang'aa
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Aki mungu simama juu ya maisha yangu,na umkumbuke nyanyangu aki
Asante kwa nyimbo zinatia moyo
Kazi njema, kweli yapendeza.Mungu atatumizia Kwa Imani
amen thanks be blessed more asante sana kwa kuendelea kufuatilia kazi zangu usiache ku share na wengine zaidi ya 50 wawe na ushuhuda amen by sifaeli mwabuka AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIALsalut mon frère courage vraiment
Hakika nyimbo zako NI silaha Kali Sana Kwa Yule adui Ibilisi na faraja zisizo na kipimo katika mioyo. Bwana Yesu akupe rehema,kibali,neema, mafanikio na ulinzi
amen asante sana kwa support yako kwangu, please subuscribe my channel and share to others and God bless you
Good song with more encouragement masages and good advices, thanks 😂😅
amen 🙏🏽
Im sorry,im frm kenya, bt i work at saudi arabia,sina mengi ila mungu akuzidishie kipaya ,nyimbo zako zimefufua maisha yangu zaidi remix hunimaliza usingizi najihisi nko na mungu ubavuni mwangu nakuona wa maana sana barikiwa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏🙏🙏
Aki natamani kufanya kazi naomba unisaidie
Amen me too in Saudi zinanitia nguvu sana,washangaze wajue🙏🙌
So,why are you sorry😢😢😢 your message whose spirit is highly uplifted?
Uko wapy side gani Saudi Arabia dada
Tusife mioyo yetu....tuzidi ķuliinua Jina la Mungu aliye hai. 🙏🙏🙏
Iam always blessed with this songs wacha wakuseme mabaya mungu yuko
Nilikuwa natokwa na damu. Nikaweka phone kwa mwili wangu nikisikiza hizi songs za Sifaeli. You know what I got healed damu ikastop. Same same maadui wote walioniwekea mitego washindwe in Jesus. Mitego Yao iwanase wao wenyewe. Amen
mungu azid kutend zaidi na zaid kwenye maisha yako
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Amen
May all the evel be defeated
Nabarikiwa sana na nyimbo zako asante mungu akujalie mema akuinue Hadi ngambo ya pili 🙏🙏
Emeeeeeeen
@@Elizabeth-gr6ey89uu7u7 42:32
Niwewe Mungu Wangu Usiyie Naupendeleo, Niguse namimi, Niko hapa Baba uniguse 🙏
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Wapi link ya ku download hii mix please
Uko juu sana.Mungu azidi kukubariki.Nyimbo nzuri sana pamoja na maudhui yake
Am Pauline, I minister through songs, have been encouraged by your songs alot. More grace and be blessed
Huyu ndugu anaguza moyo wangu kwa hizo nyimbo zake.
amen
Am blessed. Mwambie herode ninaye simba wa yuda
SIFAELI AM YOUR FAN YOUR SONGS ARE PURE BIBLE TEACHING I KEEP LISTENING EVERY TIME BE BLESSED .
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
My soul ave peace wen listen to you songs... be blessed sifael mwabuka ...glory be to God backroot from Kenya
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
Real nice mwabuka keep it rolling for ever and for good..........
Hakika nyimbo haya yamekuwa baraka kwangu sana. Be blessed and bless many
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
Naguzwa sana nashindwa kueleza.nyimbo zako umeimba kwa ajili yangu.
I love all Tanzanian gospel musicians..especially this man sifaeli and William can't go a whole day without listening to your powerful songs..God bless you for always touching my heart .you always reminds me that God is my provider I'm blessed too..listening from 🇰🇪 Nairobi.
I love ur songs may God uplift u up
Ameneeeeeeeeeeeeeeen
I the same
@stellawamalwa7807 to be blessed
❤
you normally have an encouraging message....what a splendid message,,,you are my best artist brother,,,
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
Thought i don't understand swahili. I alway enjoyed the vibe. Tnks to you mr dj
Powerful man of God upako zaidi na zaidi neema ya mungu iwe juu Yako usiwahi shuka chini kwa jina la yesu kristo 🙏🙏🙏
Amina Ubarikiwe sana
Amina Amina Amina kubwaaaaaa🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏👏👍👍👍👍👍👍💕💕💕💕💕 Nimeongeza Imani kutoka kiwango cha chini kwenda kiwango cha Juuu!! Mungu Baba wa Mbiguni aendelee kukubariki !!!
ⁿ
Nabarikiwa sana na huyu mwimbaji sana nikiwa pale bondo
haki kwa kweli nyingi zako zinanitiya moyo sana.Mungu akubariki siku zote.
Amen when l believe in God I know l m winner thanks you normally bless me
Mungu akubariki kaka. nyimbo zako simenitoa bali hati naminime asa kuimba kwa kubitia kwa nyimbo zako Mungu akusitishie. natamani siku moja kwa. uwenzo wa Mungu. niembe. na. Wewe
Barikiwa sana
Jesus Christ is Lord And Saviour of My Life❤️
YU HAI,ANATUPENDA,ANATUJALI,
ANAPONYA NA ATARUDI KUTUCHUKUA SISI WANA WAKE HALLELUJAH.
لا إله إلا الله وحده لا شريك له له الملك وله الحمد وهو على كل شيء قدير
@@azizboutahar6967lllnnnnnnkymulllllulkk nkn
This man is talent ukiingia mat za kasarani on Sunday zote zinacheza nyimbo zake
Be blessed bro
i guess ni mat most za thika road
Ako juu sana ngoma safi
Ama kwa kweli hizi ni nyimbo unapozisikiliza, roho yako inatulia tu.
Pongezi sana sifaeli na kikundi chako. Mungu akuzidishie hekima zaidi ya utunzi wa nyimbo za kumutukuza.
Great music composition indeed.
God bless you man of God.
Be blessed mr.ur songs are very grateful
Aky hupenda nyimbo zako sana ata nikiwa na mawazo nikisikiliza nyimbo zako mawazo inaisha ❤
God should continue to bless you and your family
Wewe Mungu akuzidishie kabisa nyimbo zako zinanifariji na kunitia moyo pale ambapo najihisi nina upweke
Asante... barikiwa sana
Mungu akubariki pamoja na jamii yako, nyimbo zako zimenibariki, endelea kumtukuza Mungu kwa kuimba nyimbo, usirudi nyuma.
This is my youtube account original follow me no else,the one who is using my name and profile picture replyed your comment is not me!
He confusing God's peoples is a thief
be careful please don't trust what he tell you
Any information follow me +255719482223 my whatsapp sifaeli mwabuka from Tanzania amen?
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Amen!!!
Am from Kenya 🇰🇪 napenda sana nyimbo za sifael zko na mafuta ya yesu kristo weken likes zenu tuinue hii ministry 🙏🔥🔥🔥🙏🙏
amen Mungu akubariki
Nyimbo zako zilinifanya nihisi napendwa na Mungu, nimepitia Mengi magumu, mazito lakini Mungu amefanya njia heshima yangu inarudi mwaka huu tunaanza na kila kitu nilipoteza will be restored back in 2025
amen Mungu akubariki
Asante mtumishi wa Mungu, nyimbo zako huwa zaniliwaza na kunibariki God bless you so much 🙏👍
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
Mungu akubaliki uendelee kuimba nyimbo nizuri safari ya musa
Mungu akumbariki sana
Mtumishi wa mungu ubarikiwe zaidi
amen akubariki pia
Bro mungu azidi kukuinua unanibariki kwa nyimbo zako
Jina la bwana Yesu christu lisifiwe sana Asante kwa neema yako baba
Amina Ubarikiwe sana
Jam a farmer in Uganda l do play ur song because it has meaning may God bless u and all people around u thx.
Nabarikiwa na nyimbo zako Sifael mwenyez mungu azidi kukubariki mara dufu
Mungu akubariki na azidi kukuenua nyimbo zako,zinanienua wakati nimevunjika moyo
good songs mungu hazidi kukuinua utimize neno lake
am also Justus obwoge from nairobi kenya playing your songs right now and it blessess mi soul.thanks and god give you more energy to lift more people.
Amen nakushukuru sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
iam from kenya l ilke your song so much GOD bless you endelea kungunza miyo za watu
wow nzuri sana barikiwa napenda sana nyimbo zako zina bariki sana. ni kweli ivi nilivyo ni mpango wa mungu ndio mana niko ivi
Amina
❤ All songs it's very nice and build me in my life be blessed Bro
More blessings.wonderful songs
Hii bro your songs normally make me feel happy when I listen it God bless you
My tears is the testimony of who I am now.
Thanks Mtumishi Sifael for changing people's life's through your inspiring songs & encouraging words.
I can't stop crying 😭😭😭😭😭😭
True
I'm a living testimony , 2020 used to go giturai buy vegetabe to go sell meanwhile waiting for pikipiki, there is a pastor who used preach in the market then i sit near to listen this song BABA SHUKA till i cry. Today I'm in Canada i thank God
Mungu akubabariki Sana Mtumishi SIFAELI MWABUKA
🙏🙏
Sifael ubarikiwe na mungu hata ukambani machakos -kenya nyimbo zako zatubariki
Amen God bless
Barikiwa mtumish w mungu ,usiongope maneno yao hao n wanadamu ww songa 2 huo wimbo waninguza xana ninapoweka huo wimbo 😢😢
Amen Mungu azidi kukubariki
Ubarikiwe mtumishi nyimbo zako zina nipatumaini ninapokata tamaa mungu azidi kukuinua viwango vya juu
ama
May Lord take you to another level through spreading true gospel songs
Amen. Be blessed bro
Woo nmetufuta hizi nyimbo Kwa muda mrefu sana Leo nmepata thanks,am from Mombasa kenya wacha tumtukuze mungu
amen thanks so much be blessed more please share to others and God bless you,
Wacha mungu aendelee kukupa nguvu na afya siku zote daima na milele uendelee kufanya kazi ya MUNGU.Amen
amen Mungu akubariki
Ubarikiwe mwimbaji wetu sifaeli mwabuka kwa kutuelekeza mungu muumba wetu ubaeikiwe sana na uzidi kuwa mmtu mwema mbele za mungu na mungu akuongezee kipawa kikubwa mno ubarikiwe
amen
Sifaeli ubarikiwe sana.nyimbo zako huniinua wakati nahisi nguvu za mungu zinanipungukia🙏
amen asante sana kwa kutazama kazi zangu/ thanks for your support be blessed more please share my contents to others
From USA.Be blessed sifaeli.very touching gospels.U are a ROLE MODEL IN THE SOCIETY.
Öffnen
Amazing gospel music..be blessed sifaeli mwambuka,,
All that God need from us is worship no matter what we go through in life for at the right time He will see as through for those who agree with me let’s type Amen. God bless you servant of God for this inspirational songs much encouraged and blessed.
Amen
Amen
Emmanuel
👏👏
Jamani nyimbo zako zinaguza wengi nikiwa mmoja wao, Jah bless, protect and guide you 🙏
amen asante kwa kufuatilia kazi zangu,thanks for your support be blessed more
Mungu akubariki ndugu kwa kweli nyimbo zako zinatiya moyo kwa hali huu mgumu.
Amen
Nabarikiwa na yimbo zako 😢😢😢❤
Am in Saudi Arabia;I get encouraged by your songs,be blessed my dear brother
God wiling
My God bless you brother 😇🙏🏽🙏🏽
Asante kwa nyimbo zako za kutia moyo kwa wale amelemewa na wazo na mizigo mizito,nilifika mahali nilikata tamaa bt vile nasilikiza nyimbo zako ,zinaninjenga na zinanituliza,kwa hakika umenitoa kiwango cha chini na ukaniweka kiwango cha juu nashukuru Mungu,,Mungu akubariki na ukuwe na afya njema
Nyimbo zako ni WA kiwango kingine I prefer to watch your songs than news my family wameiga mtindo yangu always your songs.
Be blessed my brother.
Thank you Lord let your will be done always Amen
Thanks for following up with my work. Please like, subscribe and share with others. Be blessed.
Be blessed bana,🙏🙏🙏🙏
Mimi penda nyimbo zako
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and God bless you
Am a student and your songs blessed me,ingawa sijaogoka naamini kuna siku
Kama unaamini na kukili Kufa na kufufuka kwa Yesu kristo kwa anjili ya dhabi zetu kwa roho yako,umeokoka.
best of bests mixes gospel songs. Nafurahia hiyi mix kuliko zingine zote. Mungu mbele sisi nyuma.
amen
amen
May our father in heaven be with you dear sister
Mungu akubariki mnooo!! Nyimbo zako zinanibariki saana!!
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
@Sifaeli Mwabuka your songs are Blessings 🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri Sana za kutia moyo na kutukuza Mungu,Hongera Sifaeli Mwabuka
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
I feel blessed and addition of hope in life, God is real. Thanks mtu wa Mungu kwa nyimbo hizi.
God bless you son of God, we love you we wish to see you here in Arua City in Uganda.
Bwana akuinue viwango vya kuabudu sana
Ooh my God I love your songs very much it really blessed me🙏🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👌👌👌👍👍👍👍
Thanks
th-cam.com/video/g-lS2KreC5A/w-d-xo.html
I fill to be blessed by your songs may god give you strength to worship the the lord God of power.
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIALHey man of God,hii link haifunguki ama n mm cna mbs
Ahsante kwa kutupa uokovu naomba uniombee nipate kazi mzuri na baraka
amen Mungu afungue milango ya barak
My best Artist from TZ napenda nyimbo zako kwa moyo wangu wote
Barikiwa sana kwa nyimbo nzuri
I love your songs the man of God, be blessed.nafunguliwa kila wakati ninaposikia wimbo zako, i get breakthrough
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
Actually i do like and love your songs servant of God,very inspiring and uplifting, am always blessed when i listen to them,thak you alot.one day i will look for you i also bless you. Big up,
Nabarikiwa sana nikisikia hizi wimbo Mungu akubariki sana
Nyimbo zako ziko swa kabisaa,,pia Zina mafunzo mengi,,may God continue blessing you
Mwabuka may God lift you to another level in Jesus name...An blessed❤
Amen