Umeongeya twenty kaka kachara hata leyo hii nmesema hili kuna mtt wakiume kampa mwanafunz mbiya ety akafungwe miyaka 30 wakat walikuwa lana wote km kufunguwa wafungwe wote
Kijana kafungwa Miaka 40 kwa kesi ya kubaka hyo.kesi ukiifatilia ni dhulma tupu hakuwa na haki ya kufungwa miaka hyo... Anatoka mwenyewe na neno Kubaka ni neno Ambalo la.kulazimisha na hii kufanya mapenz chini ya miaka 18 ingetaftiwa neno jengnw
Ha Dade mwaweye kubakiwa mbali ila uyo aliekwenda uko mbali ni ikyo kitoto kike kumfuata uyo barazuli mwinziwe. #Hili la vijana kukwanga ni kuhusu makubaliano ya wote. Allah atunusuru na hili sie tusijao owa ila watoto wa kike saiv ule nshipa wa HAYA hawanao. @Fatma Said nakala kwako.
Nahis ujumbe uneeleweka...sijajua Kama wakusidiwa wameshaupata...ni jukumu la Baraza la wawakilishi kupitia baadhi ya Sheria ili zifanyiwe marekebisho..hata hile Sheria ya #mwanafunzi kupewa mimba inahitaji jicho la 3...wanaume tunateseka nayo
Eti "mapenzi huota poppotte, na mim ya kwangu yametoka bara yamekuja kuota pemba'🤣🤣🤣 #kachara una shida gani mbona hatuoni muendelezo wa #videoclips za kufurahisha...unatuacha pweke San na katika hii tathinia tunakutegemea
Ujumbe umefika kweli lkn hakika kachara umeondoka kiwango chako kutoka asilimia 70 hd kushuka %15 umeshuka sana tngu uondoke ktk kile kikundi cheni cha jufe yni umepwaya vby mno hakika umoja ni nguvu lkn jambo moja nimeliona mpemba hta afanye nn hawi wala haendelei sasabu tuna roho mbaya sana yani tunaroho mbaya sana hlf tamaa tumezifanya ngingi rudi kwa kampun yko jufe mushirikiane nimetumia fursa hii ya ku coment sabbu imeekwa ili tukoment ila nimeona ni vyema nisipite bure bye life is silent
Kinda la kinyamwezi kacharaa❤❤❤❤
Dah😢😢😢😢
Hapa umezungumza ukweliii amiy kacharaaaaa
Kachara we noma ni kweli sheria ibadilishwe
Kiukwel ujumbe mzur. Above 18 years old bc kwa asilimia kubwa kuna makubaliano ya pamoja. Kwaiyo hukumu iangalie upande wapili.
Nawapenda sana watu wa pemba wallahi
Asant sana kachara kwa kuelimisha
Sawa sawa kachara bin mambo funika👍👍👍👍💞💖💋
Nimekuelewa sanaaaaaaa kachara ktk hili. Hongera sna
Wanaume watamaliza nyenye mgongo wa ardhi😂😂😂😂
"Eti kwanza jina hilo kunlipata wapi? "😂😂😂
Ela na kwambia haya!. Kinlacho ntu kina kiu na njaa
Kachara me nakukubali kwa misemo wallah
"Cha tumbi na tumbi ikuche"
Tueke sw apa kidogo mzee wangu #kachara.
Ogopa tumbi na tumbi ikuogope ni msemo wa kipemba
Kachara umetisha sana yaan huo ni ukwl umenena
Dah! Inauma sana
Kachara unazingua Sana nakufatilia toka Lusaka Zambia unachelewa Sana
Uyoo Kichogo au
Ami kachara kunsema kweli ami
Hhhhhh kananzaa yeye uyo
Bamkwe uko vizuriiiiiiii🤣🤣🤣🤣
Naww fanya uachie
Vp huyo alo bakwa ameolewa
haya we tuseme hwemsikia Ami kachara huyo he bakwa kankuja baka yeye 😊😊😊
mr kachara hakika ujumbe wako umefikaa
Baba nipo pamojanaww mtumzima habakwi namwanamke anaebakwa hakai cku3 serilal ituone km niraha nizetu sote iweje nihukumiwe mie
Umeongeya twenty kaka kachara hata leyo hii nmesema hili kuna mtt wakiume kampa mwanafunz mbiya ety akafungwe miyaka 30 wakat walikuwa lana wote km kufunguwa wafungwe wote
Kachara watueka sana
Kake yangu nakupongeza nno na nnakuelewa vyema na ikiwa n'darasa pia nnapata.
Kulipata wapi jina hilo 🤣🤣🤣
Kweli kachara
Umefika ujumbe
Nakubalii
hak lazima iwe sawa
Kijana kafungwa Miaka 40 kwa kesi ya kubaka hyo.kesi ukiifatilia ni dhulma tupu hakuwa na haki ya kufungwa miaka hyo... Anatoka mwenyewe na neno Kubaka ni neno Ambalo la.kulazimisha na hii kufanya mapenz chini ya miaka 18 ingetaftiwa neno jengnw
Hakika hamna baya
Nzuri
Sheria isibadilishwe kabisa iwe iyo iyo mnahiliki watoto vibaya
Ha bi Fatuma kuntoka Tungamaa waja mpaka Chozi halafu wajidai kumbakwa 🤣🤣🤣
@@xxl5239 ndo walivo wabakaji hubakia mbali😂😂😂
Ha Dade mwaweye kubakiwa mbali ila uyo aliekwenda uko mbali ni ikyo kitoto kike kumfuata uyo barazuli mwinziwe.
#Hili la vijana kukwanga ni kuhusu makubaliano ya wote.
Allah atunusuru na hili sie tusijao owa ila watoto wa kike saiv ule nshipa wa HAYA hawanao.
@Fatma Said nakala kwako.
Mama mtu mzma abakwa
Eboh .....qur ani inasema wanawake ndio wazutaji wakubwa wazinaa
Nahis ujumbe uneeleweka...sijajua Kama wakusidiwa wameshaupata...ni jukumu la Baraza la wawakilishi kupitia baadhi ya Sheria ili zifanyiwe marekebisho..hata hile Sheria ya #mwanafunzi kupewa mimba inahitaji jicho la 3...wanaume tunateseka nayo
Ssafi Sana kacharaaaa
nkubal kaz
Kweli kabisa
Kachara nataman nikuone nikupe zawadi
safi sana lkn kachara unatuweka sanaa kiukweli
Hahaaaaa mapenzi majani huota popote yako wewe yamekuja kuota Pemba ee
Hheee
Message sent
❤🎉🎉😂😂😂
Safi
Saf kachara
Safi ami kachara
mm muunguja sipajui nipe kilo mita ngap chunga
Eti "mapenzi huota poppotte, na mim ya kwangu yametoka bara yamekuja kuota pemba'🤣🤣🤣
#kachara una shida gani mbona hatuoni muendelezo wa #videoclips za kufurahisha...unatuacha pweke San na katika hii tathinia tunakutegemea
Ujumbe umefika kweli lkn hakika kachara umeondoka kiwango chako kutoka asilimia 70 hd kushuka %15 umeshuka sana tngu uondoke ktk kile kikundi cheni cha jufe yni umepwaya vby mno hakika umoja ni nguvu lkn jambo moja nimeliona mpemba hta afanye nn hawi wala haendelei sasabu tuna roho mbaya sana yani tunaroho mbaya sana hlf tamaa tumezifanya ngingi rudi kwa kampun yko jufe mushirikiane nimetumia fursa hii ya ku coment sabbu imeekwa ili tukoment ila nimeona ni vyema nisipite bure bye life is silent
😂😅😅😅😅
Kachar bac ten
Hahahaha
Hal yk
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
😂😂😂
Hali yako
@@idrissaabassabdi3748 nzuri Alhamdulillah
@@fatmasaid9765 pande zip hizo
@@fatmasaid9765 unakaa wapi
@@idrissaabassabdi3748 kwani ww unakaa wapi